NJIA RAHISI YA KUTENGENEZA BAJETI NA KUISHI KWA KUFUATA BAJETI | Victor Mwambene.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • Baada ya kutazama somo hili utajifunza njia rahisi sana ya kutengeneza bajeti na kuhakikisha unaifuata.
    .
    Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
    .
    KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
    .
    Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640.
    KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
    1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
    2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
    3. NGUVU YA KUJUA.

КОМЕНТАРІ • 30

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 29 днів тому

    Somo zuri sana my brother 🙏

  • @ericamfuru6257
    @ericamfuru6257 3 місяці тому

    Umenibariki sana victor,Mungu akubariki sana sana, yaani umeniongezea vitu vingi Sana.

  • @TanzaniayangumwambawaoMwam
    @TanzaniayangumwambawaoMwam 2 місяці тому

    Bro ahsante sana yaani nilikua sijui kabisa kuweka bajeti,

  • @paulmdiya5941
    @paulmdiya5941 4 місяці тому +1

    tha is good broo

  • @eliasstafawa4935
    @eliasstafawa4935 5 місяців тому

    Asante sana kaka darasa zuri sana !binafsi umenifungua akili sana kuhusu kutumia pesa yangu. Mungu azdii kukubarki kaka

  • @husseinmgoo3074
    @husseinmgoo3074 4 місяці тому +1

    Ok

  • @mcgeemwamba9303
    @mcgeemwamba9303 2 місяці тому

    Thank you

  • @zionembassytv5672
    @zionembassytv5672 6 місяців тому

    Powerful 💪💪❤️

  • @danielremigius
    @danielremigius 3 місяці тому

    SoMo zuri

  • @daudkanyelele4862
    @daudkanyelele4862 11 місяців тому

    Nakubal sana mwl
    Hii nimetumia kwa miezi 3.
    Nikaona matokeo.
    50/20/20/10.
    Kaka mimi nakuombea uendelee tu kutupatia asali asilia

  • @josephlazaro253
    @josephlazaro253 11 місяців тому

    much respect kaka

  • @mariamwikedzi1638
    @mariamwikedzi1638 4 місяці тому +1

    SoMo zuri sana kaka barikiwa sana

  • @BabaNasritz
    @BabaNasritz Місяць тому

    Bro naitaji ww uwe mtu wa kuniwajibisha

  • @kelvinstuckx5015
    @kelvinstuckx5015 11 місяців тому

    What when orher factors do not remains constant ?

  • @RaheliMichael-st2tc
    @RaheliMichael-st2tc 11 місяців тому +1

    Kaka nakukubali mnoo

  • @regnardedward4326
    @regnardedward4326 9 місяців тому

    Brother 🤝

  • @PiusswaiRaphael-mz5tu
    @PiusswaiRaphael-mz5tu 3 місяці тому

    Fungu la Kumi ni ASILIMIA Kumi na sadaka 10

  • @felixrobert9734
    @felixrobert9734 5 місяців тому

    Vp kwasisi ambao kipato chetu n kidogo maan unazungumzia qatu Wenye vipato vikubwa zaid y million moja...??

  • @Samwel-n8u
    @Samwel-n8u 7 місяців тому

    Kitabu kimoja shilingi ngapi

    • @victormwambene
      @victormwambene  7 місяців тому

      Elfu 20 Mpendwa, Kupata Vitabu Piga 0744126640.

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu 5 місяців тому

    Kaka naweza pata kitabu chako Kwa njia ya pdf

    • @victormwambene
      @victormwambene  5 місяців тому +1

      Kitabu tunauza Hardcopy Mpendwa, Namba 0744126640.

  • @goodmachenchewa3154
    @goodmachenchewa3154 7 місяців тому

    Mr nataka kujua asa kwa sisi ambao ndo tunaanza biashara kipato chetu kwa mwezi haizidi 300k sasa nataka nijue napangaje bajeti kwenye ilyo laki 3 nijilipe mshara shingapi, niwekeze shingapi,ni tumie shingapi kwenye matumizi ya razima naomba ushauri mtalaam

    • @richardtv8339
      @richardtv8339 6 місяців тому

      Ikiwezekana usijilipe mwanzoni

  • @mustafajuma8016
    @mustafajuma8016 4 місяці тому

    Bro number yako please

  • @eliasstafawa4935
    @eliasstafawa4935 5 місяців тому

    Asante sana kaka darasa zuri sana !binafsi umenifungua akili sana kuhusu kutumia pesa yangu. Mungu azdii kukubarki kaka