AIC Chang'ombe Choir - Pazia la Hekalu
Вставка
- Опубліковано 5 вер 2017
- AIC Changombe Choir - Pazia La Hekalu
The Best Of African Music: Kikuyu Music: Kikuyu Gospel Music: Kenyan New Music 2016: Kamba Music: kalenjin Music: Luyha Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music
2024 tujuane kwa like
Wimbo umejaa Nguvu za Mungu 100 percent
2024 hii wimbo mzuri jmn unanibariki sana, naomba jmn waupload tena upya coz unaishia katikati,mbarikiwe sana watumishi wa Bwana wetu Yesu Kristo!
Love from Kenya🇰🇪
Like hapa najua tuko pamoja leo 2019 tunaangalia PAZIA song
Mambo
Naupenda sana huu wimbo anaye weza kuunitumia autume
AIC Chang'ombe choir nawapenda sana mnaimba vizuri Mungu azid kuwapigania.
Pazia la hekalu! A nice song.
Wimbo huu huishia katikati ?
Nice song for ministration 😮
The sound at climax ilienda wapiiii
Kuna another upload complete
@@lucasmuteti700 link?
Naupenda zaid ya sn huu wimbo. Sitachoka kuusikiliza. Umenibariki sn !
My favorite choir
Pazia la hekalu
huu wimbo ukifika katikati hauimbi tena pitieni ili muurekodi upya tena.
wewe dada uliyeanza kuusolo huu wimbo unausolo kwa majivuno na maringo makubwa sana!!! yani shetani lazma akione cha moto huko aliko af wanakwaya wote mnajidai kwa Yesu hadi raha!!!.. Bwana na aibariki huduma yenu hatimae tukafrai wote patadiso Amen!!!
Kweli kujidai kwa Yesu kuna raha. Ni vema kabisaa kujidai kwa Yesu.
Amejua kujivunia Yesu wake aisee Hadi wivu
Hahahahaha shetani kakipata
Mungu awabalik sana wana wa Mungu
AIC Chang'ombe mna kwaya yenye masololist walioiva na waimbaji waliobobea ilimradi nikiwaangalia nafurahi tuu,Hongereni sana!
Hii kwaya ina UBUNIFU mkubwa sana ...hasa katika uandishi wa nyimbo zao hasa zile zinazobeba album ...
Abednego Paul hawa kweli wanajua kumuabudu Mungu
Bwana awabariki kwa uimbaji unaomletea Mungu utukufu. Hamjawahi kuniangusha kwenye huduma hii, really I am your good fan and follower.
Sure inaishia katikati
Wimbo ni mzuri kabisa, lakini hamjaona comments za watu si mweke wimbo Wote tena upya kwa yu tube. Mwisho ni dance tu hakuna manene. Hama hamsomi maoni yetu.
Nawaom a tafadhali mrekebishe. I bought the DVD long time and the song played whole.
Please kiogonzi wa kwaya ama mwalimu do the needful. We love you.
Asanteni aic chang'ombe
Wow! I like this sing may the lord God put more and more to you... Am a choir member from Kenya at Aic makongeni Nairobi..... Hamu yangu kuu kujua kusolo wimbo vyema kama nyinyi....
👍👍👍
Huwa najiulza ivi kristo asingekufa kwaa ajili yetu ingekuwaje yaan
Nawapenda sana mungu awabarki sanaaaa
Nimerudi 2020 sasa naweza kuzungumza na Mungu
Mungu awabariki sana AIC wote from arusha tu mwanza ,chang'ombe
Kazi nzuri sans. Mungu azidi kuwabariki
Amina
Congratulations to Wana AIC Chang,ombe best choir blessings in Africa 30th anniversary I witnessed
Hakika Mungu anaweza
Wimbo huu aaaa naupenda sana sana mutuzi wa tungo hii mungu akubaliki sana ns uliye piga muziki hadi raha
Mungu na awazindishie baraka zake
God bless you aic chang'ombe
Barikiweni sana watumishi kwa wimbo mzuri
Nawapenda sana watumishi kwa nyimbo nzuri huwa zinanibariki sana
Mungu awabariki watu mish
Wimbo mzuri sana
Nakupenda wimbo huu ila kwanini mnavaa mawingi kwanini msibaki na uasili wenu
Mawingi sio kitu kikubwa moyo safi
Mnajua sn Ila msijisahau mkaaza kujiinua mtashushwa achen mwenyewe Mungu aendelee kuwainua barikiwen
Mungu awabariki kazi nzuri
Mungu awalinde jaman
Jmani mbona huu wimbo haumalzii tena tunaomba wimbo mzima jamn
Barikiwa sana nyie watu wa mungu, maana mungu anakaa ktk sifa
Nice song
Nice song
barikiwa sana nawapenda hawa watu
I this song is one of the amazing songs ever changombe has produced
Mungu awabariki,mzidi kutenda kazi ya Mungu kwa moyo wenu wote ka ma kwa Mungu na si kwa mwanadamu.
Baraka Daniel h
waoooòooooh its a wonderful song AIC chang'ombe blessed more and lord never pull out be success when u come in and when come out
God bless ed this kuaya
The number of times my dad replays this song, I now loooooooove it.
Same here 😊
Kazi nzuri
Changombe mnanibariki sana, nawapenda sana
Nice song
Mbona haumalizki sound mwisho. Mtamu sana huu wimbo
Glory to God
Mungu azid kuwatumia katka hudma .
Napenda sana huu wimbo, lakini climax haipo please do something immediately...this is my second request after sometime. Please act
I love you dears
Wabarikiwe sana❤
Good song Barikiwa xanaaa
GOD CONTINUE BLESSING U
Mubarikiwe sana watu wa mungu kwa wimbo mzuri
Jaman napenda sana huu wimbo lakin huku mwisho mbona hauna sauti
Kuna nyingine ambayo inaimba mpaka mwisho
Wimbo huu unanibariki sana
continue to labour for God forever, may you be a living vessels to Him, God is there for you Amen
All family loves this song
Wimbo mzuriii sana lakin mbona hauna sauti mwishoni
Kuna ambayo inaimba mpaka mwisho
Mungu awabariki sana
Get blessed CVC may God fulfill His intention unto u're lives-powerful message!
to God be glory forever
Kiukweli hii kwaya naipenda bdo naucheki 2021 mwalimu wenu yuko vzr na sisi mje mututumie huyo mwalim
Nice
❤nawapenda sana mungu awabaliki
Mungu anakupenda
Nice song,,, but kuna part ya uku mwisho karibu wimbo kuisha haina vocals and instrumentals
Kindly check on that 😢
Nafarijika.
Naupenda sana huu wimbo
Truly I appreciate these chang'ombe'z song coz has blessed me so much
balikiwa sana
kiukwer wapo vizur mno 4:40
Mungu hawambaliki
May the Almighty God strengthen you more ,ata muifikie hundreds Anniversary kwa jitihada hizi hizi ,Naipenda CVC kupita maelezo .Mungu azidi kuibariki kazi yenu .
This song is great. I wish they could upload again so that the last part which is great part of the song can be heard by all.
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu kwa nyimbo nzuri zenye ujumbe mahususi
Tunabarikiwa
Amen Ahsante Yesu kwa kunipenda
Naupenda sanaaa huu wimbo mungu awabariki sanaaa
Mungu azidi kuwainua
Naupenda sana na unanigusaa
Nice Song 👌
Good message, great choir fantastic and talented soloists. God bless you and make his face to shine upon your ministry.
Naupenda sana wimbo huu yesu amefufuka nasi ktk pasaka ii
@@happynyonga6289in
Nice song ,Mubarikiwe watumishi wa Mungh
Watching this 08th of April 2020..who is there too?
huu wimbo mwishoni hauna sauti wapendwa
Huu wimbo kiboko naupenda sana
Uwimbo unanibalik sana nais niko pepon
Akuna anaowafikia mbalikiwe katika kaziyenu
Oooh God 😙😙😍 2021
Nmebalikiwa sana
Indeed I like it
I just love the soloist
I love this song so much
Vizuri sana
Mbarikiwe sana na kuendeleza kazi ya kumtangaza mungu
❤blessed
Masoro mmenibariki sanaa
God bless those singer's
What could be better than this ; a nice song with talented soloists
Barikiweni sana mungu hukaa katika sifaa
I love this song bt it's not complete why...inaplay halfway y?
The fantastic song ever.The devil must run away
👍👍