"Babe na kusubiria kwenye uwanja wa mipasho.."..Ongea haraka Vitu zisha changanywa ..Kisungura pori..nime kikamata porini....😅😅😅 Huyu mtoto ni kno...😅😅
Kontawa katutana na kontinyu 😂😂😂 kibunda kimesepa kaambulia kunyonya Chuchu 😂😂😂😂😂😂😂 jot mshenzi sana hili ni fundisho kwa wanaume malaya na wanawake malaya pia wasiopitwa na kitu chochote wakiutana nacho unashindwa kufata kitu ulichoagizwa kikazi unaenda kujishokokesha kwa mtu usie mfahamu madhara yake ndo hayo
Nan kafurahi kumuona coletha ❤😊
Jamani na mie nipate utamu wa like from USA
Weeeeh ni noma sana, kiukweli unafundisha kwa vitendo💯💯💯
From Burundi 🇧🇮 I like so much your work!!!
😂😂😂😂❤ kalamba chuchu kwa milioni kumi
Haya jamani wale wa Dumila tujuwane hapa!!!!
Ndio alipotokea magole
haha dada Rose, nmefurahi kuona unafuatilia Joti TV
Hahahahaaaaa
Dumila home base
Mimi nipo Turiani unakujua
Huyu ndio mrithi sahihi wa marehemu king majuto Akiyamungu Bora ni enjoy 😂😂😂
kweli uko sawa ndo mrithi wa majuto huyo
Kweli yn kk😂
Yn joti huna baya kabisa ww ni Mr bean wa tz😂😂😂
@@mohammedkidody5618 Ndio
Coletha tulikumiss sana, hongereni sana Joti TV, kazi nzuri
Amenakili sauti ya gunulu kwenye tamthiria ya saa tatu Azam burudani Kwa
Hii ndio tafsiri ya komedy kuburudisha na kuelimisha,hii iko vizuri sana
MERRY NI BEST CAST KWA VDEO HII ✌✌😍😍🇹🇿✊✊
😂😂😂 Uyu jamaa pale nikiwa nipo nawaza nimuangalie nani ndo nakutana na Video yake dah so powa Joti🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Leo kiofs ofs tmekja j ka j big up Sana 💪wazee tsnyonyee tenaa chuchuu tmeshajuwaaa kmekchaa kmekchaaaa
Joti 1 million subscribers 🥰 .
Congrats Joti on reaching 1M subscribers 🎉..Keep up the excellent work ❤
O
🙆🙆.daah,inauma Sana,kuramba chuchu tu Kwa milioni 10...walimwengu hawana huruma.kibegi kimetoweka na mgeni.
Sijachelewa nimewahi naomba like zifike 100 my best comedian
Zikifika Mia halafu utatupa jicho?
@@criminalminds7723😢😢😢😢😢þ😢
like unazipeleka wapi kenge wewe?
acha ushamba 😏
@@officialkamdudu😂😂😂😂
Peleka likes sokoni 😅😅😅😂😂
Nishai,kitombangire kitwango😂😂😂 aka Jot baba wawil
Andunje, kiboga au Kibabu😂😂😂dah characharists kama zote
hahahaa
Mapema watu washalamba nyonyo.. chezea joti na kisix chake wewweee😂 muwe na ijumaa njemmaaa
Hatari sana mzee baba😂
Nakukubare sanaaa mwamba
Kujifanya kujua kwingi 😂😂😂binadamu😂😂😂ongea na watu uvae viatu,
Best comedian in Africa wa kwanza Brain Jotter.wapili Joti,watatu Mkojani.
Hi kaka Joti from Tanzania live in UK 🎉
Hiii Imeenda hata kabla sijamaliza kuangalia 😂😂
Joti his very talented 😂😂😂😂😂
Huyu dada kawa serious mpk raha,kaigiza vzr sana
Never disappoint jotiiii😅 😂😂🎉
Imelia ya mezani imepokelewa ya mkononi, lkn ww ni bora sana bila mbambaaa 😂😂😂😂😂😂.
Watu mnaangalia,
@@IsraelKisailaAtari
Huwaga nakupotezea tu Joti lkn leo nimekufatilia vzr na nimecheka sana.
Nimecheka Kwakweli Zitto ety kwani wewe Nan Ake. 😂😂😂😂 Ahaaa nikajua mke wake😂
😂😂joti unajua sanaaa
Siku Yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca 😆😂😂😊
Ijumaa nyingine toka kwa nishai😂😂😂😂😂
Umelamba chuchu Kwa mil 10😂😂
Jamni nafurahi kumuona kopetha raymond jmnn mpeni salam arafat from zenjy
😂😂😂joti akili zake anazijua mwenyewe wallah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Boss kacheza vizur Sana
Joti ela ya koreta lakini,umepigwa na jimwanamke lala jiji❤❤❤👍👍
Very nice ujumbe tunapata. Rahahahaa
Huna kazi mbovu kaka❤😂😂😂
Huna kazi mbovu kaka... hongera sana 🤣🤣🤣🤣
Bora niinjoy😂😂😂😂
Joti bana😂😂
Huyo dada wa ofisini ni actress Mzuri inabidi tuwe tuna mwona mara kwa mara
Ni mkongwe yuko vzr
Kabisa 🎉🎉🎉🎉 tumpe maua yake
@@annaki318 kabisaa anastahili
@@sabramhina7547 bonge la muigizaji
😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka vibaya sana uyu mtu mmmh
Huyo mama anajua kuigiza❤
Kweli kabisa
Kuhusu kipaji cha joti no comment but huyo Boss anajua sana
❤❤❤❤❤❤joti upo juu sana
Sister jua kali anajua sana kuigiza yuko vizur
Show tame ya chuchu,wanawake nyie mtafika mbinguni mmechoka...😂😂😂😂 joti wew ni kwele dingiii
Mm wa kwanza leo... joti komedian mkali tz wakuelmsha na kuburudsha
"Babe na kusubiria kwenye uwanja wa mipasho.."..Ongea haraka Vitu zisha changanywa ..Kisungura pori..nime kikamata porini....😅😅😅
Huyu mtoto ni kno...😅😅
1M subscribers 🥳👏👏🎉
Always the best😂😂
1m joti soon🎉
Show sijapiga ile nimenyonya chuchu tu nishai fala kweli😂😂😂😂😂😂😂😂
Kunyonya chuchu nikufanya nini nielemishe
Chuchu ndio???😂😂😂😂
@@vokeskevin222 wanawekaga dawa
Jott utafika mbinguni ukiwa umechoka sana😂😂😂😂
😂😂😂😂 ukweli kabisa
Inakuwa movie ya Kwanza kuonyeshe pesa taslim sio fake money Kama zile zingine za mchongo 👏👏😃😃
duuh Unazikaguaga uko vzuri
Kwa kweli 😀
@@mikidadially2288 maana 😂
Yah that was real cash
Jot😂😂😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉nipo south nakukubali😂😂😂😂😂😂😂
Good Job Mr Joti 👏
😂😂Kweli Hii Kalamba Chuchu Hayaa Joti Jibu
Joti naulikuwa ushapita yule dem vizuri,aki shetani mbaya 🤣🤣🤣.lkn umenibwaga ungepiga mechi ata short moja 2
Joti Ni Hatari-❤❤❤❤❤❤❤❤
Na show umekosa daaaah! Hasara tupu bora ungepata kimoja umekosa show na hela pia
Ni maigizo. Lakini Yalomkuta Joti usiombe yakukute. Huu Ni msiba mkubwa
Wakwanzaaaa
Fundi wa comedy 😀🤣
Sitaki like lkn naendlea kuchek kalambaje chuchu😂😂
me leo nimemkubali dada boss kapendeza boss like na kacheza vyema
Baba kaenda kazini, Jodi chizi
Wangap tumeludia kipande cha bola ni enjoy😂😂😂
😂😂😂mimi hapaa
@@anneakimana-od6bq 😂😂😂umekionaje
Boss nae kakasirika joti kalamba chuchu aisee😂😂😂 Bora hata angepiga
Boss umeibiwa😂😂😂😂
Joti ana mpizani bongo
Wale wa mwanza tujuane🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimeibiwa mim au umeibiwaa wwee😂😂😂🙌
Yn hy jamaa kweny mishe zake zte hajawahi kufnkisha 😄😄😄😄
😂😂😂Ila joti chizi
Coletha hujasahau tu 🤣🤣🤣 piga nuwaaa ....kweli ile kitu iko damuni tena unasimamia doso kwa unaa balaa 🤣🤣🤣
Vipi alikuwa Soja ehee!!!???
Saut ya coleta ❤mashallah
Nishai ana vituko kwel 😂😂😂😂
Best comedian in Africa
Kwell
Naona kam namuona Gonur😅
Love u Coletha❤
Yaan mwenyew haswaa
Gonur alietoa pesa huyooo 😂😂
Taratibu ndio mwenyew
SIKU ZOTE UKIWA USICHANGANYE KAZI NA STAREHE VINGINEVYO HUWA NI MAJUTO BAADAYE
sasa joti hapo ulivyomuona boss tu ungezimia mara ya pili hahahahahaa
Coletha nakukubali sana
Jamn tujuzane kusema kweli mie sijaelewa alipo sema kalamba chuchu Kisha kawa katika Hali Ile Kwan wakinadada wamelata tecnolojia gn jmn please MSAADA wakunijulisha
Keshalamba chuchu😂😂😂
Bosi kawaruhusu vijana wampige nua joti...makuruti yameelewa😂😂
Haha .. watu wapo active
Joti mchukue coletha kwenye kundi lako anajua sana aisee
Mwanangu NISHAI @david MAHANYU hahahaha
Jaman kwen watu awalali 😂😂😂
Kontawa katutana na kontinyu 😂😂😂 kibunda kimesepa kaambulia kunyonya Chuchu 😂😂😂😂😂😂😂 jot mshenzi sana hili ni fundisho kwa wanaume malaya na wanawake malaya pia wasiopitwa na kitu chochote wakiutana nacho unashindwa kufata kitu ulichoagizwa kikazi unaenda kujishokokesha kwa mtu usie mfahamu madhara yake ndo hayo
Joti wewe unaweza sanaa
Joti noma unatusanua keep noma vijana
Da coreta apigweee nua jamani mambo ys dumilaa hayooo😂😂😂
Joti ni mwehu 😂
wa pili Leo naomba like
Joti limekufa 😂😂😂😂