MashaAllaah tabarakaAllaah kwakweli twazidi kupata warisi wa Sheikh wetu Uthaman Maalim Allaah azidi kuwahifadhi wote kwa jumla na awazidishie elimu yamanufaa
Wallahi nlijuwa ni mwanae huyuu, Mashaallah, nami nampenda sana Sheikh Othman maalim namuomba mungu amjalie mtoto wangu awe miongoni mwao kina salim, muswadiq na wengine
MASHAA ALLAH UNAPATATHAWABU NYINGI SANA INSHAALLA NA HIVI NDIVYO ALLAH SUBHANAWATAA ALLAH KUNFAYAKUN ANAPENDASIYO WANAMUIGA DAIMONDI NA HAMONAIZI SIJUWI WANATUHARIBIYA WATOTO WETU TU BASI 🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️❤️❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿🇹🇿🕌🕌🇹🇿🕌🕌🇹🇿🕌🇹🇿🕌❤️❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️
Nikweli kabisa sheikh Othman maalim ni sheikh bora nasi bara ya sheikh. namuomba Allah anijalie mtoto mwema na Allah ampe mtoto wangu chochote kitu kutoka kwa Othman maalim
Mashaa Allah namkumbuka sheikh wangu Othman maallim tokea msikiti mabluu mpaka kina Ali Hassan Mwinyi na Shamhuna wakihudhuria darsa zake za mwezi wa Ramadhani wakati huo Allah amhifadhi amrhibishie iman yake
Mashaallaa Allah bariq mungu akutangulie kijana mwenzetu, pia hakuna tatizo akikopy kwa asilimia 100% kwa sababu mawaidha ni maneno ya mwenyezi mungu sio music huwo useme lazima awe na staily yake tofauti
kijana unajitahidi ila nenda kajifunze vizuri hukmu za Qur-aan(tajweed) maana kuna baadhi ya makosa yako wazi katika kuzisoma Aya za qur-aan...Shukran.
Kwanza hongera sana sheikh Othman Maalim, kwani kufaulu kwa mwanafunzi ni sifa kwa mwalimu, kisha Allah akuzidishie kijana wetu Salim Ally pamoja na wenzako, kwani ni raha ilioje vijana wakiiga mema kama hayo kuliko upuuzi. Hapo ulipotowa kipande cha waadhi kama hukusema si copy and paste, ningejuwa umefanya hivyo, coz umempatia hasa sheikh Othman, sauti, matokeo na miondoko, maa shaa Allah, tabaarak Allah...thanks
Kwa kweli kuiga mfano ya ma Sheikh ni Vizur sana,hongera sana kijana. Na Mungu awaongoze vijana wa kislam kuiga mfano mwema
Nikwel kabs sauti zinafanana
MASHALLAH MDOGO WANGU MIMI MWENYEWE NA MKUBALI SANA MAALIM NA WEWE KIUKWELI UMEFAULU KUIGA SAUTI YKE
nampenda sana sheikh mwenye mahadh ya sheikh othmani maallim
Mashallah. Jazakumullahu khery kwako na kwa shekh othmani Maaalim.
Binafsi Nampenda sana.
MashaAllaah tabarakaAllaah kwakweli twazidi kupata warisi wa Sheikh wetu Uthaman Maalim
Allaah azidi kuwahifadhi wote kwa jumla na awazidishie elimu yamanufaa
Wallahi nlijuwa ni mwanae huyuu, Mashaallah, nami nampenda sana Sheikh Othman maalim namuomba mungu amjalie mtoto wangu awe miongoni mwao kina salim, muswadiq na wengine
Masha Allah
Amiin ya raab.
Mashaallah mashaallah Allah akuzidishie kkangu mtu asiejua aweza Sema ni sheikh othaman
Mashaallah allah azidi kuku barik in shaallah 🤲
Mashallah allah atujaalie nasisiatuongolee vizurii vizazi vyetu nimefurahii sana anko salum
MAA SHAA ALLAH TABARAKALLAH ya rabii tujalie watoto wema wenye kuijua dini yetu tukufu ..
Alllaaahumma aaamin insha'Allah
Nafurahi sana kuskia wazanzibar wanaiga mambo ya kheri .congratulations shekh Othman kwa swadakatul-jaria
May God bless you fidunia wal-akhera😘
Aamina thumma amina
Mashaallaah safi sn kijana uliemwema. Ukwel Othmn maalim ni sheikh mzur na nimtu wawatu
ما شاء الله تنارك الله.
جزاك الله خيراً يا أخي كريم.
Namkubali sheikh OTHMAN MAALIM mashallah
Shekh othman maalim nikiongozi mwema hata mimi nampenda sana,ALLAH amjalie umri IN SHA ALLAH
Allah akbar....bismillah mashallah nimefarijika kusikiliza hii interview
Maashaallah sheih Salim Allah akuongoze katika njia njema
Yani km yeye mwenyewe sheikh uthuman msalim mashaallah honger sn kaka ang 📿🕋💕💕
MASHAA ALLAH UNAPATATHAWABU NYINGI SANA INSHAALLA NA HIVI NDIVYO ALLAH SUBHANAWATAA ALLAH KUNFAYAKUN ANAPENDASIYO WANAMUIGA DAIMONDI NA HAMONAIZI SIJUWI WANATUHARIBIYA WATOTO WETU TU BASI 🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️❤️❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿🇹🇿🕌🕌🇹🇿🕌🕌🇹🇿🕌🇹🇿🕌❤️❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️🇹🇿🕌❤️
Nikweli kabisa sheikh Othman maalim ni sheikh bora nasi bara ya sheikh. namuomba Allah anijalie mtoto mwema na Allah ampe mtoto wangu chochote kitu kutoka kwa Othman maalim
Inshaallah Allah atakujalia
Ammin kwa soteee
MAaasha ALLAH ume mmaliza kabisa yaani kama voice bila picha utazan yy, dah! waache wanao Mpenda mwana muzik na mchezaj wa Mpira aka fufuliwe naooo
Yupo atakae fanana na Shekh Sharuhan au Mselem Bin ALY kama yupo itakua safi sanaaa.
Ammin
Mashaallah shekh salum ali nami napenda niwe km shkh mzur wetu othman maalim yarabbi nijaalia namie
Masha ALLAH
Inshaallah Allah atakuwafikisha penye nia pana njia
Masha Allah hongeraa sana Allah akupe kheri na barka katika kila jambo lako.
MashaAllah Yaani kama s kukuona ningesema Shekh Othman Maalim Tabaraka Rahman
Mashallah
safi sana kijana mwnzetu kama huyu kumuiga shekhe mashaallah kuliko kumuiga msanii w mziki..
Allah akuhifadhi na kweli watu wema ndio twafaa tujifananishe nao.Allah Baarik
mashallah kijana Allah akuzidishie sheikh akituondka utachkua nafac inshallah
Duuuuuuuuuuuuuh MLE MLE ANAPITA ALLAH MASHAA ALLAH KAKUPA UNACHOKITAKA MASHAA ALLAH 🇹🇿❤️🕌🇹🇿❤️🕌🇹🇿❤️🕌🇹🇿❤️🕌
Mashaallaj tabaraka allah mola akupe umri .
Maashaallah ndgu hata kujibu tu hayo maswali bas unatumia hekma. Ni yeye et Sheikh Othmn naskilza kwa kurejea rejea.
Mashaallah ❤❤Allah atuongozee vijana wetu❤
Mashaa Allah namkumbuka sheikh wangu Othman maallim tokea msikiti mabluu mpaka kina Ali Hassan Mwinyi na Shamhuna wakihudhuria darsa zake za mwezi wa Ramadhani wakati huo Allah amhifadhi amrhibishie iman yake
Nice mashaallah mungu akuzidishie kipaji chako kilichokuwa kizuri
Mashanllah tabaarakanllah mungu amuongoze shekhe wetu
Salim aly uko vizur mashallah
Mashaallah
Riyadh hongereni sana
Yaarabi mola ni mkubwa yaani hd machozi yamenitoka sauti yake inafanana vlvl Alla ampe umr mrf
Mashaallah Tabarakallah
MaashaAllah MaashaAllah MaashaAllah
Mashaaallah uthman maalim kabisa huyu pende sana uthman maalim
Woow 😮 Masha Allah kijana Allah akuongoze
Mashaallah ❤❤❤
Allah ajaalie tupate warithi wengi inshallah
Mashaa ullah Allah akujalie kheir.
ما شاء الله تبارك الله 🧡🧡
Manshallah kaka Allah amlipe sheikh othman
Allah awaekee mashekh wetu wazidi kutupa daawa Amiin
mashaallh
yaani wewe umetishaaaa mashallha
Hongera bro umeiga jambo jema maashaallah ni jambo zuri sana kuwiga jambo jema sio wengine wanamuwiga eminem
Maasha Allah akuongoze vema Amiini
maa shaa Allah...Allah ajaalie elimu yenu iwe yenye manufaa...shekh othmani Allah ampe umri mrefu wenye manufaa..
Amin
Ameen yaarab
Mashaallaa Allah bariq mungu akutangulie kijana mwenzetu, pia hakuna tatizo akikopy kwa asilimia 100% kwa sababu mawaidha ni maneno ya mwenyezi mungu sio music huwo useme lazima awe na staily yake tofauti
ma shaa allah . allah akubarik
Shukran baaraka llahu fiikum ust ridhwaan bado sheikh shaaban al_batwashiy tunahitaji tuoneshe uzungumzaji wake in sha llah😃😀
Insha ALLAH
mashaallah Allah akubarik huo ndio urithi mzur wa kurith na sio lakhau za kidunia zisizo na maana mbele ya allah
Maa shaa Allah
Baaraka Allahu fiyka
Mashallah tabarakallah sauti hasa kama ya Othman Maalimu
Allah akbar ww ndio mrithi kabisa Othman maalim Mungu akuzidishie
😮huyu kweli kama yeye jamani nimefurahi sana mashaallah
Mashallah salim uko vizuri sana kwa njiaiyo kuliko n mushid
Masha allah asha Allah wallah nlistuka nikahisi niothamn maalim masha allah
Maashaalah kapita mlemle
mashaallah tabaraka Allah
Masha allah. Allah amuhifadhi
Mashaallah Allah akubariq kaka akuzidishie kipaji chako
Mashaallah mungu akuongoze
Mashaallah 💕👏👏
Mashallah.
Tabani masha allah sheikh salim wewe ndio mrithi wa sheikh Othman Maalim
Allah s.w akujaalie mwisho mwema
Kwa kweli km ningesikia sauti tu, ningejua ni sheik Othman😁😁 Safi sana kijana Allah akuhifadhi Inshaallah
Mashaallah
Mashallah mie namkubal sana shekh othman
Masha a Allah mungu akuongoze ktk maisha yako
Maashaalah
Maa Sha Allah
Kheri inshaa Allah.
Maasha Allah
Kweli kabisa wanaendana masha Allah tabaraka Allah nimeipenda
Hata mm nampenda sheikh Othman maalim namuelewa sana anajua kugusa mioyo
Nampenda sheikh maalim othman kwa Ajili ya Allah
Masha Allah mola akujarie kheli inshaallah
Maasha allah
Mashaallah mashaallah tabarakallah wajazakallah!
Mashaa allah
Mashallah Mashallah shukuran
Naam hiyo sauti ya maalim haitakiwi kupotea safi sana kijana endelea hivo.hivo allah atakujalia mengi.
Allaaaaaah lau wawe weng katika umma wa kiislam
MashaAllah Allah akuokose InshaAllah
Mashaaallah 🌹🌹🌹
Sheikh Othman maalim ni sheikh wa masheikh ni mwalimu wa walimu😊
Masha Allah
ما شاءالله تبارك الله
Mashallah mashallah
Mashaallah huko ndiko kufata nyayo nzuri
Shukran Riyadh
mashaallah mashaallah mashaallah tabarakallah
Masha Allah tabaraka Allah
Masha Allah twakuombea kila la heri kijana wetu
kijana unajitahidi ila nenda kajifunze vizuri hukmu za Qur-aan(tajweed) maana kuna baadhi ya makosa yako wazi katika kuzisoma Aya za qur-aan...Shukran.
Ma sha Allah
Masha Allah Allah azidi kukuongoza
Kwanza hongera sana sheikh Othman Maalim, kwani kufaulu kwa mwanafunzi ni sifa kwa mwalimu, kisha Allah akuzidishie kijana wetu Salim Ally pamoja na wenzako, kwani ni raha ilioje vijana wakiiga mema kama hayo kuliko upuuzi. Hapo ulipotowa kipande cha waadhi kama hukusema si copy and paste, ningejuwa umefanya hivyo, coz umempatia hasa sheikh Othman, sauti, matokeo na miondoko, maa shaa Allah, tabaarak Allah...thanks
Ndugu shukran kwa kumleta sheikh wetu.. Lakini tunaomba mukihoji muje na Mice mbili munampa sheikh wetu uzito