EXCLUSIVE: UKWELI KUHUSU DARAJA LA MITI LA MILIONI 31 MOROGORO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 лип 2021
  • Baada ya kusikia huko Morogoro kwenye Kijiji cha Isago, Kata ya Mngeta, Jimbo la Mlimba Wilayani Kilombero daraja la miti limejengwa kwa MILIONI 31 wengi walihamaki na kuhisi kuna upigaji umetokea.
    Reporter wako Millard Ayo alifunga safari hadi kijijini Isago, umbali wa kilometa 305 kutoka Morogoro Mjini na kuweka kambi kwa muda kuomba kupewa hesabu ya hiyo fedha milioni 31 imetumikaje, Meneja wa TARURA Kilombero Injinia Robert Magogo na Mbunge wa Jimbo hilo Godwin Kunambi waliketi kueleza yote kupitia AYO TV na millardayo.com
    "Kulingana na Gharama ndio maana tumeanza daraja ambao hili sio la kudumu ni la mbao kama tungejenga la chuma ama la Zege gharama ingekuwa ni kubwa kiasi kwamba itabidi tuombe Pesa Serikali Kuu ambayo ingechukua muda sana"- Injinia Robert Magogo
    "Daraja hili la Mbao kutoka hapa juu mpaka lilipoishia chini ni kama Mita 6 na kama tungejenga daraja la chuma kwa uzoefu wangu basi gharama kukamilika ni Bilioni 1 na tulishafanya hivyo kwenye mto kiansi na kama la tungejenga la Zege basi lingegharimu kama shilingi Bilioni 3"- Injinia Robert Magogo
    "Mbao zilizotumika hapa ni aina ya mkarati sifa zake kwamba upo imara hata kama ukikaa kwenye maji, idadi ya magogo yaliyotumika hapa 121 ambayo yana urefu wa mita 7 kwa unene usiopungua futi moja kwasababu zinatofautiana kuna nyingine ni nene zaidi na nyingine ni nyembamba lakini haipungui zaidi ya futa mita moja , mbao ziko 245 lakini kwa size tofauti"- Injinia Robert Magogo

КОМЕНТАРІ • 613

  • @alkasusjaasus7015
    @alkasusjaasus7015 2 роки тому +75

    Ukiona video Millard kaivalia njuga mwenyewe ujuwe ni video yenye umuhinu sana. Heko bro kwa kazi nzuri 👏👏👏

  • @favorite9134
    @favorite9134 2 роки тому +4

    Millard ayo hongera sana 🙌 tunaosoma comments uku tunaskiliza tujuane apa kwa like

  • @chedielimrutu6955
    @chedielimrutu6955 2 роки тому +35

    Magogo nlifanya naye kazi ni kijana mchapakazi na mwaminifu. Hapo nmepata Mhandisi. Hongera sana Magogo watu hawaamini Ila hapo umefanya kazi nzuri.

  • @ailethmtungi5868
    @ailethmtungi5868 2 роки тому +9

    Kitu pekee nachofunzaga kwa millardayo kwenye mafanikio yake ni discipline tu..goodluck millardayo

  • @e47fardy44
    @e47fardy44 2 роки тому +137

    Tuliokuja kwajr ya Millard ayo tujuane

  • @bayekefarijala5042
    @bayekefarijala5042 2 роки тому +29

    Hongera Hilo daraja ni zuri sana, na gharama ni Sawa Kabisa m31, ni pesa mdogo Sana Kwa kupata mbao hizo

  • @daudimwidimakihanda5386
    @daudimwidimakihanda5386 2 роки тому +1

    Aliyependa interview kufanyikia juu ya daraja lenyewe, agonge like hapa

  • @tezuramziray8700
    @tezuramziray8700 2 роки тому +4

    Big up Engineer na pia kwa maswali ya Millard umejibu vizuri sana. Hakika bado tuna watendaji kazi waadilifu.

  • @happynessmulyalya3428
    @happynessmulyalya3428 2 роки тому +1

    Eng. Magogo unaonesha unazungumza kitu unachokijua, kazi nzuri sana!

  • @elizabethelikana7640
    @elizabethelikana7640 2 роки тому +9

    Kazi nzuri, du linatisha kwa watembea kwa miguu hususani watoto nawengineo watu hatulingsni, uzio pembeni uwekwe.

  • @martinemasunga5802
    @martinemasunga5802 2 роки тому +36

    Huyu jamaaa yuko vizuri saaana,wanao mkandia hawajawahi ishi morogoro hususani ukanda huoo ambao drj limejengwa tuongee ss tulio wahi kuishi uko..mhandisi uko vizuri mnoooo

  • @RuzoOwzy
    @RuzoOwzy 2 роки тому +16

    Millard ayo, uko juu. Hivi ndivyo waandishi inabidi wawe. Kutoa sintofahamu kimahesabu na kisayansi kwa kuongea na wahusika wenyewe.

  • @andrew29468
    @andrew29468 2 роки тому +1

    Hongera Millard Ayo kwa kufika nyumbani kwetu.
    Shida kubwa ya huko ni kutokuwa na barabara ya kufumu licha ya kuwa tunazalisha mnoo chakula

  • @christiankakungulu2260
    @christiankakungulu2260 2 роки тому +25

    Millard wewe ni noma

  • @attunelson8828
    @attunelson8828 2 роки тому +6

    Engineer nilikuelewa toka Sikh ya kwanza.uko vizuri sana

  • @Adeen.1
    @Adeen.1 2 роки тому +17

    Huyu jamaa Ana details asee...big up sana

  • @egidlukowa5979
    @egidlukowa5979 2 роки тому +10

    Big up Millard na team nzima..Kwa kufika apo

  • @zuzhabsia3852
    @zuzhabsia3852 2 роки тому +9

    Nizuri sana wangeweka uzio pembeni kwa usalama wa raia

  • @imathomas6531
    @imathomas6531 2 роки тому +1

    Ningeelewa sangapi bila ayo tv moja watu niliyokuwa napinga sana huu ujenzi na gharama zake saiv nimepata somo 👏🙏

  • @isayasway4892
    @isayasway4892 2 роки тому

    Yani mirlad ayo mpo vizuri sana mnastahili pongezi yani kama ungekuta unaweza like kila mara ninge like hata mara laki moja 👏👏👏

  • @ochendepay9440
    @ochendepay9440 2 роки тому +16

    Wengi Wenu Hamjui Bei Ya Mbao.

  • @lutulalihim1585
    @lutulalihim1585 2 роки тому +17

    magogo kaweka magogo 🇺🇸

  • @lanlady2504
    @lanlady2504 2 роки тому +8

    @Millard ungeenda na futi kupima huo urefu na upana. 😀
    Anyway...tunashukuru kwa jitihada zako👏👏

  • @samwelshaban6480
    @samwelshaban6480 2 роки тому +1

    Hongera sana Millard Ayo kwa utedaji wako mzur wa kazi yako hakika mungu akuinue daima Mile Mile one love brother

  • @scolasticashirima8692
    @scolasticashirima8692 2 роки тому +5

    I think this should be one of the tourist attractions in Tanzania.. Big up kwa mhandisi na team Ayo Kwa video hii yenye awareness kwa wote ambao hatukufahamu haya yote..

    • @subzeronyundopower
      @subzeronyundopower 2 роки тому

      Ml 31 ni nyingi sana sment za ml 5 nondo ml 5 mafundi ml10 mbao ml 5
      Iyo 11 itasev vitu vidogo vidogo -tunaibiwa sana watz mungu atulinde

    • @scolasticashirima8692
      @scolasticashirima8692 2 роки тому +1

      @@subzeronyundopower kwa upande wangu nimewaelewa sana. Mbao tu ambazo zinaoza kwenye maji, ni ghali sana.. Me naona hata hiyo mil. 31 bado haitoshi.. So ni swala tu la kuelewa.. Unajua ukiwa huku nje, huwezi elewa what's going on, just go and try ndo utaelewa.

    • @mkonlinetv1785
      @mkonlinetv1785 2 роки тому +1

      estimation iko sawa kabisa

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 роки тому +1

    Apo kwl akil umetyumik kutmia mbao ambao haiyoz yn lithadumu milele na milele...pnge walio tengeneza hilo drj la mbao.masha Allah

  • @susanlazaro8323
    @susanlazaro8323 2 роки тому +1

    Nimemuona Mamba pale Majini nimesisimka na Nimeogopa Sana congratulations Millard Ayo 🙌🙌

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 2 роки тому +6

    Big up bro, thank you for the update

  • @jothamkibona2919
    @jothamkibona2919 2 роки тому +4

    Tunataka watu Kama ninyi mnafanya kazi nzuri tungekua na wabunge wa hivi nchi ingekaa sawa hii

  • @samwelhechei8537
    @samwelhechei8537 2 роки тому +2

    Hongera sana Engineer.
    Gharama hiyo ni sahihi kabisa

  • @hadijalukas5959
    @hadijalukas5959 2 роки тому

    😳😳😳😳😳😳 anaeamini kwamba hilo daraja siyo rafiki kwa kupitisha magari bila kizuwizi weka like hapa tujuwane mana siyo kwa kumchungulia izilaeli kwa kioo we daraja bai 🙋🙋🙋🙋🙋🚶🚶🚶🚶🚶

  • @jacolaztv4108
    @jacolaztv4108 2 роки тому

    Wangapi tunamkubali MillardAyo. Twende pa1 kwa like nyingi HAPA

  • @bernarda.ngonyani-tma7170
    @bernarda.ngonyani-tma7170 2 роки тому +12

    Usipoelewa utaona ni uwongo, ila kwa uchambuzi huo hands up

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 2 роки тому +20

    Daraja la mbao, Lori linapita la ton7 bila shida! Sasa unaebisha jiulize material ya mbao zenye uwezo wa kupitisha ton7 bila kudondoka sio mchezo

    • @paskalimhapa5176
      @paskalimhapa5176 2 роки тому

      Isago kwet

    • @francisemmanuel1551
      @francisemmanuel1551 2 роки тому

      Miaka 60 ya uhuru kwa daraja hili ni vichekesho sana hii inaonyesha ni jainsi gani Africa na Tanzania pamejaa ufisadi

  • @Official83640
    @Official83640 2 роки тому +3

    Saluti kwako ndy maana ktk watangazaji wa Tz ww ni no 1 huna mpinzani Millard Ayo

  • @saambovutv4883
    @saambovutv4883 2 роки тому +3

    Mm nafanya kazi kiwada mbao mbao zina bei Sana

  • @kulwahance9226
    @kulwahance9226 2 роки тому

    Miladi Ayo yuko vzr hiii channel haijawahi kuniangusha,,,kwa taarifa za kweli zinapatikana hapa

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 2 роки тому +5

    Iyo daraja kwa kijijini iko safi kabisa

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 2 роки тому +12

    Milliard ayo nimpambanaji sanaaa Mwenyez mungu akuzidsmishie sana na saha🖖

  • @jothamekisouke8199
    @jothamekisouke8199 2 роки тому +3

    Aaaah iko njema,mbao nazjuwa ghalama ziko juu,31Mil ni ndogo sana

  • @mcibralipuli640
    @mcibralipuli640 2 роки тому +4

    Ahsante Millardayo kwakutujuza zaidi

  • @raphaelnkwabi9676
    @raphaelnkwabi9676 2 роки тому +5

    Mwanasiasa mwana siasa tu, Mzee magogo kaelezea vizuri sana ila njomba sasa😂😂😂

  • @aidanmhume446
    @aidanmhume446 2 роки тому +8

    Siwez bisha huyu jamaaa yupo sahihi kabisaa kwanza pexa ni ndogo

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 2 роки тому +4

    Kazi nzuri

  • @glorytemu6996
    @glorytemu6996 2 роки тому

    Asante Mungu tumepata wakumtuma,,Sasa ivi kitu atukielewi tunamtuma Millard Ayo big up bro

  • @kennedjohn5785
    @kennedjohn5785 2 роки тому

    Hongera mh. Mbunge

  • @shamsajahagandhi3800
    @shamsajahagandhi3800 2 роки тому +2

    Hongera sana Mkandarasi kazi nzuri sana.

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 2 роки тому +26

    Ukweli mmejitahidi sana kubana matumizi. Mil 31 ni ndogo sama ukilinganisha na kazi iliyofanyika.

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 2 роки тому +1

    nimejirizisha na maneno ya engineer👏👏👏 pesa makaratasi hasara roho 31 mln imeenda sahihi kabisa

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 2 роки тому +1

    Kumbe kuna mengi yaliyokuwa hayajulikani 👏👏👏🙌🙌

  • @saitawilson7307
    @saitawilson7307 2 роки тому +2

    Ubarikiwe mheshimiwa mbunge

  • @moonam1063
    @moonam1063 2 роки тому

    Ayo nakukubali mpaka umeifungia safari we saruti hongera Kwa kazi Yako kaka nikienda otongowa nitafika isago

  • @chazleetz9861
    @chazleetz9861 2 роки тому +3

    kazi nzuri bro Millard

  • @abdihq4228
    @abdihq4228 2 роки тому +3

    Sawa sawa

  • @phightv2816
    @phightv2816 2 роки тому +1

    Kazi kubwa kote ... Big up Millard ayo

  • @Hanskapella
    @Hanskapella 2 роки тому +1

    Mbona kazi ni kubwa zaidi kuliko ata hela yenyewe.

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 роки тому

    Hongera Sana bwana mubuge mungu akulinde pia bila kusahau ichinia walie pamban kujenga daraja bila kuliwa na mamba kaka miladi ayoo hongerasan kwa kutupa habari kila pembe ya dunia

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 2 роки тому +9

    Hapo katika Kijiji Cha Ngeta napafahamu sana nimeshaenda kununua mchele ukivuka mbele unaingia Kambi ya JKT Chita unaenda Mlimba kwenye Mradi wa kufua umeme wa Kihansi.
    Morogoro ni kubwa sana inapaswa kugawanywa mara 2 ili kuwepo na Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero.

    • @miotv8308
      @miotv8308 2 роки тому

      Vipi kuhusu kilosa wewe? Ushahidi unao kweli

    • @marwawilliam3648
      @marwawilliam3648 2 роки тому

      Moro ni kubwa inawapa shida watawala. Igawanywe tu

  • @willeydavid2108
    @willeydavid2108 2 роки тому +1

    Niujenzi mzuri ila bado ni hatari kwa watembea kwa miguu walitakiwa waweke nguzo pembeni watu huwa wanajikwaa anaweza kudondoka , hasa hofu yangu kwa watoto nazani mnawaona hapo wanaweza kuwa wanakimbizana hapo wamalizie kuwaka ukuta wambao pembeni ili mtu anavyotembea awe comfortable 🙏

  • @gloryleon4187
    @gloryleon4187 2 роки тому

    Injinia shikamooo, alafu hongera sana kazi kubwa sana kwa gharama nafuu sana, wanao ongea waache waongee, maana yaonesha walikimbia umande wakati ww unaenda shule utatumia nguvu kubwa sana hadi wakuelewe, milad ayo big up

  • @edwinfelix6298
    @edwinfelix6298 2 роки тому +1

    Ongereni sana

  • @nguchichiswai5936
    @nguchichiswai5936 2 роки тому

    hongera kazi nzuri sana

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 роки тому +11

    Millard ayo hongera sana mbunge wetu mtarajiwa 2025

  • @tinnojoachim8712
    @tinnojoachim8712 2 роки тому +3

    Millard Ayo hanaga kazi mbovu ajawahi Kula MB zangu bule.like zangu kwa wale walio kuja kushuhudia mamba walio lipwa mafao yao

  • @henryxavery1713
    @henryxavery1713 2 роки тому +10

    Hiyo Pesa Ni Sawa Tu,,Ujenzi sio Michezo..

  • @mawazomwamba2667
    @mawazomwamba2667 Рік тому

    Hongera 🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️

  • @TrendNewstz
    @TrendNewstz 2 роки тому

    Hongereni sana, Kazi Nzuri, pesa ndogo

  • @boscomtani1006
    @boscomtani1006 2 роки тому +1

    Hii gharama ni ya kawaida sana. Nadhani gharama hii ingeweza kuzidi. Hawa watendaji ni waaminifu sana.

    • @itwaaky75
      @itwaaky75 2 роки тому

      Tuchangie tozo ya miamala ili wajengewe la zege au chuma

  • @rudhwanjumbe2970
    @rudhwanjumbe2970 2 роки тому +4

    Niwapongeze kwa kubana Matumizi .

  • @abuumakamba887
    @abuumakamba887 2 роки тому +1

    Saf sana millad kwa kutujuza uko vzur

  • @hujjatulasrsocietyoftanzan8420
    @hujjatulasrsocietyoftanzan8420 2 роки тому

    P1 sana bro ayo, nakubali sana unavyo watafuta hawa watu hua unatutoa maswali mengj tulio kua tunajiuliza

  • @eischerschwederm7876
    @eischerschwederm7876 2 роки тому +1

    Haijalishi kama pesa imetumika kisahihi au hapana..Daraja la ambao is a joke..no bora angeitisha harambee tuchangie but it's a shame kwasasa kuweka mbao.. liko kama la kwa bibi yangu huko igwachanya miaka hiyo

    • @itwaaky75
      @itwaaky75 2 роки тому

      Changia tozo za miamala

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 роки тому

    Manshallah nimeipenda sna hii interview maana niliiyona hii Mada fb na nikashare ila mguzo lilikuwa nyingi sna kwa wanajamii👍 wengi wao hamjui bei ya mbao mngetuliza kidg tunaojenga vibanda vyetu uko bongo 🇹🇿sio poa unaishia kukuna kichwa tu

  • @agnettakamugisha4984
    @agnettakamugisha4984 2 роки тому +7

    Hongerani sana wote💪🏼👌🏼👏🏼👏🏼👏🏼
    Hatutakusahau Magu! RIP🙏🙏

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 2 роки тому +1

    Yote heli Tumshukuru Mungu kuepusha misiba .Amen

  • @tumainiezekia5873
    @tumainiezekia5873 Рік тому

    Daaah Kaz nzur kak nakuelew San 🙏🙏

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 2 роки тому

    Nzur

  • @samsongechamet5374
    @samsongechamet5374 2 роки тому

    Eng.na Mh.Mbunge Hongereni Sana.

  • @chimbokiswaga8662
    @chimbokiswaga8662 2 роки тому

    Safi Millard Ayo hiki.ndicho.nilicho kuwa nataka👍

  • @sultannassor4868
    @sultannassor4868 2 роки тому

    Hongera ayo tv kwakweli uahitaji tuzo

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 2 роки тому

    pembeni wangeweka miti kuzuia inaogopesha hasa wanaotumia miguu lakini hongereni kazi nzuri

  • @nickmoshi8243
    @nickmoshi8243 2 роки тому

    Hongera sana Kunambi, ndio wanasiasa tunaowataka

  • @victormkama5485
    @victormkama5485 2 роки тому +1

    Safi

  • @gynae8407
    @gynae8407 2 роки тому +2

    Kwakua ni haki ya kilamtu kuongea, sawa tu ninachokifaham hapo hakuna hata laki moja ya hakiba ilosalia magogo hayo ghali

  • @winifridamkunde1437
    @winifridamkunde1437 2 роки тому

    nimeuzunika sana nilipo sikia milion 31 kiukweli ingekuwa ni mimi nilijenga ningelipisha milion 98 hiyo ndie garama sahihi kwayo job

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 2 роки тому +1

    Kazi nzurir lkn hamkuweka magogo kuzuia pembeni kwa usalama zaidi

  • @davidmaisely7487
    @davidmaisely7487 2 роки тому +5

    Tumwachie Mungu aisee

  • @hundamania2831
    @hundamania2831 2 роки тому

    M31 tsh kwa Kivuko hiki mbn ni ndogo sana au kwa kuwa tu watu wengi tz sio mafundi
    Big up kwa Injinia huyo ila tu htr moja kuwa halijazibwa pembeni jpo kajieleza kuwa kuna ssb za kufanya hvyo
    Hao wanaojiita mabos na kumuwekea mashaka mshkj huyo hawana walijualo

  • @godwingodfrey6146
    @godwingodfrey6146 6 місяців тому

    Huyu Bado yupo kazini kweli, mbona nikipiga hesabu hazifiki 31m

  • @aliasaally
    @aliasaally 2 роки тому +1

    Ila bro millard wewe ni inspiration kubwa. Ubunifu na juhudi zako vinanipa hamasa zaidi. Naona unapush hadi discovery saiv duh

  • @fatumanguva904
    @fatumanguva904 2 роки тому +1

    Kazi nzur kuokoa maisha ya watu

  • @francismaliyao2175
    @francismaliyao2175 2 роки тому

    Hivi mmeingea kwa undani ila najiuliza Kama serikali miti yote iko chini ya serikali, Kama serikali ina magari yakuweza kusafirisha magogo hivyo gharama zingine hazina mashiko. Na watu wa kijijini wako tayari kujitolea kabisa, hapo Kuna ufujaji wa hela za umma.

  • @Ray-vk7bp
    @Ray-vk7bp 2 роки тому +13

    yupo sawa mti wenyewe dawa unauzwa milioni moja hilo daraja lina mita 40 na linapitisha tan 10

    • @lazaroletion2420
      @lazaroletion2420 2 роки тому

      Tujadili hili daraja msimu aa mvua, tuseme kwa sasa tuacha daraja lihudumie

  • @bahatisunga1642
    @bahatisunga1642 2 роки тому +1

    Mlango mmoja wa mninga sh. Laki 4 kabati la nguo la mninga ni zaidi ya milioni moja na na kuendelea.ilo dalaja ni halali kabisa

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Рік тому

    Kwa hiyo wametumia millioni 31 kujenga daraja la muda? Huyu engineer alisomea wapi? Hii kweli Tanzania ya leo inasikitisha sana. Huyu engineer siyo mtanzania. Hizi BOQ ni za ajabu sana! Hii kweli ni teke linalokujia. Hawa wenzetu hawafanyi research zaidi, kila kitu wao wanachukulia kwa kulinganisha na ufanyaji kwa uzoefu!

  • @claudiangowi9585
    @claudiangowi9585 2 роки тому +5

    Mbona hawajaweka hata uzio pembeni kwa ajili ya watembea kwa miguu, watoto hasa. Naona hatari tupu hapo

    • @Gadgetstz
      @Gadgetstz 2 роки тому +1

      Uko mzee kwa siku znawezapita gari 5 tuu

  • @rugenzirugenzi3562
    @rugenzirugenzi3562 2 роки тому +1

    Daraja liwe la kitalii maana hayo madaraja utayaoona kwenye movies za kivita kati ya wamarekani na wavetinam

  • @ramadhanimahundumla1005
    @ramadhanimahundumla1005 2 роки тому

    Hongereni sana mmeweza kuliko watu kuliwa na mamba

  • @elviraramadhan3900
    @elviraramadhan3900 2 роки тому +12

    Big up Millard ✍️

  • @MrMbwelwa
    @MrMbwelwa 2 роки тому +2

    Viongozi wengi wanajua kuropoka bila research ili mladi tu aonekane kwenye tv na raisi kuwa anafanya kazi, ukitaka kujua Anza ujenzi faundation tu inakunyea