Mpaka Home: Haya Ndiyo Maisha Halisi ya Bambo, Global TV Yamuibukia Usiku

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 691

  • @stevensenghana4584
    @stevensenghana4584 7 років тому +18

    msifikiri kwa mtazamo hasi angalieni pia hii ni challenge kuwajua hao vioo vya jamii huwa mnawaona wasanii wana magari au majumba lakini Bambo amekubali kuhojiwa sio wanaojionesha kwa majumba ya watu so big up Global tv

  • @johnspmteddygk8563
    @johnspmteddygk8563 6 років тому +1

    Nimependa uhalisia wa Dickson S. Makwaya "Bambo" kwa kujivaa utu wake ndani na nje ya Comedy.Pia nimevutiwa na shemeji yetu mke wa Bambo kwa kumkubali na kumpenda Bambo alivyo kimwonekano na kimaisha,napenda pia anavyomuangalia bro.Bambo hapo wakati akihojiwa na kuzungumza.Yaani lugha yake ya mwili kwa Bambo inaonesha namna anavyoguswa na kumpenda Bambo kivyovyote vile.Ingekuwa ni mdada mwingine hapo wala hata hasingekaa sofa moja na mumewe hata kumuangalia usoni.Hongereni,Mungu aibariki familia yenu.

  • @humphreyjoseph5945
    @humphreyjoseph5945 4 роки тому +2

    Saf sana mnyasa mwenzangu japo umejibland km mngoni. Fresh sn Bambo

  • @geophreylalika2374
    @geophreylalika2374 7 років тому

    safi sana bambo hapa nimeipenda coz hutaki kuficha uhalisia wako kama wengi tunavyowaona

  • @samsonzablon
    @samsonzablon 7 років тому +37

    Ama kweli sanaa Tanzania haithaminiwi, kweli mtu kama Bambo tangu nimemfahamu, hakutakiwa kuishi maisha haya.

    • @stevenjoyce5102
      @stevenjoyce5102 7 років тому

      Samson Zablon Sasa we ukitoka aishije acha unafiki

    • @samsonzablon
      @samsonzablon 7 років тому +1

      Yanga Omar kabla hujacoment uwe unaelewa statement ya mtu. Kuwa mstaarabu

    • @maryjonas2546
      @maryjonas2546 6 років тому +1

      mda mrefu nillizani ana bonge LA mjengo

    • @jamesgabriel9238
      @jamesgabriel9238 6 років тому

      Leave your jokes my friend life is everywhere

    • @jamesbariki1930
      @jamesbariki1930 5 років тому

      mtangazaji hajierewi

  • @saviongaila3546
    @saviongaila3546 7 років тому

    Hii program ikifanyiwa maboresho ni nzuri sana, ilaa waandaaji hawako serious, mtangazaji nae commedy.... Fanyeni maboresho Global TV... Idea ni nzuri sana

  • @zabibukivyele7407
    @zabibukivyele7407 5 років тому

    Mtangazaji umetisha sana duuh

  • @hamisa_mahimbo
    @hamisa_mahimbo 6 років тому

    yaani kuna vikongwe wa sanaa wako underrated sana... Taasisi ya sanaa ifanye hawa vikongwe wapate heshima na recognition wanayostahili..

  • @anthonykimbwene7503
    @anthonykimbwene7503 7 років тому

    Iko vizuri sana hiyo

  • @daimavlog
    @daimavlog 7 років тому +2

    Nimeipenda familia ya Bambo. You can see love.

  • @maombikonga
    @maombikonga 7 років тому

    Mtangazaji miyeyusho sana hayuko makini na kazi yake

  • @helmanjohn8286
    @helmanjohn8286 7 років тому +2

    binafsi nimempenda sana mke wake

  • @shankalimauno5786
    @shankalimauno5786 5 років тому

    mungu awabaliki bambo na family yako nimeipenda sana life style yako

  • @andersonmichael3887
    @andersonmichael3887 4 роки тому

    Mtangazaji hujui aise

  • @hadijapazia684
    @hadijapazia684 6 років тому +3

    Nampenda sn Bambo na vichekesho vyake

  • @khadijawendomwachirenje3513
    @khadijawendomwachirenje3513 7 років тому +15

    duuuu na hiyo nyumba nje ukiona utasikitika lakini ndani Safi sana

  • @kashindivenerand5862
    @kashindivenerand5862 4 роки тому

    Fresh

  • @Rahmamatengo6114
    @Rahmamatengo6114 6 років тому +3

    Aise bamboo nakupendaga bure aise uko vizur amazing

  • @musasaidi7973
    @musasaidi7973 7 років тому +1

    Mtangazaji hafai kabisa kiukweli Global kwa hii mmechemsha

  • @zuhurambonde7599
    @zuhurambonde7599 5 років тому +3

    Dah!! Bambo yaani uswahilini

  • @nilimainaftally9802
    @nilimainaftally9802 7 років тому

    nice sana...kwa kipindi

  • @fellaanikulapo4712
    @fellaanikulapo4712 7 років тому +13

    kipindi kina malengo na maudhui mazuri ila nafikir host wa show hii inabd abadilike ajifunze kuuliza vitu kwa style itakaweza kuvutia mtizamaji maana hawa ni kama hawaeleweki au hawajui wanachokitafuta kwa msanii

  • @godfreymwita1808
    @godfreymwita1808 7 років тому +11

    mtoto laptop hata kwenye Vita unakimbia nae hahahahaaaaa 😂😂 nimekuelewa bamboo......!

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 5 років тому +1

    Duh hii kali!! Bambo anamuuliza mtangazaji we nani ilhali maiki kaikamata yeye mwenyewe halafu yupo nayo ndani?! Hii kweli muvi tena director kabugi!! he he he he he heeeeeee...

  • @mariusfaustine7374
    @mariusfaustine7374 7 років тому

    Mmmm jaman kweli Ndo kwake kweli?

  • @pattitoshie410
    @pattitoshie410 7 років тому +4

    familia nzuri sana! supa star kama Bambo mkazi hayaendani jamani..

  • @sizanyamtokera2919
    @sizanyamtokera2919 4 роки тому

    Mtangazaji sijui anaongeaje duh fani zinalazimishwa

  • @deepconcept2020
    @deepconcept2020 7 років тому +2

    Mtangazaji anakata stimu sana. Analazimisha staili ya uongeaji ambayo haiwezi na anajikuta hawezi kutamka maneno. Aachane na hiyo kazi

  • @matanobaya7660
    @matanobaya7660 6 років тому

    Bamboo mchekeshaji any time dakika moja ya kwanza nimecheka sana

  • @p.tvburudan5410
    @p.tvburudan5410 4 роки тому

    Mtangaaji so fani yake

  • @bonifacefrancis2854
    @bonifacefrancis2854 4 роки тому

    Kweli

  • @D-mox
    @D-mox 4 роки тому +1

    Kumamaee iyo maiki ya global tv bambo alikua nayondni alf mtngzaji Kalime

  • @johnnamkwahe6959
    @johnnamkwahe6959 4 роки тому

    Global TV ni brand kubwa nchini na inaheshimika. Lakini kwa aina hii ya utangazaji na uendeshaji vipindi ni mambo ya aibu. Hakuna mtangazaji hapo!

  • @richiekatwiga9400
    @richiekatwiga9400 7 років тому

    Kpnd kipo vzur,, msikate tamaa

  • @majangatime1914
    @majangatime1914 5 років тому

    Global chagueeni vijana wenyeee CV nzuri

  • @homsapili6486
    @homsapili6486 6 років тому

    Nimekipenda hiki kipindi sana tu big up Global

  • @allanmujuni5943
    @allanmujuni5943 4 роки тому

    Daaah jamaa hajui mpka anakwaza

  • @nurdeenmohamed3381
    @nurdeenmohamed3381 6 років тому

    Very nice

  • @daudrevocatus4952
    @daudrevocatus4952 7 років тому

    daah dogo kwenye gitaa uko vizuri. hongera.

  • @shabansalum162
    @shabansalum162 7 років тому

    grobal TV hapo hamna mtangazaji kama itawezekana kuna mtangazaji mmoja yupo kwenye mbeya yetu TV nazani yule mkimuweka hapo atafaa sana

  • @hamismalimungu9959
    @hamismalimungu9959 7 років тому +11

    mtangazaji unaweza sana sema ongeza ubunifu bro

  • @ocbimagez9703
    @ocbimagez9703 7 років тому

    kazi ipo

  • @jamesgabriel9238
    @jamesgabriel9238 6 років тому

    Naicheki nikiwa Lusaka-Zambia, nipo nacheka ndugu yangu

  • @salimally6877
    @salimally6877 5 років тому +1

    Good

  • @esmahnguzo8448
    @esmahnguzo8448 4 роки тому

    Jaman mtangazaji mmh

  • @simaisalim7327
    @simaisalim7327 7 років тому

    hii sitabia mzuri bora muwapigie cm

  • @edithachale2749
    @edithachale2749 7 років тому +5

    yaani kama ni kuboa mtangazaji huyo anaboa yupo resi sana , huo ni uzalilishaji kwa watu wenye ujuzi na elimu zao, badilisheni mtangazaji tafadhali , mbaya sanaaaaaa

  • @denismakarius807
    @denismakarius807 4 роки тому

    Mtangazaji kanichefua sana ana kipaji unauliza mpk choon

  • @m.amanitv8534
    @m.amanitv8534 4 роки тому

    Mtangazaji Kalewa Balaa

  • @sonthadei7443
    @sonthadei7443 7 років тому +28

    Yaan huyu mtangazaji Hana mvutooo Hata.. Yaani sijui maharage ya wapi huyu.. Global sikilizeni maoni ya wapenzi wenu

    • @sebastiandeus763
      @sebastiandeus763 7 років тому +2

      son thadei Anaboa kinyama huyoo mtangazajiii

    • @ibrahimenos4199
      @ibrahimenos4199 7 років тому +2

      true
      true
      true
      Hana Kitu Kabisa hujui kupangilia maneno&maswali

    • @ibrahimenos4199
      @ibrahimenos4199 7 років тому +1

      +Japhet Thomson yes

    • @renardphilipo1647
      @renardphilipo1647 6 років тому

      son thadei kabisa hajui kazi yake!!" mtangazaji anaboa sana.

    • @BLACK-zy6bx
      @BLACK-zy6bx 4 роки тому

      Son na ww upo

  • @mkaapwekekariakoo6417
    @mkaapwekekariakoo6417 2 роки тому

    Familia Ina Furaha Kupita maelezo... Maisha mazuri yanayomfanya awe na amani... Hana maisha ya kujilinganisha

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 років тому

    kha jamani mwanamke mzuri ajabu asili hakuna mkorojo mashalah hao watoto wako walivyo wazuri watulivu hadi raha

  • @mathayomgaya3670
    @mathayomgaya3670 7 років тому +3

    wasanii wetu wana hali ngumu sana, halafu mtangazaji inabd urudi shule kipind kina kasoro kibao cjui editor wako hazioni ama vp

  • @stylistofficial1405
    @stylistofficial1405 7 років тому

    amujui

  • @jamesgabriel9238
    @jamesgabriel9238 6 років тому +1

    Uswahilini

  • @idrissdasaity5788
    @idrissdasaity5788 4 роки тому +1

    Ha ha ha ha ha
    Nimeipenda sana

  • @SaidijamalSaidijamal
    @SaidijamalSaidijamal 7 років тому +1

    duh kwa umaarufu wote wa bambo ckutegemea angekaa such place unaju he is a big cimedian jaman c

  • @annahockson1427
    @annahockson1427 7 років тому

    Nice, kipindi kizur

    • @ayoubsanga6100
      @ayoubsanga6100 5 років тому

      Mtangazaji mzinguaji hujui kabisa yaan ka hujapita shule

  • @darlinmamawatatu6411
    @darlinmamawatatu6411 7 років тому

    Hiki kipindi kinzuri km kikipata good mtangazaji Yule dada Alikuwa hovyo Huyu nA hovyo inaboa Jamani

  • @tatanyarusareruya9700
    @tatanyarusareruya9700 4 роки тому

    safi jamani kajitahidi kuwa na kanyumba kuliko dudu baya

  • @ericamyra1207
    @ericamyra1207 7 років тому +3

    hahahahahhhhh uyu kaka ataniuaa ..sio kwa maisha haya

  • @swahibamnene5847
    @swahibamnene5847 4 роки тому +1

    Jmn Bambo miaka yote hyo maisha yko hvoi😮😮😮

  • @kapilykahera7883
    @kapilykahera7883 5 років тому

    Bambo nakupenda sana

  • @mathiashatson1151
    @mathiashatson1151 7 років тому +1

    yaaanii uyu mtangazaji sio

  • @Rahmamatengo6114
    @Rahmamatengo6114 6 років тому

    Kizuri sana hich kipind msikiache 😂😂😂😂😂😂😂jaman rahaa tuuuuupuuu

  • @flaviaosea3859
    @flaviaosea3859 7 років тому +6

    i never meet such kind of tv presenter daaaah mwanangu fanya kazi nyingine tuu hii huiwezi unaongea vibaya unahoji maswali ya kijinga yasiyokuwa na hata weledi then haupo creative in probing sijui ulisomea wapi wewe au huoni baadhi ya wenzio wachache Af they way you tune your voice ndio kaazi kweli kweli sauti haina utulivu kabisaa

  • @benjakasuga2503
    @benjakasuga2503 6 років тому

    noma hii ishu ilipangwa kabla

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 5 років тому

    du maisha gani hayo ya msanii jamani

  • @SamsonMagiri
    @SamsonMagiri 7 років тому +44

    fani imevamiwa... Uandishi wa habari siku hizi umekuwa kama hewa... maswali mabovu.... sauti mbovu.... kila kitu kibovu...

    • @mutakabaka
      @mutakabaka 7 років тому

      hiyo ni komedi jamani, kwani ni lazima udisi kila kitu, hapo angeuliza maswali ya msingi ungepata raha gn?

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 7 років тому +1

      Samson Magiri kweli khaa wameniboa

    • @mariyammohammedjuxnakukuba9791
      @mariyammohammedjuxnakukuba9791 7 років тому +4

      Muta Kabaka hich kipindi ni kichakipumbavu san. mambo gan kwenda kwa wat usiku? alf hamn la maan. alf uyo mtangazaj aboa kwel

    • @sebastiandeus763
      @sebastiandeus763 7 років тому +2

      Yaan kipindi hakina maana yeyote afu mtangazaji tooo bad

    • @nellymollel4672
      @nellymollel4672 7 років тому +1

      yani kama mwizi hyu jamaa interview ziroo kabxa fuck u much

  • @halimahydari9222
    @halimahydari9222 6 років тому +1

    Bamboo fanya mazowezi kitambi noma kwa kibamiya

  • @ikombebusisi9017
    @ikombebusisi9017 6 років тому

    Kizuri Sana'a kinaonnyesha je unajali? Umaarufu was wengne hana pa kulala..kinasaidia watu wawe makinii na dunia wajali

  • @selemanharuni7997
    @selemanharuni7997 7 років тому

    Hatali sana

  • @matridalule5614
    @matridalule5614 7 років тому +4

    mnaongelea mapenzi mbele ya Mtoto shenz

  • @rosehaule220
    @rosehaule220 5 років тому

    Mtangazaji kalewa mhhh

  • @jonathanaldamamugiraneza7769
    @jonathanaldamamugiraneza7769 4 роки тому

    lakini pamoja na hivo asingeonekana na mic yenu akijishikia na ilikuwa inategemewa mnashtukizia

  • @ibrahimomary136
    @ibrahimomary136 6 років тому

    uyu mtangazaji yupo unga kwerii kazii hii aiwezi

  • @wajuraofficial
    @wajuraofficial 7 років тому +14

    Kipindi sio kibaya ila huyo mtangazaji Mumpe sector nyingine kabaka fani

  • @rosemarybenjamin5866
    @rosemarybenjamin5866 7 років тому +16

    global tabia mbay saan mkome

    • @benjakasuga2503
      @benjakasuga2503 6 років тому

      Rosemary Benjamin hii

    • @rehemamtonyi7206
      @rehemamtonyi7206 5 років тому

      Hivi mnavyo sema hajuwi kutangaza je nyie mngeweza au maneno tu achen ujinga

  • @hassanjamal3656
    @hassanjamal3656 7 років тому +1

    Mtangazaji hovyo ana wenge sana

  • @paulkashinje930
    @paulkashinje930 7 років тому

    Presenter nenda shule.....waigizaji mnaziki sana asee

  • @omegaamir908
    @omegaamir908 6 років тому

    Nyie mwamwehu mnamaliza mh shenzi mnatuona sisi mamwehu sana ..... MTU anagongewa na mike kashika shenzi

  • @ibrahimushabani5299
    @ibrahimushabani5299 6 років тому

    Mnafeli

  • @princeommy1159
    @princeommy1159 6 років тому

    hiv nin shida!? idea ya kipindi, ni nzuri lakn, mtangazaj anavokipeleka kina kua kinakera!! hakivutii maswali yanayoulizwa na mtangazaji inaashiria kama hii sio taaluma yake au amefoj fani! mathalan akijirekebisha nafkiri huenda kipindi kitakua kizuri""""

  • @innocentcostantine2500
    @innocentcostantine2500 6 років тому

    Mtangazaj una sauti mbovuu sana hauna sifa za kua mtangazaj

  • @rogerspeter249
    @rogerspeter249 6 років тому

    Dah!bambo amejitahdi kujbu ila jamaa saut mbovu ajui anachoulza hivi global tv ndo nn hiki

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 4 роки тому

    Mtangazaji uyu mmm anamakogo sana yaani mmmm adi anaboa

  • @davidmichael9132
    @davidmichael9132 5 років тому

    Global TV huyu mtangazaji anawaharibia brand

  • @majangatime1914
    @majangatime1914 5 років тому

    Kaziii zinawenyeewe utangazajii unawenyeweeee

  • @fridanjau3168
    @fridanjau3168 7 років тому +1

    mke wa bambo mzuriiii

  • @neemamwaimu7040
    @neemamwaimu7040 6 років тому

    Hatari haivutii

  • @geraldchambo1378
    @geraldchambo1378 5 років тому

    Kiping iko bomba IRA mtanga zaj sio

  • @aronmushi6201
    @aronmushi6201 7 років тому +132

    unajua Hawa si wabunifu,eti anagonga mlango alafu anafungua anauliza ww Nani huku akiwa ameshika microphone ya global.

    • @Royalcakespoint
      @Royalcakespoint 7 років тому +1

      Aron Mushi hahahaaaaaaaaa

    • @sonthadei7443
      @sonthadei7443 7 років тому +6

      Aron Mushi Yaani Kama vichaa.. Kwanza mtangazaji Hana mvutooo Hata

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 7 років тому +4

      Cjakipenda hiki kipindi

    • @rizkimantasha5
      @rizkimantasha5 7 років тому +2

      Aron Mushi !!!Kabisaaaa yani wanatiakinyaaaa

    • @leezarbennito4143
      @leezarbennito4143 7 років тому

      Aron Mushi 😂😂😂😂😂😂😂

  • @josephkisaro1377
    @josephkisaro1377 4 роки тому

    Mwenyeji ana mic, mgeni mwandishi hana mic,,

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 7 років тому

    hahaaa Jama nampenda sana

  • @dinahnyadzualwambi6369
    @dinahnyadzualwambi6369 7 років тому

    MashAllah watoto warembo

  • @barakachami8218
    @barakachami8218 5 років тому

    Mbona mmetulia hivyo

  • @EcoEssence_wellness
    @EcoEssence_wellness 7 років тому

    Okay

  • @faudhiaiddy7270
    @faudhiaiddy7270 7 років тому +1

    mmmnh jmn uck sio pouwa

  • @paulsalvatory481
    @paulsalvatory481 4 роки тому

    Unakigugumizi wew hufai kuwa

  • @muvobhekinyonga985
    @muvobhekinyonga985 7 років тому +8

    nimefurah pale bambo aliposema kwamba:we vp ntakupiga na jiwe
    hahahahaha
    mtangazaji zero