Hivi nyie vijana wa kisalafy huwa mnataka ushauri kwa masheikh Walowatangulia katika da'awa na ambao wamewazid elimu katika kufanya Minaqasha au huwa mnaamuua2 hao masufi ni watu wa Talbis na ujinga na hiyo midahalo kwao lengo sio kubainisha haqq bali ni ubishani2 kama simba vs Yanga hivyo ni bora2 kuendelea kukaa chini kufundisha inatosha.
Shida vijana wenzetu wa Kisalafi wengi wetu wamekosa ukweli fulani katika jambo la dini. Kuna mambo ukiwa mkweli kwa Allaah huwezi thubutu na badala yake utawaachia mashaaikh wenye Ahliyya na mambo haya. Huku ni kuidhoofisha Da'awa na kuwapa nguvu maadui.
@AbuuSumayyah Nafikiri kuna haja ya maduaat wakubwa wa Kisalafy kukataza vijna wao kufanyafanya Niqash hovyo na badala yake wakae wafundishe na kusoma ikitokea haja ya Niqash basi masheikh ambao wapo juu kielimu watafanya in shaa Allah.
Vijana wa Zaharaua au Rishaad safi sana kazi nzuri...hio inaonyesha kazi ya wazee wetu Allah awarehemu
Vijana wakisalafy hamto waweza fahamuni hivo mnapishana na haqi
وقل جاء الحق وزهق الباطل إن الباطل كان زهوقا | الآية 81 من سورة الإسراء
Sw km hawataki vidio
Nani alizema manabii walikuwa niwashirikina?
Huyo muwahabi kachanganyikiwa hadi anakua kama anakemea mapepo
Nyundo adimu hio.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaani nyie watoto nyie, hamna huruma kabisa,yani mnakaba mpaka penalti!!?
Awo wengine hawataki kuonekana
Vidio kwao haiswihi licha masheh wao waashaanza kuchukuliwa vidio mdo mdo
Hivi nyie vijana wa kisalafy huwa mnataka ushauri kwa masheikh Walowatangulia katika da'awa na ambao wamewazid elimu katika kufanya Minaqasha au huwa mnaamuua2 hao masufi ni watu wa Talbis na ujinga na hiyo midahalo kwao lengo sio kubainisha haqq bali ni ubishani2 kama simba vs Yanga hivyo ni bora2 kuendelea kukaa chini kufundisha inatosha.
Shida vijana wenzetu wa Kisalafi wengi wetu wamekosa ukweli fulani katika jambo la dini. Kuna mambo ukiwa mkweli kwa Allaah huwezi thubutu na badala yake utawaachia mashaaikh wenye Ahliyya na mambo haya.
Huku ni kuidhoofisha Da'awa na kuwapa nguvu maadui.
@AbuuSumayyah Nafikiri kuna haja ya maduaat wakubwa wa Kisalafy kukataza vijna wao kufanyafanya Niqash hovyo na badala yake wakae wafundishe na kusoma ikitokea haja ya Niqash basi masheikh ambao wapo juu kielimu watafanya in shaa Allah.
Tatizo sauti ndogo walimu
shukran tutalitatua Insh llh.