huu wimbo maguru aliandika aisee dah wimbo una ishi Leo had kesho Remi pale ujawah angusha , baada ya hii albam vijana weng walihamia chang'ombe wakiongozwa na maguru na mkewe
Mungu awabariki sana kwa Kumwimbia Mzee aliyeshiba wingi wa siku. Mungu awape macho na ufahamu wa kutambua kuwa awainuapo viwango vya huduma analitukuza jina lake na taji yenu inakuwa kubwa Mbinguni. Lakini kwa haya mavazi wadada na wamama mnayovaa kwa sasa tofauti na hapo mwanzo kwenye albamu za kwanza yanawapeleka wanaume wengi jehanamu, nanyi pia mtawafata hukohuko, hyo Mbingu haitawafungukia siku hyo na hilo taji kubwa hamtaliona msipogeuka. Mungu atusaidie sana.
Leo nimefurahi kuwaona ndugu ktk bwana jamani nisaidien number ya huyo solo napenda aimbe nyimbo hata 2 na mkewangu kwenye band ya mkewangu na mungu awabariki
#acheni mungu wa Israel aitwe mungu....kiumweli wew dada ulichagua fungu Jema jamani...ungeimba nyimbo za kidunia hata shetani asingeruka...nabarikiwa sana na wew...Jamani mwenye namba za huyu mtu.....anisaidie na mimi nimbariki ....kwa baraka hizi....
African Inland Church (AIC) Nyakato Choir of Mwanza, Tanzania with a song : 'Asante Yesu' . Asanteni kwa kazi nyingine nzuri ya Kiroho kupitia wimbo huu.
Wow! Nilikuwa nimeisubiri sana hii album. Mungu awabariki sana watumishi, hamjawahi kumwaibisha Mungu katika kazi yenu. Hakika iko safi na shetani anaona wivu
kama mmebarikiwa kama mimi, twende na lik, hp chini
Wimbo nzuri sana mbarikiwe
2020 tunaongalia hii ngoma tusalimiane
Mbalikiwe sana mungu azid kuwatumia
I must be honest and admit Tanzania are on another level especially gospel. Such uplifting and blessing song. Loving it from Kenya
Thanks for the love ❤️ brother
@@wilsonchishomi1083 You most welcomed bro
@Alice Lameck Wafikishie salamu zangu Kwa wingi
1
Waoo Nice ❤️❤️❤️
Huu wimbo ni 🔥🔥 unanibariki sana jmn🙏🙏
huu wimbo maguru aliandika aisee dah wimbo una ishi Leo had kesho Remi pale ujawah angusha , baada ya hii albam vijana weng walihamia chang'ombe wakiongozwa na maguru na mkewe
Napenda mnavyo tabasamu
Amina mbalikiwe
Hakika wimbo umegusa maisha yangu sn mbarikiwe sn
Vijana wa MUNGU na hizi style pqmoja na sololist wenu ni 🔥🔥🔥🔥🔥 kwa kweli
Jaman nampenda solo ameolewa
Jaman wapendwa naomba msaada kuudanlord huu wimbo ,maana unanibariki sana
Mwimbo mzurii saaanaaa
Kali sana hii
Waoo naupenda sana huu wimbo
Mungu simamia Waimbaji hawa wasije kutumikia bure
Amina sana watumishi mnanipa burudan sana nikisikiliza huu wimbo naona tiar amesha. Nijibu Mungu wangu
Oooh nazid kubarikiwa kweli daaah MUNGU azidi kuwapa maono zaid watumishi kutoka nyakato
Nabarikiwa sana na hii kway
Mungu awabariki sana kwa Kumwimbia Mzee aliyeshiba wingi wa siku. Mungu awape macho na ufahamu wa kutambua kuwa awainuapo viwango vya huduma analitukuza jina lake na taji yenu inakuwa kubwa Mbinguni. Lakini kwa haya mavazi wadada na wamama mnayovaa kwa sasa tofauti na hapo mwanzo kwenye albamu za kwanza yanawapeleka wanaume wengi jehanamu, nanyi pia mtawafata hukohuko, hyo Mbingu haitawafungukia siku hyo na hilo taji kubwa hamtaliona msipogeuka. Mungu atusaidie sana.
From Kenya deliverance church eld nawapenda.
Barikiwa kipenzi Cha Mungu kwa sauti zuri Sana Sana I love you
Asante mungu kwakujibu maombi yangu 👏👏💟💟
Asanteh kujibu shida yangu
big up dada lemi sichoki kusikilza:
Nawapenda sana Watumishi wa Mungu, Kazi nzuri Mbarikiwe Na Jehova
nyimbo imegusa sehemu kubwa sana ya maisha yangu asanteni mbarikiwe ktk bwana
Solo nakupenda saana umenkosha roho
We solo jmn😙😙😙unaimba vzr mpk nasisimka!Mungu aendelee kuwatumia
Hahahah step hii ndo naipenda
Aamina mngu awabarik sana
Mungu awatunze nabarikiwa sana.
Mungu wa mbinguni azidi kuwa nanyi
Hongeren nice song.nampenda sana huyu kwa sauti yake
Napendaga huu wimbo jmn mbarikiwe mlioimba
Barikiwa Sana Kwa nyimbo nzuri A. I. C. T nyakati
Safiii sana..nawatamanije?... Mbarikiwe
Amina
So fantastic
Saut ya Huyu dada n Kama kinanda....
Kazi nzuri Sana balikwa dada
Dada bonge uwaga nakupenda sana unasauti ya kipekeee
Jaman naomba msaada wa kumpata mwalimu wao wa kwaya!!👐Yesu unaimbiwa sana jmn,hakuna kama wewe
Amen
Nawapend mungu awaongoze
daaaa sana jembe la yesu chana voko
Yaani huu wimbo hata nikiusikiliza kila muda siuchiki. Mbarikiwe
wana nyakato kwaya Elizah loves you all, baraka za Mungu zikamiminike kwa kila mmoja wenu. HMC thumbs up for well done job baraka tele kwako
Amen Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri
Huu wimbo sichoki kuuskiliza. Nabarikiwa sana.
Lemiiii fireeeee nabarikiwaa sana
Said mubarikiwe wapiganaji wa wa kazi ya mungu
nyakato aict nawakubali sanaaaaaaa aa tenaa sanaaaaaaa
mbarikiwe watu wa mungu kwa kazi mnayoifanya kweli mnafanya vizuri mungu awatie nguvu
pia masoro hngrn kwa sauti zenu nzuri mbarikiweee sanaaaaa
Bwana azidi kuwainua zaidi na zaidi katika hii huduma ya uimbaji
Mbarikiwe sana
mungu awabakili sana na dada remi uko vzr na ninauhakika na mm siku moja ntakua km
ww
Mbarikiwe sana Nyakato choir ninawakubali sana
Amina, Ahsante yesu kwa ukombozi wa maisha yangu. shida kwangu zimeisha.
Honger sana Dada unasaut nzur sana MUNGU azid kuw tia nguvu
Amina amina sana Nyakato ni kazi nzuri sana nimebarikiwa na huu wimbo
Sio siri huwa najisikia uwepo wa Mungu Sana kila ninapousikiliza huu wimbo napata nguvu za kuendelea mbele hata kama nina huzun
Asnt yesu kwa kujibu shida yangu,haleluya!!!
WOW I LOVE THIS GIRL, SHE IS ANOINTED
Hongereni. Nyimbo nzuri
Hongereni sana God bless aic nykt
Wooooooow so nice
Safi sana endeleeni kupambana na shetani nae anaipatapata
wowoo barikiweni Nyakato kwaya
Shetani yule aliyenikamata, sasa ameniachilia. AMEN I love this song
I like your movements...💗
Naombeni Siri ya mafanikio yenu watumishi
Best song
Amina. Asante YESU pokea sifa na utukufu JEHOVAH. Umeskia kilio changu nashukuru. Be blessed brethrens.
Nawapenda xanaaaaaa
🙏🙏🙏😃😀😆 congratulations
Ikiwezekana muweke album nzima UA-cam
Hongera sana muhanganza kaka angu mungu akubariki
sololist ubarikiwe sana duuu saut iko mwakeee
Napenda kua kama remi
Wimbo uko sawa kwa mtindo na kwa muziki ila mavazi ya wamama hayavutii kwa mushono wa skirt ni fupifupi.
Mungu wabariki tena na tena
Asante Yesu kwa kunibadilisha,kwa ukombozi ndani ya maisha yangu. Ninakushukuru mimi
Amen!!!
mmetisha sana wana nyakato Mungu awabariki na dada yangu remi umetishaaa hakika mungu amekubariki pongezi kwa mwl wa kwaya na wanakwaya wote.
Nguo za muanzishaji fupi sana... Ajitahid kutafuta Nguo za heshima wanaporekodi hata kama ni utamaduni .. Wakiisha rekodi waendelee kuvaa Nguo zao
@@tricykalukwa5697 lakini afadhali sio suruali🤣
Leo nimefurahi kuwaona ndugu ktk bwana jamani nisaidien number ya huyo solo napenda aimbe nyimbo hata 2 na mkewangu kwenye band ya mkewangu na mungu awabariki
Wow agood song.Am blessed 😊😊😊
Amina
Moyo wangu unatulizwa na wimbo huu Mungu awabaliki
Be blessed nyakato choir
#acheni mungu wa Israel aitwe mungu....kiumweli wew dada ulichagua fungu Jema jamani...ungeimba nyimbo za kidunia hata shetani asingeruka...nabarikiwa sana na wew...Jamani mwenye namba za huyu mtu.....anisaidie na mimi nimbariki ....kwa baraka hizi....
Yaani nimebarikiwa na huyo sololisti mpaka basi Mungu aendelee kumtumia kama apendavyo natamani hata kupata namba yake ya simu
ahahahhahaha...karibu nyakato mwanza Neema
Glory glory ever
2021 njoo tuangalie
Asante Yesu kwa kujibu maombi yangu.
mnacheza vzr sana
Mbarikiwe sana wana AICT Nyakato Mwanza.
Mbarkiwe
Wivu tu
Touching message ... Nice song
Wimbo mzuri sana mungu awabariki sana aict nyakato
Mmbarikiwe na bwana nyimbo nzur Sana 🙏
Jameni kazi njema watumishi wa Mungu
Waooh blessed you are tha great soloist ever seen before.am real blessed with this song.sichoki kuutazama wimbo huu.Mbarikiwe woote.Nawapenda.
nc nawapend batsman ningekuw kalb ningejung m naomb mung awatie nguv kweny udum ya wimbaj kalib morogor
African Inland Church (AIC) Nyakato Choir of Mwanza, Tanzania with a song : 'Asante Yesu' . Asanteni kwa kazi nyingine nzuri ya Kiroho kupitia wimbo huu.
Mtanzania Junior Hahahhaha...
I real appreciate this song God bless A.i.c nyakato
Wow! Nilikuwa nimeisubiri sana hii album. Mungu awabariki sana watumishi, hamjawahi kumwaibisha Mungu katika kazi yenu. Hakika iko safi na shetani anaona wivu
Mbarkiwe sana watu aic nyakato napenda sana nyimbo zenu zibanibariki saaaaaaaana
mbarikiwe. sana
Kwa yesu kuna rahaaa tele barikiwaaaa
Hey put all songs especially Tanzania