Na wewe dada yangu sololist nakukubali kuwa bac rafiki yangu pamja na wale wawili alombia ushindi na jengwa Mungu awatunze nawapenda wote,,,,mpiga kinanda nakukubali sana Mungu akutunze
Aic chang'ombe ilove you guy's naweza penda kuwa join napenda songs zenu zote ata naweza imba bila kusaidiwa nawapenda sana mbarikiwe mpaka shetani atetemeke
Jamani mie naupenda sana huu wimbo kila nkiuckiliza nahic barid mwili mzimaaa,,,,,,kama kuimba mliimba Mungu awabariki na mie ni mwanakwaya nipo arusha
Yeyeeeeeeee!! Utukufu kwa Mungu aliye waumba nakuwapa karama ya uimbaji. Hasa huyu mama nampenda jamani,bila kuwasahau wapiga mziki nawaimbaji wa sauti zote kwa ujumla
Psalms150:6 in action. Indeed you songs bless me as they are sung from the scriptures. May God continue using you as His vessels by spreading the word through your songs. Be blessed, shalom.
23rd June 2024 in Kenya after hearing it being sung so well by AIC Engineer, Kinagop as as we meditate on the current situation where Kenyans are conversing about the proposed budget 2024/2025.
Vitu vyote vitapita lakini Neno litasimama. Hivyo hivyo Injili hii muiubiliyo kwa njia ya nyimbo itdumu kizazi hata kizazi. Nabarikiwa na kazi zenu Mungu Aendelee kuwatumia wote kwa ujumla yaani kila indara iliyo kamilisha kazi hii. Mbarikiwe
25/01/2024 kama uko hapa kama Mimi please like huu Wimbo tukisonga
Wimbo unao ujumbe wa kweli kwamba Kila mwenye pumzi amsifu Mungu Asanteni sana
Wale tunao endelea kutazama hadi Leo 2023 tuweke like hapa
Tunabarikiwa pamoja 2023
2023 still loving this song🙏🙏🙏🙏 thank you Jesus
Kila mwenye mpuzi na amsifu bwana.🙏🙏🙏🙏
Kama huuu wimbo unanitanzama 2021like hapa tujuane kwakweli unanimbarki sana kila mwenye pmz amsifu bwana
Ungana nami kumtukuza mungu kwa ajili ya Wimborne huu
Good wonderful choir
00000 07v7
00000 07v70u0u
Ninayo sababu ya kumsifu Mungu kwa sababu yeye ndiye mwenye nguvu na uwezo mkubwa wa kunifanya niwe hai mpaka muda huu
🇰🇪 🇰🇪 nawakilisha wenzangu baraka tele
Na wewe dada yangu sololist nakukubali kuwa bac rafiki yangu pamja na wale wawili alombia ushindi na jengwa Mungu awatunze nawapenda wote,,,,mpiga kinanda nakukubali sana Mungu akutunze
Una kitu mtumishi❤❤
Katika nyimbo zote ambazo nasilikiza nikirudia rudia Ni hii hongereni sana nabarikiwa sana na hii nyimbo 2022 wapi like 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏
Still the song in touch, barikiweni🙏 sana
Sijawahi choka kusikiliza hizi nyimbo nazipenda saaana
Wewe mama naniii unae imbisha jamani nakupenda acha tuu ,ju uko na sauti muruaaaa
Nawapenda wanakwaya wote hakika nyimbo zao hazijawai kuniacha mtupu nawapenda sana chan'gombe😘😘😘🥰
Kila mwenye pumzi amsifu bwana
Amen
One of my favourite CVC songs, still listening to this in 2023.
Tumeanza mwaka 2024 kwa kumsifu Bwana. Kila mwenye pumzi amsifu Bwana
Nampenda huyu mama sana, be blessed AICT changombe
2023 ,kenya still praising almighty he is worthy to be praised.
Kama unasikiliza huu wimbo 2023 naimba like
2023 bd natamba kwa neema yk lazima nikusifu Mungu wangu❤❤
Jamani , Ubarikiwe dada Mikate sisi Mashabiki wako tunakupenda
Nyimbo ya kwanza !!! Big up!!!
❤from Nairobi Kenya
Aic chang'ombe ilove you guy's naweza penda kuwa join napenda songs zenu zote ata naweza imba bila kusaidiwa nawapenda sana mbarikiwe mpaka shetani atetemeke
Nawapenda sana Wana AICT chang'ambo
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🖐️🖐️🖐️ naipenda sana nyimbo hii
Muchape kazi munaimba vivuri
Amen 🙏 mbarikiwe Sana
Hakika kila mwenye pumzi , amsifu Bwana, mbarikiwe sana.
Kila mwenye pumzi amsifu bwana ❤❤❤❤
Hakika na barikiwa na nyimbo zenu na mungu awapiganie ili lolote mtakalo guza kwa mikono yenu ibarikiwe na ilete utukufu wa mungu
Sauti ty inahubiri kuwa kwa Mungu kuzuri
simply Blessed.
Ni september 2022 wacha nimsifu kristo
Amen
😢naupend wimbo huu sana nawaombea sana muendreee na uimbaj msichoke
nazipenda hizi choir zt
bonge Moja la songs.. Kila nikisikilizi napatwa na hisia Fulani iv..
Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana.Mungu awabaliki sana.
Asante huku Burundi tunawapenda sana
AMEN AMEN KEEP UP NATAMANI KUFIKA HUKO KWENU NIKAJIFUNZA.MUNGU ABARIKI TALANTA ZENU WOTE AIC .
KILA mwenyepumuzi na aseme amen maana yeye ndio anayetuheshimisha
God is good 🙏🙏
9/3/2024
Huu wimbo❤❤❤❤❤❤
Jamani mie naupenda sana huu wimbo kila nkiuckiliza nahic barid mwili mzimaaa,,,,,,kama kuimba mliimba Mungu awabariki na mie ni mwanakwaya nipo arusha
Nafurahia kusikia Huu wimbo vile unatuhimiza.Kila mwenye pumzi kweli amsifu Bwana.Great!!!!!
Hongereni kwa ujumbe mzuri nimewakubali kwa kweli
Roho yangu inalia, pole kwa kumpoteza Rais wenyu
Kila mwenye pumzi
Ni Rejinah kutoka Kenya huwimbo unanibariki sana mungu awainue mufikembili
Kila mwenye pumzi hakika amsifu mungu
Nabarikiwa sana na wimbo huu.
Mnaimbaga vizuri sana aki
Nilikua kuimba kupitia nyinyi
Solo mungu akubariki😂😂😂
this are some of the songs i like God bless this choir for me
Yeyeeeeeeee!! Utukufu kwa Mungu aliye waumba nakuwapa karama ya uimbaji. Hasa huyu mama nampenda jamani,bila kuwasahau wapiga mziki nawaimbaji wa sauti zote kwa ujumla
I love this song
Psalms150:6 in action. Indeed you songs bless me as they are sung from the scriptures. May God continue using you as His vessels by spreading the word through your songs. Be blessed, shalom.
Amen mbarikiwe watu wangu
Kila mwenye pumzi amsifu bwana.. haleluya
Amina mungu awabaliki kwakazi nzuri sam
Amen mungu awazidishie neema
Waoooo Mungu awabariki sana napenda nyimbo zenu zote.hongereni Sana.
Love it . Kila mwenye pumzi amsifu Bwana
Indeed kila mwenye pumzi amsifu Bwana,🙏🙏🙏halelluyah
Nabarikiwa sana hizi nyimbo amina
❤❤ kwelii tumsifu yeye MUNGU
Good inspiring music indeed, God bless this choir
Yes, let's praise the LORD🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Truly kila mwenye pumzi amsifu bwana
23rd June 2024 in Kenya after hearing it being sung so well by AIC Engineer, Kinagop as as we meditate on the current situation where Kenyans are conversing about the proposed budget 2024/2025.
Amen tumsifu Bwana kwa kinanda Cha nyuz kumi hallelujah
Hakika nyimbo safi za kumusifu mungu
TUNAONGAKIA MWAKA HU LIKE APA🙏
22/02/2024 bado munanibariki Mungu awazidishie❤
My favorite ever since and forever in Jesus name
Asante sana Aic changombe you really bless me. Mungu aendelee kuwabariki.
What a blessing to praise the Lord!
Rafiki zangu napenda Sana mungu anaweza yote tumusifu
2023 niko hapa
The best in Tanzania hakuna kama nyinyi
Good song God bless you🙏🙏🙏
Vitu vyote vitapita lakini Neno litasimama.
Hivyo hivyo Injili hii muiubiliyo kwa njia ya nyimbo itdumu kizazi hata kizazi. Nabarikiwa na kazi zenu Mungu Aendelee kuwatumia wote kwa ujumla yaani kila indara iliyo kamilisha kazi hii.
Mbarikiwe
Amina
Mungu awabarikii sanaaa ,, kwa kazii mnayoifanyaaa
I love the composition straight from the bible God bless u all
May 2024 I am listening ❤❤❤❤❤
Amina🙏🏾🙏🏾
Nmeinjoy na gtaa solo yupo vzur sana
Yes the Lord Jesus has and is still doing good to us, all glory to God. Following from Mirema.
Kila mwenye pumzi Amsifu Bwana,!!
Kweli kila mwenye pumzi amsifu bwana
Nyimbo tamu za injili za kujenga roho mubarikiwe sana
christina shusho
Wimbo unanibariki saana
Mbarikiwe san huu wimbo naupenda san
Thanks for a wondoful song may God bless u all
Natamani siku moja nitakuja Aic chang'ombe tusifu yesu from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪to 🇹🇿🇹🇿
@@norbertnyakeriga5891 karibu
THIS IS SO touching
Nampenda huyu mama
2023 nyimbo zinaishi had sas
I'm just blessed now
Wow👌🙏
Wimbo n mzuri sana ❤❤
Woh ! U are wonderful hio solo yako inanibariki sana
Huyu dada huimbisha hadi natetemeka, na Mungu amzidishe
Waooow so nice, Mungu awabariki sana watumishi kweli kila mwenye pumzi amsifu bwana
Munqu awatunze sana sina zaidi ya hizo zenu zinazonipa tumaini
Jamani naipenda voice ya uyuu mama kweli munguuu ambarikii sana kweli jamani tuamkeni tumusifu mungu maana nyeny ndo kashikiliaa pumzi zetu
Amen kila mwenye pumzi amsifu bwana
Nice song
Kila mwenye pumnzi amsifu Bwana .Amina.
Nice moment to view this video God is good
nawapenda bure
Vijana safi