Mpaka Hom; Hapa Ndipo Anapoishi Mwigizaji Kajala Masanja

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 394

  • @extamwaijuni3199
    @extamwaijuni3199 5 років тому +29

    Ilaa ww mtangazaji unauvumilivuu duuuuh !!!! M2 Yuko bize bado tu unamdadisi🤣

  • @mercywilfred4136
    @mercywilfred4136 6 років тому +67

    ivyo vitu kuna watu hawana Nguo wala viatu bora ugawe kuliko kujaza panya ndani kama umependa like ACH poz kajl kam hutakuf ivi

  • @saomobonsela9772
    @saomobonsela9772 7 років тому +12

    mashaa Allah nipazuri ume barikiwa dada mshukuru mola kwa hilo

  • @tumainibihemo7755
    @tumainibihemo7755 7 років тому +45

    Hongela kwako pazuri unajitahidi sana, ila umeniboa sana jinsi unavyojiskia umekera sana, kuanzia Leo nimekushusha thamani.

  • @emmazbouuuy8809
    @emmazbouuuy8809 6 років тому +24

    Usipende ku mraum mtu siku zimetofautiana naye ni binadamu kama ww kuna siku mbaya na njema so usiwe mwepesi ku jaji en unayetukana jeulize ww umefika wap mpaka asaivi yupo kwake uyo .... Ata kama mnasema sijui kaongwa ni vyakeee.... Uki panik nawe nenda kaongwe uwoni kama ni rahisi rahisi think like a man

  • @remjimkweta106
    @remjimkweta106 6 років тому +12

    Ndio maana hatununui filam zenu yani unahojiwa unalinga au unajiona mzuri sana kama huendi chooni unaboa my sister

  • @الهامسيف-ط7ذ
    @الهامسيف-ط7ذ 8 років тому +17

    kajala amepika hatua nzir hongera Dada angu mungu aendelee kukuinua

  • @beatricephanuel5101
    @beatricephanuel5101 6 років тому +12

    cjapenda hana good cooperation

  • @SophieSpira
    @SophieSpira 3 роки тому +7

    This rich beautiful lady Kajala is so down to earth and shy. Be blessed zaidi. Love from Kenya.

  • @aminaadalai280
    @aminaadalai280 8 років тому +17

    mashaa allah nyumba nzuri sana😍

    • @latifahusmail7316
      @latifahusmail7316 7 років тому

      Amina Adalai

    • @deboramwenda7639
      @deboramwenda7639 6 років тому

      dada naomba unitafute mi ni yule debora niliemlea paula naomba unitafute facebook andka debora mwenda utanikumbukatu nimetoka huko elfu mbili na kumi nimewamisi dada yangu naomba unitafute.

  • @aminaadalai280
    @aminaadalai280 8 років тому +15

    mashaa allah nyumba nzuri hongera kajala😍

  • @suhailaali4175
    @suhailaali4175 5 років тому +7

    Kama hukuwa tayari kuhojiwa hatua ya mwanzo, baadae ndo kaonesha ushirikiano

  • @martinenashon9800
    @martinenashon9800 6 років тому +10

    Acha ulimbukeni Ww, Tabia gani unasemeshwa Ww unaendelea kuchat!..

  • @abdulqareemabdallah2579
    @abdulqareemabdallah2579 3 роки тому +1

    Mtangazaj pole Sana haa mtu anahojiwa anazarau fyuuu aisee ningeondoka aisee Maan Sim ndio kanuna leo au shenzi typ. Mkiwa na intarv muwe nawek ushirikiano unajisikiya keki au udongo tu

  • @mozaal-riyamy9009
    @mozaal-riyamy9009 8 років тому

    kajala am from.tanga dia naweza kukufyndisha mapishi mengiiiiiii ur.most welcome

  • @aminalasuli3550
    @aminalasuli3550 7 років тому +3

    hongera nyumba nzr na safi.Umejua kupangilia vitu hasa rangi

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 8 років тому +13

    Hongera zake nimepapenda pako vizuri sana.

  • @khadijahomar9139
    @khadijahomar9139 7 років тому +11

    kumbe anajeur sana.huyu komo kajala maana mtu anaongea.nae hata habr hana.anachezea sm tu.tabia mbya

    • @jaliavicent8912
      @jaliavicent8912 6 років тому

      jamani walimwengu acheni husda mbon mmemwandama mtt wa mwenzenu sio tabia nzuri kajala nakupenda sana dada angi

  • @jacklinemathewbicco1881
    @jacklinemathewbicco1881 7 років тому +36

    ninakupenda ila umeonesha huna nidham unajiskia

  • @iryncharlz3269
    @iryncharlz3269 7 років тому +12

    Mhhhh jaman sio kwa kujisikia huko

  • @agnessjohn8404
    @agnessjohn8404 6 років тому +24

    Kama ni nyumba yako hongera kama umepanga shoga jitahidi ulipe kodi kwa wakati la sivyo yakakutokea puani hayo mashauzi siku ukishindwa kulipa kodi

    • @janeawuor9468
      @janeawuor9468 5 років тому +1

      Haha kweli amekuboa

    • @joshuachamp1535
      @joshuachamp1535 5 років тому +2

      😂😂😂Shida ya watanzania wenzetu, mnachukia maendeleo yawenzenu

    • @urueuudududu5760
      @urueuudududu5760 3 роки тому

      Ni nyumbani kwake wapendwa

    • @samiasaidy4841
      @samiasaidy4841 3 роки тому

      @@urueuudududu5760 Ni kweri nyumba yakwake

  • @pattitoshie410
    @pattitoshie410 7 років тому +17

    mashauzi classic! inabore

  • @mary5162
    @mary5162 3 роки тому +1

    Nigupatiyr ushauri kuwa NA hakiri usiwe munyuma yakukoti njo ushauri wangu🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @wilkisteroduory913
    @wilkisteroduory913 2 роки тому

    Congratulations mama Paula,watu hukutusi but umejitahidi big up from kenya

  • @ashahaji4936
    @ashahaji4936 8 років тому +6

    hongera my hata room ya Paula nice room

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 роки тому +2

    Kajala unajisikia sana,mtanganzaji anaongea na wewe una muda ndio nini?

  • @rehemarajabu2253
    @rehemarajabu2253 6 років тому +10

    kajal acha zarau we iyo sm yako au umeazim www

  • @memisaphusseni7190
    @memisaphusseni7190 5 років тому +1

    Aki ya mungu..mbna wajishauwa ivyo mpaka kisunzi mmmmhh

  • @habibakhlifa8534
    @habibakhlifa8534 7 років тому +14

    Chefu unaringa kama hunyii mjinga we mapozi ya nn mavitu yenyewe ya kuhongwa tu kubaya kwake ka roho yake ilivyo mbaya yanii una mdharau MTU kiasi hicho

    • @claudialupimo4468
      @claudialupimo4468 5 років тому +1

      Unaonaje ukituonyesha nawewe ulivohongwa mpz km n rahisi kiasi hicho???

  • @saumusalimuhassan3041
    @saumusalimuhassan3041 8 років тому +8

    hongera sana kajala kwa kupiga hatua.

  • @mushxwaggz5258
    @mushxwaggz5258 7 років тому +9

    mtu mwenyew mbona MADHARAU IVO?!!!! kaaa atak vile

  • @akademkkz
    @akademkkz 7 років тому +8

    respect zero aisee inakuaje una hojiwa ila kidole kipo kwenye simu tu...

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 2 роки тому

    Hongera.pazuri sana

  • @fredkulaya6381
    @fredkulaya6381 6 років тому +3

    hongera mmy

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 7 років тому +6

    woww nyumba yake nzuri

  • @ab3ab313
    @ab3ab313 3 роки тому +2

    kajara nakupend bure💗💗💗💗na mung azidi kukusimamia

  • @happysummary1414
    @happysummary1414 5 років тому +1

    Love u Sanaa kajala umejitahid sanaaa mama

  • @jastinesamboto4674
    @jastinesamboto4674 7 років тому +6

    Duuu hizo dharau au nyumba sio yake nini? Lakin sishangai sana maana mwanamke huwa hakui akili za kitoto kabisa mpaka anatafuna huku akihojiwa?

  • @darsinana2647
    @darsinana2647 2 роки тому

    Hongera mma P .nakupenda sana uko mpole

  • @bonifacemollel4401
    @bonifacemollel4401 5 років тому +4

    Kajala umenikera mno wewe dada yaani unahojiwa alafu unajiskia kama huendi kaburini onasasa mtangazaji anapata anaona aibu hadi anatangaza vitu zako badala wewe ndio uonyeshe mashabiki,, naona kama hapo sio kwako bumbavu wewe GONGENI LIKE HAPA

  • @fridambwiliza190
    @fridambwiliza190 5 років тому +3

    Hongera sana kajala uwa nakupenda sanaaaaan

  • @agneskadzo9087
    @agneskadzo9087 3 роки тому +1

    Watu hutukana watu wenye uwezo wao..I love you Kajala ur simple lady

  • @happysummary1414
    @happysummary1414 5 років тому +6

    We unayesema anaringa kuwa na kwako pazuri kama apo na ww uringe mwenzio kajitahid hla Kwa sababu ya wivu mtesema anaringa nyooooooooo

  • @salmahassan617
    @salmahassan617 5 років тому +1

    Kumbe huyu kajala ndo anaringa hiv jaman du! Anajiharibu mtoto mzur hatakiw kuringa jaman

  • @veronicasarvatory9516
    @veronicasarvatory9516 7 років тому +1

    Hongera Sana kajara umejitaidi . kwako pazuri Sana.

  • @rahmakisabe2925
    @rahmakisabe2925 5 років тому +1

    Kuringa ni tabia ya mwanamke, mbaya kuwadharau wengine na kujiona bora kuliko wengine, hongera kajala

  • @lovenessaron2669
    @lovenessaron2669 2 роки тому

    Mazingira ni mazuri sn Hongera Kajala Masanja

  • @latifahlondo6619
    @latifahlondo6619 7 років тому +1

    hongera my umejitahidi

  • @sheymahabdulwahidkhalid6355
    @sheymahabdulwahidkhalid6355 6 років тому +5

    hongera sana kajara uko vizuli

  • @agneskadzo9087
    @agneskadzo9087 3 роки тому +1

    Beuthfull house Dada..Nakupendea natural hair

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 роки тому +3

    NILIANGALIA KITAMBO ILANIMERUDI TENA VILE AMESHIKANA NA HARMONIZE KAJALA ANAPENDA HATABILA MA WIGI AU KUSONGWA🇨🇿

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 2 роки тому

    Jamani na mupendag kajala from burundi❤❤❤👌

  • @shamsamalima6324
    @shamsamalima6324 5 років тому +1

    Linajiona sana linaojiwa lipo bze na cm

  • @nicholausmweri3115
    @nicholausmweri3115 4 роки тому +1

    Kwhy unaona kwamba ukimjib mtangazaji vizur bila dharau uhaiutatoka au masifa yasiyo kuwa na maana

  • @roidatadey4599
    @roidatadey4599 7 років тому +10

    ongera sana rakini sio vizuli kuongea unavo jisikia

  • @اميساعبدالله
    @اميساعبدالله 6 років тому +2

    Daaaaaaah....umejaliwa

  • @halimahamid9081
    @halimahamid9081 5 років тому +1

    Mbn mtangazaji kama ana mafua jamani

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 2 роки тому

    Jamani namupendag kajala💕💕👌🇧🇮🇧🇮

  • @bajjboy259
    @bajjboy259 6 років тому +3

    mtangazaj mwenyewe sasa!! bora Yule bro asiye badilishaga shati!!😂😂😂

  • @teddymeela2791
    @teddymeela2791 6 років тому

    Shukran hzo vpppp mtu unamuuliza anajibu kama atak

  • @neemaegnatio7725
    @neemaegnatio7725 3 роки тому

    Amejitaidi Sanaa Kuna wengine wanaume wazima adi wanazeeka Awana vitu vya thamani Kama ivyo

  • @salamaseif4183
    @salamaseif4183 2 роки тому

    Ongera sana

  • @petersambaza.comvalerian
    @petersambaza.comvalerian 7 років тому +5

    ama kweli kwenye delvokingdom kanumba hakukosea kupatia zlee sine

  • @mossesmatechi9022
    @mossesmatechi9022 6 років тому +3

    #DADA KAJALA UMETISHAAA🙌🙌🙌

  • @vickmiraji8845
    @vickmiraji8845 7 років тому +8

    Heshima na tabia nzuri muhimu sana

  • @elizabethmwandoe2426
    @elizabethmwandoe2426 5 років тому +2

    wengine wanatembea bila viatu ww unaonesha viatu vya kumwaga hiyo sio stara ata mbele za mungu gawawia wenzio

  • @denisrumanyika6465
    @denisrumanyika6465 4 роки тому

    wengi niliosoma comment zenu mnasema kajala anadharau ila kama ukimuangalia vema si dharau ....kajala ana aibu sana..ila kiukwel kajala mm nampenda sana. na katika wasanii wenye moyo saf naye yupo

  • @SinyamaziTVONLINE
    @SinyamaziTVONLINE 7 років тому +8

    Nilitaka kusema kama +dream latifa ila nikajiongeza may be ndo style kaamua kuwa tofauti. Maana angeshoboka mngesema kiki inatafutwa kufuta ya hv karibuni.wabongo buana

    • @timokopera1191
      @timokopera1191 7 років тому

      SinyamaziTV ONLINE out

    • @uhktymohamed6526
      @uhktymohamed6526 7 років тому

      kweli nahisi ndo alivo watu wako tofauti bwana Hawawez kulingana hta ww unaemtukanabunatabia yako kwaufup nimepapenda kwake

  • @pendoathuman1662
    @pendoathuman1662 3 роки тому +2

    Dada ana maisha mazuri Mungu amuweke

  • @jasminebaibe7355
    @jasminebaibe7355 7 років тому +21

    kajala maringo muachie tausi daah mpaka unaboa

  • @tanzanianqueen384
    @tanzanianqueen384 8 років тому +80

    mbona anaongea kama kalazimishwa?
    I hate it.

    • @neemamushi3710
      @neemamushi3710 7 років тому +2

      Dream Latifah yaan anaongea lakini kama she doesn't want to... anaongea kama hataki anaongeleshwa anajiskiaaaa kujibu anajifikiria mara ajifanye hajaskia

    • @cutebaby7448
      @cutebaby7448 7 років тому +1

      Neema Mushi ninge kuwa me ndo namhoji wallah ninge ondoka

    • @neemamushi3710
      @neemamushi3710 7 років тому +1

      Hafsat Sadallah yaan anatabia mbaya me sijapenda kabisaaa anavyojiskiaa

    • @samwelamosmusambwa9302
      @samwelamosmusambwa9302 7 років тому

      Dream Latifah mi mwenyew naona hivo

    • @giftmwinyi2680
      @giftmwinyi2680 7 років тому +5

      Dream Latifah ni anaringa adi anaboa tu

  • @witnesjohn5750
    @witnesjohn5750 5 років тому

    Mmmmh aseee mt akiwa hajisikii tafadhal watangazaj msiwe mnaulizaa bwaana

  • @zeyfaafarzey1036
    @zeyfaafarzey1036 7 років тому +5

    pooz kibaaaaao nyumba yenyewe ya kawaida tuu haina ata packing yakutosha

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 роки тому

    Angekuwa na pesa angetunyanyasa sana hali hiyo anafanana tu na mmi😂😂😂

  • @salmamwinyi2924
    @salmamwinyi2924 8 років тому +3

    nimeipenda kwa kweli

  • @saidasaid5855
    @saidasaid5855 5 років тому +3

    kapatikana kweli lazma ajfanye yuko bize na cm kumbe anaona haya hajajmecup

    • @g360-b7h
      @g360-b7h 5 років тому

      Ww sio mecup ni make up mxuewww😂😂😂

  • @مريمعلي-و8س
    @مريمعلي-و8س 6 років тому +1

    Ama kweli maskini akipata...hulia mbwata duh!!

  • @maryamabdillahmohd9833
    @maryamabdillahmohd9833 7 років тому +2

    Nivizuri kua Na maisha yk mazuri nakupa big up

  • @anetykalolo4942
    @anetykalolo4942 7 років тому +5

    mmmh me mwenyew kaniboa

  • @sifachristian9997
    @sifachristian9997 3 роки тому +1

    Aibu kwa walio dhania kuwa kuachana na harmonize ndio mwisho wke mwaibike 😹😹😹😹😹

  • @shebysnuter3773
    @shebysnuter3773 7 років тому +49

    tabia mbaya unahojiwa afu uko busy na cm

  • @vivianalex8501
    @vivianalex8501 3 роки тому

    Vile nampenda kajara afu nimegundua hakupenda kuhojiwa mana walimwengu wanamsakama balaa acha Paula ajilingie hataki mahojiano asije akaulizwa mamb ya harmo mara Paula & vany jikwepeshe mamy

  • @adelakingalu4653
    @adelakingalu4653 3 роки тому

    Mungu azidi kuwaongoza ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @whitnessbenard1132
    @whitnessbenard1132 7 років тому +12

    Uyo kajala naon ajapend kuojiwa

  • @nasramsami3410
    @nasramsami3410 6 років тому +4

    honger mamy uko vzr

  • @mwanakomborashid3229
    @mwanakomborashid3229 3 роки тому

    Kajala hujaonyesha ushirikiano sio poa..,mtangazaji hongera Mana sio kwa pozi iloo la dada k

  • @florabaraka9669
    @florabaraka9669 5 років тому

    Kajala ni mwizi anaibia watu mtandaoni eti kajala masanja tens akome njinga huyo

  • @rahapaulina1451
    @rahapaulina1451 7 років тому +4

    pazuriii hongera

  • @husnabibikhadidjaomari9427
    @husnabibikhadidjaomari9427 Рік тому

    Mashaallah

  • @kevinbarasa9852
    @kevinbarasa9852 2 роки тому

    My favorite movie star

  • @bonitatembonitate257
    @bonitatembonitate257 7 років тому +23

    yaan uyo mtangazaj ana moyo,mi cwez ongea namtu ambaye anaonyesha wazi anajifoc jibu maswali

    • @sophiewilson8185
      @sophiewilson8185 7 років тому +1

      Goodness Brown yaani anamoyo jamani

    • @jacoblawrence5266
      @jacoblawrence5266 7 років тому +1

      Goodness Brown nkwel yan kma ajapenda iv ngekuwa mm kitambo nngesepa

    • @zenamsangi8942
      @zenamsangi8942 6 років тому

      Goodness Brown kwa kweli

  • @rahapaulina1451
    @rahapaulina1451 7 років тому +4

    kwakwel umejitahid SNA dada yang mung akujalie uzidishiwe

  • @maureenmollel3394
    @maureenmollel3394 5 років тому +2

    kajala hajuagi kiringa mm nampendaaaaa

  • @ericamyra1207
    @ericamyra1207 7 років тому +10

    kashtukizwa bila make up Ndo mana kajinunisha ..

  • @alvismumkaranja3360
    @alvismumkaranja3360 6 років тому +2

    Amepanga vizuri

  • @halimashaha8442
    @halimashaha8442 5 років тому +1

    Mashaallah kajala nakupenda

  • @habibatyntosso1436
    @habibatyntosso1436 3 роки тому

    Kalala nampenda ni mdada mkmya alf syo muongeaji ndy mana unafanikiwa

  • @estermassawe1687
    @estermassawe1687 3 роки тому

    Sa c mtaji kabisa

  • @shellymuro2317
    @shellymuro2317 3 роки тому +1

    Hahahaaaaaa.... Alikua anaishigi chumba kimoja huyo sinza.😂😂😂 Amshukuru konde.... Hamo kafanya mambo ndo anaanza kujionyesha Duh!...

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 2 роки тому

      Wewe fala kweli....Hii video ya zamani sanaaaaaaaa....Kajala before Konde.Punguza kuropoka

  • @stellahpeter1808
    @stellahpeter1808 Рік тому

    Anaishi wapi huyu