GARI LIPO WAPI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 лют 2023
  • Vijana wa mjini acheni sifa unapewa gari uoshe wewe unafanyia matanuzi kwa wanawake ona kilichomkuta nishai...
  • Комедії

КОМЕНТАРІ • 566

  • @kelvinphinias2669
    @kelvinphinias2669 Рік тому +81

    Mbona watu wanaomba Sana like Kuna Nini Kwan....embu nipeni na Mimi ata like tano tyu😂😂😂😂

    • @ishimwemurenziange7609
      @ishimwemurenziange7609 Рік тому +2

      Omba tu like acha kupitiya katika migongo ya watu kuomba like na wewe umesemeya Nini wakupe like Tano ingekuwa aupendi like sunge bakikimya

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Рік тому +140

    Nimewahi jamani basi tukiomba like kuna vijitu vinaumia humu 🤣🤣🤣🤣🥰

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys Рік тому +28

    😂😂😂😂😂😂 Zuwena mkono wake kama ndizi ya kuchoma 🤣🤣🤣

  • @godfreyjulius5132
    @godfreyjulius5132 Рік тому +18

    Naitwa nishai, kitombangile kitwango, mikazo , misuguano😂😂😂😂😂😂😂

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 Рік тому +28

    Joti we wamoto sana🔥🔥🔥🔥 eti mkono siokama zuwena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ishimwemurenziange7609
    @ishimwemurenziange7609 Рік тому +86

    Hamujambo ndunguzangu anae kubali nishai naomba like zake tafazali 😂😂😂

  • @robertmtaki6634
    @robertmtaki6634 Рік тому +21

    Sio kama Zuwena, Zuwena anandizi ya kuchoma 😅

  • @mary2615
    @mary2615 Рік тому +25

    Really amazing 👍🏻💕👍🏻

  • @DatBoyKujo8656
    @DatBoyKujo8656 Рік тому +26

    “Sio Kama Zuena”😂😂😂😂

  • @shegheke
    @shegheke Рік тому +11

    Waah ZUWENA Kawa Star Jamani.. Diamond Mwacheni Tu.

  • @mlewazitotv
    @mlewazitotv Рік тому +25

    MASHABIKI ZETU WA JOTI TV TUNAWAPENDA SANA MUNGU AWABARIKI

  • @joekabbz82kambo26
    @joekabbz82kambo26 Рік тому +20

    🤣🤣🤣🤣🤣💯 kenya 🇰🇪 loves your humour nishai

  • @albertmalenge6742
    @albertmalenge6742 Рік тому +10

    Et Sio Kama zuwena Nimecheka Sana 😂😂😂😂😂

  • @rehemasimba5731
    @rehemasimba5731 Рік тому +12

    Hahahaha imenifurahisha kweli na Leo dakika zimekuwa nyingi za kutosha dakika 11 safi Sana nimefurahi. Ni nzurii Kama Ile ya kesi ya kuku.

  • @malikimkwambe9650
    @malikimkwambe9650 Рік тому +35

    Wa kwanza nipenii likes zangu😁😁😂

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Рік тому +11

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Piga konzi piga konzi. Jotiii you are the best Bro 🙌🙌😂😂

  • @yohanatulito1182
    @yohanatulito1182 Рік тому +9

    😂😂😂😂😂🔥 Anae mkubali tukae humu Kwa Nishai tia like Zako humu 🔥🔥🔥🔥😂😂😂

  • @mbogoidentity
    @mbogoidentity Рік тому +5

    Ahm mimi naitwa nishai mtombangile kitwango mikazo miguno misuguano 😂😂😂

  • @chrismuganwa8634
    @chrismuganwa8634 Рік тому +26

    Joti my man love from Burundi 🇧🇮🇧🇮

  • @PabloEscobar-wt1fq
    @PabloEscobar-wt1fq Рік тому +37

    One of the best comedian in Tanzania he always break my ribs even before he starts talking 🤣🤣🤣

  • @nssamatenfaume2934
    @nssamatenfaume2934 Рік тому +6

    Nakubari King off the comedi nakubari sana joti ila mpoki anaitajika kwenye kazizako 🇲🇿🙏

  • @gladnesskiwonde5975
    @gladnesskiwonde5975 Рік тому +18

    Nimewahi leo gonga like km unamkubali joti 🥰🥰🤙🤙🤙🇲🇾

  • @blackpanther4825
    @blackpanther4825 Рік тому +1

    .msiishie kuomba like mbwa nyie muangalie matangazo na ku click ndio njia ya kumuungisha kama kweli mnapenda kazi zake

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 Рік тому +21

    JOTI ni unajuwa Sanaaa 🤣

  • @mihangwamasingija3754
    @mihangwamasingija3754 4 місяці тому

    Mzee wa misala daah😅😅, Safi sana unaelimisha jamii🤝

  • @barakaelkaaya40
    @barakaelkaaya40 Рік тому +4

    Kama wengi,tunajua Chui ni mkali lakini anazaa,gonga like kama zote kwa Nishai

  • @mrkambale7356
    @mrkambale7356 Рік тому +5

    Aliesikia chimbo ugali na wali wa makoko tutambulishane isee mana ni 🔥🔥🔥🔥

  • @fahmialhatmyonline6093
    @fahmialhatmyonline6093 Рік тому +15

    MAUDHUI MAZURI SANA💥Nipe like zangu kama umefurahi na kupata funzo

  • @martinrahj8526
    @martinrahj8526 Рік тому +3

    It's the way he approaches women for me..
    He be like crawling..and goes " helooooo''' 😂😂😂😂
    Dripping his huge wagging troza😂😂😂

  • @allymukhsin2962
    @allymukhsin2962 Рік тому +7

    We must make this dude reaching atleast 1million subscribers it’s not fair for much efforts he put in his work to make us enjoying and till now didn’t got even million subscribers 😢

  • @ramadimbegu7996
    @ramadimbegu7996 Рік тому +2

    Wow !kuna vyumba vyumba ajili ya wachumba

  • @simonmdemu
    @simonmdemu Рік тому +23

    Sehemu zetu za chimbo🤣 ugali na wali wa makoko😂

  • @lamwamilaztz-uk2hl
    @lamwamilaztz-uk2hl Рік тому +1

    Apan chezea jot broo utawakimbiza kila siku mn unajua adikelo asebroo wenoma 🔥🔥🔥🔥

  • @ibrahimkapate7693
    @ibrahimkapate7693 Рік тому +2

    🤣🙌🙌🙌 gari liko wap 😄 funzo tosha sana

  • @adolphdamas3189
    @adolphdamas3189 Рік тому +8

    Huyu ndio nishai... The great actor

  • @kilasibashari8931
    @kilasibashari8931 Рік тому +4

    Master comedy ni ww peke yako joti🔥🔥🔥🔥

  • @lovenoor988
    @lovenoor988 Рік тому +7

    Umetisha sana mr Joti 😁💥

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 Рік тому +4

    Jot mchekeshaji bora 🇹🇿 na Africa mashariki

  • @k.o.n.g8925
    @k.o.n.g8925 Рік тому +15

    Hi Joti. I'm a big fan and one day I want to grow up to become an air condition 🤣🤣🤣🤣

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 Рік тому +12

    Never disappoint jotiiii 🤣

  • @liliansauwa8448
    @liliansauwa8448 Рік тому +2

    😂😂😂😂joti anavyojitingisha kwenye hilo kochi sasa na kitambi chake😃

  • @hamisissa1115
    @hamisissa1115 Рік тому +3

    Tumtoe kwanza jamaa aondoke 🤣🤣🤣🤣 joti bhana

  • @japhetlust5050
    @japhetlust5050 Рік тому +4

    Nimeanzia kwenye comet za Wana🤣🤣🙌🙌

  • @markangelandemmanuelacomed3794

    Aliesikia zuwena Ana ndizi za kuchoma nipeni likes zanguu😂😂😂😂😅

  • @starjay3052
    @starjay3052 Рік тому +1

    sio kama zuena 😂😂zuena ujue ana nanii ndizi ya kuchoma 😅😅

  • @mwombekimartin4761
    @mwombekimartin4761 Рік тому +1

    Akiymungu 😂 zuweza

  • @iddysalim6331
    @iddysalim6331 Рік тому +3

    Samia jina lako zitoo 😂😂😂

  • @davoolongoz4947
    @davoolongoz4947 Рік тому +1

    Hahahaha samia, jina lako zito

  • @halimawendo8400
    @halimawendo8400 Рік тому +1

    Gar anatafuta kwenye miti😅😅😅

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 Рік тому +3

    Hahaha hii nibest yamwaka huu, muhudum naye huend mbinguni

  • @princeismailsnr291
    @princeismailsnr291 Рік тому +1

    Ety sio kama zuwena mwenye ndizi za kuchoma🤣🤣🤣

  • @kichbosanga2188
    @kichbosanga2188 3 місяці тому

    Huyu muhudumu mbona anawaamasisha waende kupumzika 😂😂😂😂

  • @allymagesa4431
    @allymagesa4431 Рік тому +1

    Hivi kaagiza yeye
    Na anakula yeye😁😁😁😁

  • @denismalya8379
    @denismalya8379 Рік тому +1

    Chui nimkali lakini anaswa🤣🤣🤣

  • @user-hl1hj6vi1j
    @user-hl1hj6vi1j 4 місяці тому

    Www niwa kwanza dar,nakufata toka congo

  • @stinaismail846
    @stinaismail846 Рік тому +1

    Hapo kwenye zuwena tuu 😂😂😂

  • @emmastonydemocrateburundi9912
    @emmastonydemocrateburundi9912 Рік тому +1

    Love❤️from Burundi🇧🇮😂😂😂🤣 Sio kama zuwena. Nishai lofa sana.😂

  • @emmanuelingimba7381
    @emmanuelingimba7381 Рік тому

    uk vzr bro

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 Рік тому

    Anatafuta gari hadi kwenye maua!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @patricktegea1430
    @patricktegea1430 Рік тому +2

    Jot 🙌 hahahaha et watel badala ya water umetishaaaa Sana💯

  • @jumandabirorere3737
    @jumandabirorere3737 Рік тому +1

    Huyu ndo king comedian, yani kwa bando lang la buku kila ijumaa nachekaga tu 😁

  • @ernestelias7889
    @ernestelias7889 Рік тому

    Mnapewa gari muoshe mnaenda kuuzia sura aya sasa yamemukuta jot leo hahahahahahaaa mbvu sina mimi

  • @alaminmodi2448
    @alaminmodi2448 Рік тому +2

    Bregediaaa!!mwamba huyu hapa😅😅

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum Рік тому +1

    Katika Session ambayo Naipenda Zaidi ni hii unayoigiza kama Nishai achana na zile nyingine za Uzee mara Mwanamke.. Aisee hii ni Moto huwa Naifuatilia sana na Nacheka kama Kenge. Hongera sana

    • @blackpanther4825
      @blackpanther4825 Рік тому

      Na ya uzee pia nzuri. Ile ya mwanamke hapana siipendi

  • @remmynchamatwi-dx9hg
    @remmynchamatwi-dx9hg Рік тому +1

    🤣🤣🤣🤣 mkono soft Si kama zuena daaa joti umetisha babaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 Рік тому +2

    Atalipa kweli hii bill Nishai 😂😂😂😂😂😂

  • @meshackinocent4053
    @meshackinocent4053 Рік тому +22

    Joti on the 🔥 🔥 brother

  • @arsenemuhindo
    @arsenemuhindo Рік тому

    Hapo kwa ZUWENA ilinibidi ni stop kidogo, sikutarajiya kwakweli 😂. Alafunilikua chooni nilicheka kwa sauti kubwa… Daah 😂😂

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 Рік тому

    Yaaan najikuta nacheka uku naendelea kutizama Ata sijui nacheka nn Ila Jotii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @albefapapapy833
    @albefapapapy833 Рік тому

    🤣 🤣 🤣 🤣 Yaaayayayayah big up bro

  • @azizally5283
    @azizally5283 Рік тому

    Unajua kuchekesha walionuna🤣🤣😂😂😂

  • @morrymorry2159
    @morrymorry2159 Рік тому

    Mnafaa mpige moja na crazy kennar

  • @abbashussein-hz4dr
    @abbashussein-hz4dr Рік тому

    Unakula vzr km kuku anaingia bandani mguu chaga mguu net😁😁😁

  • @oceanlove6691
    @oceanlove6691 Рік тому +4

    Joty wewe ni super comedian

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 Рік тому +2

    Niko kwenye process 😂😂😂

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo Рік тому

    Huo mrija had unaliaaaa Jiti khaaa🤣🤣

  • @bashirumakuka9750
    @bashirumakuka9750 Рік тому +7

    King of comedy

  • @finiaskalist747
    @finiaskalist747 Рік тому

    Joti unavyojitupa kwenye kochi sasa😆😆😆eti acha utani bana

  • @marrylucass-ov2ol
    @marrylucass-ov2ol Рік тому +1

    Nakukubali sana mwamba

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 Рік тому

    Mtombangile kitwango 😄😄😄 chuma boxaaa

  • @getrudakalinga3600
    @getrudakalinga3600 Рік тому

    Ahahaha nishai nn lakini umeongeza jina ety nishai mtombangile kitwango mikazo miguno misuguano🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mdathiruadinani4161
    @mdathiruadinani4161 Рік тому +3

    Nishai ndo hua balaa 🔥

  • @charlesleonce4039
    @charlesleonce4039 Рік тому

    Hapo kwenye ugali na wali wa makoko ndo umetisha joti tz.......kiboko kk🤣🤣🤣

  • @mustafampande173
    @mustafampande173 Рік тому

    hivi mlewa mnamzingatiaga kweli?mlewa anajua sana 🙌🙌

  • @johnyanda4366
    @johnyanda4366 Рік тому

    Gari inatafutwa kwenye vichaka🤣🤣🤣🤣🤣😍😍

  • @saumurashid4571
    @saumurashid4571 Рік тому

    Nmecheka sio kma zuwena😁😁😁😁😁😁😁☹️☹️☹️🤣🤣🤣🤣🤣

  • @martamustini6946
    @martamustini6946 Рік тому +2

    Gari kwenye majani😂😂😂😂😂😂

  • @officialvegas2998
    @officialvegas2998 Рік тому +4

    Zuwena tena 😃😃😃😃

  • @dullywa9973
    @dullywa9973 Рік тому +13

    i lov when he say chombo😂😂😂😂😂

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Рік тому +1

    Na wew unapkuja beba kwa pmja sio unaingilia mazunguzo

  • @m.l.b2066
    @m.l.b2066 Рік тому +4

    "Sio kama Zuwena"!

  • @taifocuscompany9246
    @taifocuscompany9246 Рік тому +1

    Mtombangile kitwango😄😄😄😄

  • @meshackaloyce9662
    @meshackaloyce9662 Рік тому +3

    Jott jamani mm ni kaka yako🤭🤭🤭🤭

  • @sigadin8318
    @sigadin8318 8 місяців тому

    Daaa kama ungeniona jinsi nilivyo kaukiwa uku broo Kwa kicheko ungenionea ata uruma broo joti naomba ata ela ya soda broo😂😂😂😂😅

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 Рік тому +1

    Alie sikia Ugali na Wali wa Makoko 😂😂😂

  • @azizsaleh9402
    @azizsaleh9402 Рік тому +4

    Nguvu ya chombo 😅

  • @samsonchacha2343
    @samsonchacha2343 Рік тому +2

    Noma sana nishai💯💯💯

  • @MkbinladenNikunetotoz
    @MkbinladenNikunetotoz Рік тому +4

    Nishai unajuwa😂😂😂

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 Рік тому +1

    Make kwanza nicheke 🤣🤣🤣

  • @Onesmoboyz
    @Onesmoboyz Рік тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Gari ipo wapi