Maa nshaallah! Shekhe washauli Wenye ndoa zishikeni vizur ndoa ni hadimu wanawake wengi hawana ndoa na wanatamani kuzipata hawazipati. Allah akupe jana Shekhe kwa kazi kubwa uliyo ifanya,. In shaa allah
Manshallah Allah awalipe kila la kheri ma sheikh ila muwaelekeze na ma sheikh wa inching nzingine wako na uwezo wafanye hivo kwasababu si 🇹🇿 tu iko na hiyo shinda
Masha Allah Masha Allah!! Baba kobelo ume ongea sanaa. Zoezi liendelee na mwakani Insha Allah. Ila safari ijayo wenye Wake mmoja mmoja pia wapewe nafasi ya kuongeza ili wajane tustirike Insha Allah.
Sheikh kishiki kuoa wake mpaka 4 si tatizo lkn wanaume wengi hawana mahaba ya kweli kwa wake zao pia wengi wanawaacha ovyo wake zao bila hata sbb yeyeto.
Jaman Mnavisa nyinyi we sheikh jafar ha ha Mwachen Shwikh Nurdiin mwenyewe katulia pirika hizo alizonazo kisha aongeze mke si nikujitia mashakan jaman😢Mwachen Mama yetu Maijemkamtia preasure😀😪
Katika historia ya tz sheikh kishki ameeka hitoria pia kile alichokifanya hakijawahi tokea tanzania In Shaa Allah mungu amlipe kheri yeye na kamati nzima ya Al hikma na wote walochangia.. Amiin
Asalaam alykm nimpongeze shekh Nurudin Kishki nimefurahi kukuona na mtoto abduli akiongea mimi nakuombea kwa mwenyezi Mungu akujalie kila la kher mimi naitwa Safina almasi irika nipo singida natamani uje kwetu utuombee nasi tupate waalimu wakutufundisha pamoja na watoto wetu,,
Namkubali sana kishki, kwenye masuala ya kuoa hafati mkumbo, ana misimamo yake ya kisheria. Pia Mtume alikuja kuongeza baada ya kufa Khadija. Kishki الله akutunzie Khadija wako.
Kwakweli Shekh ulioongea yoote yapo juu ya mstari na saiz tunafanyiwa Kila njia ili Zinaaa ionekane jambo la kawaida na wameshafanikiwa utamkuta mwanafunzi tu wachuo Muislamu anaishi chumba kimoja na John pita pasta wanawake wengi saiz hawazitaki ndio
Shekhe nurdiin kishk mashallah mungu akujarie kheri inshallah mm naisi nipo imala kwenye dini yangu ya kiislam inshallah kheri 😂na waislam wenzangu
Maa nshaallah! Shekhe washauli Wenye ndoa zishikeni vizur ndoa ni hadimu wanawake wengi hawana ndoa na wanatamani kuzipata hawazipati. Allah akupe jana Shekhe kwa kazi kubwa uliyo ifanya,. In shaa allah
MashaAllah Jazakhallahu kheiri,tupo hapa wajane tuliwakosa waume zetu tingali wadogo tusitirieni nasi InshaAllah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mashaallah tabarakaah
Sheikh wetu nakupenda kwajili ya ALLAH
"""♥︎mungu akupe afya njema ""♥︎
""""♥︎♥︎"""shukran sheikh ""'♥︎♥︎
Maa shaa Allah wallah mmenifurahisha kwakweli Alihamndulilah raha ya wasilam ndo hiyo
Subhanallah allah tujirekebishe na turudi kwa allah
SUB HAANA ALLAH.
IN SHAA ALLAH
asalamu alaikum shekh nurudin kishk allh akufanyie wepes ishaallh kwa kutuelimisha n kutuogoza ishall
Allahumma mpe shekh wetu nurudin kishki kher na umpe pepo yako
Maashaallah shekh Ja'afar uko vizuri siku hizi.
MASHAALLAH ALLAH AKBAR
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
Mashaallaa mashaallaa mashaalla ❤❤❤❤❤ shehe Nuru kishik
Manshallah Allah awalipe kila la kheri ma sheikh ila muwaelekeze na ma sheikh wa inching nzingine wako na uwezo wafanye hivo kwasababu si 🇹🇿 tu iko na hiyo shinda
Mashallah
Masha Allah Masha Allah!! Baba kobelo ume ongea sanaa. Zoezi liendelee na mwakani Insha Allah. Ila safari ijayo wenye Wake mmoja mmoja pia wapewe nafasi ya kuongeza ili wajane tustirike Insha Allah.
MashaAllah TabarakkahAllah
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALLAHU BAARIK, AMIIN 🤲
Sheikh kishiki kuoa wake mpaka 4 si tatizo lkn wanaume wengi hawana mahaba ya kweli kwa wake zao pia wengi wanawaacha ovyo wake zao bila hata sbb yeyeto.
Hujakosea na huduma mbovu pia
MASHAALLAH TARAKA ALLAH
Masha Allah Allah atusamehe madhambi zetu
Mashaallah shukrani Ahsanteni nyote nawapenda sana kwa ajili ya Allah
Mashaallah Allihmdulillah
Mashaallah jazakallah khayri shekhe kishk
Jaman Mnavisa nyinyi we sheikh jafar ha ha Mwachen Shwikh Nurdiin mwenyewe katulia pirika hizo alizonazo kisha aongeze mke si nikujitia mashakan jaman😢Mwachen Mama yetu Maijemkamtia preasure😀😪
Walah najiskia raha sana Allah atuifadhie mashekhe wetu nawapenda kwa ajili ya Alla
Katika historia ya tz sheikh kishki ameeka hitoria pia kile alichokifanya hakijawahi tokea tanzania In Shaa Allah mungu amlipe kheri yeye na kamati nzima ya Al hikma na wote walochangia.. Amiin
Amiiin
Uislam raha mashaa Allah
Mashaallah shekhe kishki mungu akulipe Kila ulifanyalo shekhee
Allah akubaliki sheikh Nurdn Kishiki
MashaAllah raha sana mwenyezimungu awajalie maisha marefu🤲🤲🧡🧡
Mashaallah kheri
shekhe kshi nurudin mungu akuweke sana na sana
Mwambie akuoe
@@abi-onlinetv4181kheeeee
Mashaallah
Asalaam alykm nimpongeze shekh Nurudin Kishki nimefurahi kukuona na mtoto abduli akiongea mimi nakuombea kwa mwenyezi Mungu akujalie kila la kher mimi naitwa Safina almasi irika nipo singida natamani uje kwetu utuombee nasi tupate waalimu wakutufundisha pamoja na watoto wetu,,
Masha Allah Allah awape umri mrefu wenye nanufaa hakika nurdini kishki nifano wakuingwa
MashaAllah
Maashaallah uislam ni Raha sana
Hapo wapo wengi tu mliopogwa biti lkn tofauti yenu na huyo mwamba ni UKWELI wake mashallah
Mashallha she nuru dini kishi nakupnda Sana kwa ajilii ya allha allha akupee maisha marefuu
Wewe hufahamu wanawake vizuri
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
Mashalllah kweli
Masha Allah nime furahishwa na utanihuu😂
Mashaalaa mungu akuzishie🎉
Shekh kishk masha allaah mke nimmoja tu
Masha Allha
Walyekum mssalam warrahmathuallah wabarakathu sheikh
Shekhe kishki nimeikubali hiyo suti umechagua rangi nzuri sana shekhe, umependeza..
Shukran jazakalah khairi Allah awahifadhi
Mashallh
Mashallah
Allah barak Mabrook Mabrook
Shekhe Nurdin Kishki Allah skype umri marefu wenye baraka
MASHA ALLAH...ALLAHU AKBAR 🤲 ☝️ 🙏 ♥️ ❤️
Mash Allah uislam raha .
Haahaaaa inafurahisha saanaa kwa kweli unajikuta unacheka bila kizuizi
😂😂😂😂 am here second wife from Tanga 😂😂 Masha Allah khutba nzur sana
Mashallah tabaraka llah 😂😂ila Sheikh Jaafaar bhana 😅😂😂
Namkubali sana kishki, kwenye masuala ya kuoa hafati mkumbo, ana misimamo yake ya kisheria. Pia Mtume alikuja kuongeza baada ya kufa Khadija. Kishki الله akutunzie Khadija wako.
Alikhamdhullillah 😂kwa kutuekea jana nilicheka kwa live ajabu hongereni huu ndio urafiki wa kweli wa kutaniana😂
Maa shaa Allah
Mashallah shekhe
Yani nimecheka hadi raha,ila umemuingilia sana sheh wetu kishki😂😂😂😂❤❤❤
Mashaallah ❤ ❤
😂😂😂shekhe mchokozi.
Maashallah Allah akupeni umri mrefu mzidi kuilingania dini ya Allah ,nasi pia atuwafikishe katika kuilingania.
Asalam alaikum wanaomsema vibaya shehe wetu mungu alone duazao mbayaziwarudie wenyewe
😂😂😂😂 I love my religion so beautiful MashaAllah hakuna utam kama kuwa muislam
🙏
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
Mashallah Mashallah Mashallah Allah awazidishie inshallah
Am proud to be a muslim
Mashaallah Mashaallah hadi raha kwakweli
Mashallah she kushika allah atakuzi dishie
Mashekh hawa nawapenda sana jamani❤❤
Manshaallah
Sheikh upo juuuu mashaallaaah
ما شاء الله
Miongoni mwa Clip nzuri kuliko 😂❤ Maashaa Allah..
Mashaalah so kama bacho
Allah awalinde na awape umri insha'Allah
Haya sasa ndio mafundiso kwenye misikiti juu ya kuhoa wake wengi,😂😂😂😂😂. Ndiposa wengi mnapenda dini hii ya majini😅😅😅😅
Kwakweli Shekh ulioongea yoote yapo juu ya mstari na saiz tunafanyiwa Kila njia ili Zinaaa ionekane jambo la kawaida na wameshafanikiwa utamkuta mwanafunzi tu wachuo Muislamu anaishi chumba kimoja na John pita pasta wanawake wengi saiz hawazitaki ndio
Mashallah ❤
mashallah mwenyezimungu akuhifazi shekh
Mashalaaa
😁😅😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mnafurahisha sana.
Uislamu Raha tupu
❤❤❤
Mashaaaallah
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 subuhanallah 😂😂😂 wallah nimefrah sana khutba murua Sana
Alhamdulilah am so proud to be a Muslim
🙏🙏🥰🥰🥰🤲🤲🤲❤️❤️❤️
😂😂😂😂 alhamdulillah nmefurahi Allah awape umri mashekh wetu
❤❤😂😂❤❤❤❤❤❤ mashaaallaah
mashallah mashallah ❤❤❤😂😂😂
MashaAllah 😂
Masha ALLAH Tabarakallah ❤❤
Ety sheikh anakuna nn🤣🤣🤣 sheikh mchawi mchokozi sana
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Kweli kabisa
Mashaallah mashekhe mnapendeza kwa matani😂😂😂😂
Kweli kabisa dhambi kubwa ni shirk na zinaa, mzinifu katka hadithi kwamba mzinifu na sawa na mwenye kuabudu sanamu
😂😂 MashaaAllah
😂😂😂islam so beautiful ❤😂
Mashaallah 💓❤️💓💓
Mashallah😂
Mashaallah 😂😂😂❤❤❤❤
Apa leo ni mwendo wakuvunja mbavu tu😂😂😂😂
Allah atakulipeni pepo
shehe kishki hadi anasema leo mmeniandama