Mpaka Home MAISHA YA RAYVANNY NA JUMBA LEKE LA KIFAHARI UTAPENDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 494

  • @fancyngeno2745
    @fancyngeno2745 2 роки тому +17

    Hii sauti ikuje Kenya bigup for the lady voice

  • @sebas-wl5sp
    @sebas-wl5sp 2 роки тому +6

    Wow that's great end hot 🔥
    Rayvanny you're the best

  • @GodfreyOmondi-b6v
    @GodfreyOmondi-b6v Рік тому +3

    Bigup bro we love ur songs

  • @mamumiyaskitchenvlogs5858
    @mamumiyaskitchenvlogs5858 3 роки тому +7

    Huwa Tuzo hazishikwi una Zoom tu. Be professional usiguse guse vitu

  • @paulocheia432
    @paulocheia432 3 роки тому +8

    Chuiii só teu fã numero 1

  • @florafaustine4637
    @florafaustine4637 3 роки тому +42

    NI HERI UWE NA MALI LAKINI UNAMJUA MUNGU PIA VINGINEVYO KUNA MAISHA BAADA YA HAYA.

  • @athumanmbululo3980
    @athumanmbululo3980 3 роки тому +30

    Wanachoniuzi ni kimoja tu,,, utasikia mjengo wa fulani,, kumbe amepanga,,

    • @ndaganoanastazia2658
      @ndaganoanastazia2658 3 роки тому +4

      Kwani anakaa bure? Ao analipa kodi? Huku ulaya ukilipa tu kido ni nyumbani kwako hata police pila kibali hufungue mlango….. upooooooo? So ni mjengo wake…..🤣🤣🤣🇫🇷🇮🇹🇧🇪

    • @saudah4455
      @saudah4455 3 роки тому

      Mh jmn

    • @lulually5209
      @lulually5209 3 роки тому +2

      Sasa mjengo wake au next levo mbona sielewi

    • @ndaganoanastazia2658
      @ndaganoanastazia2658 3 роки тому

      @@lulually5209 utaelewa tu ukiamka usingizini 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @emmamombo7149
      @emmamombo7149 3 роки тому +1

      Mm pia huwa nauthika mjengo wa fulani kumbe nyumba ni yakupanga

  • @user-yd8sp4es9n
    @user-yd8sp4es9n Рік тому +2

    Ravnyn Chuiii 🐅kasha kuja macvoice dogo mukail❤

  • @adetonahsounkoura8038
    @adetonahsounkoura8038 3 роки тому +31

    Wonderful and congratulations to Raavanny. That is à fruit of Diamond. Nice

  • @STOICVISTA_
    @STOICVISTA_ 2 роки тому +1

    Kazi safi mbengo TV
    Mwafanya kazisafi wazito 💥💥💥💥tuko pamoja

  • @yessekindi4625
    @yessekindi4625 2 роки тому +8

    Mtangazaji humjui BIG Notorious!! Duuuuh

  • @jacquelinemuthina
    @jacquelinemuthina Рік тому +6

    Congratulations rayvanny, napenda ur songs, from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @cynthiakimongo5763
    @cynthiakimongo5763 Рік тому +2

    Weeeuh I really love this guy

  • @thekartelAfrican
    @thekartelAfrican 2 роки тому +1

    Duuh hujawai niangusha vanny natamani nifike nest level music make tumetoka mbali xana

  • @etiennemanace1461
    @etiennemanace1461 3 роки тому +3

    Rayvanne nimukili Sana nasema ukweli kwakwetu Congo DRC unasikika sana kaka

  • @mbuguslopez9290
    @mbuguslopez9290 2 роки тому +6

    My favorite artist

  • @jumamkongowe2272
    @jumamkongowe2272 3 роки тому +8

    Hongela chui🔥🔥

  • @classicvisiononline8334
    @classicvisiononline8334 2 роки тому +3

    Sio Dj Choka uyoo ni Ncha Kali wa Clouds Fm

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 Рік тому +2

    Chui 🐅❤❤ munyama mukall ravnnyn

  • @RENNYRennyClassic
    @RENNYRennyClassic 4 місяці тому +3

    Naitwa Renny Classic kutoka mwanza naomba sorppot kwa kakangu Rayvanny

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 2 роки тому +2

    Mtangazaji please next time don't touch and grab hizo Tuzo za watu, ukiangusha na kuvunja jee???utalipa

  • @mtaliiedward5886
    @mtaliiedward5886 2 роки тому +4

    Godless maisha ya laivan awesome 👍

  • @bitunimtunguja3666
    @bitunimtunguja3666 2 роки тому +3

    Nakukubali dada mbona juzi sijakuona uwanjani mwanasimba mwenzangu

  • @009biafra8
    @009biafra8 3 роки тому +8

    Rayvanny tumeona na Hongera sana tunaomba mtupeleke upande wa pili kwa HAMOKINYESI naskia yy record label yake n kama store ya vyakula 😆😆

    • @damianjeremia3821
      @damianjeremia3821 2 роки тому

      Hivi anatuzo kweli

    • @ezekiellakindi9919
      @ezekiellakindi9919 2 роки тому

      Akili una wewe

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 роки тому

      @@damianjeremia3821 Hamokinyesi hana tuzo yyte kwa mziki gan kwanza mpaka timamu wampe tuzo?

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 роки тому

      @@ezekiellakindi9919 HAMOKINYAA

  • @dinnoallex129
    @dinnoallex129 3 роки тому +5

    Daaa nimejikuta naipenda hii tv kisa story ya van boy🙌🙌🙌🤣🤣

  • @rashidyadam2560
    @rashidyadam2560 3 роки тому +8

    sio maik za singel 😂😂😂

  • @AliceMunyau-k4s
    @AliceMunyau-k4s 8 днів тому +1

    Congratulations to rayvanny

  • @medardsalama
    @medardsalama Рік тому +3

    Rayvanny nimsani mzuri Sana anatshapa muzik muziri abakipajibhisho

  • @emmykisigelile4412
    @emmykisigelile4412 2 роки тому +3

    Meneja kumbe pia ww n muigizaj nakupata kwenye binadam wabaya ya kitale big up bro

  • @jacquelinemuthina
    @jacquelinemuthina Рік тому +2

    Congratulations rayvanny, napenda ur songs, from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @francisjameswadira6917
    @francisjameswadira6917 3 роки тому +2

    Huyu ni Ruben Ndege au NCHAKALI bhana ndio alie hisi kuwa vanny boy anajua

  • @sylivestermwasile4203
    @sylivestermwasile4203 3 роки тому +4

    Mjengo wakifahali kivip wakati hyo ni lekod label yake sasa au kainunua nyumba hamuoni pale juu NEXT LEVEL MUSIC ( NLM) au mnashobo

    • @mbezzoprince9462
      @mbezzoprince9462 3 роки тому

      Sasa hio lebo imebandikwa juu ya mti😂😂😂😂😂😂

    • @009biafra8
      @009biafra8 3 роки тому

      Kwahyo hapo nn kinakutatanishaa

  • @aliabdallasaid3174
    @aliabdallasaid3174 3 роки тому +3

    Pinfac Majani lzma amuweke Ni bamkwe yule

  • @MusicLover-xb4bf
    @MusicLover-xb4bf 2 роки тому +1

    Apo kwa singeli hujafanya poa😂😂😂😂

  • @johannahakim8470
    @johannahakim8470 3 роки тому +4

    Nyumba imejana mashetani tu hakuna ata Malika umoya anaweza ingiya

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 3 роки тому +14

    Wabongo kwani L na R mnashindwa vp kuzitofautisha?

    • @abuukamanda.s.mkenga6687
      @abuukamanda.s.mkenga6687 3 роки тому +1

      Mi mwenyewe wananiuzigii c jui tatizo linakuagga wap

    • @aminajuma1435
      @aminajuma1435 3 роки тому

      @@abuukamanda.s.mkenga6687 wanajitahidi kutaka kuongea kiswahili fasaha ndokinawashinda.

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @abuukamanda.s.mkenga6687
      @abuukamanda.s.mkenga6687 3 роки тому

      @@aminajuma1435 aaiseee ani mi nakerwkaga kishenzi ani halaff m na n simpo haiihitaj hata kusoma saaaana kwa mwalim mi nakumbuka niliishia 7 lakn huu ujinga c uwezagg😭

    • @abuukamanda.s.mkenga6687
      @abuukamanda.s.mkenga6687 3 роки тому

      @Salama Salama umeuaaaaaaa kinyamaaaani🤣 aaiseee

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 роки тому +2

    Kweli akili zinatofautiana sana Wakati Chui anajipanga kukuuza music wake mwenzie umakondeni anasumbukia mapenzi anaona kashamaliza wasanii wake wamepoa hakieleweki yeye analia lia serikalini wanampa hela anaenda kuweka mabango ya mapenzi mtaani. Basata hawaoni kama anachofanya sio maadili na afya ktk sanaa wamekaa kimya. Kweli maisha ni nyoso

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 роки тому

      kuma la mamako kila mtu atombeshe kuma lake hakuna haja ya ku compry kuma wee

    • @malkavoice2570
      @malkavoice2570 2 роки тому

      @@sifatiiman kamle mamaako kwanza afu umpelekee tako mmakonde

  • @mutheriannah2562
    @mutheriannah2562 Рік тому +2

    That background is very neat,,,,, rayvanny keep it💞💞,,

  • @mistaantoine7168
    @mistaantoine7168 2 роки тому +1

    Kaka diamond mungu akubariki

  • @sebamjema5614
    @sebamjema5614 3 роки тому +4

    Ukuta mzima hakuna picha ya YESU wala MTUME hakika mali na vyote ni vyakupita MUNGU tusamehe hatujui tulitendalo

    • @farajachengula9227
      @farajachengula9227 3 роки тому

      Kwani lazim hizo sanamu jamn kuweka ndan

    • @shynner1
      @shynner1 3 роки тому

      Aisee kama unapicha ya mtume nitumie na mimi sjawahi kumuona

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 роки тому +1

    Hoo Wasanii Walinyonywa Wasanii Wazamani Walikua Wapenda Chini Sana Na Manguo Makubwa Kama Magunia Ndio Wanaozalisha Chuki Wanaona Aibu Kwasasa Wamebaki Hoi Vijana Wanafanya Mambo Makubwa Sana Wasanii Wengi Lakini wasanii Waliotoka Mikononi Kwa Daimond Wamekua Na Umaarufu Hata Kwa Walio Awana Pesa

  • @asherymwande5644
    @asherymwande5644 2 роки тому +1

    Dah ni heri kabla hjafanya nahojiano fanya uchunguz kuwajuw watu huyo so dj choka ndugu,afu sio justin baby ni biba inatamkwa hivo

  • @richgambi6694
    @richgambi6694 3 роки тому +1

    Ongera sanaaa dogo

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 2 роки тому +1

    Mkn zan ravnnyn ChuiiiNLM ogera zana Ravnnnyn nexti levo misic na ravnnyn Chuiii pambana sana NLM piga kasi lebo niyako pambana buro NLM

  • @dseven7094
    @dseven7094 3 роки тому +6

    Kifaali wabongo na lugha

  • @dangotesam9845
    @dangotesam9845 3 роки тому +2

    Passion Java things. Akili Kichwani.

  • @highertours1287
    @highertours1287 3 роки тому +8

    This reporter is the real Definition of a WINDBAG!!!

  • @aidanwilliam9637
    @aidanwilliam9637 3 роки тому +6

    2:43 mtangazaji usitumie neno nakuonyesha sena nakuonesha, katika kiswahili sanifu neno kuonyesha ni kutoa onyo juu ya jambo fulani, tumia neno ONESHA badala ya onyesha.

    • @aloycesteven5998
      @aloycesteven5998 3 роки тому

      Wabongo wengi hawajui kiswahili una kuta mtu anasema nyimbo yako inabamba sasa hapo anaongea nini

    • @aidanwilliam9637
      @aidanwilliam9637 3 роки тому

      @@aloycesteven5998 nikiona mtu anakosea kiswahili napata shida kweli natamani hata nimcharaze bakora

    • @naimakombo4576
      @naimakombo4576 3 роки тому

      @@aidanwilliam9637 hhhhhhhhh

    • @vincentmulwa9553
      @vincentmulwa9553 3 роки тому

      Kwani kuna mtihani

  • @jameskiboko7307
    @jameskiboko7307 3 роки тому +2

    Mala ume iangusha iyo tunzo ndo utaona watu wanavyo kuvaa

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 2 роки тому +1

    Like back kuwa wakwaza macvoce ravnnyn nexti levo misic

  • @christinamarianusi4704
    @christinamarianusi4704 2 роки тому +1

    Hongera Sana chui

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 роки тому +5

    Congratulations chui.

  • @salamanauthar480
    @salamanauthar480 2 роки тому +1

    K Mziwanda jifunze kutamka vizuri herufi R na L' maana unachanganya kwenye r unaweka l na kwenye l unaweka r'

  • @teresamorara5407
    @teresamorara5407 3 роки тому +10

    Congratulations ❤❤❤

  • @mustaphahassan8407
    @mustaphahassan8407 3 роки тому +3

    ukifikilia kufa basiutaishi maisha magumu wewepambana iliufanikiwe kufa badae

  • @farida4595
    @farida4595 2 роки тому +2

    Pacha y kwnza ya nyumba. ( Ndan ) tofauti na hii tunayooneshwa ndan

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 роки тому +1

    We meneja wa vany boy ulimtoa kafala mwenzio kwenye tamthilia ya binadam wabaya

  • @alickomsyani3900
    @alickomsyani3900 3 роки тому +1

    Sio DJ choka ni #nchakali

  • @fatmaalhabs6939
    @fatmaalhabs6939 3 роки тому +2

    ya kukodi tuu hawana hata nyumba zao na kumuliki

  • @sharonhood7595
    @sharonhood7595 3 роки тому +5

    Waaaaaaaaaaaah 💕💕💕💕💕💕💕💕❣️🔥💯❤️

  • @lucaszacariaszacarias3894
    @lucaszacariaszacarias3894 2 роки тому +1

    Jamani samahani kuliza sio hujinga hivi huyu mtangazaji mwanamke hau ni mwanaume?

  • @jestonelazaro6543
    @jestonelazaro6543 2 роки тому +2

    DJ choka ahahahahahahah Dah bigup

  • @daniellarebecca4080
    @daniellarebecca4080 3 роки тому +2

    Huyu ripota ni mwanamke ama mwanaume

  • @colinmhema530
    @colinmhema530 3 роки тому +4

    Kodia ya ccm haionekani kwan yeye hakupewa?

  • @laveritetv4729
    @laveritetv4729 2 роки тому +4

    Na kupenda Rayvany ku toka congo ❤❤❤

  • @maryamomary6582
    @maryamomary6582 2 роки тому +1

    Umenikill after kusema chibudii chibudeee

  • @bankssmithofficial2245
    @bankssmithofficial2245 2 роки тому +2

    Good

  • @devidmwakipunda1697
    @devidmwakipunda1697 2 роки тому +1

    Kesho tuoneshenakwao alipozaliwa tupaone

  • @tanaphamayunga9924
    @tanaphamayunga9924 3 роки тому +1

    Chuiiiiiii for life baby

  • @tabiangonyani3526
    @tabiangonyani3526 3 роки тому +1

    Na wew mtangazaji kaz za kutuonesha majumba ya watu cku nyingine tuoneshe na yako cyo kazi za umbea 2

  • @pbsecurty7422
    @pbsecurty7422 3 роки тому +1

    Nendeni vyuoni someeni hizo fani acheni kututia aibu. Bongo bhana

  • @michaelrobertkibona6030
    @michaelrobertkibona6030 3 роки тому +3

    Big up

  • @denniswaihenya3870
    @denniswaihenya3870 3 роки тому +15

    I love his songs .big up 🍾🍾

  • @khadijamohamed209
    @khadijamohamed209 3 роки тому +2

    Mmealikwaa kuingia majumb y wtu

  • @barakatabdul3212
    @barakatabdul3212 3 роки тому +5

    Ngoja hiyo Tuzo Uibwage" na kihere here chako🤣🤣🤣🤣

  • @cynthiamshai3308
    @cynthiamshai3308 2 роки тому +1

    Wee mtangazaji unakuaga mwanamme au mwanamke?

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 2 роки тому +1

    Mtangazani kaishia vidudu " Kindergarten" mumsamehe😃😃

  • @wazirijunior3343
    @wazirijunior3343 3 роки тому +1

    Nauliza hiv kwa mfano akifukuzwa hapo WCB atapeleka wapi kwato zake🚶🚶🤣🤣🤣

  • @assab3167
    @assab3167 2 роки тому +2

    Unajua dada

  • @charlesfundisha6376
    @charlesfundisha6376 3 роки тому +1

    Hamna mic za kutosha meneja alifaa avae mic yake atumsikii kabisa

  • @wahidaabeid5712
    @wahidaabeid5712 2 роки тому +1

    Wa kwake au makofi manake wasanii matatizo

  • @maryswende2155
    @maryswende2155 2 роки тому +1

    Huyo kaka wa shati la draft kaigza maneno ya kuambiwa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 роки тому +2

    Wala siyo jumba lake hizo ni kiki za mitandaoni tu huyo boss wake diamond anapanga mbezi yeye ndiyo awe na nyumba wasanii wengi uongo mtupu biashara za UA-cam tu

    • @andondilenseleba4061
      @andondilenseleba4061 3 роки тому

      Huna akiri ww inamana unahisi mond Hana Hera ya kujenga au vivan boy Hana Hera ya nyumban Kama hyo acha ushamba wewe mastaa wengi duniani wamepanga

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 роки тому

      @@andondilenseleba4061 mbona unanitukana nami sijaandika hivyo simu hii inachezewa na wajukuu

  • @salomemosesshadrack3429
    @salomemosesshadrack3429 3 роки тому +1

    Mambo heihei by salome

  • @supertal2943
    @supertal2943 2 роки тому +1

    Mwandishi bhana.. Et Justine beibe😜😜

  • @rahimchardluck
    @rahimchardluck 4 місяці тому

    tatizo la kwanza. namna ya watangazaji wanavyoongea embu tubadilike..pili fanya uchunguzi wa snaa kabla haujaenda kumuhoji au ,ufanya interview yani p funk amekuwa salam sk ..mtangazaji hata dj choka hamjui..mtangazaji hata dj rommy jones hamjui..mtangazaji justine b ana mwita justine baby..mtangazaji unatuaibisha wa tz

  • @donpjay9528
    @donpjay9528 3 роки тому +3

    Heti best female artist hhhhhhhh

  • @loisesamuel6124
    @loisesamuel6124 3 роки тому +2

    Justin baby 😂😂😂😂

  • @isayakaseke760
    @isayakaseke760 2 роки тому +1

    Voice Dume Dike? Mwandishi wahabari 🤣🤣🤣

  • @octaviankiwone4440
    @octaviankiwone4440 2 роки тому +1

    maisha gani bhana unaingia ndani unavua viatu umewahi kuona wapi

  • @nicklassshaypanga8794
    @nicklassshaypanga8794 3 роки тому

    A.K.K mtyuuu mbadii raygold👑👑👑

    • @joycemtaita6418
      @joycemtaita6418 2 роки тому

      Umenichekesha mziwanda et Justin beibiii duh

  • @agnesmpiluka7929
    @agnesmpiluka7929 2 роки тому +1

    Tufafanulie Mjengo wake kajenga nyumba yake mwenyewe au kapanga

  • @halimakhamis2725
    @halimakhamis2725 3 роки тому +1

    Kapanga angeweza angemjengea mama ake kwanza anakwenyewe kibanda kama cha kufugia sungura

  • @staphanomajengo7048
    @staphanomajengo7048 2 роки тому +1

    Uyu jamaa huu nimjengo wake anatisha sana situdio ndan

  • @davidmasyukimunyalo6980
    @davidmasyukimunyalo6980 2 роки тому +1

    Unaongea/ kuonyesha picha sana baka unabore

  • @orestamichael2878
    @orestamichael2878 2 роки тому +1

    reny upo saws naomba kazi mi dogo lako

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 2 роки тому +1

    Wasanii pesa zina ishia kwenye nyumba zawatu

  • @lubuvahussein5556
    @lubuvahussein5556 3 роки тому +1

    Mtangazaj...Nahc ulivyosomeshwa shule ulifundishwa Mazingira xo Mazingila....Mpoje nyie!

    • @emilywangokho7002
      @emilywangokho7002 3 роки тому +1

      Alisomea wapi hiyo neno prochusa🤣🤣🤣🤣

  • @madinisilasofficial7831
    @madinisilasofficial7831 2 роки тому +2

    Hii record lable inaweza dajili wasanii wa kutoka Kenya kweli iwe chini yao?

  • @queenmariana5887
    @queenmariana5887 3 роки тому +1

    waaa lugha tata duh🤔🤔🤔 mtangazaji lol