USO KWA USO SHEIKH KISHK NA MTOTO ABDUL | MTOTO ALIYEMUALIKA SHEIKH KISHK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 549

  • @saidmwasarai-ip9pc
    @saidmwasarai-ip9pc 12 днів тому +2

    Masha Allah sheikh kishik na kijana Abdul mungu awarehemu na awape umri mrefu pia me nmewapnda nyote Kwa ajili ya Allah

  • @sharaful-anaam138
    @sharaful-anaam138 Рік тому +137

    Sheikh kishki unanifanya nibugujike na machozi sheikh narejea Tena na Tena masheikh wote wangekuwa kama wewe nchi yetu ingekuwa na nuru kubwa sana sheikh hongera sana Allah akulipe pepo iwe makaazi yako siku ya kiama sheikh nakupenda sana❤❤❤❤❤

    • @MUKANDOLIAISHA
      @MUKANDOLIAISHA Рік тому +5

      Sheikh kishki Allah akupe heri ya dunia na Ahkhera napenda Sana kufuata mawaidha yako yananistiri .

    • @omarmwabege
      @omarmwabege Рік тому

      Aaamin

    • @zulfahussein6784
      @zulfahussein6784 Рік тому

      Allahummaa Aaaamiiin Yaa Raab

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 Рік тому +1

      Waallahi ht mm nimelia sana na nimefurahib sanaa Allah ajaalie vizazi vyetu viwe bora zaidi

    • @zubedadello9117
      @zubedadello9117 Рік тому

      @@jaymwinyi6957 amiin

  • @samahakihange6421
    @samahakihange6421 Рік тому +12

    Mashallah mpaka nimeria wallah mwenyezimungu na sisi atujaalie vizazi vyema inshallah

  • @bvff8691
    @bvff8691 Рік тому +24

    Masha Allah mpaka chozi lafuraha limetoka Allah akuhifadhi shekhe wetu na Abdully amjalie awe kama wewe❤❤❤

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي Рік тому +24

    MashaAllah Mwenyeez Mungu akupe umri mrefu shekh Kishk upendo wako nauna watoto wengi na watu mbalimbali wanatamani kuonana na wewe hata kama utachelewa lazima uonane nao Mwenyeez Mungu akubari sana

    • @eshasalim5496
      @eshasalim5496 Рік тому +1

      Allahumma Amiin

    • @asilahassan9965
      @asilahassan9965 Рік тому

      Ammina ya rabbill allamin

    • @NizigimanaFatuma
      @NizigimanaFatuma 8 місяців тому

      Hongera sanaaaa shekh kishki allah akuhifadhi kwajuhudi zako unajitahidi saaana kupambaniya dini ya allah nimefray sana nimetokwa na macozi yafuraha kabisa

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 Рік тому +18

    MashaAllah tabarakaAllah jmn nimefurahi sana sheikh🥰😰😰sheikh wetu we kipenzi cha watu ALLAH akujalie umri mref🤲🤲

  • @RehemaWere
    @RehemaWere Рік тому +27

    Sheikh insha Allah nikirudi kutoka gulf nitakualika kwetu kenya, na insha Allah nikkah yangu ni wewe utanifunganisha kwa uwezo wa Allah ❤
    Nakupenda kwa ajili ya Allah 🥰

  • @رحمهبهاري
    @رحمهبهاري Рік тому +5

    Mashaallah mashallah wallah nimefurahisana tena sana kwakweli unamoyo waukarimu hatamm binafs kunakipindi nilitamani nikutafte nikukabidhi mtoto wangu ajekusomea kwako wallah nilitamani sana ila nikavunjika moyo nikaona itakua vigumu mana sikua nakazi alaf mwanangu alikua nahiyomyaka pia mitano bas nikasema sitaweza garama zakumleta tanzania nakumhudumia kimadhrasa iliniuma pekeangu ndani yanafsi yangu had mwisho nikasema huenda allah hajapanga iwehivyo kipindihicho nilimuona yulemtoto wamiaka9 aliekua amehifadhi Quran alafu alikua yuwaishi nabibiyake kamavile mwanangu anavyoishi nabibiyake ak nlitaman ajeakae huko had afikie umri wakuoa ndoarudi nyumbani lkn sikufanikiwa ila alhamdulillah namshukuru mungu nimtoto ambae yuwashika sana masomo yapandezote mbili na pia nimkarimu hajashika mambo yakidunia alhamdulillah namshukuru allah kwahilo

    • @zuhurayusuph901
      @zuhurayusuph901 Рік тому

      Mimi nakushauri umtafute usivunjike moyo, nina imani kupitia hili la abdurahman litakuwa limekipa moyo. Allah akufanyie wepesi ktk hilo ndugu yangu

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya463 Рік тому +34

    Mama mdogo nimekupenda sana kwa namna ulivyoitikia amri ya Allah ya kujisitiri kisheria. Allah akuhifadhi

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 Рік тому +28

    Mashallah mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Wazaz tunamchango mkubwa kwa watoto wetu mtoto umleavyo ndivyo akuwavo😢Mashallah Abdulrahman Allah azidi kukuongoza Mwanang Akuhifadhi na kila shar yaarab Na wazaz wako Allah awabarik🤲🤲🤲😭Kwajuhud wanazozifanya leo utaona Mtoto mdogo Anarikodiwa anafuatiza Nyimbo Innalillah wainnailaih rajiun na ukicomment Jaman jaman mtoto munampoteza utatukanwa Alhamdulillah yarab atuongoze waja wake Shukran sheikh kishk Jazakallah kher😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲

  • @rehefehe8890
    @rehefehe8890 Рік тому +9

    Mashaallah shekh kishki kwa upendo wako, mashaallah mungu akulipe kila lenye kher

  • @HusseinHassan-sn8yq
    @HusseinHassan-sn8yq Рік тому +9

    Chozi la furaha lanidondokq😢😢😢😢 Shekh kishki MashaAllah, Allah akuhifadh na akuandalie nyumba nzuri kesho Akhera❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Рік тому +15

    😢😢 mashallah shekh wetu tunakufatilia kutoka omani Allah akuhifadhi na waumin wote

  • @bimkubwaali5951
    @bimkubwaali5951 Рік тому +8

    Allah akuhifadhi sheikh NURDIN KISHKI Wllah Allah atakulipa pepo ya darja ya juu kwa uwezo wake

  • @أمنعمان-س4د
    @أمنعمان-س4د Рік тому +12

    Maasha Allah, Allah amuhifadhi mtoto na amzidishie mahabbah huyu sheikh, Allah ampe umri sheikh wetu❤

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 Рік тому +8

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah MashaAllah MashaAllah Allah akuhifadhi sheikh wg Kishki pmoja na fmily yko Allah amuhifadhi kizazi chtu ❤❤❤

  • @azaniasaidi93
    @azaniasaidi93 Рік тому +6

    Mashaa'Allah Tabaaraka Allah .....
    Inapendeza kwa kweli uislam raha❤

  • @mwanakombokalamu7009
    @mwanakombokalamu7009 Рік тому +10

    MashAllah, MashAllah, MashAllah Allah awalinde na hasad wazazi Wake na mtoto AbdulRahman na amuongoze mtoto zaidi

  • @bahatilaizer8706
    @bahatilaizer8706 Рік тому +8

    Sheirk Kishki Mwenyezi Mungu ☝️ Subhaana wa taa'l Akuweke miaka mingi upo na Utu wa mtume Muhammad tabaraka Allah 🤲 Sheirk Kishki

  • @qalbi8198
    @qalbi8198 Рік тому +6

    Wallah sheikh wetu nakupenda saana kwaajili ya Allah kila baya Allah akuepushe naloo❤❤

  • @Mcbel331
    @Mcbel331 Рік тому +13

    Maashaallah, Allah akulipe kila khery sheikh wetu umetuonyesha moja ktk vitu vikubwa ktk dini nayo in Tabia njema Kwa kuweza kutekeleza ahadi Yako ,uunga udugu , kuonyesha huruma na kuimarisha mapenzi kwa kutoa zawadi Kila jambo linamazingatia maashaallah,Allah aitakase nafsi ubaki kufanya kwaajili ya kutafuta radhi za Allah

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 Рік тому +19

    Alhamdulillaah Alhamdulillaah Allaah Azidii kukupa imani na kuiitikiyaa muitikooo in sha Allaah Allaah Akuhefadhi nakukuzidishiyaaa elimuuh ya kuwanufaishaaa waislamuh woteee…❤nifurahaaa kwa kulaaa aliekuonaaa Allaah Akupe umriey mwemaa na kukuhefadhi na kukuepusha na mahasidi n na maovu ya duniyaaa yarrrraaaab

  • @enjiidasnan2851
    @enjiidasnan2851 Рік тому +6

    Mashallah sheikh wangu nakupenda kwa ajili ya Allah hata mimi niliwahi kupata mwaliko wako na ulitupokea vizuri sana ofisini kwako Allah azidi kukuhifadhi sheikh wetu unajitoa sana ktk dini.

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Рік тому +23

    Mashaa الله , yani angekuwa mtt wangu ningempa kishki kwa moyo wote kwa kujua yuko mikono salama na yenye faida duniani na akhera, yani hiyo ni chansi, plz wazazi msipoteze hii nafasi.

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya463 Рік тому +9

    Maashaallahu taala, sheikh Allah akulipe kheri na Akuhifadhi

  • @abdallahsalum9350
    @abdallahsalum9350 Рік тому +6

    Mwenyez mungu akujalie umri mrefu zaidy inshaAllah endeleea kutufundisha Iman hakika hadi ni Den sheikh Kishk mwenyez mungu akubarik ❤❤

  • @KhadijaAlly-q2i
    @KhadijaAlly-q2i Рік тому +12

    Allah amuhifadhi mtoto wetu nasisi tuliokuwa hatujapata watoto atupewatoto wema amiin

  • @hussainmasoudsubhannallah3786
    @hussainmasoudsubhannallah3786 Рік тому +9

    Mashaallah Allah akuhifadhi shekhe wetu umetimiza ahadi

  • @UmmuhabibHabib-yb2es
    @UmmuhabibHabib-yb2es Рік тому +31

    Sheikh kishki kama ulivyomfurahisha mtoto Allah akufurahishe na wewezaidi akuhifadhi na akufanyie sahli mambo yako

  • @yussufsaid8223
    @yussufsaid8223 Рік тому +6

    Mashallaah Shekh Kishk Allaah akujalie umri mrefu akujalie akupambe kwa afya njema

  • @sulekhaabdulahi2183
    @sulekhaabdulahi2183 Рік тому +14

    Even me I loved so much when sheik reading al quruan karim

  • @AshaJuma-kr3rb
    @AshaJuma-kr3rb Рік тому +7

    Mashaall 🥰🥰 Allah akuzdishie shekhe wetu kishiki mashaall 🥰🥰

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Рік тому +6

    Mashaa الله hii ni chansi kubwa sana sana sana, Mashaa الله shekhe kishki الله akuhifadhi hapa duniani na akhera na akupe umri mrefu wenye manufaa.

  • @fatumahussein6399
    @fatumahussein6399 Рік тому +1

    Masha Allah!! Kishki online mnanifanya nizidi kuwaoenda. Yaani kadri nnavyo endelea kumuona nasikia Raha. Uki sikia mawaidha Yake uta ona Km ni mtu fulani hivi wa Hali ya juu. Kumbe yuko simpo Tena mcheshi Masha Allah. Hadi nazidi kumpenda kwaajili ya Allah.

  • @tausimpoma347
    @tausimpoma347 Рік тому +5

    Maa Shaa Allah TabarakAllah..Allah amjaalie afya sheikh wetu,,

  • @SARAHKATAGIRA
    @SARAHKATAGIRA Рік тому +4

    Alahamdulillah Allah akulipe dunian na akhera shekhe kishk we ni mfano was kuigwa tunajivunia kuwa na shekhe kishki

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 Рік тому +4

    Masha ALLAH ❤ ❤. ALLAH akuhifadh sheikh kipenzi cha wengi...🤲🤲🤲

  • @MialiiMohamed-m9l
    @MialiiMohamed-m9l Рік тому +6

    Mashaallah mwenyezi MUNGU akuzidishie sheikh wetu na Abdul pia ❤❤

  • @HabonimanaAmina-ht7fv
    @HabonimanaAmina-ht7fv Рік тому +6

    Sheikh kishki nakupenda kwa ajili ya Allah 💖 Allah atukutanishe katk pepo ya fildausi inshaa Allah 🤲🤲

  • @AishaTarimo-d5v
    @AishaTarimo-d5v 4 місяці тому

    Mashaallah mwenyez mungu akuzidishie shekhe wangu kila la kher innshaallah,,,, naomba na mm unisaidie mtoto wangu ata mmoja tu kumfundisha Quran.

  • @hamidasaid2544
    @hamidasaid2544 4 місяці тому

    Ma Shaa Allah Allah Amuhifadhi Amuongoze Ampe umri mrefu na Afaulu kwa kila kitu fi Dunia wa Akhera na Family yake amin

  • @fatuma2061
    @fatuma2061 Рік тому +3

    Mashawaa sheikh kishiki aki Allah akulipe hapa duani na akhera nakupenda kwaajili ya Allah aki sheikh kishiki haubagui mdogo Wala mkubwa mm naomba Dua tu kwako sheikh kishiki Niko saudia

  • @NM-rq9dr
    @NM-rq9dr Рік тому +1

    Mwenyezi Mungu Akulipe mema zaidi sheikh wangu.
    Barak’Allah feek wa JAZAAK’Allah Khair
    Hongera kwa mama Abdul, Masha Allah.
    Mwenyezi Mungu Akuzidishiye Ucamungu mama♥️

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 Рік тому +2

    Mashaallah sheik kishki mungu akuhifadhi raha naona mimi jamani sheikh wangu nakupenda kwaajili ya ALLAH

  • @aminauwimana9976
    @aminauwimana9976 Рік тому +5

    Masha'allah tabaraka allah natamani nami nihipate hiyo bahati kuwanangu😊❤

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 Рік тому +1

    MASHA ALLAH MASHAALLAH
    MASHA ALLAH
    kipezi cha wote sheikh wetu na koo nnzima ya kishk tv online ALLAH AKBAR

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv Рік тому

    Mashallah sheikh kishk mawaidha Yako yanapendeza na ndo mana watoto wadogo wanakupenda Mwenyezi Mungu akuajalie maisha marefu na mwisho mwema Amin pia mm nko mbali Kwa sababu ya kazi ila naaishi Kenya ningependa xana pia mm mwanangu nikuletee Tanzania Kwa madrasa Yako aifadhi Quran inshallah Kwa uwezo wa Allah akipenda ameen

  • @bisadaally9298
    @bisadaally9298 Рік тому +1

    Mashaallah shekh kishki allah azidi kukunawirisha kila uamkapo na akulinde na hasadi za walimwengu allah akujaalie uwe ni miongon mwa watu wa peponi amiiiiiin nakupenda kwaajili ya allah na mtume Muhammad s.a.w ❤❤❤❤

  • @AshaKamota-wg4oc
    @AshaKamota-wg4oc 9 місяців тому

    Mashaallah sheikh nurudini kishki Allah awajaalie maisha marefu

  • @khayraatabdool2286
    @khayraatabdool2286 Рік тому +11

    الله أكبر ما شاء الله لا قوة إلا بالله العلي العظيم
    اللهم صل وسلم على نبينا محمد صلى الله عليه وسلم
    ما شاء الله بارك الله فيك

  • @HabibaAbdullahi-v4e
    @HabibaAbdullahi-v4e Рік тому +3

    Masha Allah.TabarakaLah Sheikh Kishki.Allahu Akbar.SubhannaLah.

  • @AbdalaMakao
    @AbdalaMakao 2 місяці тому

    Mashallah kishki hongera m mungu akuzidishie hao watoto wanatuliza m mungu shahid akupe mwisho mwema

  • @MteleShadia-lc6gi
    @MteleShadia-lc6gi Рік тому

    Tunakupenda sana,,shekh wetu kishik kwaa kaz nzuri unayoifanya ,, Allah akulpe,,,piaa allah siku ya kufaa aje kukuandalia pepoo la juu zaidi nzuri,kuliko pepoo zote,,nakuelewa vzr snaaa snaa snaa

  • @زينبعليعبدالله-ز3س

    😂😂😂Mashaallah mashaallah Mwenyezi Mungu akuhifadhi sheikh wetu jamani

  • @rizikijuma7207
    @rizikijuma7207 6 місяців тому

    mashaAllah shekhe kishki Allah akuhifadhi na akulinde na nakupenda bure kwa ajili ya Allah nakuangalia nikiwa kenya

  • @jaymwinyi6957
    @jaymwinyi6957 Рік тому +1

    Mashaallah tabaraqallah Allah amzidishie ilmu ya juu zaidi na zaidi na vizazi vyetu

  • @rawdahhussein8401
    @rawdahhussein8401 Рік тому +15

    جعل الله في ميزان حسناتك شيخنا
    ربي يحفظك ويطول بعمرك ويسعدك دنيا و أخرة يا رب يا شيخنا الكريم♥️

  • @ElhemElhem-n7e
    @ElhemElhem-n7e Рік тому +3

    Sijui kwann machozi yanitoka daa!! Mungu akupe maisha marefu shekhe wetuuu😢😢

  • @benjaminkangolo2017
    @benjaminkangolo2017 Рік тому +6

    ALLAH AKBAR so beautiful MashaAllah ❤❤❤❤ ALLAH akulinde na mabala yote yaki Dunia

    • @asilahassan9965
      @asilahassan9965 Рік тому

      Ammina ya rabbill allamin na sote kiujmla na washaotangulia mbele ya haki atujaalie na husnull khatima kbl ll mauti wabaada ll mauti

  • @SamiraOthman-n5g
    @SamiraOthman-n5g 26 днів тому

    Maa Shaa Allaah!
    Allaah akulipe kila la kheyr sheikh Kishky

  • @wifematerial8943
    @wifematerial8943 Рік тому +1

    Mashaa ALLAH niliiona video ya abdul akikualika alikua na furaha isio kifani,hatimae umetimiza mwito Mashaa ALLAH,ALLAH akuifadhi sheikh kishki uzidi kutupatia dahawa

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 Рік тому +6

    MashaAllaah tabaraAllaah
    Allaah amuhifadhi Sheikh wetu

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 Рік тому

    MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI SHEIKH WETUNINSHALLAH NA MTOTO WETU ALLAH AMUONGOZE INSHALLAH

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 Рік тому +12

    Mashallah ❤ machozi yafuraha yamenitoka kwa upendo wako shehe wetu Allha akuhifadhi ❤

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому +1

    Mashallah, Mashallah Jazakallahu kher inshallah, shekhe kishk

  • @Jafaryahmada
    @Jafaryahmada Рік тому +12

    ماشآء الله، كان أمر الخير في قلوب الناس جزاكم الله خير الجزاء

  • @fatmaissa5685
    @fatmaissa5685 Рік тому

    Shekhe wangu nakupenda sana unatuelimisha sana jazakha allah kheir mwenyezi mungu akuweke sheikh wetu mungu akujalie umri kadri alivyokukadiria

  • @aminanahimana8759
    @aminanahimana8759 Рік тому +3

    😢😢😢😢😢kwakweli nalia kwa furahaa sina la kusema Zaidi ya kusema Allah akujaze kheri Duniani na Akhera Sheikh wetu mpendwa 😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲Ubarikiwe 🤲🤲🤲😍😍

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 Рік тому

    Mashaallah sheikh wetu uko na roho nzur san allah akuzidishie Umr mrefu na mwisho mwema tunakupenda kwa ajili ya allah unafanya kazi nzur sana ni masheikha wachache san wanasikia wito wa watu kwa ajili ya allah ila wewe ni moja wapo ya masheikha watu wazur ❤❤❤

  • @sumaiyaabdalla2818
    @sumaiyaabdalla2818 Рік тому +1

    Mashallah Allah akuhifadhi shekhe wetu .Akulipe khery kwa yote unayoyafanya Aminn

  • @Khadija-tr8du
    @Khadija-tr8du Рік тому +1

    Allah Akuzidishie kheli shekhe kishki na msafara wako Allah Awahifadhi

  • @AminaIssa244
    @AminaIssa244 Рік тому

    Masha'allah shekh kishki, Allah akuzidishie yaliyo na KHERI kwako.
    Kwakweli watoto wengi wanampenda shekh kishki

  • @الشيخابراهيمبنمحمد-ض3و

    Mashaallah Allah Amuhifadi shek nuridin kishki

  • @JamilaIsango
    @JamilaIsango 9 місяців тому

    Allah akupe umri uliomwema sheikh Nurudin Kishki

  • @lolollololi1050
    @lolollololi1050 Рік тому +1

    Masha Allah masha Allah sheik kishki Allah azidi kukulinda😢😢machozi ya furaha yananizidi

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 Рік тому +3

    Mashaallah tabarakaallah Allah amuhifadhi yaani mpaka nimeliya kwa furaha

  • @mohamedoman9344
    @mohamedoman9344 Рік тому

    Mashalllah mashalllah mashalllah jambo nzuri kabisa Allah awajalie afya njema inshallah ❤❤

  • @MkasiAlly-x8q
    @MkasiAlly-x8q Рік тому

    Mashallah mashallah mwenyez mungu atufanyie wepes katka dini yetu

  • @jasminiIssa-y2q
    @jasminiIssa-y2q Рік тому

    Mashaallah shekhe kishiki mungu akuweke huna baya ❤❤

  • @zenakioga6567
    @zenakioga6567 Рік тому +3

    Maashaallah maashaallah shekhe m/Mungu akupe kilà la heri na akupe Nuru kubwa sn katika maisha ya duniani na aherah nakupenda kwa ajili ya allah

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 Рік тому +1

    Mashaallah sheikh kishki Allah akupe umri mrefu

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Рік тому +3

    MashaAllah Jazakhallahu kheiri 🙏🙏🙏🙏

  • @UmuHaitham-v3b
    @UmuHaitham-v3b 9 місяців тому

    Mashaallah shekhe wetu ubarikiwe unapendwa na wengi

  • @fahadsalim3000
    @fahadsalim3000 Рік тому

    Mashallah shekh kishki Allah akuhifadh inshaallah

  • @tatu5133
    @tatu5133 Рік тому

    Mashallah shekhe wallah Allah akulinde na hasad zawat twajuwa kuna wat hawakupend illa Allah aendelee kukupa moyo na sbra wallah❤❤❤

  • @firstlady9848
    @firstlady9848 Рік тому

    Mtoto Abdul Masha Allah, ilbas jadeeda waish hameeda wamut shaheeda,, Masha Allah Masha Allah waminsharri haseedin idhaa hassad ❤❤❤❤❤

  • @jaymwinyi6957
    @jaymwinyi6957 Рік тому

    Mashaallah tabaraqallah sheikh Nurdin kidhki nimelia kwa furaha sanaaa Allah akuzidishie kwa moyo huo mkubwab sheikh

  • @rahmaally5128
    @rahmaally5128 Рік тому

    Masha Allah, tabaarakallah sheikh, Allah atukutanishe nawe jannah sheikh wetu kpnz

  • @rabylicious7178
    @rabylicious7178 Рік тому +1

    Mashallah sheikh kishk allah akupe maisha marefu uendelee kutupa dawa kwakwel huwa nakuwa na moyo mwepec nikifungua tyu channel yako unanipa mafunzi na kunikumbusha njia njema❤

  • @zubedadello9117
    @zubedadello9117 Рік тому +1

    MashaAllah, Allah akuhifadhi shekh Kishk

  • @rashidswalehmwanjama3404
    @rashidswalehmwanjama3404 Рік тому +5

    Masha Allah sheikh kishik

  • @AyshaHamis-qw3gi
    @AyshaHamis-qw3gi Рік тому +2

    Mashallah Mashallah ❤

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 Рік тому +3

    Mashaalah shekhe una upendo sana Allah akuzidishie

    • @ashaidd2912
      @ashaidd2912 Рік тому

      Shekhe inshaalah mwanangu mwakani anamaliza shule form four km unaweza five na six naweza kumleta hapo ili apate elimu ya dini nimependa Hy mtoto ulivyo mkarimu mie single mother wanangu baba alifariki lkn alhamdulillah najituma

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 9 місяців тому

    Masha'Allah Allah azi kukujaze kheri nabaraka nalishaga kujaza 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @oman7710
    @oman7710 Рік тому

    Masha Allah Allah amhifadhi Abdulrahman

  • @sharifaibrahim5573
    @sharifaibrahim5573 Рік тому

    Masha Allah sheikh kishki Allah akujaze kheir na roho nzuri yakupenda watt Sunna hito

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +15

    Mashallah tabaraka llah 🥰 hatimae mekutana 🎉🎉🎉

  • @shd12m55
    @shd12m55 Рік тому

    Dah nimeikubali sana hii video kishk uko safi sana alhamdulillah

  • @mokitaa8750
    @mokitaa8750 Рік тому +4

    MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH

  • @MuhamadHatib-bc1kb
    @MuhamadHatib-bc1kb Рік тому

    Allah atujaalie Kila la kher na awaongoze vijana wetu katika kheri