MashaAlla MashaAlla MashaAlla MashaAlla MashaAlla MashaAlla 💞♥️💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖❤️🧡💛💚💙💜💚MWENYZI MUNGU Amuhifidhi kwa kila hatua na ampe Afiya njema daima 💚💫💌
MaashaaAllah 🤲Yaa Rabbal-aalamiin mjaalie mtomto huyu ajekua sheikh mkubwa mwenye manufaa ktk jamii ya kiisilamu duniani na Aakhera wallah machozi yananilenga baada yakumsikia mtoto huyu Allah Amuhifadh kwa kilalenyekheri duniani na Aakhera ALLAHUMMA AAMIIN 🙏
Masha Allah tabarakaallah Juzi nilioneshwa Na mudir Wangu hapa Oman aliniuliza anatokea wapi nilijiskia Raha nimejibu haraka akabaki ooh . Masha Allah. kaenda kuluonesha mamake kumbe hikikitoto Ni cha Kiswahili..! Allah amhifadhi Kwa Rehema zake🙏
Allah tunakuomba muongoze mtoto huyu .asibadilike .na kua muovu .mjaalie aendelee iviivi .kaz anayofanya ni nzuli sana walai ..mjaalie akulie katika dini na afaliki akiwa katika kulingania dini yako
Maashallah hd machozi yamenitoka kwa raha anazozitoa huyo mtoto Allah azidi kumpa kipaji Inshaallah Shekhe mchukue huyu mtoto umlee Allah atakulipa kumbe yupo hapo tu Kiluvya jaman sio mbali sana
Mashaallah mtoto huyu allah tunamuomba amzidishie elimu yake na Allah ampe umr mrefu na mwisho mwema na sisi pia mtoto huyu nimependa San kwa kipaji chake nataman agekuwa wa kwangu mtoto Ramadhan mzazi wa huyu mtoto mungu amuongeze kumfundisha: amin
Mashaallah natamani ningefikia hata hapo alipo fikia mtoto huyu Ila ndio hivyo tatizo Mimi nimzito kwenye kuifazi yarbi nijalie mjawako niweze kufika huku 🤲🤲
Kwa uwezo wa M.Mungu ukiwa na nia Allah s.w anakufanyia wepesi Kwan yy Allah s.w humuongoza na humuongoa mwenye kutaka kuongoka na kuongozwa inshaAllah tunamuomba Allah s.w atuwezeshe
MashaAllah mwenyezi mungu amzidishie zaidi 😍 Nampenda sana huyu mtoto ananipa moyo sana InshaAllah na mimi nkijaaliwa mtoto awe kama Ramadhan Mubarak InshaAllah
Mtoto Masha Allah anamuongozo wakipaji kizuri Allah amtilie Tawfiq,ila ajitahidi sana zaidi ya sana kujua kusoma Quran kitajwid kila herufu aipe haki yake ndio italeta maana zaidi,Allah atupe Muongozo Ameen.
Asalam Aleykum sheikhe kishki waja wa Allah awo anaitaj khelim kabisa ndugu uyo ili 2pate faida wangap wanasema asaidie na #shekh_kishik. Weka #like na #comments Kama umesoma #comment hii BAADA YA APO NASI KAMA WAZAZI AU WAZAZI WATALAJIWA TUJIFUNZE KUPIA MZAZI WA MTOTO UYO TUNAYO NJIA YA KUONA UMUIMU WA KUWASIMAMIA WATOTO #napo #like na #comment. Kwa #umoja #kabisa
Mashaallah Mashaallah Mashaallah machozi yananimwaika ila ni ya furaha namuomba allah amfungulie zaidi elimu na atuhifadhi na hasad na awajaliye watoto wetu wote tumtizamani mtoto wetu huyu hata misaada ili aendelee zaidi inshaallah
masha Allah may Allah bless with anyone who take part the knowledge of this young shiekh....God bless you all both teachers and parents.masha Allah kwelii
MASHALLAH SHEIKH WANGU KUHUSU KUKAA MBALI SI TATIZO SHEIKH KAMA UMEJITOLEA KUMSAIDIA BAS TUOMBE MUNGU AFANYE WEPES HATA KUKUBALIANA NA WAZEE WAKE UKA MUWEKA WW HAPO BODINGI YA KUR' AAN BAS INSHAALLAH ALLAH ATA TIA NGUVU KWA KUMPOKEA HUYO MTOTO KUA KARIBU NAWE NA KUMFUNDISHA YANAYO MPENDEZA ALLAH PLEASE NI MTIZAMO WANGU MM TU SJUI NA NYIE WENYEWE MNA SEMAJE MTOE HUKO KIBAMBA KUA NAE KARIBU UMFUNDISHE🤲🏽🤲🏽🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Kabisa mtizamo wako nikama wakwangu🤝 Nami ninapendekeza hivyo huyu mtoto anaonekana anakipaji kikubwa na anaweza Leta manufaa makubwa ktk jamii ya kiisilamu duniani
Maashaallah Yaan Hadi nasisimkwa na Mwili Maashaallah Yaan katoto kadogo Maashaallah Sichoki kumsikiliza mm huyu mtoto Anaongea Vzur yaan kiarabu Fasaha Kama Washashi Maashaallah
ما شاءالله تبارك الله Alf alf mabrook Baba wa mtt huyu ni zawad kubwa kitoka kwa Allaah Allah amhifadh yarab na amzidishie kipaj amjaalie ahifadh Qur'an yaarab yakarib yamannan ya dhaljalal wal'ikram😙 Ammin ammin ammin
Waminshari hassid idha hassad yani kila nimuonapo huyu mtoto humuombea hadi wazazi wake wazidishe juudi juu yake hua nasikia raha sana nakutamani aww mwanangu ila Allah awajalie nawetu wawe kama huyu In shaa Allah Amin
Maasha Allah tabaaraqarahman... Wallah machozi yanitoka kwa furaha.. Allah azidi kumuongoza na akikuze kipaji chake na amuepushe na husdaa awe mfano mwema kwa watoto wengine in sha Allah.... Jazaakumu Allahu khairan... 🙏
Maashaallaah!... Allah amzdishie Ilmu na Wepes huyu mtoto Maashaallaah ; Allah amuhifadh na amjaalie mwsho Mwema Pamoj na Shekh Kishk jaman Nmefurah Saana kuwaona #Aamin
Masha Allah mtoto ana kipaji kikubwa sana ila anahitaji afunzwe qur'an na haditihi za mtume S,A,W pamoja na elimu zengine za kisheria kama alivyo sema shekh kishk pana haja kubwa sana kufunzwa huyo mtoto ili afikisge daawa kiukamilifu ALLAH AMUHIFADHI NA AMZIDISHIE KIPAJI
Asalam alaykum warahmatullh wabarakatu ndugu yangu Katika Iman au shekhe wangu kwanza tu mshukuru Allah (s. w) kwa kutufikisha salama tukiwa na afya na kusikilizana Tena tuseme alhamdulillah mimi nampenda kusema huyo MTOTO anakipaji nakuomba mumsaidie ili aje awe taifa LA badae hapa Dunia na Allah atamlipa malipo yake huko akhera wabillataufiq
Kwa kitendo cha kuwa hajafunga na Kusema ukweli kujijua kuwa umri wake bado nikipimo kikubwa kuwa huyu Kijana Nimkweli wala hafanyi maigizo. Allah amuhifadhi Huyu Kijana na atuongoze nasi nafamilia zetu.
Mashallha tabaraka allha yani mpaka nimelia walhai 😭😭😭mtt ana maneno mazito ata mm mtumzima siyajui yani namsikiliza mpaka mwili umenisisimka ongera kwa wazazi wake kwa kumlea katika mingi ya dini kija wao lnshallha allha azidi kumfanyia wepesi aweze kuifazi Quran na shekhe tunaomba umshike mkono huyu kijana hii amana ya kesho allha atakuzishia zaidi kwa unacho kifanya kwa ajili yake lnshallha pia Allha ajalie vizazi vyetu wawe wenye kumpendeza Allha subhanallha watahara
Mashallah Allah amlinde na amuongoze kijana huyu katika kheri yakuijuia dini yake kwa ukubwaa ...tunakuomba sheikhe wetu kishik umchukue huyu kijana na amini hushindwii kabisaa katika hilo ....aallah amlipe malipo mema mwalimu wake wamdrasa pamoja na wazazi wake ameen
Yaret Sheikh ungemtafutiya hali ukamsimamiya na kumsomesha kwa mahad yako itakuwa bora na kama kuma msaada wowote utuarifu tuweze kumsaidiya awe karibu na mahad yako, shukran
MashaAllah mwanangu Allah azid kukupa elmu zaid ya hii....USHAUR WANGU KWA BABA WA MTOTO ....KAMA SHEIKH KISHK AMESEMA KAMA ATAMSAIDIA KUHIFADH QUR AN NA MAMBO MENGINE....NINGESHAUR AMUHAMISHE HUKO KIBAMBA AENDE HUKO TMK AKAPATE ELMU ZAID ITAMNUFAISHA YEYE N NYIE WAZAZ NA ALIYEMSAIDIA....WALLAH AALAM
Shekhe yule mtoto mwenyekipaji aliekuombea dua 2021 yuko wapi nakuombea sana shekhe kishki kwakuupaza wiislam nakuwashika mkono pale unapoona vijana wanajikongoja nawoote wanaofikisha ujumbe wa mungu awafanyie wepesi
aongea kma shk othman maalim mashallah ramadhan wetu allah amlinde na amuepushe na hasad allah humpa amtakaye utashangaa uyo mtoto kasoma wapi allah akbar
Alie muona shekhe Nurdin ana mchekea shekhe Ramadhan kwaraha anayoipata nani?wallah mtoto anatia raha uyu Mashaallah mashaallah ❤❤
Mashaallah tabaraka Allah
Mashalah walah 😘
Mashaallah
Yaani mi nampenda hadi natamani nimuibe...hahahaa....huchoki kumskiliza wallah
@@zainabyussuf738 usimuibe utafungwa. tufanye dua2 mungu atupe watoto wema .maana watoto miaka hii mtiani madishi matupu😁
MashaAlla MashaAlla MashaAlla MashaAlla MashaAlla MashaAlla 💞♥️💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖❤️🧡💛💚💙💜💚MWENYZI MUNGU Amuhifidhi kwa kila hatua na ampe Afiya njema daima 💚💫💌
Maashallah kishiki mshike mkono huyo mtt lnshaallah
Ameen
MaashaaAllah 🤲Yaa Rabbal-aalamiin mjaalie mtomto huyu ajekua sheikh mkubwa mwenye manufaa ktk jamii ya kiisilamu duniani na Aakhera wallah machozi yananilenga baada yakumsikia mtoto huyu Allah Amuhifadh kwa kilalenyekheri duniani na Aakhera ALLAHUMMA AAMIIN 🙏
Amin Yarabi
Mashaallaah. Tabaraka llaaah
Masha Allah may Allah protect this young boy my tears cant stop while watching this hadith.😢😢. I love❤
Ameen
MashaAllah nampenda huyu mtoto kwa ajili ya Allah..
Masha Allah
Mashaallah
shekhe uyoumuwezi kiboko yako
@@masoudhemed8615 ppapPsz mm é
Machallah nampenda huwo mtoto ata kubali kuja komoro kwa adjili ya danwa?
Masha Allah tabarakaallah
Juzi nilioneshwa Na mudir Wangu hapa Oman aliniuliza anatokea wapi nilijiskia Raha nimejibu haraka akabaki ooh . Masha Allah. kaenda kuluonesha mamake kumbe hikikitoto Ni cha Kiswahili..! Allah amhifadhi Kwa Rehema zake🙏
safi sana
amin
MA sha Allah Tabaraka wataala
Hakika mashaallaah Tabarakaallah, Mola amjalie mtoto huyu azidi kuwa mwenye kufata njia alizorizia Allah na mtume Muhammad(S. a. w)
Humtum
Kutika Burundi tunamba mtuazime uyu mtoto ili aje kutupa daawah. Sheikh Ramadhan Allah akuongize akupe umri mrefu na akulinde na husda. Masha Allah
Mashallaah tabaaraqa llaah
Masha Allah
Allahumma Aammeen
Mashallah
@@osamaalharthy4150 Asalam alaikum tunakuja burundi mwezi wasita
Mashallah huyo mtoto ni pacha wa kishk, mungu amuepushie na balaa pamoja na husda na allah amuhafidhi ameen.
Ameen
Allah tunakuomba muongoze mtoto huyu .asibadilike .na kua muovu .mjaalie aendelee iviivi .kaz anayofanya ni nzuli sana walai ..mjaalie akulie katika dini na afaliki akiwa katika kulingania dini yako
Maashaa allha tabaraka llhah
Amin
Ameen
Maashallah hd machozi yamenitoka kwa raha anazozitoa huyo mtoto Allah azidi kumpa kipaji Inshaallah
Shekhe mchukue huyu mtoto umlee Allah atakulipa kumbe yupo hapo tu Kiluvya jaman sio mbali sana
Mashaallah vzr
Mashaallah allah akujaz na elimu ndg yng daw yk nzr san
Mashallah😘Tabaraqallah😘luck words to say😭😭😭...may😘😘😘 Allah guide this little boy (swiratul mustaqiim)In Sha Allah🙏
Mashallah😘😘🤲🤲🤲
Marshall's tabataqallal
Shekh wetu simamia uyo mtoto mushike mokono kipaji ico kisipoteye insh'allah 🙏🙏😭😭😭
Naam wamshike asipoteze kipaji in Shaa Allah
Naam shehk tunataan hata watot wetu wawe hivyo jaazaakaallah
Mansha Allah
@@abdihakimadan4279 mashallah allah azidi kukupa kiaj
Kwel watoto hawa c rahisi upate sai
Mashaallah mtoto huyu allah tunamuomba amzidishie elimu yake na Allah ampe umr mrefu na mwisho mwema na sisi pia mtoto huyu nimependa San kwa kipaji chake nataman agekuwa wa kwangu mtoto Ramadhan mzazi wa huyu mtoto mungu amuongeze kumfundisha: amin
Mashallah.
Mashaallah
Mashaallah tabarakaallah
Amiin yaa Rabb
آمییییین
Mashaallah natamani ningefikia hata hapo alipo fikia mtoto huyu Ila ndio hivyo tatizo Mimi nimzito kwenye kuifazi yarbi nijalie mjawako niweze kufika huku 🤲🤲
Kama nia unayo basi amini utaweza tu
Kwa uwezo wa M.Mungu ukiwa na nia Allah s.w anakufanyia wepesi Kwan yy Allah s.w humuongoza na humuongoa mwenye kutaka kuongoka na kuongozwa inshaAllah tunamuomba Allah s.w atuwezeshe
😊hichi kitoto kinasauti mzuri mashallah halafu kama sio kibongo kinatamka r na l vizuri sana 😍
Saana saana allah amjaze hekma
Tena anazijua kwa ufasaha R na L kuliko wakubwa
Shekhe wetu msomeshe uyo mtoto uwezo uwo unao au mchukue msimamie waislam wenzie tupo toa nambayasim tushilikiane inshaAllah
Niukweli kabisa
Tàtizo inasemekana baba yake mtoto ni mbishi sana.
Allah amlinde huyo mtoto amueposhe na hasadi
MashaAllah taabarakallah
Allah akuifathi mwanangu
MashaAllah mwenyezi mungu amzidishie zaidi 😍 Nampenda sana huyu mtoto ananipa moyo sana InshaAllah na mimi nkijaaliwa mtoto awe kama Ramadhan Mubarak InshaAllah
Amiin
Ameen thuma ameen dadangu 🤲🤲🤲✔️
Hahtaji dua yke shekh Ramadhani aniombee jpo yko mbali
Ameen
Mashallah I wish I could marry you
Masha Allah, shekhe unavomuona kwa jicho la furaha Masha Allah mwanangu Allah akuongeze kipaji chako
Mtoto Masha Allah anamuongozo wakipaji kizuri Allah amtilie Tawfiq,ila ajitahidi sana zaidi ya sana kujua kusoma Quran kitajwid kila herufu aipe haki yake ndio italeta maana zaidi,Allah atupe Muongozo Ameen.
Maasha Allah, kwa mtazamo wang huyu mtot anaskiliza sana mawaidhwa ya sheikh OTHMAN MAALIM nivyema angalimchkuwa na kumfndsha elim ya din
Asalam Aleykum sheikhe kishki waja wa Allah awo anaitaj khelim kabisa ndugu uyo ili 2pate faida wangap wanasema asaidie na #shekh_kishik. Weka #like na #comments
Kama umesoma #comment hii BAADA YA APO NASI KAMA WAZAZI AU WAZAZI WATALAJIWA TUJIFUNZE KUPIA MZAZI WA MTOTO UYO TUNAYO NJIA YA KUONA UMUIMU WA KUWASIMAMIA WATOTO #napo #like na #comment. Kwa #umoja #kabisa
Shekh kishiki kama baba yake ataridhi tafadhal mchukue umuweke katika familia yako na inshaalah Allah atakulipa kheri kwa kumuendeleza mtoto huyo
Mashaallah mashaallah ❤️ Allah amuhifadhi
Amchukue sheikh ampatie elmu Allah atamlipa kwa hilo
Mashaallah 🙏🙏🙏 Allah amzidishiee 🙏🙏🌙
Mashaallah Mashaallah Mashaallah machozi yananimwaika ila ni ya furaha namuomba allah amfungulie zaidi elimu na atuhifadhi na hasad na awajaliye watoto wetu wote tumtizamani mtoto wetu huyu hata misaada ili aendelee zaidi inshaallah
Kweli
masha Allah may Allah bless with anyone who take part the knowledge of this young shiekh....God bless you all both teachers and parents.masha Allah kwelii
Swadakta sheikh wetu wallah binafsi nafurahi yaarab ampe umri mrefu sheikh wetu ramadhan
Mashallah Mungu amuongoze, vitu vyote anatoa kichwani, bahati iliyoje kuwa na mtoto wa namna hii.
Alllah amzishie
Mashallah mtoto mzur hakika Allah amekuleta kwa sababu Allah akujaalie kila lenye kheri inshaallah
M.a
😪😪 WALLAH MTOTO KAONGEA MANENO MAZITTO HADI MWILI UNASISIMKA: TUNAMUOMBEA KWA ALLAH AMUEPUSHE NA HASAD: NA MWENYE KUSEMA AMIIN👏
My inshallah tabalak llah
Allah ibarik.mola azidi kumkuza mwana huyu kwa tarbiya islamiya
MY GOD!!!! I LOVE THIS KID......MORE AND MORE LIFE!
Mashaallsh 😘💓
Allah akulinde mbali na hasad na vijicho InshaAllah Amiin
Mungu hamjarie mtoto na wazazi wake hazidi kutoa dawa
Ameen
امين
Mashaallah Mashaallah mtoto huu anaujumbe mzito ndani yake nivizulii Sheikh Kishk ukaendelea kua nae karibu ili kipaji chak kisipotee
Can you tell me this language💯
@@soomaalimanintheworl2330 he speak kiswahili
Macha Allah Macha Allah Yarrabbi protège cet enfant et tous les enfants du monde entier inchallah guide nous tous inchallah
MASHALLAH SHEIKH WANGU KUHUSU KUKAA MBALI SI TATIZO SHEIKH KAMA UMEJITOLEA KUMSAIDIA BAS TUOMBE MUNGU AFANYE WEPES HATA KUKUBALIANA NA WAZEE WAKE UKA MUWEKA WW HAPO BODINGI YA KUR' AAN BAS INSHAALLAH ALLAH ATA TIA NGUVU KWA KUMPOKEA HUYO MTOTO KUA KARIBU NAWE NA KUMFUNDISHA YANAYO MPENDEZA ALLAH PLEASE NI MTIZAMO WANGU MM TU SJUI NA NYIE WENYEWE MNA SEMAJE MTOE HUKO KIBAMBA KUA NAE KARIBU UMFUNDISHE🤲🏽🤲🏽🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Kabisa mtizamo wako nikama wakwangu🤝 Nami ninapendekeza hivyo huyu mtoto anaonekana anakipaji kikubwa na anaweza Leta manufaa makubwa ktk jamii ya kiisilamu duniani
swadaktaah maneno yakomazima tena yana mashiko madhubuti kabisaa👍
Mashallah allah yongeze iman mtoto wet inshallah😘🇧🇮🇴🇲
MashaAllah TabarakAllah Shekh Msaidie Apate Elimu Katika Shule Yako Apate Elimu Ya Dunia Na Akhera InshaAllah
Allahumma amiin🤲🤲🤲🤲
This boy is a Legend. MashaAllah
MashaAllah
Maashaallah Yaan Hadi nasisimkwa na Mwili Maashaallah Yaan katoto kadogo Maashaallah Sichoki kumsikiliza mm huyu mtoto Anaongea Vzur yaan kiarabu Fasaha Kama Washashi Maashaallah
Yani Adi unatamani Ukaibe Wallah natamani kawe Kanangu😍💕 Ilove Mtoto wangu Mie niko na Binti wa Miaka 12 Nataka uje kuwa Mkwe wangu😂😂 Wallah
🤲
mashaAllah Allah akuongoze mwanangu ktk haqi .amin
Maashaallh Allah anyie wepesi wa kila jmbo
Allah akongezeye ilimu🤲🤲🙏
ما شاءالله تبارك الله Alf alf mabrook Baba wa mtt huyu ni zawad kubwa kitoka kwa Allaah Allah amhifadh yarab na amzidishie kipaj amjaalie ahifadh Qur'an yaarab yakarib yamannan ya dhaljalal wal'ikram😙
Ammin ammin ammin
Ameen
Alhamdulilah mungu akutilie kheiri na baraka katika daawa yako mtoto Ramadan akuzidishie ilimu ameen
Hapa namuona Shekhe Othuman maalim..Mashallah Allah akuhifadhi..
Mashallah Allah azidi kukupa daraja kubwa mwangu Allah akulinde na hasada zote inshaallah
Amiin Amiin yaa Rabb
Amiin
Jana nilipokua namskiza nikajisemea mbona kishik asimuite mashallah
Allahumma Amiin
Amin
Waminshari hassid idha hassad yani kila nimuonapo huyu mtoto humuombea hadi wazazi wake wazidishe juudi juu yake hua nasikia raha sana nakutamani aww mwanangu ila Allah awajalie nawetu wawe kama huyu In shaa Allah Amin
amin amin amin
Allah Jalaali amlinde mtoto Ramadhan na husda za waja na akulinde na wewe Sheikh Kishki
Amin Yarabi
Amiin yarabal alamiin
Mashallah naskia faraja sana kumskiza huyu mtoto mwenyezmngu amuepushe na hassad waminsharil hasidin iza hassad 😘
Mash Allah tabarakallah mtoto ramadhani tunakuombea umri mrefu Ili uje kulingania watu ktk Mambo ya kheri
Mashaalh mungu amuhifadhi amlinde na azidi kumpa yote mazuri alie kuahahid
Alhamdulilahi
Amina yarabi😭
Mashaallah mashaallah subhannallah 😭 Allah amzidishie elim amkinge na hasad waislam wafaidike na elim ya Allah Inshaallah
Mashaallah inapendeza, shekhe kishki tafadhali kuwa bega kwa bega na mzazi Wa huyo mtoto mumsimamie ktk kipaji alicho nacho,.
Mashaallah, Tabaraka Rahmaan, Allah amuongoze mtoto huyu! Mpaka machozi yamenitoka!
Menywew yananitokaa
Ma shaa Allah tabaraka'Allah ma sheikh wetu sheikh mkubwa na sheikh mtoto nime enjoy kuwaona, Allah awape umri mrefu
Man shaa Allah !may Allah bless you all.love from 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Amiin
Mashallahu........ Allahu akunafa ....mungu Anipe mutoto kama huyo kweli burundi wangu akuwe wakwaza
@@salimumbonyumukiza7032آمين
Yarab mkinge mtoto wetu hyu na hasada kama ulivomkinga na hasada Mtume Muhammad S.A.W
Allahumma amiin🤲🤲🤲
Masha Allah tabaaraka Allah...sheikh kishik anafuraaahi Masha Allah...Ni raha Sana wallahi
Maasha Allah tabaaraqarahman... Wallah machozi yanitoka kwa furaha.. Allah azidi kumuongoza na akikuze kipaji chake na amuepushe na husdaa awe mfano mwema kwa watoto wengine in sha Allah.... Jazaakumu Allahu khairan... 🙏
MashAllah 😍 👌may Allah bless and guide him... Ameen 🤲
Mashaallah Allah awalinde nyote wawili kwa kila la shari awafunike na malaika wake wema na sisi miongoni mwetu tupate watoto kama huyu ameen 🤲🤲🤲
Allahumma amiin🤲🤲🤲
MashaAllah namuona mbali Sana mtoto nzur ukuwe Ktk muongozo ulionao mpaka ukubwani
Mashallah!! mashallah!! mashallah👌 Allah azidi kumuongoza uyu mtoto na Allah atujaalie vizazi vilivyoongoka 🤲🤲
Amiina inshallah
Maashaallaah!... Allah amzdishie Ilmu na Wepes huyu mtoto
Maashaallaah ; Allah amuhifadh na amjaalie mwsho Mwema Pamoj na Shekh Kishk jaman Nmefurah Saana kuwaona #Aamin
Masha Allah mtoto ana kipaji kikubwa sana ila anahitaji afunzwe qur'an na haditihi za mtume S,A,W pamoja na elimu zengine za kisheria kama alivyo sema shekh kishk pana haja kubwa sana kufunzwa huyo mtoto ili afikisge daawa kiukamilifu ALLAH AMUHIFADHI NA AMZIDISHIE KIPAJI
Mashallah, sheikh kishki tuletee huyo kijana kwenye mashindano ya quran in sha allah
Mashindano lini jaman
@@prettyh7509 jumaa pil taree25
@@prettyh7509 IH
Kwauwezo wa Allah huyu mtoto hio tarehe 25 InshaAllah atakuwa mshindi kwamaana ako makini sana MashaAllah tabarakallah
Masha Allaaaah huyu kijana yuanahamasisha yianaliza kwa furah , Allah azid mjaza kheri na barka na life ndefu na ilmu kubwa atakay ieneza kwa watu
Mashallah Allah amhifadhi ❤
MashaAllah, Mie niko tayari kumsomesha huyo mtto naomba mawasiliano.
Shekh ramadhan baraka
Asalam alaykum warahmatullh wabarakatu ndugu yangu Katika Iman au shekhe wangu kwanza tu mshukuru Allah (s. w) kwa kutufikisha salama tukiwa na afya na kusikilizana Tena tuseme alhamdulillah mimi nampenda kusema huyo MTOTO anakipaji nakuomba mumsaidie ili aje awe taifa LA badae hapa Dunia na Allah atamlipa malipo yake huko akhera wabillataufiq
Masha Allah mungu amuhifadhi na amlinde na amjaliye maisha marefu In Shaa Allah... 😇❤️❤️❤️❤️
Maashalah Allah akulipe mwanangu kwa helimu hiyo nasi atuongozee watoto wetu wasimame katika dini.
Maa shaa Allah tabaarakAllah, Allahumma baarik wa zid. All he needs is a proper Quran school, in shaa Allah he's gonna be a great Daai.
ماشاءالله تبارك الرحمن حفظه الله من كل شر و سوء
Huyu mtoto shehke kishk mchukue hapo alhekima atakuwa karibu nawe mashaalah
Mashallah allah amhifadh na amzidishie kipaji atujaalie nasi watto mfano wahuyu mwana inshaAllah
Mashaalah mtoto ana kipaji sana mungu amjalie maisha marefu👏👏👏👏
Kwa kitendo cha kuwa hajafunga na Kusema ukweli kujijua kuwa umri wake bado nikipimo kikubwa kuwa huyu Kijana Nimkweli wala hafanyi maigizo.
Allah amuhifadhi Huyu Kijana na atuongoze nasi nafamilia zetu.
Mashallha tabaraka allha yani mpaka nimelia walhai 😭😭😭mtt ana maneno mazito ata mm mtumzima siyajui yani namsikiliza mpaka mwili umenisisimka ongera kwa wazazi wake kwa kumlea katika mingi ya dini kija wao lnshallha allha azidi kumfanyia wepesi aweze kuifazi Quran na shekhe tunaomba umshike mkono huyu kijana hii amana ya kesho allha atakuzishia zaidi kwa unacho kifanya kwa ajili yake lnshallha pia Allha ajalie vizazi vyetu wawe wenye kumpendeza Allha subhanallha watahara
Si ww tuu sote
Mashalalh mungu ampee umri mrefu na amuhifadhi
Wow...congrats Ramadan keep it up baby boy my Allah be with you
Masha Allah ingekua vyema awepo jumaapili apewe hata nusu saa atuusie kidogo in sha allah
Maa shaa ALLAH tabaraka ALLAH ALLAH AKUONGOZE KATIKA NJIA ILIONYOKA 🤲🤲🤲🤲🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤️❤️❤️❤️
Mashallah Allah amlinde na amuongoze kijana huyu katika kheri yakuijuia dini yake kwa ukubwaa ...tunakuomba sheikhe wetu kishik umchukue huyu kijana na amini hushindwii kabisaa katika hilo ....aallah amlipe malipo mema mwalimu wake wamdrasa pamoja na wazazi wake ameen
Mashaallah kipenz cha watu natamani mtoto hata uwe karibu na mtot wangu mashaallah kishk hapo raha tupu
Masha allah masha allah. mungu amrinde. amjalie afya njema amzidishie eelimu kubwa ajekuwa kama shekhe nurdin kishki
baraka allah feek ya akhi ramadhan wa el sheikh keshk fi jm3km el mbark o zadnkm wi iyana mn fadhlh alhamdulilah ameen
MashaAllah mungu azidi kukuongoza Wallahi adi machozi yananitoka 😭 kwa furaha jmn mungu akulinde
mashaAllah. Allah mhifadhi mja wako huyu na mzidishie elimu 🤲♥️
Amin Yarabi
ماشاءالله ماشاءالله ماشاءالله ماشاءالله ماشاءالله ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
ماشاءالله تبارك الله
ماشاءالله تبارك الرحمان ❤❤❤❤❤
Hakuna sababu yakumuwacha akapoteza kipaji chenyefaida yaallah muwafikishe sheh wetu ili awemingoni mwamasheh wakubwa amin
Masha Allah tabarakallah, may bless this little boy ameen ya Kareem
Mashaa Allah Napenda huyu mtto mola akuzidishie naomba nmm mola anijaalieَ mtto wakiume akuige ww in shaa Allah
Amiin
Amiiin Amiiin ya rabiii takbar duwaa
Mashaa Allah wallah natokwa na Machozi jili ya huyu mtoto kipaji hico ni barka kubwa kutoka kwa Allah
Yaret Sheikh ungemtafutiya hali ukamsimamiya na kumsomesha kwa mahad yako itakuwa bora na kama kuma msaada wowote utuarifu tuweze kumsaidiya awe karibu na mahad yako, shukran
Sheikh kishk nakuomba kwa Baraka za Allah mchukue huyu mtoto, simamia majukumu yake ya elmu, wallahi utakapa faida kubwa mbele ya Allah.
MashaAllah, mungu akuongoze na akulinde kijana.
Amiina yaarabby🤲🤲
MashaAllah mwanangu Allah azid kukupa elmu zaid ya hii....USHAUR WANGU KWA BABA WA MTOTO ....KAMA SHEIKH KISHK AMESEMA KAMA ATAMSAIDIA KUHIFADH QUR AN NA MAMBO MENGINE....NINGESHAUR AMUHAMISHE HUKO KIBAMBA AENDE HUKO TMK AKAPATE ELMU ZAID ITAMNUFAISHA YEYE N NYIE WAZAZ NA ALIYEMSAIDIA....WALLAH AALAM
Mashaallah tabaraka laa wallah namuomba Allah nami anijaalie nipate mtoto km hy
Dah Maashallh....I feel cry 🤗🤗😢😢
May Allah give him good health and safety life Amreen
Shekhe yule mtoto mwenyekipaji aliekuombea dua 2021 yuko wapi nakuombea sana shekhe kishki kwakuupaza wiislam nakuwashika mkono pale unapoona vijana wanajikongoja nawoote wanaofikisha ujumbe wa mungu awafanyie wepesi
Manshallah Allahakubarayo shekh kishki nakushukuru
aongea kma shk othman maalim mashallah ramadhan wetu allah amlinde na amuepushe na hasad allah humpa amtakaye utashangaa uyo mtoto kasoma wapi allah akbar