Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Tundu Lissu alivyotinga Polisi kuchukua GARI lake; afunguka MAZITO kushambuliwa kwake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2023
  • Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu amefika kwenye ofisi ya Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma RPC Martin otieno akitaka kuliangalia gari lake ambalo anadai alishambuliwa akiwa kwenye gari hilo.
    Lissu amefika leo Alhamisi, Februari 9, 2023, huku akisema kuwa alikuwa amewasiliana na RPC kwaajili ya kwenda kuliona gari lake hilo ambalo hata hiivyo bado hajafanikiwa kuliona akielekezwa kurudi wakati mwingine kutokana na RPC kuwa kwenye shughuli nyingine.

КОМЕНТАРІ • 418

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 Рік тому +14

    Waandishi wanalazimisha ajibu tofauti.Kumbe mwenzao msomi na yuko makini sana.

    • @Wamoyothenumberone
      @Wamoyothenumberone Рік тому

      Umeona eeeee

    • @dassustephen731
      @dassustephen731 Рік тому

      Maswali ya waandishi hayaukizwi kitaalamu kabisa Swali utafikiri anahubiri badala ya kwenda straight to the point

  • @petsmore9955
    @petsmore9955 5 місяців тому +1

    Lisu,anafaa sana kuwa kiongozi mkuu was nchi hii. Mungu ambariki sana. Watz tumwombee sana!

  • @mkijilukali2010
    @mkijilukali2010 Рік тому +13

    Mungu ataendelea kua nawewe

  • @fadhilikombe3338
    @fadhilikombe3338 Рік тому +14

    Safi sana Mhe lissu. Umeongea vyema kabisa. We keep going ✌️✌️✌️

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Рік тому +11

    Ukweli hata mm niliumia sana ulipopigwa risasi,ukionekana TANZANIA ccm wanapata tabu sana

  • @razakrazak7169
    @razakrazak7169 Рік тому +10

    Mwamba hyuu apa✌

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 Рік тому +12

    Mwandishi uriovaaa miwani na tai nyekundu unaakiri Sana maswali mazuri

  • @sambiaj
    @sambiaj Рік тому +5

    Love u Lissu my neighbor at Tegeta’s

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 Рік тому +6

    Roho ya paka kidume wa kweli , mungu akutie nguvu zaidi tunataka Raisi kama wewe usio na woga na hawa madhalimu washenzi

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 Рік тому

      Muda wake haukufika tu wala hakuna roho ya paka mungu akikuita

  • @paiwanjara3502
    @paiwanjara3502 Рік тому +8

    ila huyu mwamba anajua hadi anakera ndiyo maana Mungu ameruhusu aendelee kuwepo atupatie madini

    • @expert5898
      @expert5898 Рік тому

      Mtu muhimu sana kwa Tanzania... Ni mtu muhimu mno.

  • @edithamutagulwa1484
    @edithamutagulwa1484 Рік тому +2

    Umepitia mengi Sana dady kwakel Mungu yupo Tanzania nlihamin kupitia wew na Mungu amejidhihilisha kupitia wew apa Tanzania

  • @mussamohammed6023
    @mussamohammed6023 Рік тому +16

    Nakubali sana lisu uko vyema baba ishi miaka mingi...

  • @abbynimel-kindy5107
    @abbynimel-kindy5107 Рік тому +34

    Walinzii Wa Lissu Wapewe Silaha sasa lissu never Give Up.. mama Samia suluu sisi watanzania tunaumia tunauwawawa😢😢😢

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 Рік тому

      Ujinga kabisa! Yaan huyu mbwa anadharau Sana!

    • @bigbrothermwita1971
      @bigbrothermwita1971 Рік тому +1

      peleka makumbusho

    • @gulionigulioni3234
      @gulionigulioni3234 Рік тому +1

      Muuwaji na yeye si ameshakufa sasa wasi wasi wa nini?

    • @ajsmainde5138
      @ajsmainde5138 Рік тому

      @@gulionigulioni3234 nani qlitaka kumuua...?

    • @gulionigulioni3234
      @gulionigulioni3234 Рік тому +1

      @@ajsmainde5138 kwani kuna mwingine zaidi ya mwendazake dikteta jiwe na kundi lake la sukuma gang.

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 Рік тому +6

    Hongela laisi tundulisu

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 Рік тому +3

    Ukimpinga tundu lissu utakufa Kama jpm amina

  • @justinesalivatory7226
    @justinesalivatory7226 Рік тому +10

    Mwamba kardi miaka 100000

  • @christophertz
    @christophertz Рік тому +14

    VIVA TUNDU ANTIPHAS LISSU ✌🏿

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 Рік тому

      Ameolewa Belgium 🇧🇪 huyo

    • @abdallahkiduli1451
      @abdallahkiduli1451 Рік тому

      Asant mungu kukupa nguvu yakuteteya wanyonge unaongeya kwaajili yetu kwa uwezo wa Allah atakupa maisha marefu

  • @landisyloishiye933
    @landisyloishiye933 Рік тому +14

    Kweli lissu umeiva kisiasa

  • @lemausontz3513
    @lemausontz3513 Рік тому +3

    2025 Nakuona Ikulu Mh T L Mghwai Home boy

  • @gangan3359
    @gangan3359 Рік тому +1

    Pamoja, kamanda Lissu. VIVA mh Lissu viva

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola Рік тому +6

    Lisu nakukubali sanaaaa

  • @frankfrancis5736
    @frankfrancis5736 Рік тому +5

    Raisi Tundu lisu

  • @yudaseleman8320
    @yudaseleman8320 Рік тому +14

    Kwa tundu lissu mb zang zitaisha mno darasa tosha

    • @dicksonexavery726
      @dicksonexavery726 Рік тому +1

      Huyu jamaa ni kimbunga anatisha ni zaid ya Mbappe!!

    • @yudaseleman8320
      @yudaseleman8320 Рік тому

      @@dicksonexavery726 hehee saf mno

    • @RashidAli-rn3ro
      @RashidAli-rn3ro Рік тому +2

      Kwa wanaomuelewa huyu jamaa kumckiluza hawachoki mm nataman kila cku afanye interview na waandishi, chakushangaza suali gumu yy analijibu rahic tena kwa hoja na sio porojo

  • @patricknamangoa6468
    @patricknamangoa6468 Рік тому +21

    When Tundu Lissu speaks, you listen. What a briliant man!

    • @joesimba
      @joesimba Рік тому +2

      Ongea kiswahili wewe, acheni kushoboka na phrases za kingereza

    • @odoieriasmonga6591
      @odoieriasmonga6591 Рік тому +1

      This Man is very bright

    • @issackchalahani1235
      @issackchalahani1235 Рік тому +1

      @@joesimba vipi wewe hili neno la "phrases" ni la kiswahili KIONGOZI!

    • @joesimba
      @joesimba Рік тому

      @@issackchalahani1235 nimeleweka kuweka msisitizo waache kushobokea kingereza, tumia akili.

    • @issackchalahani1235
      @issackchalahani1235 Рік тому

      @@joesimba kumbe hata Mimi kuliza sijatumia akili! Sawa ahsante.

  • @hermanmazuri1619
    @hermanmazuri1619 Рік тому +4

    mwamba kabsa tundu lissu one of the best a man politics

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 Рік тому +6

    Kamanda lissu mwanasheliya

  • @furahianyambo791
    @furahianyambo791 Рік тому +5

    Huyu ndie kiongozi ajae

  • @loshirotatekoriosoombe2187
    @loshirotatekoriosoombe2187 Рік тому +2

    Huyo ndiye Rais mtarajiwa✌️✌️

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 Рік тому +8

    Mzee wa unanifahamu!!

  • @reginaldsimon8699
    @reginaldsimon8699 Рік тому +1

    LISSU...BIG BRAIN

  • @josephpaul885
    @josephpaul885 Рік тому +5

    Kiukweli huyu Lisu ni mzalendo wa kweli

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Рік тому +4

    Waliotaka kumuua mtoto washakufa

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 Рік тому +18

    Waandishi wa habari wa tz bhana,mnapenda unafki na maswali local sana!

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Рік тому +2

      Tanzania HAKUNA Wandishi kila mtu anatafuta watu wa kumshabikia.

    • @polycarpykavishe9001
      @polycarpykavishe9001 Рік тому

      Hahaaaa kabisaa uchonganishi ni mwingi

    • @lionofjudahtv8796
      @lionofjudahtv8796 Рік тому

      Ungekuwa wewe ungeulizaje?

    • @jesuinababili2280
      @jesuinababili2280 Рік тому

      Kabisaaa ... tooo locally

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Рік тому

      @@lionofjudahtv8796 Mtu umempa lift, lunch, posho. Unampangia cha kukuuliza na baadae ufanye editing ndio HABARI gani. Habari ni kile usichopenda kukisikia.

  • @jeffhard5773
    @jeffhard5773 Рік тому +1

    Daah jembe ni jembe tu

  • @josephmwalah8202
    @josephmwalah8202 Рік тому +10

    Mungu akujalie maono mema

  • @mwlpaulnghumbujanila6264
    @mwlpaulnghumbujanila6264 Рік тому +6

    Good

  • @V24hrs
    @V24hrs Рік тому +7

    NIMEKUELEWA SANA Kwamba Tumehuru ya Uchaguzi ni lazima kwanza na mambo mengine yaendelee kutekelezwa

  • @zurufamzava7042
    @zurufamzava7042 Рік тому +1

    Nakupenda baba angu Allah akupe hitaji la moyo wako ✌️✌️✌️✌️✌️

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 Рік тому +16

    Hili ni tatizo kubwa sana watanzania take care yajayo yanafurahisha maana hiyo gari inatakiwa ikafanyiwe uchunguzi wa kina sana na hao polisi mm naimani hiyo gari apo haipo mm mwenyewe binafsi apo kituoni sijawahi kuiona kazi ipo kama ni picha hii ndio inaanza naimani picha likiisha kubwa la madui atafia kwenye bustani ya maua.

    • @georgegerald4153
      @georgegerald4153 Рік тому +1

      Point yako ni kubwa sana ulicho kidhania na mimi nadhani ipo hivyo

    • @alphascaona576
      @alphascaona576 Рік тому +1

      Nimekuelewa picha inaanza kujionyesha

    • @Wamoyothenumberone
      @Wamoyothenumberone Рік тому +2

      Hahahah aiseee weulishawah kwenda kituon hukuiona

  • @mandaruukali2374
    @mandaruukali2374 Рік тому +12

    Safisana lissu mwambie nalema alejee nyumbani

    • @csato9415
      @csato9415 Рік тому +1

      Lema ameshatangaza anarejea March 1, 2023.

    • @charlesmurimi765
      @charlesmurimi765 Рік тому

      Trh 01/03/2023 pale KIA airport,karibu tumpokee

  • @abbynimel-kindy5107
    @abbynimel-kindy5107 Рік тому +9

    Jeshi La Police LA Tanzania Mguseni sasa Raia yetu Lissu

  • @emmapaul1766
    @emmapaul1766 Рік тому +16

    The giant politician in Tanzania

    • @dassustephen731
      @dassustephen731 Рік тому

      He is very courageous,that is he a master of fear and not absent of fear

  • @omaryramadhani290
    @omaryramadhani290 Рік тому +9

    Mtu wa haki kweli kweli

  • @jimpazclimpaz1794
    @jimpazclimpaz1794 Рік тому +11

    Lissu akili yake ni kubwa sana ukichukua Ma Ccm yote hawamfikii

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 Рік тому +8

    Nakukubali sana Lissu. MUNGU akutangulie

  • @bonifacemwanga3115
    @bonifacemwanga3115 Рік тому +2

    HILO GARI LIHIFADHIWE KWENYE KUMBUKUMBU ZA (TAIFA) maana tukio hili ni kubwa sana, Asije kufanyiwa MTANZANIA MWINGINE,

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 Рік тому +8

    Kweli huyu mwamba ni tishio kwenye serikali ya CCM 😂😆😆😆 Batakoyola Dagaa 😂

  • @FestusJchunya-hc3hv
    @FestusJchunya-hc3hv Рік тому

    Sio ambalo anadai Bali gari ambayo ndio alishambuliwa nalo!!

  • @user-mz4ry1sl8l
    @user-mz4ry1sl8l 11 місяців тому

    Hv Magu alijikutka nan haswaa hapa Dunian!😢

  • @meshackkazungu1948
    @meshackkazungu1948 Рік тому +1

    Nakupenda sana MWAMBA nahitaji kuwa wakala wakusajili watu kidigitali namimi pia nahitaji kadi ya kidigital

  • @rogersiddy
    @rogersiddy Рік тому +4

    Waandishi mchwara mnaboa sana aisee maswali hayana miguu wa kichwa et watachukua viti vyote sasaivi wanashindana na chama gan?

  • @jalalkhalid8499
    @jalalkhalid8499 Рік тому +1

    Mywen number ya tundu lissu naomba anitumie pls. .. l love this guy ..sana huyu mtu Kweli kutoka moyoni....????

  • @alirashid3813
    @alirashid3813 Рік тому +7

    Hongra kamanda lisu

  • @ssalimsalim3864
    @ssalimsalim3864 Рік тому +1

    Kwani yy huyo boss akiwa hayupo yy inakua hamna assistant wake?mbona bongo mna visa!hata raisi akisafiri hua anabaki msaidizi wake.

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180

    Subhana'Allah
    Mungu ni kubwa
    Huwezi kuchukua roho ya mtu hadi Mola atake

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180

    Hiyo mzee lisu muda mwengine niki mtazama sura yake yajileta kama Ray kigosi vp anavo ongea tofauti tu Lissu anongea kwa busara sana diplomatic

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 Рік тому

    Duuuuh.Huyu Jamaa ana ujasiri wa kuzaliwa
    "courage is not the absence of fear,it is a mastery of fear"TWAIN

  • @user-mz4ry1sl8l
    @user-mz4ry1sl8l 11 місяців тому

    Mwamba anadunda alyejiona Mungu mtu kalala zke huko!😅

  • @AnacethNagaiza-gr3qw
    @AnacethNagaiza-gr3qw Рік тому

    Nakubona mukulu wange

  • @edsonmakarai9496
    @edsonmakarai9496 Рік тому

    This car shd be an interesting musium piece

  • @shahidalialibhai794
    @shahidalialibhai794 Рік тому

    Mtanikumbuka kwa vyema kumbuka hilo

  • @livingstonempuso4200
    @livingstonempuso4200 Рік тому +2

    Exactly 💯💯

  • @jonasg5630
    @jonasg5630 Рік тому +10

    Ukianza kumsikiliza, hutamani amalize. Kila swali analijibu kwa ufasaha kabisa

  • @frejascompany6094
    @frejascompany6094 Рік тому +1

    Uko vizuri sana lisu

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 Рік тому +2

    Mwambaaa huyu hapaaaaa

  • @chrissg4026
    @chrissg4026 Рік тому

    Etu kuwasalimia! Anakuja kuwasalimia kwa lipi zuri mlilomsaidia baada ya kupigwa risasi? Mliweza kuwatia hatiani waliompiga risasi?

  • @nemamalovilinjo4919
    @nemamalovilinjo4919 Рік тому +3

    Nimekuelewa

  • @JoseoneTv
    @JoseoneTv Рік тому +1

    Huwezi kumng'oa Samia , usitake kuhurumiwa na wananchi Bali pigania nchi, mambo ya risasi mshukuru Mungu, angalia maisha ya watz

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 Рік тому

      LENGO SIYO KUMNG'OA SAMIA BALI KATIBA IWE HURU BILA KUKOSA NGUVU KTK KUSIMAMIA JAMBO. TUSIWE NA MATAMKO KANDAMIZI BALI SOTE TUWE CHINI YA KATIBA.

  • @augustinomlowe8059
    @augustinomlowe8059 Рік тому +1

    Lissu

  • @christophertarimo3044
    @christophertarimo3044 Рік тому +2

    Ase naona Lissu akifanya makubwa tz

  • @marymremi1051
    @marymremi1051 Рік тому

    Nimempenda sana mheshimiwa samia raisi wetu Mungu akulinde akupe maisha marefu sana.una ubinadam na hiyo ndiyo thamani yako

  • @saidiaballhhamadi
    @saidiaballhhamadi Рік тому

    Mungu akulinde na watu wabayaa lisu

  • @consolatamangera8796
    @consolatamangera8796 Рік тому

    Lissu ni Raila wa Tanzania Mungu akubariki sana naakupe maisha malefu uwasaidie watanzania...

  • @ezekielemanuel2910
    @ezekielemanuel2910 Рік тому +1

    Mwandishi uliyevaa miwani haujui namna ya kuuliza maswali. Unaelezea sana. Question must be brief and clear. Zingatia haupo peke yako hapo, wapo na wenzako.

  • @bbccaa4156
    @bbccaa4156 Рік тому +5

    Jamani mlinzi anakitambi bongo!!

    • @csato9415
      @csato9415 Рік тому +1

      🤣🤣 polisi wenyewe wa vitambi, itakuwa huyo mlinzi tu.

    • @dorisfabian4776
      @dorisfabian4776 Рік тому

      Kuna mjeshi nimewahi muona ni kibongeeeee

    • @thehunter5920
      @thehunter5920 Рік тому

      Kwani bunduki inahitaji uwe mwembamba?

  • @beatusmchau1556
    @beatusmchau1556 Рік тому +4

    Mimi binafs ninamkubali sana Rais Samia anaongoza nchi kweli kweli Mungu ampe miaka mingi ili aweze kutuongoza vema miaka kumi na tano ya Urais mimi ninampa kura yangu

    • @speriuskainamula5960
      @speriuskainamula5960 Рік тому

      Tatizo LA Tanzania Ni mifumo Wa kuongoza nchi Ni mbovu na hasa viongozi kutengeneza miradi kwa manufaa yao kwa hiyo tunahitaji katiba mpya tu.

  • @kherihamad472
    @kherihamad472 Рік тому +1

    .ni kweli walitaka kumuuwa lkn ndo ivyo mungu ajapanga we unapigwa risasi zaid ya mbili alf ni mjini tuseme police walishindwa kuwakamata wausika mbona hamza alijisalimisha na akauliwa na hao hao police

  • @severinlouis
    @severinlouis Рік тому +3

    Very humble this man appreciate you Sana

  • @daudikisyeri1047
    @daudikisyeri1047 Рік тому

    Kwa hoja atakuja kuzaliwa Ila unaweza

  • @talibsaid8096
    @talibsaid8096 Рік тому

    Huna sera

  • @ngoshamasanja
    @ngoshamasanja Рік тому

    Lisu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @vaskosamweli3556
    @vaskosamweli3556 Рік тому +1

    Kweer kabisa walipta bila kuchaguliwa na hofu yao kubwa ni 225

  • @cosmodo9729
    @cosmodo9729 Рік тому

    Mwamba namkubal sana

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Рік тому

    Yes the the top leader has to much power to a point that they're idolized

  • @JanethJanuary-fz3vk
    @JanethJanuary-fz3vk Рік тому

    Mwandishi ulie na miwani tathimin tahaluma yako naona uelewa wako una taflani kiongoz anajaribu kukuelewesha ila mguuuuumu kuelewa

  • @kareemissa4529
    @kareemissa4529 Рік тому

    Nice speech

  • @marceljohnkimaty4986
    @marceljohnkimaty4986 Рік тому +3

    Waandishi dhaifu kabisa!

  • @saidiaballhhamadi
    @saidiaballhhamadi Рік тому

    lisu

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 Рік тому +3

    Siku hizi hata waandishi ni machawa

  • @saidiharuna418
    @saidiharuna418 Рік тому

    Mwanawa

  • @brother_majesty
    @brother_majesty Рік тому

    Well done Comander

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 Рік тому +2

    Kwani zipo za pesa pesa

  • @mohamedmabruki7866
    @mohamedmabruki7866 Рік тому +3

    Binafsi nimefurahi sana haki kutamalaki tumpe muda Rais Samia atafanya mengi mazuri

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 Рік тому +2

    Huyo mwandishi anahakiri upinzani upo juu zaidi mawingu

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180

    Kitu nisicho kipenda kwa Lissu ni ule mtazamo wake kwa Magufuli hata kama alikua ana mabaya yake basi hata mazuri yake haya tambui

  • @selemanishabani126
    @selemanishabani126 Рік тому +3

    Nchi yetu sote tunahitaji katiba mpya, tufumue huo ujagili unaondelea

  • @mathayoyohana479
    @mathayoyohana479 Рік тому

    Lissu mpaka siwezi kusema lakini kwa vile ume vuvuka tunashukuru Mungu t, yupo

  • @michaelaroon8558
    @michaelaroon8558 Рік тому

    Freedom of speech...

  • @princeteu973
    @princeteu973 Рік тому +1

    Ccm, mna kazi, ni Pole2, nduo amemuweza huyo

  • @musamusahshafi1496
    @musamusahshafi1496 Рік тому

    Lisu upovizuli sana kwenye kujibu maswali yamitego hongerasana