Namna ya Kutibu Majeraha ya Ukewenza - Ukht Khadija Idd

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2022
  • Part 2 ya sehemu ya Tatu ya Mada ya Ukewenza na Ukht Khadija Idd

КОМЕНТАРІ • 275

  • @aishabarua6857
    @aishabarua6857 16 днів тому

    ❤❤❤, mashallah tabarakah allah, tutajifunza, na sisì 😊

  • @fatmahaji7661
    @fatmahaji7661 4 місяці тому +1

    Mawaidha mazuri mnoooooo mashallah mashallah mashallah.... Allah atupe subra kwenye ndoa zetu za uke wenza

  • @user-pf9yz1rt6s
    @user-pf9yz1rt6s Рік тому +6

    Yaan ukhtyy natamann mke wangu asikilize mawaidha yako ili nistarehh na mm .ila dahh .mungu akupe umri mreff uzidi kuwaelimisha ukewenza

  • @user-hz7gm6ye4y
    @user-hz7gm6ye4y 8 місяців тому +2

    Asante sana hii video imeniponya maana ndo nilichokuwa napitia kwa sasa..nataman kupata no ya huyu ukty nahitaji sana darasa kutoka kwakee

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 місяці тому +1

    Allah akujaalie utupe elimu zaidi inshallah

  • @fatumabungara6307
    @fatumabungara6307 Рік тому +3

    Aoe wawili kwa pamoja siku moja kwakua Mw.mungu ameanza na wawili,watatu,wanne ukishindwa mmoja hakuanza na mmoja.Tatizo linakija pale munapopata shida na mume baadae mmefanikiwa eti anaoa mwingine inatakiwa tupate shida wote.

    • @khadijamohamedkibabi3625
      @khadijamohamedkibabi3625 2 місяці тому

      Ha ha ha ha a a a a hicho Ndo kinachowaumaga wanawake wengi , Ila c Wote walioandikiwa Shida Wengine n Raha

  • @nuruddin5074
    @nuruddin5074 Рік тому +4

    MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI ISHALLAH AKHUT

  • @aisha-rj6uc
    @aisha-rj6uc Рік тому +2

    Mashaallah''' ukhti yangu nakupenda kwa ajili ya Allah. Mada ni nzuri na imeeleweka almuhim kuifanyia kazi ili ndoa zetu zidumu.

  • @Rkim-em3td
    @Rkim-em3td Рік тому +5

    Mashaa Allah dadaake
    Allah akuhifadhi duniani na kesho a akhera

  • @fettysaidy8621
    @fettysaidy8621 7 місяців тому

    MASHAALLAAH MANENO YENYE MAZINGATIO NA YENYE LADHA NDANI NIMEJIFUNZA MAMBO MAPYA NA MAZURI ALLAAH AKULIPE KHERI NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAAH ❤

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 Рік тому +1

    SHUKRAN HABIBTY WANGU ❤❤❤JAZAKHALAUKHER🙏mume wangu kaoa niko miaka 13 ya ndoa nae.lkn baada ya kusikia hii UMEJUA KUNIJENGA MASHALAAH mengi nmejfunza ukhty khadja. ALLAH AKUHIFADHI🙏

  • @zubedatatu7852
    @zubedatatu7852 Рік тому +1

    Masha Allah Shukran Jazaqallah kher Mungu Akujazie Dadaa

  • @user-dn1co6oj3q
    @user-dn1co6oj3q 7 днів тому

    Khutba nzuri maneno matamu mashallah ila haijawai niingia hata kidogo Mungu aniepushie huu mtihani au anipe iman ya ju maana daah anyway laa yukhalifu Allah nafsan illa ùs'àha

  • @husnaally7964
    @husnaally7964 Рік тому +1

    Nakuombea kwa Allah mtukuf akumiminie khairaat za dunia na akhera.na ma ukhty wenzako ukhty Fatma mdidi nawe unajitahid

  • @halimaissa4
    @halimaissa4 Рік тому +1

    Masha Allah ukhty hadija hakika nimepona yamenikuta Ila nilisubir piaah Ila umeniongezea Tina Allah akuongoze katka kuwapa wengne tiba kwa ajili ya allah

  • @chonghoswe6255
    @chonghoswe6255 Рік тому +2

    Mungu akupeni ushind ktk kuwaelimisha wanawke wakislam

  • @malak-lz6kx
    @malak-lz6kx Рік тому +11

    Mashaallah hyu ndio wakumskiliza maana anamaneno mazur yakutuliza moyo.

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 Рік тому +1

    Mashaa Allah tabaraka Allah Allah akuzidishie Kwa kutujuza

  • @farhiaisabella3166
    @farhiaisabella3166 Рік тому +4

    Mashallah barakala Mwenyezi Mungu akutunze Bi Hadija

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  Рік тому

      Akutunze nawe pia

    • @buhitexmohamed4785
      @buhitexmohamed4785 Рік тому

      @@kalamuMedia waleikum slm ya ustadha shukran kwa mawaidha . Na wenye kusukumwa na kuoa na mavia ?

  • @halimambarouk4612
    @halimambarouk4612 Рік тому +2

    Huu kweli ni mtihani ndugu zanguni subhanallah

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +7

    Mashallah tabaraka llah Ukhty wajina Wang Allah akuwekeye wepesi paliopo uzito na akupe mwisho mwema Ukhty ❤️❤️❤️

    • @amirnkokoo3083
      @amirnkokoo3083 Рік тому

      🛑🛑maashaalah wakumbushe ukhtiy ili nasi tupate nafasi ya kupeperusha bendera ya kuoa Nathan WA thulaathaa WA rubaagha

  • @user-zk5kw8pb7r
    @user-zk5kw8pb7r 4 місяці тому

    Asante sana Dada mawaiza Yako yamenijenga kiakili hendelea kutupa mawaiza tuimalike

  • @hidayarubibi4224
    @hidayarubibi4224 Рік тому +3

    Ma shaa Allah!!!! Somo limeeleweka. Shukraaan mwl Khadija!!!!

  • @muhsinsalum8009
    @muhsinsalum8009 Рік тому +10

    Mi dada nikuambie kitu.
    Hao wanaosema kua hawawezi tena ukewenza, ajabu nikua: Wao wakiachwa huenda kuingia katika kuolewa na mwanaume mwenye mke. Nyinyi shida yenu hua hamtaki kuongezewa, lakini hua mnataka muongezwe.
    Nyinyi kua wake wa 2-3-4 hua hamuoni shida, shida yenu nikuongezewa tu.
    Mbaya zaidi, saivi wake zetu wanaona nibora mumewe AKAZINI wanavumilia, lakini hawezi kuvumilia mumewe akioa.
    TUNAMUOMBA ALLAH ATUONGOZE TU LKN NICHANGAMOTO.

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 4 місяці тому +1

      Tatizo lenu sio waadirifu

    • @fifo262
      @fifo262 Місяць тому +1

      Kabla yakuongeza mke jitasmini huyo 1 ulonae unafika walau nusu ya mahitaji yake? Alafu sasa fanya maamuzi

  • @user-js2kq9xo6q
    @user-js2kq9xo6q 11 місяців тому

    Shukran ukhty Allah akulipe umeniongezea Tiba niseme umeniponya

  • @abushawalihamisi2649
    @abushawalihamisi2649 Рік тому

    Allah akuzidishie elimu umefikisha ujumbe mzuri sana ambae hatoelewa atubu kwa mwenyezimungu

  • @husnaally7964
    @husnaally7964 Рік тому +1

    Ukhty Khadija Maashaa Allah maashaa Allah dada etu umejitahid Sana Sana sisi ndugu zenu mnatufariji Sana zidini kutupa njian za kujikombo ktk mitihan tuna Iman kubwa Sana na yaqin kua haya mbo ni Qadar yake Allah s.w na ni kipimo Cha Iman zetu. uhibbuk fii llah dada Khadija.

    • @khadijahidd3678
      @khadijahidd3678 Рік тому

      Akupende zaidi Mola wetu mlezi, habibty

    • @kitengenyembo4223
      @kitengenyembo4223 Рік тому +1

      Maa shaa Allah waache kuumia hayo Ni maamrisho ya Allah,Mimi mke wangu aliniambia nimuoe Rafiki yake awe mke wa pili,nili fanya hivyo ,na bado Ni marafiki

    • @majutoyussuf6191
      @majutoyussuf6191 Рік тому +1

      @@kitengenyembo4223 Ma shàa Allah Allah awape upendo wa dhati

    • @zulfashabani4890
      @zulfashabani4890 Рік тому +1

      Allah akubariki ww na familia yako

    • @husnaally7964
      @husnaally7964 Рік тому +1

      @@kitengenyembo4223 Maa shaa Allah.Allah awazidishie mapenz nawe uzid kuwaombea Dua wake zako

  • @aminauwimana9976
    @aminauwimana9976 Рік тому +8

    Subhana'allah loe nimesikiya points kilasiku tunataka mawaidha kamahayo masha'allah

  • @aishasaid7067
    @aishasaid7067 Рік тому +1

    umenichekeeeesha sana ,worth sharing

  • @kholaabdulrahman1750
    @kholaabdulrahman1750 Рік тому +1

    MashaAllah Mungu akujaalie afya na uzima nimepitia mengi zaidi yako lkn niombee uvumilivu zaidi ya hapo. Ni miaka 13 saa hii niko ndoani. Allah atuezeshe. Ameen.

    • @johasaidy1471
      @johasaidy1471 Рік тому

      Mashallah Mashallah barakallah ❤❤

    • @khadijahidd3678
      @khadijahidd3678 Рік тому

      Alhamdulillah Allah akulipe kheri dear na akuongoze katika wema

  • @user-cq5nw6vi7t
    @user-cq5nw6vi7t 4 місяці тому +1

    Assalam alykm Dada iyo Mada ninzuri Sana ila Kanahawa wake wadogo ndo wanao sababisha matatizo

  • @khadijakhamis2082
    @khadijakhamis2082 Рік тому +2

    Mashaallah! Shukran kwa darsa

    • @twahamachozi8018
      @twahamachozi8018 Рік тому

      Naomba taratibu za kumpata dada huyu tumpe mwaliko aje singida kwa ajili ya dawa

  • @zuenamsonga5274
    @zuenamsonga5274 Рік тому

    Mashallah Mwenyezi Mungu akulipe

  • @fatmahemed2189
    @fatmahemed2189 Рік тому

    Masha Allha wajina Allha akuzidishie kila lakheli tunazidi kujifunza mengi

  • @azizadjumadazuu2731
    @azizadjumadazuu2731 Рік тому

    Maa shaa Allah bi Khadija umenijenga kwakwel Allah akulipe kheir

  • @damandokondoko1787
    @damandokondoko1787 Рік тому

    Mashallah mashallah mashallah mwenyezi Mungu akubariki uendelee hivyo hivyo kutupa darasa nzuri

    • @RonicahWilson
      @RonicahWilson Місяць тому

      Mungu akulinde pamoja nafamilia yako uzidi kutupoza vidonda

  • @jumabakari4277
    @jumabakari4277 Рік тому

    Mashallah, Allah akullipe kheri inshallah

  • @nadhifahassan168
    @nadhifahassan168 Рік тому +2

    Allah akulipe kheri Maashallah

  • @azzaalmaamry5817
    @azzaalmaamry5817 Рік тому

    Maa shaa Allah jazakallah kheir

  • @SociedadeSust1234
    @SociedadeSust1234 Рік тому +2

    Shukran jaziilan

  • @zainabolenga2829
    @zainabolenga2829 Рік тому

    A w w ahsante sana dada mwenyrzi mungu akulipe mashaallah

  • @user-yr5lh3mp8v
    @user-yr5lh3mp8v 11 місяців тому

    Allah akuhifadhi ukhtih uke wenza unauma ila umenifariji

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 Рік тому +1

    NAKWELI KABISA, ALLAH NDIO AWE KIPENZI CHAKO ZAIDI, KISHA MTUME, KISHA MENGINE.

  • @VivianYombayomba
    @VivianYombayomba Місяць тому

    Mungu anipe moyo kama wako sijui nitaweza mume wangu anawake wanne naisi kufa

  • @rehemamustapha364
    @rehemamustapha364 Рік тому

    MashaAllah asante kwa darasa nzuri

  • @a.856
    @a.856 Рік тому +1

    Jazakallah khayran

  • @zainabuseiphu-pq4kp
    @zainabuseiphu-pq4kp Рік тому

    Mashaallah umenijibu maswali niliyo kuwa najiuliza mume akiingia akitoka neno hata ongeza mkee

  • @sabihasaid9164
    @sabihasaid9164 Рік тому +6

    Mashaaallah

  • @amirnkokoo3083
    @amirnkokoo3083 Рік тому

    Wafikishie MAANA wanamaradhi Sana ya USUMBUFU

  • @amonaamona3816
    @amonaamona3816 Рік тому

    Alhamdhulillah nikweli tutajitahidi mungu atuwezeshe insha'Allah

  • @umurengeramwanaidi6915
    @umurengeramwanaidi6915 Рік тому

    Mansha allah allah awazidishiye

  • @fatushayaan8316
    @fatushayaan8316 Рік тому +3

    salalahu calayhi wasalam ♥️

  • @yusufumindu-mc6uh
    @yusufumindu-mc6uh Рік тому

    Jazakallah khyra!!!!

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Рік тому

    MashaAllah ❤❤❤ shukraan habibty

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 22 дні тому

    Inauma sana ukewenza maana kuna na ushirikina na maradhi

  • @zainabdambu7091
    @zainabdambu7091 Рік тому +1

    Allah akupe pepo ya daraja ya juu ukhty

  • @mejumaamwachirero7324
    @mejumaamwachirero7324 Рік тому

    Shukran San Anty

  • @remaz-tf6zh
    @remaz-tf6zh Рік тому

    Shukrani ukhty

  • @fatushayaan8316
    @fatushayaan8316 Рік тому +2

    masha allah

  • @JuniJuni-ki9vk
    @JuniJuni-ki9vk Місяць тому

    Mashallah mashallah

  • @sabiha8869
    @sabiha8869 Рік тому

    Manshalla maneno mazuri sana

  • @amirnkokoo3083
    @amirnkokoo3083 Рік тому

    ALAH akubaariki Sana ktka DAAWA yako ya uke wenza

  • @MuhammadHamisi
    @MuhammadHamisi 2 місяці тому

    dada uko vizuriiiiiiiiiiii sana

  • @tatusalimmwazizi1160
    @tatusalimmwazizi1160 9 місяців тому

    Ma Shaa allah naomba namba ya ustadhat in Shaa allah

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 Рік тому +3

    Mungu akutongoze siku zote umenisaidia Sana🙏🙏

  • @aminaabebe205
    @aminaabebe205 Рік тому +2

    Shukren..

  • @majutoyussuf6191
    @majutoyussuf6191 Рік тому

    Ma shaa Allah Allah akujaze kher

  • @ridhiwan8030
    @ridhiwan8030 Рік тому

    Mashallah allah bariki

  • @zainabubwa9569
    @zainabubwa9569 Рік тому

    Mshlah jazzakaAllah khairah

  • @majutoyussuf6191
    @majutoyussuf6191 Рік тому +3

    Asalam alaykum aky hivyo unavyoongea ndio msimamo nliouchukua alhamdulillah nko na aman wala sibabaiki

  • @amirnkokoo3083
    @amirnkokoo3083 Рік тому

    Uko vizuri ukhtii

  • @user-uf5ye4lj9b
    @user-uf5ye4lj9b 3 місяці тому

    We ndo mimi mashaallah hata sim sishiki

  • @al-hidayahonlinetv3447
    @al-hidayahonlinetv3447 Рік тому

    MASHAALLAH

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 22 дні тому

    Kuoa ni sunna hata mke mmoja sunna na sunna bora ni kua na mke mmoja wanaume hawawezi majukumu yao

  • @sygtamks1643
    @sygtamks1643 Рік тому

    Masha Allah

  • @haliyamwijaa6493
    @haliyamwijaa6493 11 місяців тому

    Mashaallah, ukthi umeitendea haki mada

  • @husnaibrahim2107
    @husnaibrahim2107 Рік тому +1

    Mashaallah shukran kwa darsa nzuri

  • @TumaYussuf
    @TumaYussuf 2 місяці тому

    Ni mazingatio makubwa .... Kiukweli Ndoa ni changamoto kiufupi ni kusema alhamdulillah na kuendelea na maisha

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 Рік тому

    Uko sahihi bi Khadija tuteye nasie tuone kama tutapata ndoa hâta ya uke wenza

  • @user-xh2ie9rv6l
    @user-xh2ie9rv6l 8 місяців тому

    Maallah allah akulipe umenifundisha kitu nikijapata mkemwenza nitajua nn nifanye maana hawa wanaume sasa hawaowei sunnah wanaoaoa tu na hawana uadilifu

  • @ridhiwan8030
    @ridhiwan8030 Рік тому +1

    Mashallah

  • @MuhammadHamisi
    @MuhammadHamisi 2 місяці тому +1

    wanawake acheni kwenda kwa waganga kwa sababu ya jambo hili tutakufa tu

    • @user-pt9uw3nz8c
      @user-pt9uw3nz8c Місяць тому

      Tena Sana,waganga waongo na ukienda KW mganga kisa kuroga mme abaki kwako uko siku Sawa zitaisha nguvu Allah atuepushe KW hili

  • @mariamabdi1526
    @mariamabdi1526 Рік тому

    Mashaallah

  • @sulekhaosman8357
    @sulekhaosman8357 Рік тому +1

    Ukewenza sio shida shida Ni mwanaume

  • @user-gd6kt9hu3t
    @user-gd6kt9hu3t Місяць тому

    Asalam alaykum mm muume wng akiowa naenda mpaka harusini wala sina kinyongo chochote kile na tunapenda sana

  • @uwimanahamu4583
    @uwimanahamu4583 Рік тому

    mashaAllah

  • @fathimamohamed684
    @fathimamohamed684 Рік тому

    mwashallah❤

  • @user-ri9su4ty3o
    @user-ri9su4ty3o 6 місяців тому

    Allah wQbar

  • @hemedabdallah7534
    @hemedabdallah7534 3 місяці тому

    Mashaanlah

  • @ZainabuHassani-u2u
    @ZainabuHassani-u2u Місяць тому

    Mada ni nzul ila hata wake wakubw wanamitihan yao

  • @rashidyussuf3429
    @rashidyussuf3429 Рік тому

    Majeraha ya uke mwenza kumtokea ajali,bado hata kichwa cha habar hakijakaa sawa yaani mimi huwa nafikiria kumpima mwanamke imani yake ya utu na ni katika suala la kuoa mke wa pili

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 Рік тому +2

    waalykum msaalam waramatulsh wabarakatul. Masha Allah tabaraka Allah ❤❤❤

  • @user-lq8zi6on2e
    @user-lq8zi6on2e 8 місяців тому +2

    Yaan dada mm nimeolewa hata wiki haijaisha mke mwenzangu kafanya ushilikina mume haj Tena kwangu n hatak hata kupokea cm zangu nipo tu yaan hata sielew dada ukeweza mgumu ukikutana n ushilikina maana aliwai kunambia kwenye saba kuwa roho yake mzito kuja kwangu n anajiona anamuogopa Sana mkewe subhana llah bc mpaka Sasa ndo haj namutumiz hakuna cm hapokei innalilahi wainnailaihi rajiuun

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  8 місяців тому

      Pole sana,Allah akufanyie wepesi

    • @user-cw1mj6yx6y
      @user-cw1mj6yx6y 3 місяці тому

      Pole ndugu mhh

    • @AishaSaid-yg1ou
      @AishaSaid-yg1ou Місяць тому

      Subuhanna Allah..Allah akuzidishie Subra..kuwa karibu na Ibada Mumeo atarudi usifanye Shirki..

    • @user-pt9uw3nz8c
      @user-pt9uw3nz8c Місяць тому

      SubhannaAllah 😢😢😢

  • @ahmedmwakabulufu315
    @ahmedmwakabulufu315 Рік тому +1

    Umeongea pointi pote ila umearibu kunako swala la vikoba na mikopo na kufanya kazi huko kutamshugulisha zaidi akaisahau familia yake na ibada zake na kumfanya awe jeuri katika ndoa . ( ikikupendeza ifanyie taraja kauli hiyo vikoba na kukopa maana vikoba ni miongoni mwa riba na kumshauri mke wa mtu awe bize na kazi siyo ) baraka llah fiykum

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  Рік тому +1

      Vikoba na kukopa ni miongoni mwa riba??ni busara kukaa kimya kama huna maarifa juu ya jambo.Si kila kikoba au mkopo una riba .Ukht ameiweka vyema.Amesema vikoba na mikopo ya halali

    • @ahmedmwakabulufu315
      @ahmedmwakabulufu315 Рік тому

      @@kalamuMedia sawa aina shida akisha kopa eende wapi na hizo pesa? Hayo si mafundisho ya mtume Muhammad swalallah allay wasallam wala haipo katika aya wa hadithi kwamba mwanamke akafanye biashara . Ila imekuja kwamba makazi bora na salama kwa mwanamke nikukaa nyumbani kwake. Ila kama una unauelewa zaidi yangu alihamdulillah si vibaya nika stafidi kwako kwa aya na hadithi sahihi..lakini hizo nifikra za ki ekwani musilimun

    • @aishamohamed9981
      @aishamohamed9981 Рік тому

      Brother ahmed... Asalamu Alaikum warahmatullah wabarakaatuh.... Kufanya kazi ni kujipanga... Wake za Mtume walijishughulisha na kazi za nje pia...
      Kazi yenyewe ni ibada.. Bora iwe halali.. Bibi khadija alikua mtwiifu.. Wala hajamdharau RASUUL S.A.W.
      Dharau ni tabia ya mtu binafsi.. Sikipato..
      Si vikoba vyote vyenye riba..vyengine twahara

    • @chonghoswe6255
      @chonghoswe6255 Рік тому

      Yes binadam atatubu apo

    • @chonghoswe6255
      @chonghoswe6255 Рік тому

      @@aishamohamed9981 bibi Aisha alifanya biasha ila hakua biz na nyumba yk km uko kwenda soma unafanya iinda na inadi kwa kua mume ametkeleza agizo la Allah?

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому

    Maneno mazuri kabisa.

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 Рік тому +2

    Ni kweli kabisa, lakini kuna ubaguzi hapo kwa siku zijazo.

    • @aisharajimbo6784
      @aisharajimbo6784 Рік тому

      Kama kipi

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 Рік тому

      @@aisharajimbo6784 vizazi vijavyo kuhusu watoto yaَ nini kuoa oa kuletesha fitna?

    • @chonghoswe6255
      @chonghoswe6255 Рік тому

      @@fatmaalnabhani3609maisha yote ya dunian fitina ww kuepo kwako hp dunian bas fitina kwako na kw wat wengne

    • @chonghoswe6255
      @chonghoswe6255 Рік тому

      @@fatmaalnabhani3609 Yani hizi fitina Ni mikakati ya Allah hapa dunian lengo kuchuuja msafi na mchafu

    • @chonghoswe6255
      @chonghoswe6255 Рік тому

      @@fatmaalnabhani3609 dada angu tulete istghfar na tusijihisi tuko peke etu na ndo tunastahiki zaid Yale alotufitinia mwenye enz mungu

  • @mbanga6759
    @mbanga6759 Рік тому +1

    Mume wangu ndo hasubutu kuongelea kitu ukimuambia tuongee ha utajuta kuzaliwa

    • @khadijaomar3480
      @khadijaomar3480 6 місяців тому

      Yaaani kuongelea kuhusu uke wenza ama katika jambo lolote ndugu yangu

  • @HafsaMohd-go3tc
    @HafsaMohd-go3tc 3 місяці тому

    Mume wangu kaoa mke wa 2 siumii kwakuwa kaoa mke wa 2 ila kinachoniumiza ni huyo mke wake wakt alipokuwa mchepuko alinitukana hajanibakisha tusi lolote kanidharau kanijejeli kunifanyia Kila balaa icho ndokinachoniumiza basi Yani uyo mwanamke nisema ukweli kutoka moyoni simpendi na wala simpendi alf mume wangu kaoa bila ata kunambia chochote nimesikia nnje kwa watu km kaoa

    • @nuruhemed4771
      @nuruhemed4771 Місяць тому

      Pole ila hata Mimi kwangu ni opposite make Mkubwa kanitusj nilivo kua mchepuko nimeolewa alhamdillah nimetulia hatulizani Wala Hali na mwenza ila ninamchukia,yaani I hate her sana mungu anisamehe

  • @humairamajengo6616
    @humairamajengo6616 Рік тому +1

    Mashallah ukhuty wangu uko vzur lakin mbana unarua Allah alivosma lau ningeamrisha watu wasujudiane ningemmrisha kwanamke amsujudie mume wake mbona hajasema mzazi wala mtoto

  • @mussanangumi1734
    @mussanangumi1734 Рік тому +2

    Ombi langu nyie walimu wakike munge kuwa munaweka namba zenu ili mtusaidie tunao pitia kwenye wakati mgumu ktk ndoa zetu mimi Nina mtihani sana na mke wangu nakosa msaada wallah

    • @mbanga6759
      @mbanga6759 Рік тому

      Pole Sana kaka inshaaallah tuombe kheri mtihani utakuondoka

    • @khadijaomar3480
      @khadijaomar3480 6 місяців тому

      Pole sana kaka angu

    • @khadijaomar3480
      @khadijaomar3480 6 місяців тому

      Usichoke kumuomba Allah akufanyie wepesi maana ndoa pia ni mtihani