SHUHUDIENI WATOTO WALIVYOMSHAMBULIA VIBAYA SANA MAMA YAO MWEMA LAKINI SULUHU YA AJABU YA PATIKANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @nibigiramwajuma7925
    @nibigiramwajuma7925 3 роки тому +62

    Ya allah wahurumie wazazi wetu kama walituhurumia tukiwa wadogo

  • @muhammadmrmj6228
    @muhammadmrmj6228 3 роки тому +2

    Shekh othman michael nimekubali kazi yako mashallah allah akjaalie uingie peponi kwa rehma yake bila ya hesabu.
    Amin😢😓😓😢😢😟

  • @jumakasim8784
    @jumakasim8784 3 роки тому +121

    Mimi kama mimi sheikh Othman Michael nakuombea kheli sana Allah akuzidishie kila lenye kheli

  • @user-wv2uy6iz5h
    @user-wv2uy6iz5h 3 роки тому +40

    Wallahi mipia nafurahi kwa msamaha ,machozi yanitoka mama ni pepo ukiikosa moto watungoja.subhanallah watoto wana ilmu wameteleza yarab tuongoze

  • @sharifahamisi9812
    @sharifahamisi9812 3 роки тому +27

    😭😭😭😭😭hili nifunzo kubwa sana kwetu na shekh Othuman Allah Akulipe kher nyingi kwa kazi yako hii wallah nimelia😭😭😭

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 роки тому +39

    Naww shehe mungu akulipe hery nakupenda sana shehe Othman kwaajili ya Allah hatuna chakukulpa ss ila Allah atakulipa ishalla

  • @maryamtemba1760
    @maryamtemba1760 3 роки тому +403

    Kila alie toa machozi kama Mimi agonge like hapa😭😭😭😭😭

    • @abdulazizhabib4581
      @abdulazizhabib4581 3 роки тому +1

      Shukran Shekh othman

    • @kapolomgodi699
      @kapolomgodi699 3 роки тому +4

      Maasha llah jazakallah khair. Sionduguzangu wadam ilakwaimani inasikitisha sana. Alla akulipe kheir shekh kwa wema wako. Mtihani alla awafanyie wepesi isha allah nawewe utalipwa na allah

    • @mariambakari996
      @mariambakari996 3 роки тому +1

      Yaani nimejikuta namwaga machozi tu allah atupe mioyo ya kusamehe na tuwaheshimu wazazi

    • @maryamtemba1760
      @maryamtemba1760 3 роки тому +2

      @@mariambakari996 Amiiin

    • @zayrahashbah7367
      @zayrahashbah7367 3 роки тому

      @@mariambakari996 Ameen

  • @aishasalimaishasalim1323
    @aishasalimaishasalim1323 3 роки тому +31

    😭😭😭😭😭😭 Mungu haniwekee mama hangu nampenda sana
    Inaniuma sana... Ninapoonamtu anakosanana mzaziwake

  • @hamidakhalfan3334
    @hamidakhalfan3334 3 роки тому +20

    Allah akulipe shekh hakika mwenye kujutia kosa bas Allah humjaalya neema I love mama

  • @wardajoseph6909
    @wardajoseph6909 3 роки тому +3

    Subhana allah watoto wengi wana tabia hii ya kuwasingizia wazazi wao wachawi haswaaa wale wanaeolewa huwa chanzo cha kuwatia fitina waume zao allah akulipe kheri shekh wetu

  • @abubakari.i.gwandi5972
    @abubakari.i.gwandi5972 3 роки тому +49

    Allah amuweke mama yangu mahala pema peponi, amuondoshee adhabu za kaburini, nimejikuta natoa machozi jaman tuwajali mama zetu walohai na tuwaombee dua walotangulia 😭😭😭😭🙏🙏

  • @aminakidunda8981
    @aminakidunda8981 3 роки тому +22

    Wallah nimelia Sana kuona mama anahisiwa vibaya na watoto wake wakuwazaa shekhe allah akulipe na ss we gine tumejifunza kitu kikubwa sana

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 3 роки тому +1

      Naomba kuuliza ndugu zanguni hivo hii ni Kweli imetokea au Wanafanya acting tu?!🤔

    • @zainabalex388
      @zainabalex388 3 роки тому +1

      @@fatmaabdallah7709 hiyo nkweli

    • @mtukwao7527
      @mtukwao7527 3 роки тому +1

      Mashallha nasisi tunajifumza

  • @muliksuleiman1633
    @muliksuleiman1633 3 роки тому +22

    Mwenyezi mungu atakufanyia wepesi at akubark atakupa noor pamoja na family akupeni pepo ya duniani na akhera

  • @mysalhasadala1985
    @mysalhasadala1985 3 роки тому +16

    Yaarabbi aniepushe na maneno nitakayokuwa nazungunza mbele ya wazazi wangu hadi nimejikuta natoa machozi kwa hiki radhi ya mama inauma sana Yaarabbi niepeshe na maneno ya kiibiris mbele ya mama yangu😭😭imeniuma sana ila sheikh othumani asante sana kwa kusaidia kuwaombe msamaha kwa mama maana mama alikuwa amekasirika sana .kwahili nitamtii mama yangu maisha yangu yote🙏🙏

  • @mohammedjuma9449
    @mohammedjuma9449 3 роки тому +26

    Allah akuzidishie kher kweny maisha yak Shekh wetu

  • @aminaamina3972
    @aminaamina3972 3 роки тому +10

    Wallah nimetoa machozi sheikh Allah akupe umri mrefu akuzidishie heqima na busara akujazie thawabu akawunt ya. Akhera

  • @asmabintikiwa1826
    @asmabintikiwa1826 3 роки тому +3

    Kama ww msambaa gonga like twende pamoja Hongea shekhe wetu mungu akuongoze tifeifike

  • @najmahnnn1305
    @najmahnnn1305 3 роки тому +13

    Wallah mumeniliza kwa machungu aliokuwanayo Huyo mama mwenyezi mungu akupe afwa njema na umri mrefu.

    • @najmahnnn1305
      @najmahnnn1305 3 роки тому +1

      Tumrejeeni mwenyezi mungu unapo kosa enyi ndugu zetu waimani.

    • @mwanahamisizonga9948
      @mwanahamisizonga9948 3 роки тому

      Alhamdulillah alhamdulillah mamayng mungu akuongezee tuzid kupendana

  • @nadiaalnamaani9603
    @nadiaalnamaani9603 3 роки тому +9

    Mashallah sheikh othman mpaka nimetoka na machozi Allah akupe afya na umri mrefu na Allah akupe kheiri hapa dunian na kesho akheira ameen ya rabi

  • @khadijahmadua4811
    @khadijahmadua4811 3 роки тому +17

    😭😭😭😭wallh nimelia,mungu naomba nipe maneno matamu na mama yangu

  • @user-wv2uy6iz5h
    @user-wv2uy6iz5h 3 роки тому +18

    ALLAH akujaalie umri mrefu shekh wetu,ALLAH atuongoze

  • @user-ij6ee5kx6n
    @user-ij6ee5kx6n 2 місяці тому

    Allah akupe maisha marefu shekhe Othman uwepo wako katika dunia hii umesaidia wengi ambao wasingepata elimu kutoka kwako wangesha tengana,,,😢😢 hakika unaunganisha jamii ya kiislamu isitetereke 🤝🤝 Allah akupe maisha marefu na afya njema daima🙏🙏🕌

  • @leylayusuf435
    @leylayusuf435 3 роки тому +13

    SubuhanaAllah yani Allah aniekeemamaangu nachochote atakacho niweze kumtimizia niwe ninacho au sina niweze kujituma hadi aridhike mkubwa hakusei mdogo mama Allah akulipe kheri na baraka tele

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 3 роки тому +13

    Sheikh !! Allah akupe mwisho
    Mwema
    Ameen.

  • @ruqayyahfille3656
    @ruqayyahfille3656 3 роки тому +5

    MashaAllah MashaAllah Allah akulipe gheri na baraka sheikh wetu nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @KwizeraNasri
    @KwizeraNasri 25 днів тому

    Ewe mama yetu mwenyezimungu akubari kwakuaseme wa Toto wako🙏🙏chekh wetu mwenezimungu akubarik kwa ufundisho wako🙏🙏🙏🙏🙏🇧🇮

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 3 роки тому +35

    Nimejikuta nalia wallahi mungu atujaalie kizazi kilicho bora

  • @kanyangezafaraniddi6518
    @kanyangezafaraniddi6518 3 роки тому +6

    ALLAH AKBAR yani nimeliya saan .Mama wampe msamaha wanao kwa ajili ya ALLAH from🇨🇦🇨🇦

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 3 роки тому +8

    😭😭jaman tujitahidi kuwatendea wema wazazi wetu apo mzazi akifa n hujapata msamaha sijui unaenda kujiokoa vp n adhabu z allah nampenda sasa mama yng 😘

  • @user-vl4md8rj6i
    @user-vl4md8rj6i 7 місяців тому

    Mashaallah mashaallah mashaallah mola akube maisha marefu akuzidishiye iman akuhifathi

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 3 роки тому +11

    Mtihani yarab yaallaah tupe mwisho mwema

    • @ashatasaidi6481
      @ashatasaidi6481 3 роки тому

      AMEEN, ALLAHUMMA AMEEN, YAA RABBIL ALAMEEN

  • @zainabomar9139
    @zainabomar9139 3 роки тому +5

    Alhamdulillah 😢😢😢 Allah akuzidishie shekhe kwakusuluhisha matatizo ya watu

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 3 роки тому +21

    سبحان الله. اللهم اغفر لي ولوالدي و ارحمها كما ربياني صغيرا. أمين يارب العالمين

  • @mwaminianasi
    @mwaminianasi 4 місяці тому +1

    Allah akuhifadhi sheikh wangu 🤲 Tunakupenda Bi idhnilla❤❤❤

  • @azzaomar173
    @azzaomar173 3 роки тому +6

    MashaAllah kisa cha mazingatio sana.Allah atupe mapenzi ya juu na wazazi wetu.

  • @minahabdalla4070
    @minahabdalla4070 3 роки тому +7

    Mjaalie mamangu na waislamu wote waliotangulia janaat ya rabbi,, mama ndio nuru kwa kila cku ya maisha

  • @ahmedrocks2772
    @ahmedrocks2772 3 роки тому +7

    SubhanaAllah Alhamdullillah it mad e me cry sooooo much SubhanaAllah 😢 😭

  • @user-ww5pm2fz7e
    @user-ww5pm2fz7e Рік тому

    Allah akuzidishie sheikh umri mrefu Machozi yananitiririka Allah akuzidishie sheikh ❤❤❤

  • @merytesha8012
    @merytesha8012 3 роки тому +4

    Namuombea mama yangu kheri,afya njema na maisha marefu, nakupenda sana mama yangu

  • @mansourahtwaha7663
    @mansourahtwaha7663 3 роки тому +7

    Masha'alllah sheikhy othuman Michael Allah akulipe kwa wema wako inshaallah

  • @aishafarzanah8172
    @aishafarzanah8172 3 роки тому +11

    Alhamdulillah...mama Allah akuzidishie nimedondokwa na Chozi😭

  • @Starshines-gc1fg
    @Starshines-gc1fg 3 місяці тому

    Mashallaah sheikh Othman Michael naanza kupata nafuu kwa idhini ya allah dawa ulizonipatia kuhusu kusumbuliwa na majini mahaba hakika allah azidi kukupa heli na Baraka

  • @nasramussa2370
    @nasramussa2370 3 роки тому +15

    Iki kipind nimeanz kukijua jana 2 wallah lkn natamn kila ck nione darsa xloambatan na suluh nimekipenda na tunafaidika kweli alhamdulillah
    Mola akup kla la kher Sheikh elmu yak iwe n sabab ya umma kuongoka na kuw ktu kmoja na sababu ya mafanikio ya dunian na akhera 🤲🤲
    Mola atup mwsho mwsh na elmu yeny manufaa na cc dunian na akhera 🤲

  • @munadume6746
    @munadume6746 Рік тому

    wallah ustadhi Allah akuhifadhi akupe umri tawil ustadhi machozi yamenitoka ustadhi mama yetu na yeye Allah ampe umri ili wanawe waweze kupatiliza wema zaidi ya uovu walio mfanyia ili ata itakapo fika hatima yake aondoke akiwa radhi na wanawe 😢

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 3 роки тому +13

    Nimekujikuta nalia bila kujitambuwa wallahi
    Allaah azidi kutuongoza kwa Neema zake

  • @aminamahamud9333
    @aminamahamud9333 Рік тому +1

    To sad 😭😭 kumtusi mzazi ..
    Pia very sad kuona watoto kuomba msamaha na kulia..
    Sheikh Othman pongezi sana kwa kazi yako nzuri MashaAllah

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 роки тому +11

    Subhanaallah mungu TUSAMEHE fi dunia walakhera mitihani inayotupia sisi VIUMBE VYAKO thaifu yaarabi 🤲🤲🤲🤲

  • @ramadhanjuma6175
    @ramadhanjuma6175 3 роки тому +3

    Usheikh mgumu. Kama mimi ningewatembezea bakora na vibao hao watoto kwanza. Lakini kweli ndio maana mimi si sheikh, na kweli Allah amzidishie busara na hekima Sheikh Othman, na azikubali dua zetu, Amiin

  • @hanoxhhhh7601
    @hanoxhhhh7601 3 роки тому +6

    Mashaallaah Sheik Othman Michael mungu akuzidishie umri inshaallah

    • @rahmahamisa9243
      @rahmahamisa9243 3 роки тому

      alla akulipe kher inshallah

    • @hamidashaban1203
      @hamidashaban1203 3 роки тому

      Nyie watoto mkome kabbisa tena mshike adabu zenu.mnasali huku mnammshirikisha Allah? Allah haibiwi hakika. Mama. Wasamehe wajinga hao Pia waache kumshirikishm Allah. Washirikina hao.

    • @hamidashaban1203
      @hamidashaban1203 3 роки тому

      Mtume s.a.w amesema mwenyekumwendea mpiga ramli akamuuliza jambo nahata kama hakulisadiki hatakubaliwa ibada zake za siku arubaini naambae amesadiki amekufuru yote aliyoteremshiwa mtume Mohammad s.a.w ambayo ni qur an hivvyo. Kama mama atawasamehe bado mnatakiwa mlete. TOBA. KWA KUMMSHIRIKISHA ALLAH

    • @hamidashaban1203
      @hamidashaban1203 3 роки тому

      Nimeona watu wengi wakiwaombea msamaha tu. Nisawa ila. sijaona. Wakiwaonya Mimi bado nasema wakome

  • @rashidjumamohamed3437
    @rashidjumamohamed3437 3 роки тому

    Alhamdulillahi Rabil alamiyn.
    Tumshukuru Allah kwa kumjalia Shkh Athuman Michael kwa kauli zake za hikma upole na vifungu vya Aya na khadithi mpaka Mama na wanaye KURIDHIANA KWA AMAN.
    Mimi nawaombea Aman baraka upendo neema..
    Nawaombea nyote enyi mliopataniishwa pamoja na shkh wetu na waislam woooote tuwe na mwisho mwema.
    Tuingie sote pepon Amin.

  • @mamuskamery45
    @mamuskamery45 3 роки тому +99

    😭😭😭vile ninavompenda mama yangu hata nikimpigia simu niskie anaongea na sauti ya unyonge walai naumia sana

    • @halimabakari4174
      @halimabakari4174 3 роки тому +1

      Kumbe ww nkama mm yni naenza shindwa hata na kazi kwa sababu tu nimeskia mmangu Hana raha kwa simu yni lazima ni juwe Ana shida gani mpka Hana furaha wallahi nampenda sana Mmangu na Bbangu Alhamdulillah

    • @aminayussuf9028
      @aminayussuf9028 3 роки тому

      Nitapataje namba ya huyu anajua stazi

    • @mwanahamza5198
      @mwanahamza5198 3 роки тому +2

      Dah Wallah hakuna kama mama hakika nampenda sana mama yangu

    • @khatibabass3106
      @khatibabass3106 3 роки тому +1

      Wanawake kwa ujumla wanahuruma lkn akitokea mkorofi nihatari huyo

    • @aishajuma7739
      @aishajuma7739 3 роки тому +1

      Acha😭😭

  • @muliksuleiman1633
    @muliksuleiman1633 3 роки тому +5

    Yarabi mwenyezi mungu utufanyie wepesi dunuani na akhera

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 3 роки тому

      Allahuma Aamin Yaarabiy na watoto hawa awape imani na khofu ya Allah

  • @mename6020
    @mename6020 3 роки тому +3

    Subhanallah... Allah awadumishe kupendana watoto na mamayenu... Allah akulipe ujira mwema shehe Othman Michael.. Allah atudumishe kuwapenda wazazi wetu..

  • @nashtadzarino4749
    @nashtadzarino4749 3 роки тому +4

    Ma shA Allah Allah atujaalie tupende wazazi wetu ya rabbih

  • @mwanaishaidd9150
    @mwanaishaidd9150 3 роки тому +3

    MaashAllah sheikh wetu umefanya kazi kubwa sana Allah akuzidishie kheir InshaAllah na ukupe umri mrefu Aaamen.

  • @halimaponda812
    @halimaponda812 2 роки тому

    Msshaallah Asante shehe kwakipindi kizuri nikisikiliza vipindi vyako vinanikumbusha mbali sana najikuta tu nalia mwenyewe

  • @abdumalikmohamed5747
    @abdumalikmohamed5747 3 роки тому +5

    Mama ni mama hata kama hana maana ❤️❤️ nakupenda mama yangu 🙏

  • @rallyscosmeticandgasaccess4839
    @rallyscosmeticandgasaccess4839 10 місяців тому +1

    Ma asha allah sheikh shukran kwa mawaidha ,unaelimisha in sha allah nakuombea Jannatul fardousa🌹🤲🌹🤲🌹🤲

  • @sarakuchanda9605
    @sarakuchanda9605 3 роки тому +6

    Subuhanallah 😭😭Allah akulipe khery Shaikh Othuman

    • @zuumohamed1750
      @zuumohamed1750 3 роки тому

      Yaa rabi nitunzie mama angu umujalie maisha marefu ili Mimi mwanao nizidi kukusaidia inauma sana jaman 😭😭😭😭😭😭😭

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 3 роки тому +1

    Subbuhana Allah nimelia kwauchungu yaalabbih awadumishe namaerewano adi mwisho wamaisha yao Allah humma ameen👏

  • @jamaalhassan4102
    @jamaalhassan4102 3 роки тому +43

    iyi clip imenitowa machoz kiukwel...Allah atusamhe sis ambao tuko nawazz wet2 walioko hai

    • @sein.208
      @sein.208 3 роки тому

      Allahumma Amiin

  • @mohamedfazaldine101
    @mohamedfazaldine101 3 роки тому

    Hi video imeniliza sana sana. Hadi najiuliza kweli wazazi wangu wanaridhika nakile ambacho nawatendea au bado.
    Nijihisi sifanyi chochote kwao
    Mungu atujaalie radhi zawazazi wetu

  • @maryamtemba1760
    @maryamtemba1760 3 роки тому +6

    Wallah machozi inauma sanaa 😭😭😭😭😭 sheikh Allah akulipe

  • @sein.208
    @sein.208 3 роки тому +2

    Subhana Allah
    Allahu Akbar
    😭😭
    Allah atuzidishie mapenzi kwa wazazi wetu🤲🏻

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 3 роки тому +69

    😭😭😭inaliza kwakweli, lakini wamejua kosa lawo. الله ataleta weepesi wake.

  • @rashidkalimbo2451
    @rashidkalimbo2451 3 роки тому

    Mwenyezi Mungu Atusamehe sisi waja wake In Shaa Allah... Mara ya kwanza alipokuwa anaingia huyu kijana nilikuwa nafikiri pengine hajasoma Qur'an kumbe amesoma na MashaAllah amebobea, lakini licha ya hayo yote anakosa kumwaamini Mungu hadi anaenda kwa waganga jamani na kuambiwa fitna hadi anakosa hikma na kutoa maneno makali kwa mama yake mzazi, SubhanaAllah...YAA RABBI MLINDE MAMA YANGU POPOTE ALIPO, KWANI SAHII YEYE NDIYE MAMA NA NDIYE BABA, VILEVILE MPE KHERI MAREHEMU BABA YANGU KABURINI KWAKE ZITOKAZO KWAKO KWANI BILA WEWE HATUNA WAKUTUPA MSAMAHA. ... Sheikh Allah Akubariki sana na Akupe ilimu zaidi In Shaa Allah.

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 роки тому +3

    Mashaallah mashaallah mungu ni mwema mashaallah.nakupenda sana mama❤ sitaki tukosane Inshaallah

  • @jamillahmussa3775
    @jamillahmussa3775 3 роки тому +2

    SubhanAllah, masha Allah, Allahu Akibaru, wallahi nimetoka na machozi kama yanayotoka kwa mfereji,,,,,

  • @swabraty1760
    @swabraty1760 3 роки тому +37

    Atakae ona video hii chozi isimtoke basi ana lake....ila Alhamdulillah mola amelainisha moyo wa mamatu ...alhamdulillah mama katoa msamah

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 роки тому +2

    Subuhanalla mungu atuhfadh na hasra zetu juu ya wazaz wetu kwan wao ndongaz yamafanikio nimeshindwa kujizuwya nmeliya M Mungu akupe maisha marefu yenyeher na baraka shehe wetu tunajivuniya sana uwepo wako Maalim

  • @fatma83ify
    @fatma83ify 3 роки тому +7

    Alhamdullillah Alhamdullillah machozi yamenitoka 😂machozi ya furaha,mashaallah mashaallah mama mzazi,inshaallah Allah atakulipa kheir Amin

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 3 роки тому +8

    Kwa vyovyote mzee anaumia sana anapoambiwa mchawi, pole mama wasamehe hao washiririkina wakubwa. Allah ajaalie iwe dawa yao ya kuacha ushirikina, Amiin.

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 роки тому

      Nikweli jamni pole mama yetu.nakumbuka binamu yangu kabisaaaa aliniambia mchawi namroga asifanikiwe navitu kibao,nikalia sana nikasema km kweli nakufanyia hivyo Mungu aniadhibu hapa hapa duniani nikashukuru basi.Mungu mkubwa

    • @abuunauthar6887
      @abuunauthar6887 3 роки тому

      Watu waomba msamaha we wwaita washirikin so vzr

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 3 роки тому +8

    Sheikh ww Allah akulipe kheri ya khera na dunia kwa jitihada yako Allah humma ameen

  • @maamuu7977
    @maamuu7977 3 роки тому +1

    Maasha'Allah Tabarak'Allah mama Allah akuzidishie kheri hapa duniani na kesho akhera In shaa Allah

  • @aisharamadhani4429
    @aisharamadhani4429 3 роки тому +3

    Mashaallah Mashaallah ama kweli nimelia kama mtoto mdogo mama mungu akupe kila la kheri

  • @hadharaalli5201
    @hadharaalli5201 3 роки тому

    Alhamdulillah shehe kwa kazi hii Allah in shaa Allah akakuweke poponi bila kuhesabiwa amiiin

  • @mysalhasadala1985
    @mysalhasadala1985 3 роки тому +6

    ALLAH atupe mwisho mwisho mwema sisi pamoja na wazazi wetu innshallah rakher pia atuepushe na shirki.sheikhe othumani Allah akupe umri mrefu maana junajifunza mengi kupitia mawaidha yako 🙏🙏

  • @khairatabbas8523
    @khairatabbas8523 2 роки тому

    mashaallah sheikh ALLAH akulipe kila mazuri kwa suluhu iliyotoka na sisi ALLAH atuongoze YAARAB

  • @hedayakatembo6547
    @hedayakatembo6547 3 роки тому +3

    Alhamdullillah PEPO IPO chini ya unyayo wa Mama yenu. Shehe othman Allah Akulipe. Inshallah

  • @fatmamohamed1240
    @fatmamohamed1240 3 роки тому +1

    Nimetokwa na machoz sanaa yaani hapa tu tuna Ndugu wa baba wakike anaambiwa mchaw na mtoto wake wakwanza wakike...shangaz analia kila uchao namuhurumia😭😭😭 wacha nitawaskilizisha hii....Alhamdhulillah sheikh Allah akuweke utujuze kutulainisha zaidi

  • @ayshaayshaabdulrahman6143
    @ayshaayshaabdulrahman6143 3 роки тому +3

    Kwa kweli nimelia Sana kwakuskiza hii nasaha Allah akulipe heri sheikh othman na akupe umri mrefu yani kila siku nakufatilia vipindi vyako vyani gusa Sana insha Allah wakaelewane wakafungukiwe na kila LA heri ya Rabb🤲🤲🤲😭😭😭

  • @aidrisahmad8932
    @aidrisahmad8932 3 роки тому

    Alhamdulillahi Rabbi insha allaah shekh Othman Micha tuilimishe kwamawaidha yako iwe sadaqa kwako kwa allah amin

  • @nas2800
    @nas2800 3 роки тому +4

    😭😭Mama mtu wa tamani katika hii dunia yarabi muepushie mamangu adhabu ya kaburi

  • @afric01
    @afric01 3 роки тому

    Aslm alkm wtw..... Wallah Sheikh nimelia kabla hujalia wewe. Maneno ya huzuni. Kijana Mola akupeni kheir vijana wangu. Sheikh Othman wakezako wewe ndio chanzo Cha wao kupendana. Wewe umzuri unakaa na wao vizuri na ukawaonyesha jinsi ya kukaa kimapenzi na kumtambua Allah. Hio ndio sababu Allah awazidishie mapenzi yenu. Wanaume wengi hawana mapenzi, wala ucha Mungu. Ndio Mana hawakai vizuri. Mapenzi hakuna Sheikh wetu. Ndoa yataka mapenzi na kushirikiana. Allah akulipe jannah firdaus kwa unayo tutendea. Twakupenda sanaaaa Sheikh wetu.

  • @azizazzzz8043
    @azizazzzz8043 2 роки тому +5

    More love for Kenya 💖💖💖🇰🇪🇰🇪

  • @Gamba177
    @Gamba177 3 роки тому +1

    Asalam aleykum Sheikh Othman, Allah akuzidishie kwa hayo uyafanyayo ya kusuluhisha watu Allah akupe nguvu na imani aminnn.

  • @muliksuleiman1633
    @muliksuleiman1633 3 роки тому +5

    Mwenyezi mungu atufanyie wepesi duniani na akhera yarabbi mwenyezi mungu atutakabalie dua zetu

  • @aishamtwana1323
    @aishamtwana1323 Рік тому

    Dada yangu mpenzi asalam shukuru wanao bado wana imani ya mwenyezi mungu wasamehe nakuombea

  • @tutahamudy2534
    @tutahamudy2534 3 роки тому +14

    MashaAllah, shekh Mola akulipe jannat fridhaus😭😭😭

  • @aminahusen6072
    @aminahusen6072 3 роки тому

    Allah akbar, Allah akbar, Allah akbar, Allah akulipe sheikh JazzakaAllahu feeq kwakweli safi sana kabisa. Wewe ni sheikh wa Kwanzaa ulimwenguni kwa Kazi hiyi, waallaahi allah swt atakulipa inshaa'Allah, ni mependa sana

  • @naimasuleiman698
    @naimasuleiman698 3 роки тому +10

    😭😭😭SubhanaAllah pole sana

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 роки тому

    Allah Akbar. mashaallah Allah awahifadhi wote..waliokosea, alye samehe, na aliye suluhisha.

  • @najmamohmad6348
    @najmamohmad6348 3 роки тому +11

    😭😭😭ya Allah tupe Kher Kwa wazazi wetu

  • @hawaomani1851
    @hawaomani1851 3 роки тому +2

    Mungu atupe kauli njema kwa wazazi wetu na atupe mwisho ulio mwema ndani ya familia zetu,,,🤲🤲🤲🤲

  • @nasramussa2370
    @nasramussa2370 3 роки тому +13

    Mola atupe mwisho mwema cc na wazaz wetu 😭😭😭

  • @asyasalum5246
    @asyasalum5246 3 роки тому

    M/,mungu amzidishie imani mama huyo. Machozi wallahi yamenitoka au kulia niseme. Alhamdulillah atleast watoto wamegundua makosa yao. M/mungu awasameh kwa wote. Awaongezee mapenzi kuliko waliyokuwa nayo mwanzo. M/mungu atakulipa ujira wako maalim. Kazi nzuri uloifanya.

  • @twocounrieslady7165
    @twocounrieslady7165 3 роки тому +4

    Haaaaa
    Allah atunusuru
    Hata kama mamangu ni mchawi kweli cmdhalilishi ntampa nasaha taratibu na niamke usiku kuswali tahajud nimuombee mungu amuondoshee.

  • @mamoulovecherry5121
    @mamoulovecherry5121 3 роки тому +1

    MashaAllah tabarakallah ya Allah tujalie mwisho mwema wallah rah sn

  • @muliksuleiman1633
    @muliksuleiman1633 3 роки тому +10

    Mwenyezi mungu utusamehhhh makosa yetuuu

    • @mtukwao7527
      @mtukwao7527 3 роки тому

      Allah akupe maisha maref shekh

  • @umjamalhamida5224
    @umjamalhamida5224 3 роки тому

    Alhamdulilah Rabbil Alamin shukran sheikh Othman kwa suluhi jazzakallahu kheri