FULL VIDEO: KAJALA Amuomba Radhi P, Majani wakumbatiana...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 135

  • @VeroMaketu
    @VeroMaketu 7 місяців тому +45

    Hongera sana kajala mom umefanya jambo nzuri kuomba msamaha ni baraka sana hasa kwa mwanao ❤❤

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 7 місяців тому +27

    Samiraa❤❤❤❤❤❤❤ na kajala ni wanawake WANAOJIELEWA ITOSHE IVO. DUNIA NI MAPITOOO😢😢MABIFU HAYANA MANA

  • @mamirokongx195
    @mamirokongx195 7 місяців тому +24

    High level of maturity. Fantastic

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 7 місяців тому +28

    Khekima kubwa sana umetumiya ukhuty kajala huu ndiyo utu uzima....mungu awape khekima zaidi ❤

  • @kiya0910
    @kiya0910 7 місяців тому +7

    Nimekupenda bure kajala umetumia hekima Sana Kwa mzazi mwenzio na mke mwenzio mungu akubariki ❤❤❤🎉 nimempenda sana

  • @adoniusalfred4997
    @adoniusalfred4997 7 місяців тому +78

    Majani kweli ni mzazi ameongea vzr sanaaaa.......ndio maana ata wasanii waliopitia kwenye mikono yake walifanya vzr......mungu akuweke p funk majani baba paula

    • @Bmsecret
      @Bmsecret 7 місяців тому +3

      Mzazi gani anae sherehekea mtoto wa haramu mtoto wa njee ndoa mtoto zinaaa mtihani sana

    • @KhamisMuarubain
      @KhamisMuarubain 7 місяців тому

      mmmmh,kumbe hajaoleewa huyuu bint

    • @Bmsecret
      @Bmsecret 7 місяців тому

      @@KhamisMuarubain malaya tu mimba ya njee ya ndoa

    • @divanamines5516
      @divanamines5516 7 місяців тому

      @@Bmsecret inawezekana wakaowana baada ya mtoto kuzaliwa, tusiwe wepesi kuhukumu

    • @divanamines5516
      @divanamines5516 7 місяців тому +1

      @@BmsecretHivi upo kwenye ndoa? Na je Kama ni ndio.. ndugu au marafiki zako wote ni wakamilifu… tuwaombee waoane lakini tusitumie maneno makali

  • @freddiemanento6318
    @freddiemanento6318 7 місяців тому +8

    Hongera sana P na Kajala. Nimefurahi sana kaka

  • @OliverGodwinzakaria
    @OliverGodwinzakaria 7 місяців тому +6

    Haaa😂❤❤nimewapenda Sana ,, kumbe kajala unaakili Sana ❤❤

  • @mariamjamali1444
    @mariamjamali1444 7 місяців тому +7

    Hongera sana Bi Samira Kwa kweli unavyoongea unaonekana ni full packed wife and socially material and materialized I like that.

  • @munirashabanmnubi8650
    @munirashabanmnubi8650 7 місяців тому +10

    Jmn Samira ana sauti nzuri na anapenda kucheka sana very happy mwnyw

    • @MathewNgwahi
      @MathewNgwahi 7 місяців тому

      Naelewa Kwa Nini PFunk amekwamia Hapo Kwa Samira. Thio Mchezooooo

  • @athumanmbaraka5192
    @athumanmbaraka5192 7 місяців тому +3

    Hadirahaaa❤❤❤❤kumekuuucha kumekucha apo hakuna panapovuja p Fank ni baba borasana kamkabizisha mwanae Paula kwa omary au Marioo kua wawe wazazibora nawazae watotoweng

  • @ashaali2853
    @ashaali2853 7 місяців тому +18

    Asnte Baba paula na kajala umefanya jambo la busara sana

  • @DaudiMazengoMasterDTEM
    @DaudiMazengoMasterDTEM 7 місяців тому +10

    Kila lakheri. Wazazi mmeonesha utu nje ya sanaa. Big up. Omary na Paula Mungu akawe nanyi. Kajala dada yangu na mtani wangu, kila lakheri najua sanaa na maisha halisi ni kazi kubalance lakini yashike maneno ya Paul aka PFUNK MAJANI. Kila lakheri.

  • @NEEMAAKILIMALI-ss2ee
    @NEEMAAKILIMALI-ss2ee 6 місяців тому +2

    Babu na bibi wametisha sana mmbarikiwe sana

  • @cletusmwampinzi
    @cletusmwampinzi 7 місяців тому

    Tuache unafiki, kuna somo zuri la kujifunza hapa, Hongereni wazazi kwa kuunganisha familia.God bless you all.

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 7 місяців тому +11

    Hii Vdeo imenilizaaa😢😢😢Nina mke mwezangu lkn kwangu niko peace ila yy ka smuelewi hivi. Yy ni mke mdogo lkn iko sku mungu ataweka bayanaaa😢

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 7 місяців тому +3

      Pole mkubwa mkubwa tu hata ukimpandia ngazi. Huwezfikia😊

    • @YusufAli-dm6cd
      @YusufAli-dm6cd 6 місяців тому +1

      𝚙𝚘𝚕𝚎 𝚜𝚊𝚗𝚊

  • @saquinaalisufo7666
    @saquinaalisufo7666 7 місяців тому

    😢Kajala é uma mulher exemplar ❤️ quase chorei 🙏TE amo Kajala com a sua filha 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @MichaelPaul-hl5ng
    @MichaelPaul-hl5ng 6 місяців тому +1

    Upo sahiii bro akika umetueshimisha kamkubwa.

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 7 місяців тому +1

    NAMPENDA paula. ❤❤❤❤Nmependa alvomuhug mamaake wa kufikia❤

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 7 місяців тому +1

    Hongera sana Kajala na P na Samila mamy mungu awe nanyi

  • @lucasmathew8842
    @lucasmathew8842 7 місяців тому

    Its high level of maturity to both of u. Big up

  • @jescarsuleiman4286
    @jescarsuleiman4286 7 місяців тому +24

    Wife material ni Samiraaa 🔥🔥🔥

    • @TanzaniteInAmerica
      @TanzaniteInAmerica 7 місяців тому +4

      Kweli kabisa nimempenda you can tell that ana roho yake nzuri.

  • @FiollaIsaya
    @FiollaIsaya 7 місяців тому

    Nimekupenda kajala mama safi sana 🎉

  • @G.S985
    @G.S985 7 місяців тому +1

    Kajala umejua kuniliza nisiseme uwongo kwa kweli,you're the best❤wewe ni shujaa

  • @kimpalambapj
    @kimpalambapj 7 місяців тому

    Funk has matured enough. He's real. I suppose there's something to learn.

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 7 місяців тому +11

    Majani anamwambia Marioo umeyatimbaaa🤣

    • @AgathaMatambula-lf7fv
      @AgathaMatambula-lf7fv 7 місяців тому

      Watatulia tyuu chezea mario ww😂😂😂

    • @BlackKing89-l1u
      @BlackKing89-l1u 7 місяців тому

      @@AgathaMatambula-lf7fv Unamjua Majani wewe??😳.. Itakuwa wewe ni mtoto wa 2000 Ndo maana hujawahi sikia mziki wa P Funk Majani..Braza ni mkorofi..alikuwa anapiga wasanii vibao huyo wakimzingua au wakileta kelele..wasanii wa wababe wakongwe unaojua wewe wamekula sana mitama na mabao Sembuse KaMarioo chembamba kama kana Kwashakooo.🤣.
      Uliza Mitaa utaambiwa Stori za Majani🤣🤣

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 7 місяців тому +5

    Samira ana sauti nzuri mashaallah

  • @amriyaaziz2199
    @amriyaaziz2199 7 місяців тому +1

    Nimempenda samira buuure anacheka tu jamani 😂😂😂😂😂

  • @MariamMkami
    @MariamMkami 7 місяців тому +6

    Yu wapi bibi na babu mzaa omary 🤔🤔 otherwise congratulations to them🎉🎉

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 7 місяців тому

    Bibi na Babu🤣🤣🤣,siku hizi bhna mtoto hajazaliwa mtu kashakuwa babu🤣🤣🤣🤣

  • @prettydiva2543
    @prettydiva2543 4 місяці тому

    Kajala did the best for her daughter..She put her differences away for the sake of her daughter❤❤

  • @queensarah860
    @queensarah860 7 місяців тому +4

    Hongera sana Paula and Mario

  • @arya-star53
    @arya-star53 7 місяців тому +2

    Haki nimependa busara na mafunzo ya p fank kiukwel babu mtu🥰

  • @asiamwarabu440
    @asiamwarabu440 7 місяців тому +3

    Nimemskia baba levo alisema umesamehewa hahaha

  • @EmmiliamMwame-my2bb
    @EmmiliamMwame-my2bb 7 місяців тому +1

    Hongera sana kajala umekuwa. Super women

  • @gladyssembojas5308
    @gladyssembojas5308 7 місяців тому +17

    Kajala katika yote umefanya ni kumuomba babá mtoto wako msamaha kunyoosha mapito na njia za mtoto 'UMEKUWA MAMA'

  • @wazirally1791
    @wazirally1791 7 місяців тому +1

    Amemuita brother ba mkwe hahahhahh

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 7 місяців тому

    Jamani napenda ushirikiano wa samira na kajala 😊 najikuta nalia eti

  • @gauchogaucho7583
    @gauchogaucho7583 7 місяців тому

    Mtotoo ajazaliwa hvoo mnakufuruu sanaa

  • @kiya0910
    @kiya0910 7 місяців тому +1

    Baba Paula mumefanya heshima Sana Baba ❤

  • @alisaidi9734
    @alisaidi9734 7 місяців тому

    Safi sana p na kajala kwa kusamehana safi sana nimependa

  • @harrymo8864
    @harrymo8864 4 місяці тому +1

    Mashaa Allah

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg 7 місяців тому +1

    Namsikia Babalevo akisema" Umesamehewa!.

  • @HazinaElisha
    @HazinaElisha 4 місяці тому

    Ila kajara roho inauma mwanaume umezaa nae hafu akuacheeee inaumaa

  • @jomba6514
    @jomba6514 7 місяців тому +2

    Kila kitu kimeenda vizuri

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 7 місяців тому +3

    Kajala hanajielewa bas dunia tu ❤❤

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 7 місяців тому +1

    Hakika nimelia, kajala umeonesha ushujaa sana kuomba samahani. Heshima sana kwako.huo ndio ushindi Ameen ❤

  • @aishaalimasiasina8417
    @aishaalimasiasina8417 7 місяців тому

    Ongera My Paula❤and Marioo

  • @kingdeniscrocodile
    @kingdeniscrocodile 7 місяців тому

    mbn Samira anatongozeka furesh tu😂😂

  • @koffianodichisesa238
    @koffianodichisesa238 7 місяців тому

    Hongera Yao🎉🎉

  • @emmanuelgrayson3276
    @emmanuelgrayson3276 7 місяців тому +2

    Mzee anaashabikia zinaa mtoto kapigwa mimba kesho anaanchwa Tena Mzee anaacha kubariki ndoa wanaogelea zinaa hawafati taratibu wanruhus uhuni alafu et mtoto akue kimaadili wakat mama kachukuliwa kihuni

    • @RynoFiree
      @RynoFiree 7 місяців тому

      Wew Unazingua ndoa ni makubaliano Baina ya watu wawili nawazazi wakiridhia mambo yanaenda, hizo niitikadi zako kwani ndoa mnazopewa makaratasi eti vyeti, zinatofauti gani ikiwa mnakaa miezi mitatu mnaachana na mnasema zimeunganishwa Na Mungu, I acha kuwa mchawi wa maisha ya watu

    • @emmanuelgrayson3276
      @emmanuelgrayson3276 7 місяців тому

      @@RynoFiree mbn matusi ten wew fikiria Kwa makin apo ni matusi sisi ni waafrika tuna maadil yetu hayo ni matusi kana kwamba wanamuambja baba yao kua timeshafanya tendo tayar

    • @donhussle948
      @donhussle948 2 місяці тому

      Waangalia ya watu ww yako unayajuwa ...hebu kawaulize wazazi wako wao kabla wakuzae waliowana ndo wakakuzaa ama ulizaliwa bahati mbaya ...

  • @fakihrashid7347
    @fakihrashid7347 7 місяців тому +2

    Majani, he's not your brother, he is your son inlaw 😂😂

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 7 місяців тому +5

    Dah nimejikuta machozi ya furaha yakinitoka,upendo ni kila kitu,Mungu awaongoze kwa kila jambo

  • @TunuOmar
    @TunuOmar 7 місяців тому

    Bibi samira anapenda kucheka nimewapenda bureeee

  • @ashaali2853
    @ashaali2853 7 місяців тому +8

    Huo ndio utu uzima unafaa uwee

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 7 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kajala ☝️ number ONE❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MichaelPaul-hl5ng
    @MichaelPaul-hl5ng 6 місяців тому

    Dah yan bora samira ndo angekuwa mama wa paula nais angekuwa sawa

  • @RingsonVicent
    @RingsonVicent 7 місяців тому +1

    Baba levo hapoii 😂

  • @mmarycalvin6395
    @mmarycalvin6395 7 місяців тому

    Mama mkwe anaona aibu aliyumba kipindi fulani ila sasa atakuwa sawa. amejifunza.

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 7 місяців тому +2

    Uzungu huu,,,,duh!!

  • @munisoNunu
    @munisoNunu 7 місяців тому +2

    Mashaa Allah ❤

  • @LilianJaphety
    @LilianJaphety 7 місяців тому

    Ila mjue tu kitendo cha mwanaume kukaa na mwanamke ndani kupika na kupakua hyo n ndoa tiyar....mana ndoa n makubaliano ya watu wawili walioamua kuish pamoja !kwahyi makubaliano yanaanzia kwao kisha nyie kula pilau s lazma ila hapo Mungu ashapitisha tayar!!.....zinaa n ile hali ya mtu kusex na mwanaume kisha kila mtu anarud kwake hyo ndio zinaa ila kukaa pamoja s zinaa

  • @JudyJames-nh5pk
    @JudyJames-nh5pk 7 місяців тому

    ❤❤ kajala bigup

  • @sintasmarty4974
    @sintasmarty4974 7 місяців тому

    MuOSHWAA HUOSHWAAAA😅😅

  • @fattidtv678
    @fattidtv678 7 місяців тому

    Love this

  • @chimamilion
    @chimamilion 7 місяців тому

    Hii ingekuwa ndoa ingekuwa poa sana walah

  • @AgathaMatambula-lf7fv
    @AgathaMatambula-lf7fv 7 місяців тому

    Hii video ijengewe sanamu jaman😅😅

  • @rashidsaid1092
    @rashidsaid1092 7 місяців тому

    Sasa jmani si asubiriwe azaliwe kwanza.. Sababu hiyo ni siri kubwa kwa Allah..

  • @Makakulaya
    @Makakulaya 7 місяців тому

    Kumbe ka marioo nikafupi? Dahhh mbona wa tanzania wanaume ni wafupi tena wabaya sura zao nikama za sokwe.😂😂😂😂😂muko ba bantou bakweli

  • @TresorZakwani
    @TresorZakwani 7 місяців тому +1

    Zuri🎉

  • @trice_yanga
    @trice_yanga 7 місяців тому +1

    blockng is typing....dadeki

  • @pompeymnyalape9733
    @pompeymnyalape9733 7 місяців тому

    Umalaya una kazi!!! Familia nzima inatangaza umalaya hadharani

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 7 місяців тому

    Sijaelewa anaozeshwa aw

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 7 місяців тому +1

    Mungu awalinde

  • @LilianJaphety
    @LilianJaphety 7 місяців тому

    Na pia hata kitendo cha mwanamke kutolewa mahar pia n ndoa tu

  • @HAMDUHamad-v8m
    @HAMDUHamad-v8m 7 місяців тому

    Kashanzaaa kwan

  • @MWAKIPESA
    @MWAKIPESA 7 місяців тому +1

    Yan connection safi

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 7 місяців тому

    Hapo Anaomba Msamaha kwa ajili ya binti mamabo yaende sawa otherwise?.....Hakuna kitu hapo jamaa kajikaza kiume tu,,ina maana binti asingewekwa mimba?

  • @QGmnene-d5j
    @QGmnene-d5j 7 місяців тому

    Kila rakher kwa kila jambo kalibuni kwenye ulimwengu huu nimependa nilichosikia kwa wote

  • @AdonisMniko
    @AdonisMniko 7 місяців тому +2

    Paul anapaswa kuwa na wake wawili

  • @SharifaZahabu
    @SharifaZahabu 7 місяців тому

    Jmncjuw🙄 niushamb et alicho shka kajala nikikop chamtoto kilechashl chamaj yangunywa au nini??

  • @fatyakauga2951
    @fatyakauga2951 7 місяців тому

    Umesamehewa

  • @SmithJacob-f2r
    @SmithJacob-f2r 7 місяців тому

    Swali langu hivi jamaaa ameishatoa mahari

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 7 місяців тому

    Hawa wamefunga ndoa?

    • @OliverGodwinzakaria
      @OliverGodwinzakaria 7 місяців тому

      Sio ndoa jmn Leo wanafanya shereh kwajl ya mtoto wao wa tumbon

  • @Mnakayaamina
    @Mnakayaamina 7 місяців тому

    Mashallah

  • @NadiaNdayisaba-k8c
    @NadiaNdayisaba-k8c 3 місяці тому

    😭😭😭😭

  • @annmueni5961
    @annmueni5961 4 місяці тому

    Mnajifanya amsikii Samira dharau tu,anasema bibi anafaa crop top na wajukuu...mama nyoka huyu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 7 місяців тому

    Samira 🎉🎉🎉🎉

  • @AkiliEmedi
    @AkiliEmedi 7 місяців тому

    Wazazi wa Mario mbona atuwaoni ?

    • @zena6203
      @zena6203 7 місяців тому

      Wamelala wamesahawu 🤣🤣🤣🤣

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 7 місяців тому

    P Fank majani to the world🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @godfreykeita9804
    @godfreykeita9804 7 місяців тому +1

    Naezaje pata mwanamke kama samira, kwenye hiki kizaz cha 2000+🤔

  • @AdonisMniko
    @AdonisMniko 7 місяців тому

    Chukua na kajala

  • @RoverRoom
    @RoverRoom 7 місяців тому

    ❤❤❤

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 7 місяців тому

    Kajala mtu mwenye zamili

  • @machioobanda5594
    @machioobanda5594 7 місяців тому

    💬💬

  • @medadjastin4400
    @medadjastin4400 7 місяців тому

    mjukuu wa konde😂

  • @gamarmahsan8254
    @gamarmahsan8254 7 місяців тому

    Hauna haya hiyo nguwo mtu mzima siunge kuwa vile kipara hizo nywele 😂😂 mwa jizuzuwa wee na mwano

  • @juliethJoseph-uw6hl
    @juliethJoseph-uw6hl 7 місяців тому

    😂

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 7 місяців тому

      We mwanamke nimekufuma tena hongera na baby🤣🤣🤣🤣🤣nakuja Niko ikokoto🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

  • @SalumManondo
    @SalumManondo 5 місяців тому

    ❤❤❤❤