Talaka tena moja kwa ukristo sio tatu moja tu ya faster unless mwanamke anataka mali za mwanamume ndio hatoendea kudai talaka yake ila wanawake wenye wanajielewa wapambanaji hawana time na mali za mwanamume huwa wanaendea talaka zao
hizi vitu zimejaa Kenya watu wamechora majina ya wasanii.. wengine huita watoto majina Ya wasanii... Haya Mambo niyakawaida..hata watu wengine wamejipea majina ya wasanii wawapendao.. is normal this
Mungu wangu 🙆🙆eti kazaliwa mwislamu, Mimi n mkiristo but waislamu WA tazania noooo🙅🙅hata dalili za uislamu Hakuna,naihesimu Sana but mwache kupigia shetani Debe 😤😤
Mtangazaji unamkatisha tamaa mwenzako mbona anazaa tatizo wataxania tunaakili finyuu kuwa mtu hawezi kuzaa labda kajjala asitske kuzaa lakini anapata mtoto mwimgine uzeee mwishoo chalizeeee tunakuombea kajala paula apate mdogo wake
Maswala ya kuzaa mtoto sio mazuri wewe mtangazaji. Hamjui watu wanapitia wakati gani katika kutafuta watoto!!! Very painful questions hizo, km umejaliwa kupata mtoto kirahisi shukuru Mungu
Et naulza izo lkes mnazoomba uwa znawabadlshaga nn na kuwah kucomment naomben kujua na m njarbu kua naomba maana wenzang mnajtahd jaman kuomba lkes kulko maon enyewe
Bakia wewe bila kuolewa mpaka mumeo afe, mie mahakama ipo naivunja, naolewa upyaaa, maisha yenyewe ndo hayahaya tukutane njia panda ya mbinguni na jehanam hahahah
Kajala auwezi kuolewa kama ulifunga ndoa kanisani, mupaka mumeo wa zamani afariki, kwa wa kristo ni ivo uwezi kufunga ndoa ingine kabisa, awaweze kukubarikiya ndoa yako,labuda ukaolewa na musulam pia ubadiri dini
Sio kweli kabisa hayo mnayoamini kuwa ukishafunga ndoa ya kanisani huwezi kuolewa.dada yangu aliolewa na paroko alitengua na alifunga Tena ndoa ya kanisani mala ya, pili.kuna taratibu zake ndoa sio jera Zina mipaka yake na zinatenguliwa kitaratibu na sheria za kanisa
Kama umesoma komenti kabla ya kumaliza kuangalia gonga like
Nakupenda sana Sanaa wewe dadaa mtangazaji ' ubarikiwe dadaa
Wema bado we ni Tanzania sweetheart 💕💕💕
Kajala anaonyesha amepitia maisha yaliyomtia uchungu Sana pole kajala majaribu yakizidi Neema iko njiani
Anaongea lkn anauchungu...poleee
Mashaallah ndio maisha mda ukifika mungu atakujalia ndowa uclazimishe
Kbs
Huu ndo urafik wa kwel love san kajala
Unakili Sanaa mpenzi mungu akufanyie wepesi kajala
Kajala mulikua marafik San mungerudian na wema Kbx kajala Love you💖💖👌💋
Nakupenda na nafarijika zaidi kila siku nikiona una fanikiwa HONGERA KAJALA !
Nimekupenda kajala
Yan nimempenda huyu mtagazaji anauliza maswali ya busala had laja
Uko smart sana Kajala
Talaka tena moja kwa ukristo sio tatu moja tu ya faster unless mwanamke anataka mali za mwanamume ndio hatoendea kudai talaka yake ila wanawake wenye wanajielewa wapambanaji hawana time na mali za mwanamume huwa wanaendea talaka zao
Nauyu Kajala anamyaka mingapi?? Love u kajala😍😍
nakupenda kajala alafu wanosema ajui kingereza nyie mnajua acheni ujinga kama unaona ajui siunde ukamfudishe
Sijawahi sikia story ya m'bongo aliyeishi na mwanamke mmoja au mwanaume. Kuna nini kwenye ndoa za wabongo lkni.
Kajala nakupenda had naumwa
Jamaniiiiiiii 😂😅😂😅😂😅😂
nimekupenda cn da kajala Na majinu yako pia yapo sahihi
Nakupenda kajalaaa
Kazaaaa😊😊
Wema nakajala mlipendezana sana sio ant Ezekiel awafanan kabsaa .
Miaka kama yote madamu kajala love you
Lop u kajala😘😘😍
wakwanza hapa weka like yk
mohamed jimia half mmefanana jmn
Embwana wewe kweli wakwanza, video imetoka masaa 3 yaliyopita, wewe ume comment inaonesha masaa 9 yaliyopita. Sio mchezo
Kajala safi sana dah nimependa sana
Majibu yako nimazuri nimekupeda bulee una busara sana
uko vizuri dada yangu
the way which can see is that it is better to build up the friend ship
Friendship ni neno moja nextim.usitenganishe
Jmn mbn mnatulazimiza kukoment
hizi vitu zimejaa Kenya watu wamechora majina ya wasanii.. wengine huita watoto majina Ya wasanii... Haya Mambo niyakawaida..hata watu wengine wamejipea majina ya wasanii wawapendao.. is normal this
ALHAMDULILLAH KWA KUZALIWA MUISLAMU
Allah atujalie mwisho mema
Nijambo kubwa la kumshukuru Mungu
@@khadeejaabdullah7083 Aamiin ya Rabb
@@maryamsaid6010 Neeema ALHAMDULILLAH
ALHAMDHULILLAH MWENYEZIMUNGU AZIDI KUTUONGOZA
Ati unampango wa kuzaa.yani unampango wa kutobwa hahaaa...4rom BAHAREIN
Napenda ukaribu wenyu
Mungu wangu 🙆🙆eti kazaliwa mwislamu, Mimi n mkiristo but waislamu WA tazania noooo🙅🙅hata dalili za uislamu Hakuna,naihesimu Sana but mwache kupigia shetani Debe 😤😤
Nikwel kabx yaan
Mtangazaji unamkatisha tamaa mwenzako mbona anazaa tatizo wataxania tunaakili finyuu kuwa mtu hawezi kuzaa labda kajjala asitske kuzaa lakini anapata mtoto mwimgine uzeee mwishoo chalizeeee tunakuombea kajala paula apate mdogo wake
Kajala ludiana na shoga yko wema tu mulipendezana tu
Wema jeuri anataka anyenyekewe. Kajala mpole sana.
Kajala we mungu anakupenda msamee ya dunia tu mamy
nimekupenda kajala xana
@@beatricemapembe8941 mmmmh wewe ulisha wahi kuona wema anapenda kunyenyekewa au acha umbea ww
Bora mwaya kama unatambua alikusaidia,
Unamajibu mazuri
Kajala zuri
Unaga makuu Mamy
Msichañ mzee
Wagombanao ndio wapatanao
Unapenda kuongeya kizungu sana Ila bahati mbaya haikusoma, ungelikuwa ulisoma ata zari hangekuwa anakusogeleya kwa kizungu
Mm cijui ntakujaga kupenda lini
Usipende my
Hivi huyu kajala alifanyaka nini hadi wema akamuzamini??jamani muniambiye
I really admire kajala more.than wema
She is so soft wallahy
2021 am here
Kube mtagazaji wanamke😂😂😂😂
Aisha Aisha nk
Hahahaha
Anaongea kwa unyonge jmani dah kajala nimekupenda aseee
Kwani walifanyanaje na wema naomba jibu
Mulize kajala😂😂😂
Taarabu mpya
Mh yah then kingereza cha kuunga na super glue hivi nani kawambia kingereza ndo maendeleo ushamba mwingine bhana
Kajala mzur jaman
Namim pia nampend sn ❤️❤️💋
*KAJALA* nilipenda rangi yako kabla ya kujichubua, ila pia Umependeza, ila Ile rangi ulidamshi Zaid.
Walai tena
Hajajichubua camera za zamani n tofauti af maisha pia
Hajajichubua
Winnie masanja
Maswala ya kuzaa mtoto sio mazuri wewe mtangazaji. Hamjui watu wanapitia wakati gani katika kutafuta watoto!!! Very painful questions hizo, km umejaliwa kupata mtoto kirahisi shukuru Mungu
Kajala rudianeni ww na wepa maskini
kajala we nimsalit ulimsalit wema unashukrani misipend ulafiki wa kusalotiana
Mary Alex
Heh usituzingue bana mwandishi eti mschana khaa???? Sema mmama
Et naulza izo lkes mnazoomba uwa znawabadlshaga nn na kuwah kucomment naomben kujua na m njarbu kua naomba maana wenzang mnajtahd jaman kuomba lkes kulko maon enyewe
Lizz Enock hahaaaaa
Wanapeleka bureaus change
wasagaji
hajuwi kujibu maswali,sijampenda kabisa
Huwezi kufunga ndoa tena nyingine kma ulifunga ndoa y kikristu hurusiwi kufa ndoa na MTU mungine mpk mumeo atakavo fariki ,
Beatrice Annamaria mbona ngumu sana hiyo jamani
Duh!! Hii dini yenu kumbe ina makubwa hivi!!!
Dada talak zipo jmn huwez kuish katika mateso au taabu kisa ndoa ni unadai talak then unaolewa tuuu wal hakuna ugumu jmn
Bakia wewe bila kuolewa mpaka mumeo afe, mie mahakama ipo naivunja, naolewa upyaaa, maisha yenyewe ndo hayahaya tukutane njia panda ya mbinguni na jehanam hahahah
Mbona mengi alioa tena kabla ya mkewe kufariki,flora mbasha je mbona aliolewa tena
Rudishen ubect wenu bn
Ukiachwa umeachwa acheni ukafiri wenu
Uongo mtupu hamna mahali pamesemekana mkristo anafaa kufunga ndoa nyingine mumeo akifariki uongo mtupu nkt
Nakuunga mkono cku hizi kuna talaka pia
Ni kweli kabsaa nyi biblia mwaisoma tu juu juu...xtians it's high time muamke na mjua what us in the scriptures
@@najmakimaro7974 waambie there is no way I can stay in an abusive marriage yet kunao humo nje wanajua kupenda Acha tuachane nkapendane na mwingine
Kajala yuajitahidi kuongea kizungu lakini wapiiiii
Kwanini kisiwezekanee....kwani kubwa lipii
Kaz ipo
Teddy Meel msameane na wema mlipendeza sana
Wema kakuchit
Bambe murikua munapendana muludiane
mtangazaji fanya mazoez ya kutamka "LABDA" na sio "LAMDA"
😁😁😁
Haki lamda
Nakupeda
Nirene:-) from:-) kenya
pole kajala u luk so sad
Poa
huyu mtangazaji ht ajui kutangaza kichef chef
Hahahaha jamani msikiline na mwezako nawapende

ujinga tupu
Kajala mzur jaman