DEMU WANGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024
  • Jamani wanaume tutafute hela, Maana unaweza kuachwa kwenye mataa ukishangaa, Wanaume tujitume tuache tamaa

КОМЕНТАРІ • 477

  • @khanamiry1776
    @khanamiry1776 Рік тому +128

    Aisee huyu nishai siyo mtu wa mbingu hiii ila watisha sana ila pesa bhana dondosha like kama unampenda nishai

  • @fredluckkitego2474
    @fredluckkitego2474 Рік тому +11

    Huyu mr khan ametembea mule mule na joti super talented asee mmetushe

  • @TupoComedy
    @TupoComedy Рік тому +7

    One love tm jot pia msalimie sana kaka zito apo naomba sapot yenu wadau na like zen

  • @Teddy_jones
    @Teddy_jones Рік тому +47

    Kama unamkubali Joti weka like yako apa🎉🎉

  • @chrismuganwa8634
    @chrismuganwa8634 Рік тому +23

    Nishai you're my man!! And thank you for your script!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 Рік тому +16

    Anaenda kupiga unajua😂😂😂joti chizi

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Рік тому +52

    Jotiii salute to you 😂😂😂😂. Never disappoint Kama unamkubali Brother Jotiii gonga like 😂😂😂😂

    • @MbelePatient
      @MbelePatient Рік тому +1

      Kweli mimi Nina mkubali Nisha I sana

  • @pierrebanza754
    @pierrebanza754 Рік тому +12

    Yule unamjuwa ? Sasa wewe nilikuwa nakujua 😂😂 I love this lady ..she isbac good actor

  • @Boaz22
    @Boaz22 Рік тому +23

    Haya,wakwanza mimi,wanaomkubali joti gonga like yako hapa na Mungu atakubariki😅

  • @1gbtheslimgirl206
    @1gbtheslimgirl206 Рік тому +5

    Damn joti mungu akuekee!! Nimecheka kicheko pekee yangu hadi najishuku 😅😅😅😊 from Texas 🇺🇸 🇺🇸 with love ❤️ 😍 💖 ❣️

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +6

    Enheee anaenda kupiga😂😂😂😂😂unafanya mchezo😂😂😂😂mjini ujanja kupata sio kuwahi😂😂😂

  • @dashuu5295
    @dashuu5295 Рік тому +11

    Samia nasema wamowamo ❤❤❤ mashallaah

  • @idenaggrey6076
    @idenaggrey6076 Рік тому +8

    Zito Unajua sana mwamba kama hauigizi vile 😂

  • @swalehmalik1875
    @swalehmalik1875 Рік тому +3

    Wa kwanza mpaka mida hii.. nipeni like zangu team joti..

  • @zeynaaly1948
    @zeynaaly1948 Рік тому +10

    🤣🤣 Samia umemponza Nishai Mtombagile Kitwango

  • @bonfilskashaba7381
    @bonfilskashaba7381 Рік тому +16

    Joti wewe jamani😂😂😂 utauwa watu 😅 nipeni like kutoka DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @yjkbcdghjb
    @yjkbcdghjb Рік тому +9

    Joti igizA tena na mwarabu🎉

  • @floramapunda4483
    @floramapunda4483 Рік тому +6

    🎉😅😅😅😅😅😅😅😅😅 gooooooooooood maokoto

  • @erickmidomsodock8716
    @erickmidomsodock8716 Рік тому +1

    From Japan Kuma Moto I love you YANGA bingwa 23 ( 24

  • @AgnesMwenda-u4r
    @AgnesMwenda-u4r Рік тому +13

    Naomba like zangu jamaaaaann wa kwanzaaaa

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 Рік тому +45

    Nishai Mtombangile Kitwango Mikazo Miguno hutaki HELA 😂😂😂😂😂

  • @edsonmunuo7112
    @edsonmunuo7112 Рік тому +6

    😂😂😂😂ha ha ha yaani nimecheka tena na tena 😂😂

  • @richardsegovia5448
    @richardsegovia5448 Рік тому +4

    I was shock our driver told me this very few minute early in the morning in the market that you're a vlogger a known vlogger here in tanzania. I just wanna drop my full support to you

  • @rogatusmeleki1660
    @rogatusmeleki1660 Рік тому +1

    Kaa hapaaa😂😂😂
    Oya umeongea nae vzr au mnataka kunichanganyaa😅😅

  • @mrjeyjamal6288
    @mrjeyjamal6288 Рік тому +6

    Mr khan katisha ❤❤😊

  • @simonandrew1489
    @simonandrew1489 Рік тому +4

    Good job Mr Joti with Your Team

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Рік тому +2

    Mmmmhh mambo yakuliwa tena jaman kwanaume mmmh sio sawa

  • @yollah
    @yollah Рік тому +12

    Hahahaha yaan joti pigo hizi unanauwa ila ukiliwa na pigo za za kimama unaleft group mshuaa😅😅😅

  • @christophercostantine7497
    @christophercostantine7497 Рік тому +10

    😂😂😂😂😂 Joti kaikimbia laki 3😂😂😂

  • @athumaniomary1245
    @athumaniomary1245 Рік тому +1

    Ayaaaaah Hahahaha nishai anajua sana

  • @MaxmillianChagu-xs1sr
    @MaxmillianChagu-xs1sr Рік тому

    Ukweli joti upo vizuri hongera

  • @MUHOJAMAIGE
    @MUHOJAMAIGE Рік тому

    Kaka Joti tena wala usijiunge na wakinamasanja na mpoki waache kabisa yan wewe unajitosheleza kabisa maana Haubahatishagi Hongera sana unaweza kaka joti nakuomba unifanyie mpango niigize na wewe maana napenda sana komedi niunganishe kwenye kundi lako niwe kijana wako

  • @samuelntaconagize1445
    @samuelntaconagize1445 Рік тому +4

    Hatari unatisha mzee❤

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 Рік тому +8

    Never disappoint jotiiii😅😅😂😂🎉

  • @losttribe007
    @losttribe007 Рік тому +11

    Nadeem hongera kaka🔥🔥🔥kama umefika hapa na joti ame confirm, ni hatua kubwa kupiga colabo na joti🔥🔥🔥

  • @francesmpangwa8801
    @francesmpangwa8801 Рік тому +5

    Nishai Kitombangile kitwango mikazo miguno milio mayoe kelele 😂😂😂😂

  • @mpenzisamaki9488
    @mpenzisamaki9488 Рік тому

    Ila joti bhana we fala sana unajua Hadi unaboa

  • @kenray9321
    @kenray9321 Рік тому +8

    😅😅😅 joti punguza tamaa

  • @makop6978
    @makop6978 Рік тому +3

    leo nimekuwa wa kwanza kuangalia video hii kaka nisha umetisha sana kama korona

  • @emanuelmdaki
    @emanuelmdaki Рік тому +1

    Eti mbna kalala vzr😂😂

  • @zulekhangosha539
    @zulekhangosha539 Рік тому +8

    Uwiiiii Jotiiiii😂😂😂😂u made my day

  • @MWEGOHA
    @MWEGOHA Рік тому

    Duh umeifanya nianze Ijumaa vizuri sanaaa

  • @abrahammgonja1617
    @abrahammgonja1617 Рік тому +5

    sa mbona boss wako anaongeza ela ovyo😂😂😂

  • @darviedeben1885
    @darviedeben1885 Рік тому +11

    Complain zako nd zinafanya boss anaongea helaaa hahahah 😂😂😂💔🖐️

  • @KevinBrown-qt6mr
    @KevinBrown-qt6mr Рік тому

    Hahahhaha😂😂😂 anaenda kupiga huyu ujue

  • @ericsimfukwe
    @ericsimfukwe Рік тому +1

    Nakuombea maisha maref sana joti, hakika ukifa pengo lako halitozibika 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂joti kiboko sanaaaaaa

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior Рік тому

    Nyoooo!😂😂😂hatari sana!Comedian mje mjifunze kwa joti kuwa wabunifu.

  • @jameslucas7161
    @jameslucas7161 Рік тому +2

    Ayaa anaenda kupiga uy😂😂

  • @abdulyusuph3948
    @abdulyusuph3948 Рік тому +8

    😂😂😂Joti Maisha😂😂

  • @azorindege2556
    @azorindege2556 Рік тому +1

    Ongea na mm hapana mm naongea n huyu ahahahahaha

  • @ahmadsaid4878
    @ahmadsaid4878 Рік тому +5

    😂😂😂Yaaan ya leo angekuepo sopa na kipande ingekua kali zaidiiiiii

  • @SalumJumanne-zk8ei
    @SalumJumanne-zk8ei Рік тому

    Hahahaaa daah anaenda kupiga unajua

  • @gametongwe3539
    @gametongwe3539 Рік тому +7

    Joti Is a Living Legend 🔥🎯⚡👑

  • @HawaHassan-f1y
    @HawaHassan-f1y Рік тому +1

    Et anaenda kupiga😂😂

  • @jeffhard5773
    @jeffhard5773 Рік тому +27

    Ni comedy ila ina funzo kubwa ndani yake Wanawake wa leo asilimia kubwa ndivyo walivyo tena ni bora umdhamini hata Mmasai atakuachia hata golole anavyo kukimbia kuliko hawa madem wa siku hizi acha alama twende sawa kama tuko pamoja !!

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 Рік тому

      Mmmh ata wanaume wa sikuizi mpo hivyohivyo muhim kuomba Mungu tu akupe mtu sahihi

  • @JoseKumburu
    @JoseKumburu Рік тому

    Aaaah bad aja sema

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 Рік тому +12

    Joti kachukue hela chumbani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊

  • @eliamwalongo1375
    @eliamwalongo1375 Рік тому +2

    Wa kwanza kucomment👊👊

  • @ayoubkhan4304
    @ayoubkhan4304 Рік тому +1

    Anaenda kupiga huyu 😂

  • @Mr_destiny
    @Mr_destiny Рік тому +2

    😂😂😂🤣🤣 we live for the moment so Everytime enjoyment

  • @SamuMushi-gk7jy
    @SamuMushi-gk7jy 9 місяців тому

    Anaenda kupiga uyuuh 😅😅

  • @sylvestermakasy8508
    @sylvestermakasy8508 Рік тому +9

    Eti mimi Babu ila Joti 😂😂😂 eti mimi sio Bro

  • @michaelbob4114
    @michaelbob4114 Рік тому +8

    Joti ungemalizia tu bodaboda wa chamanzi 😂😂😂😂😂

  • @faidhacute
    @faidhacute Рік тому +6

    Joti bhna eti Kuna watu wanaishi ila sisi wengne ni wasindikizaji😂😂😂

  • @Nimrodyona6461
    @Nimrodyona6461 Рік тому

    Leo nimekuwa wa kwanza naomba like zang

  • @abdallahathuman9493
    @abdallahathuman9493 Рік тому

    Mualabu kafanya vizuri Nice

  • @AbduliHalim-o2y
    @AbduliHalim-o2y Рік тому +1

    Hata mim yamenikuta haya mke wangu wa ndowa nilimfumania akaniambia hanijuwi

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 Рік тому +1

    Jot leo umepatkana

  • @jimmyngala2058
    @jimmyngala2058 Рік тому +1

    Uko sawaa joti 😂😂😂

  • @SteveMakoba
    @SteveMakoba Рік тому +1

    😂😂😂chupli chupli umeponea kudadek😅😅😅

  • @KeviWasafi
    @KeviWasafi 3 місяці тому

    mimi nanjaa naww una nja ira uyu dem anayo njaa zaidi

  • @Lolandmwantona
    @Lolandmwantona 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂dah tamaa imemponza nishai

  • @RjdEfuNny
    @RjdEfuNny Рік тому +3

    Oyaa wee mpambee😂😂😂😂🎉🎉😅

  • @blackpanther4825
    @blackpanther4825 Рік тому

    Hahahahaha Khan kanichekesha sana 🤣

  • @SandraTemu-i4k
    @SandraTemu-i4k Рік тому +1

    Anaenda kupiga huyu😢

  • @HamadMdumla-bs8kd
    @HamadMdumla-bs8kd Рік тому

    Ukovizul kaka🔥🔥🔥🔥

  • @kafumun
    @kafumun Рік тому +1

    😂ila uhuru umezidi. Yaani bidada anajiita Samia 😁

    • @nilla1657
      @nilla1657 Рік тому

      Kwamba hukuwah kulisikia hilo jina kabla au

  • @ephrahimkivuyo4275
    @ephrahimkivuyo4275 Рік тому

    Anafaa kupepea sana 😅😅😅😅😅

  • @selemanijapheti4051
    @selemanijapheti4051 Рік тому

    Umetish San jot

  • @kigoracredit7314
    @kigoracredit7314 Рік тому

    Nyoko mpelaki tatu mnibake😂😂😂😂😂

  • @MohamedRashid-dh1jv
    @MohamedRashid-dh1jv Рік тому +16

    Kama unakubali joti like apa

  • @issackathman850
    @issackathman850 Рік тому +1

    khani anajuaa

  • @WillyNdayisenga-c6o
    @WillyNdayisenga-c6o Рік тому +3

    😂😂😂😂😂ebu njo belgium ❤️❤️❤️

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 Рік тому +9

    Maliza kabisa😂mhindi Domo zege

  • @MrMona_TZ
    @MrMona_TZ Рік тому +7

    😂😂 my family naver disappointed

  • @monicageorge2181
    @monicageorge2181 Рік тому +3

    😂😂😂😂 joti fala sana...

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri Рік тому +3

    Et anaenda kupiga unajua🤣🤣🤣🤣

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 Рік тому +1

    Gari ni Gari mamae...!!

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Рік тому

    Kiranga komo😂😂😂😂😂Joti 💐❤️❤️

  • @shafiichusi1897
    @shafiichusi1897 Рік тому +2

    😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌,.... Tutafute maokoto jamani...

  • @TuwanoEmmilly
    @TuwanoEmmilly Рік тому +1

    Weembona unaroho ngumu wewe😂😂😂😂

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Рік тому +2

    Kalala vzuli kwa stail hii vijna hku mjini watauponza wnatka kuuza madem zao😂😂

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Рік тому +3

    Joti ww utabaki kuwa no 1 comedian nimecheka cn mbona umekataa hela😂😂😂😂

  • @HarounRashid-rh6jr
    @HarounRashid-rh6jr Рік тому

    Hahahahaha muhimdi anatabu anaongeza tu

  • @muddytv1513
    @muddytv1513 Рік тому +1

    Nimesameeeee 😂😂😂😂😂😂 uwiiiiiiiiiiiiiii 😂😂😂 leo limekukuta mzee wa slop

  • @maufijose2294
    @maufijose2294 Рік тому +2

    😂😂😂😂 Joti we Kiboko! Dadeeek

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 Рік тому

    😀😂🤣🤣 nnajìkuta nimecheka kwa sauti kubwa

  • @JanethMsogoti-te7bz
    @JanethMsogoti-te7bz Рік тому

    😀😀utatolewa malinda

  • @issackathman850
    @issackathman850 Рік тому +1

    haha et kuchukua helaa weee naijua

  • @evansmayuro8038
    @evansmayuro8038 Рік тому

    *Unapendaga ela sana utauponza*