Sema huyu Joti nyie mpeni maua yake akiwa bado yupo ujue.. hii ni tunu ya taifa katika uwanja huu wa comedy msichukulie poa ujue wanangu this guy is a gift from God and you guys I don't know if you have realized this guy is something to keeping praying for... Just imagine jamaa anacheza kama Andunje,Kiboga,Nishai,Mpemba na babu and both of them anazitendea haki oyaa wee this ninja here is a legacy No doubt ✅
Hatukatai Tanzania yetu ina waigizaji wengi wazuri kwenye comedy lakini huyu bwana ni hatari na nusu🤩 joti your the best brother
Sure uchoki kumuangalia
Joti uki act kama mtoto mdogo unatoka vizuri kuliko ku act kama mwanamke☺👏👏👏
Huyu mama Yuko active ktk scene zake🔥🔥🔥🔥🔥✊🏽
Joti is a best🙌🙌 mashallah 😂😂😂
Jamani nani amevuka mwaka nakuiona January likes za KUTOSHA HAPA
Duh msingi wa samaki oyeeeee, halafu mzee kaleta mizinguo.....
The best comedy this January. Safi sana hapa Joti kaonyesha uwezo wake na hasa kushirikisha hao wasanii wengine maarufu imenoga balaa
Naombeni na mimi leo nipate likes ata tano 😂
Umepata 50😊
Za nn sasa
@@iqramaxamed474😅
Zimezidi zingine rudisha 🤣🤣🤣
Chukua
Waoo hongera joti kwakuwaongeza wazee hao.mpo vzr sana
Wakina mama oyeeeee 👏👏👏🥰🥰🔥🔥🔥
Baba hana mipango..Ona anavyonitolea macho hakyaMungu me nasema..Joti tisha sana🔥🔥😂😂
Sema huyu Joti nyie mpeni maua yake akiwa bado yupo ujue.. hii ni tunu ya taifa katika uwanja huu wa comedy msichukulie poa ujue wanangu this guy is a gift from God and you guys I don't know if you have realized this guy is something to keeping praying for... Just imagine jamaa anacheza kama Andunje,Kiboga,Nishai,Mpemba na babu and both of them anazitendea haki oyaa wee this ninja here is a legacy No doubt ✅
Majirani,Majirani,njooni Baba anapigwa na Mama.Joti wewe kiboko na hujawahi kuwaangusha mafans wako.Keep it up.
Waigizaji classic sahv naona wanaingia pia
Joti the king of comedian uko sawa broo keep it up
Joti wewe kuku define we need albert Einstein 😂😂😂😂 you the best
Mnavyoshikana shika mnanikomaza 😂😂😂😂😃😃😅😅😆😆
👏👏👏Hogeren kwa kazi nzuri, mnastahili kupewa 🏅🏆🏅🏆
Mama angu anauza samaki,baba ana honga😂😂
Sisi kwenye ukoo wetu tuna unyani nyani na upakaupaka😂😂😂
Baba mjue mnanikomaza😁😁😁😁,Yaani nazinguka,😁😁😁 eti Baba analainika🤣🤣🤣🤣eti Ada yangu inapasuka🤣🤣🤣🤣
Wakwanza leo, we love you Joti❤️❤️
Kazi nzur sana nimeipenda kama na wewe umeipenda kama mimi kuna zawadi ya nyimbo kali njoo kwenye account yang
Msingi wa samaki hoyeeee 😂😂😂😂
Jamani naombeni liki mia tano apa Leo😂😂
Kwani mimi mbona sipati like za joti🤔🤔
Nipeni likes zanguu janiii
He is very creative and talented
Creativity
Mali ya mama ya liwa hio🤣🤣🤣50 imetoka kilaini bila jasho achana na hivi viumbe🤣🤣🤣🤣
What a combination 😍
Kabisa aisew
Exactly 💯
indeed
😂😂😂😂akili ya baba adunje nikama haina akili..mama adunje kasema😂😂😂💔
nampends sana jot sichoki kumfuatilia
I loved this 😉💕👍🏻
me i lve you😀😀😀
Never disappoint Jotiiii 🔥
Kuna waigizaji halafu kuna huyu mama..aiseee eeeh balaaa huyu mama ni nyoko SHIKAMOO BIMKUBWA 🙌🙌
Kila mtu wakwanza yeye basi wamwisho ni Mimi 😆😆
Joti mwamba sana ....your the best
mashaallah yaani hata kama namawazo lazima ucheke asante joti
Joti ni king wa comedy Tz nimecheka Sana 😂😂😂😂😂😂
🤣🤣Daah huyu mwamba ni balaa sana 🇹🇿
Joti mtu kazi like zangu jamani mambo ni ❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Thank you 💕 Mr Jot love from Rwanda 🇷🇼 tunakupenda
Mimi nimekamilisha 200k naomba like zangu
Dhuu na Mimi naombeni like zenu jmn dhuu 😁
Nimecheka kifala sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣nyumba ndogo imekula ada.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Andunje mmbea jamani 😂😂😂 unashangilia baba kupigwa 😅😅
Haha🤣🤣🤣 mzee kakamatika
Joti maliza mwenyewe iyo kesi majirani wa nini sasa😂😂😂😂😂Big up ❤🔥
Joti www ufungwee kbs nimecheka mpaka napaliwa 🤣😅😆😀😃😃😄😄🤣😅😆
Wa kwanza me from Drc 👌👌
😂😂 napenda hizi za shule 😂😂
🤣😂🤣🤣🤣 KWEL NJANUARI ILA JOTI UNAJUA WALLAHI
Muda wa kuwaona walimu wabaya ndio ushafika👌👌👌🔊🔊🔊
Daaah Pua ya Mbwa imewakosea nini joti😀😀😀
Jmn yan wew andunje ungekuw unaigiz hv Kila siku mm ningekuw nacheka ty Kila siku 😂😂
Familia ina unyani na upaka paka🤣🙌🙌jotinho 😂😂
llll
Joti A.K.A Andunje the best comedy🤣
Brother wewe ni zaidi ya talent tulizo nazo bongo 🔥🔥🔥👊🏽👊🏽
Eti kwenye familia yetu Kuna unyani na upakapaka😂😂
😄😄eti katika família yetu...kuna unyani na upakapaka😄😄😄🤭esse gajo é mau
Msingi wa samaki oyeeee 😃😃😃 baba Hana ata mipango
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka jmn uwiii no one lyk u jotiiiiiii❤❤
Aisee jot Ni balaa😂😂😂 Best comedian huna mpingamizi unaweza
Mama Anduje:
Baba Anduje mbona akili zako hazina akili 😂😂😂😂😂😂😂....
Joti respect from Burundi 🇧🇮🇧🇮
Noma Sana shukrani joti u never disappoint
Thank you Joti, a superb New Year present! Well spiced.
aduje hatari mzee kalowana
Nakubari sana jamaa fundi sana😂😂😂😂
Bro Lucas ur unstoppable 😄😅😂😂😂😅😂😅😂😂
yani joti kibiko
🤣🤣🤣ety aaaah baba unakabwa unakabwa ety mnanikomaza daaah joti ni best ever
Joti ni moto ❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Mama kacheza vizuri sana 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Sina maoni sijui ka wewe uko na maoni🤣🤣🤣baba kashaporwa na mtu mwenye mzigo
Aliemuona dula makabila akimuambia huyu Malaya pita huku kwa kosa hili anigongee like zangu.
Kwa familia yetu tuna unyani Na upakapaka🙉😸
Pilau tulikua tunaungvaunga kwa majirani,,, bars🤣🤣🤣🤣
kumbe unapendaa😂😂😂😂😂😂
Joti is the best , tuna unyani na upakaupaka 🤣🤣🤣
Huyo mwanafuzi na izo nywere
Tulio angalia clip hii mara nyingi nyingi tujuane kwa likes 😂😂😂😂😂😂
Mimiapa 🤣🤣👍
Dah ni commedy nzur sana ila ina ujumbe wa kusikitish hususan pale Mama anaposema ameacha usingizi wake na kumuacha mume amelal yy anakwnda feri
Jot huyo mzee anaweza kweli kuigiza pia mwingine anaweza ni Lijonjo ni hatari sana,
Ada ishahongwa 😄
🤣🤣🤣🤣🤣🤣katika family yetu tuna unyani na upakaupaka.
Hahhahahahahah antena zinanyanyuka😂😂😂😂😂
Wadau like hata moja team joti 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mashallah Joti 💯 🤣🤣🤣🤣🤣
Daaa nimependa sana huyu mwalimu mkuu yupo Sirius sana.
Joti kweli we commend hatari ssna nakupenda sana😁😁❤❤👍👍👍❤
😂😂😂 tumekula mapilau ila yakuunga unga kwa majirani
Noma Sana Mr Joti Big Up sana
Duuu nmecheka kwakwer
Behind ucheshi kuna ukweli ndani yake. Pole mama andunje mumewe kakuangusha
Joti umefanyaa nicheke kwl na niangalie mara mbili mbilii et mm ni mwalimu mm mwanafunzi,upande wa baba na mjomb tuna unyani na upwaka pwaka😂😂😂😂😂
Haha 😂😅😂😂huo unyani nyani na upaka paka kwenye familia si mchezo😂
Joti huyu mzee usimwache,anakipaji mno
Huyo Mzee ni mwigizaji WA Muda mrefu sana
😂😂😂 ila Joti we kibokooooooo 🔥🔥🔥🔥
Nishaii ntombangile kitwangu...😂😂😂😂 umetishaaa mzee baba
Huyu mzee fundi sana 😀