2007 nmezaa mwanangu wa kwanza nikiwa na miaka 15 kasoro na hakuna serkal iliingiilia kati ikiwa hd clinic niwambia nina miaka 16 wakabisha sjafka na pemben niko na alienitia mimba mbn hawakuchukua hatua
Sio kweli waarabu kuozesha watoto wao wadogo.. Twaishi nao uku.. Kutongozwa yenyewe mtihani,, mchezo uwo sisi waafrika,, wee msichana simu na gas iyooo,, kuwa makini cku ingine yaja kurepukia
NGUVU ya MATAMSHI""tujifunze ni nini tunatamka kwenye vinywa vyetu maana MANENO YANAUMBA.hata wamama wengi tunapenda kuwambia watoto wetu mbwa,mjinga wewee kesho yake akiwa na tabia za hovyo tunashangaa kumbe zile tabia tuliziumba wenyewe.
Wasichana wa kitanga na kirangi ndo zao kwenye kazi hawafai na hawadumu saa 24 simu mkononi wanachokiongea hakijulikani mpaka chungu kinaungua vyomvo vichafu vimejaa
Sema nimempenda mtangazaji anajua kujishughulisha
Nampenda Wastara since namjua huwa hafake life that's why hana sura ya stress bad Ana nawawirii Mashaalah
Mrembo huyu dada Mashallah alafu anaongea kwa uzuri.❤
Wastara ana Story nzuri sema yupo bize sana na shughuli ata hainogi Khaaaa
Mmmnh huyo dada wa kazi Boss kapata kila mahali kashikilia simu tena ya smart duh😅😅😅😅
Maa Shaa Allah interview Tamu,Hongereni.
Comment yangu iende kwa mr show buz ana heshima sana salleh mungu akuongez vyem kweny kaz zako❤❤❤
Kweli anaeshima sanaa
Kweli sarehe ana adabu sana afu mcheshi
Mtangazaji nyuko.vizuri kwa kazi sio legelege anajituma
I love wastara❤she super woman
Mmmh nimjuavyo Saleh 😂😂😂hapo kichwa kipo kwa jiko na pua zishafikisha ujumbe wakti muafaka wa nyamnyam 😂😂😂😂😂
Anaongea vizurii alafu uzuri wakee haubadiliki mrembo xana huyu dada....
Sana mashallah mwenyezimungu amuhifadhi
@@LutfiaRashid
Aamin
Wstara aronyesha mapenzi ya dhati kwa sajuki kabisa sajuki nae arifanya hivo waripendana kweri mpenzi ya dhati
Wastara
MashaAllah Allah akubariki
Kwa Kazi zako
Huku kupika huku kuongea aaah hainogi bhana😊
Beautiful progress
Huyo dada anae rekodi angeolewa na yule kinyozi wapili wa interview ya Chid Benz mwenye mask wana ushamba unaofanana 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂kama ulikuwepo
Wastara nakupendaga Sana,,,rakin umetupiga navkitu kizito form four umemariza mwaka gan na Mambo ya BIASHARA umeanza mwaka gan me mwenzenu cjakuelewa
Umalize form 4, ufanye biashara ya nguo, ufanye biashara ya dhahabu, uolewe Bado una miaka 14!
Usiseme waarabu hawapendi sana Kuhusu Elimu wewe...sema mie sikuwa na wazazi wenye Ufunguo wa kusomesha
Yupo sahii warabu awasomi 😂😂😂 miaka 20 ndoq
Hawa watu hawasomi 5 yrs tuko nao tunajua SEMA sai kiasi wamestaarabika😂
Waarab bint akishavunja ungo tu ndoa
Yuko sahihi wanaamin hivyo waarabu wewe usiyejua uliza
@@ShamilaAbdullah-w1f nyie mmwsoma mpo na mavyeti ndani wenzenu wasio soma wamewazid pesa😂😂
NAMPENDA SANA UYU DADA ❤❤❤❤❤❤😊😊
Ila huyu dada kampenda sana sajuki ku.move on ni ngumu sana kila mwanaume atakae mpata atamlinganisha na sajuki tuu.ama kweli upendo wa kweli upo
Masikini pole dada yangu nakupenda
Kuna miaka ya nyuma huyu dada akifanya interview alikua analia kweli hope nowdays maisha yake yamegeuka
kweli hata mimi nakumbuka
Maa shaa Allaah walipendana sana na mumewe
Jaman sanene nimepamiss 😊😊
Mmh jikon mpangilio hmn eti kila kitu kinatafutwa jmn
Wastara ❤❤❤unanipaga raha
Nyama mpaka inaungua huyo dada amekaa2 nasimu sijui ni mfanyakazi Yani kasimamatu
Dada na cm utazania aliambiwa arekodi tu😅😅
Yani amekazana balaaa 😅
Yani
Ivo uyo kaka anae tumwa kwa wastara mzima kweli
Kwanini?
😅😅😅
😂😂😂😂 wacha umbea ww heeeee
Kumbe na wewe umeona🤣🤣🤣
Nampenda san wastara yan hanaga maskendo pamoja na kwamb ni msanii wa bongo movie anajielewa
Mbona muandishi umekwenda wakati wakupika tunachoka au tunafundishwa kupika pilau as well?😊
Yaana kungekuw na sehemu yakutuMa voice ningeongea sana..maana hapo sjui ni jiko dogo mtu kasimamiwa😢😢
Mmmh uwongo na kweli 😂😂😂
Kuanzia leo sitaki kujinenea mabaya zaidi ya mazuri tu kweli mdomo unaumba jaman pole sana Wastara😢
Mdomo uuumba mahi jinene mazur jiseme mm naweza
@@rosemaryrwabibi5908 kwakweli nimejifunza dear sitaki kabisa
2007 nmezaa mwanangu wa kwanza nikiwa na miaka 15 kasoro na hakuna serkal iliingiilia kati ikiwa hd clinic niwambia nina miaka 16 wakabisha sjafka na pemben niko na alienitia mimba mbn hawakuchukua hatua
😢😢
Nimepata mshtuko nilichokiona daka ya 7:58 🙈🙈🙈🙈
😂😂😂😂😂😂😂
Omg that girl & her 4on she can't put it away it's will enter the saucepan 😂😂 the boy loves the camera very innocent people 😅😅
Mtangazaji ulienda muda sahihi ulikuta wanapika😂
verry polite women
Dah miaka 14 ulikuwa umemaliza secondary?😮
Nimejiuliza hvyohvyo
Anatupangaaaa
Hakumaliza
Inawezekana labda alianzishwa shule na miaka 3
Hakufika
Mie nampenda sana kwa ajili ya Allah natamani kumpa kaka angu from uk 🇬🇧
Nipe mie huyo kakayako 🙈🙈🙈
😂😂😂
@@samanthalyimo4598 umefurah mwenyewe 😅😅😅
Alie ona box iliochanika anipe likes zangu
Jmn miaka kumi na nne at umemaliza form four ni kwl hiyo
Jamani mkiwa mna Ajili ma Housegril Mume makini wengine ni SHIHATA HAPO UTASEMA UNA MFANYAKAZI AU NI MUANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA
Shida ya mdada w
😂😂😂😂😂😂
We umejuwaje ni mfanyakz
Huwenda kaambiwa na boss
Dada anayerekodi uazania yeye ndiye aliandaa mahojiano😂😂
😅😅😅😅😅
Salehe mate yanakutoka unavyopenda kula 😅😅
🤣🤣🤣🤣 nanjo kasha honja kidogo nyama bila hivo mate yangemjaa mpaka yaka dodoka 😅😅
😂😂😂😂
Kijana anajua kurenga 😂😂😂🙌
Hivi kwanini mnaendaga kwa wasanii usiku
Uyo kaka ana shida gan 😢manake anajichekesha mara anyali mara amuangalie saleh dooh😅
😂😂 kwanza anasubiria nin hapo jikoni
😢😢😢😢
😂😂😂
sialiitwa jamani
😂😂😂😂😂 daaah nyie
Salehe jamaa limekupenda ilo mana si kwa jicho ilo😂😂
Saleh mbea sana
Nampenda wastara hanamavuno yupo pece🎉🎉🎉❤❤❤
Ni kweli kabisa aliolewa na kaka mmoja hanaitwa juma.. Na niliishi kwao na kaka alikua anaitwa dalueshi..alikua mdogo sana
Mashaallah❤❤❤
Sio kweli waarabu kuozesha watoto wao wadogo.. Twaishi nao uku.. Kutongozwa yenyewe mtihani,, mchezo uwo sisi waafrika,, wee msichana simu na gas iyooo,, kuwa makini cku ingine yaja kurepukia
Kutongoza mtihani
@@SamiraRamadhani-sc6db.. eeh waume wafanya kutafutiwa waja kuonana nyumbani
Mbona mnamsema sana dada wakazi jamani khaaa
N mwanae😊
Nakumbuka kaolewa na kigogo ndoa ikadumu wiki kaachika na taraka juu😂😂😂😂😂😂
Sasa ndio unashabikia
@@sikukuuchuo3093 ili! 🤣🤣
@@sikukuuchuo3093 ndiyo 🤣🤣
Hapo amedanganya form 4 amesoma lini kwa umri huo?
Huyo mkaka anajitumilisha huyo ili hari tu aonekane kwa kamer😅😅
Na ww nenda
Nyoo😏😏@@chunaabdullah1333
Hujui kma n mgonjwa wa mguu ako n mguu mmoja
Bwagala Turiani kuja madam mtusalimie
Uyo dada jamani Yuko busy na simu hata kumsaidia hmn
Love you mama 😘❤️🙏🏾🙏🏾
Maskin...ndo mna unaambiwa hata kwa utani usijinenee mabaya .. anyway pamoja na yote pia mungu alishaandika hakuna wakupinga qadar
Ulimi hulaani na kubariki, tujiepushe kujinenea maneno ya kujilaani..
Amejinenea vp nimepitwa hcho kipande?
Nampenda Sana huyu Dada😍😍😍
Mara secondary mara la saba mara 96 mara kuolewa miaka 14
Et ulilia😂😂😂😂😂😂😂😂
Uyo dada mbona mshamba muda wote simu
Mnatafuta kupigwa na majambazi kwenda kuhoji watu usiku sehemu hata gari haifiki si ungeenda asubuhi au mchana
Mbona nje ya nyumba ya wastara kuna magari itakuwa swaleh ametumia njia haipiti gari
Njaa huna wastara wapendaa kujiliza tu
Huyo wakiume mwenzetu kweli
Huyu mshukaji ni mboga au😂
NGUVU ya MATAMSHI""tujifunze ni nini tunatamka kwenye vinywa vyetu maana MANENO YANAUMBA.hata wamama wengi tunapenda kuwambia watoto wetu mbwa,mjinga wewee kesho yake akiwa na tabia za hovyo tunashangaa kumbe zile tabia tuliziumba wenyewe.
Dada anarekodi tu😅😅
😅😅😅😅😅boss kapata
Sasahao wanao zunguka hapo kwann hawapishi kipindi bhna wanaboa
Salehe ata ajanawa ye anabugia tu😂😂😂kweli anapenda kula
Ndio vyo arivyo sio Mara yake yakwanza mbona ndomaana wanamsemaga mtandaoni kuwa anapenda Kura kwa ma staa
😅😅
Mzee boxa imetoboka io😀
Ya nani
Mboa huyo kaka kainama nikaona box kama ime toboka😂
Ata mimi kama nimeona😮😮😮😮😅😅
Uyo ndo mtoto was sajukii uyo wakiume
Sale baba naona bosa imeisha nunua nyengine inatuaibisha😅
Wastaraa❤❤❤❤❤
Show bizz leyo cyo nzuri ni jikoni tu
😂😂angalia comment yako alafu I translate kwa kiswahili utachekaa😂😂😂
@@IreneGraysonweeeee imenibidi
😅😅
Anajua kupika huyu🎉🎉🎉
Saleh umejifanya kushtuka kusikia bikra imetolewa mara mbili😂😂😂😂😂
😂😂😂 Yaan salekh mbea,,,et hakuungui
Kwani nmeona pekeangu au mi nna kiherehere😂
Najua unachomaanisha😂😂
😂😂😂 umbea nao kazi
Dada amekazana kurekodi eti asije vitu vinaungua😂😂
Mzembe tu hana lolote 😅
Watu wanamacho jmn mpk boksa wameona😂😂
Imetoboka nyuma au sijaona vzur 😂
Hahahaha kama imetatuka
Nimecheka😂😂😂
Siwezi kosa hii
😂😂😂SHANGAHLA wa wastara😂😂😂jmn
Unavituko eti shagala😃😃
Huyo msichana wake yuko kwenye simu mda wote mpaka anaudhi. Msaidie mama jikoni
Wasichana wa kitanga na kirangi ndo zao kwenye kazi hawafai na hawadumu saa 24 simu mkononi wanachokiongea hakijulikani mpaka chungu kinaungua vyomvo vichafu vimejaa
😅😅anatak aonekane
Kwani umejuaje kuwa ni msichana wa kazi na sio ndugu yake?
@@Brunn-mh2bq kwani km ni ndugu yake hafai kumsaidia?!
Hadi kichefuchefu
Dah huyo dada anabowa mda wote na sim kama hataki kufanya kazi kwanini yupo jikoni mda wa kaz ni wa kaz sim tupa huko😮
Yaan kaonyesha ushamba wa hali ya juu sasa chakureko hapo ni nn 😂
Hii ndio tabia ya wafanyakazi walivo sio wote Lkn asilimia kubwa tabia hii wanayo mpk anaunguza
@@naah884😅atapost status 😊😅
Waiz wa waume tu mm nadeal na houseboy bn@@RitbayRitbay
Boxa imetoboka mr shobizz😂😂😂
Sijui hajaiyona ila wajifunze kuvaa milegezo mm sipendi hii tabia imemzalilishaa
Camera man kasogeza camera haraka tucone vizur
🤣🤣🤣 mbavu zangu jmn🤣
Mbona kawaida bora ni safi 😂😂
😂😂😂😂😂nyie imebidi nirudishe nyuma nitizame😅😅😅umbea cwez kuuliza mie
Salehe hapo anatmni kiive mapema
Sas ndugu yangu pembeni yuko anachukuwa zake video 😊😅😅😅😅
Kisiri siri😂😂😂
kma nmeiona boksa ya salehe imeliwa na panya matakoni
Walimwengu jamani 😂😂
Zamani aliwai kusema aliachishwa shule daresay la 6 akaolewa ila leo kasshabalisha😂😂
amesema waarabu shule haikuwa mbele kwa wasichana ukikua mkubwa kama umeisha la saba au formfour unaolewa tu
Ni kweli ehe@@sabihaibrahim143
Mtoto chiriku uyo Hadi Kero
Sio kweli uliolewa ukiwa na miaka 18 kuwa mkweli bhana hivi kwanini mnapenda kurudisha umri nyuma au huku soma mpaka form four 4️⃣ uliishia la 6 au 7
Huyu nikama aliishia la saba
Ushawai skia au kuona akiongea au kuandika english😅
Kasema ameishia lasaba
Inawezekana mumewe alimsomesha jaman au alisoma q t.
Ila kihusu kula uko vzur
Sema uyu mtangazaji mbona kilakipind yeye nimda wakula shida ipo wap🙄nauyo dda wakaz kz yke nn et mfyuui
😅😅😅😅
Huyo Dada wa kazi yupo bussy na simu hadi kichefuchefu
Kama ameolewa na miaka 14 hiyo form four kamaliza na miaka mingap? Au me ndo sijaelewa
Ila kweli na mm nimejiuliza hvhv
Tumepigwa na kitu kizito hhhhhhh@@KautharRamadhan-xv3gf
Na mimi nilitaka kuuliza hilo mmmh wasanii waongo
@@joslinchuwa1298hata yeye ni mwanadamu jamani labda ulimi umeteleza
Huyu kaishia la7 eti fom4 halafu kazaa ana miaka14🤣🤣🤣🤣🤣
1994 unamaliza 7 ,1996 unaanrza biashara na wakati huohuo ulifika form four , hapohapo uliolewa na miaka 13.duuu.kizunguzungu.
Hajui kujieleeza kabisaa yaan mtihani sana
Zamani watu walikuwa hawjali secondary
Yani balaa 😂😂😂
@@batulialmass8914 kivipi sasa wakati amesema amemaliza form 4 ?
😂😂😂😂😂Kuwa mpole hao ndo wasanii wetu