ANGALIA MLELA ALIVYOINGIA NA MPENZI MPYA KWENYE SIKU YA KUZALIWA YA AUNTYEZEKIEL

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 144

  • @kingrasdee445
    @kingrasdee445 4 роки тому +12

    Huyo dem kahaba tu, et rafik! Mpaka began kwel.

  • @happkipoya4043
    @happkipoya4043 4 роки тому +14

    Mmmh aisee tutaendelea kuona mengi sana

  • @blasskameta944
    @blasskameta944 4 роки тому +1

    Viongo et marafik Kwan sis hatuonii asee urafik gan Sas uo

  • @kibongobongo4608
    @kibongobongo4608 4 роки тому +14

    Wadangangaji wengi jameni
    Muwe mnapima afya zenu kabla hamjajuta.... 😁 Shauri zenu

  • @susanwairimu29
    @susanwairimu29 4 роки тому +9

    Wanawake wengine wanipa presha bure...hapa kuna mtu kweli😏atii siachiki...Ebitoke wakaushe..wanaume wengi utapata mzuri atakaye kuheshimu vi ben 10...ovyo

  • @hadiafarijallah2450
    @hadiafarijallah2450 4 роки тому +2

    Safi sana mlela chapa ilale damu yangu demu gani yule hana swaga kwanza kamekaa kama kajini upepo watoto konki kama hao ndo wakijibebisha ebooo we ebitoke ebu kacheze komed zako usituletee ushubwada apa

  • @sidisafari8712
    @sidisafari8712 4 роки тому +9

    Yani mambo kama haya ndio yaliacha nikamchukia benpoo nahuyu pia sahii namchukia kabisaa bure kabisa

  • @monamisi267
    @monamisi267 4 роки тому +18

    Mwenzio akinyolewa chako tia maji...alafu nyinyi madem hamujifunzi waona mlela anakupenda atakuchezea akuwache Kama wenzio

  • @abbasmohamed5066
    @abbasmohamed5066 4 роки тому

    mastaa wa bongo...duh! mungu anawaona

  • @rehemamakwendo7743
    @rehemamakwendo7743 4 роки тому +6

    Urafiki tuuu ebitoke alisema hivyo hivyo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zamzamuidris9763
    @zamzamuidris9763 4 роки тому +24

    wewe kijana nimalaya na ndio utajiharibia kaziyako kwaujinga ukumbuke umemumiza mwenzako ujuwe na wewe pia yatakufika zaidi ya hayo

  • @frankmalimamatagasyajr6617
    @frankmalimamatagasyajr6617 4 роки тому

    Mahaba ... Marhabaa🔥🔥🙌🙌🙌

  • @lindahjoseph6795
    @lindahjoseph6795 4 роки тому +8

    Yaaan na mm ningekuwa mwanaume wallah MBNA wanawake ninge wanyoosha saaana yaan zaid ya mlela kudaadeki

    • @abusaeed9037
      @abusaeed9037 4 роки тому +1

      lindah Joseph hahahaha yako kali

    • @dastanmaige5320
      @dastanmaige5320 4 роки тому +3

      Na ndomana Mungu akakuumba mwanamke ukute ungetuchukulia sana wake zetu bora ubaki hivyo hivyo

    • @ildephonsentahomvukiye5410
      @ildephonsentahomvukiye5410 4 роки тому +1

      @@dastanmaige5320 😂😂😂😂👌

    • @mariajames7758
      @mariajames7758 4 роки тому

      dastan maige umejua kunichekesha

    • @zamizozamy5528
      @zamizozamy5528 4 роки тому

      We inaonekana ungekuwa shoga 😀

  • @deborahpretty7964
    @deborahpretty7964 4 роки тому +1

    Nakupenda sana mtangazaji
    Hii maswali Mlela Ebitoke ako wpi😂😂😂😂😂😂 mimi na Ebitoke tuko freshi Leo tu...najua huyo Demu ali kwazika

  • @priskusiprochesi412
    @priskusiprochesi412 4 роки тому

    Mlela msenge tuu

  • @rayaqme6935
    @rayaqme6935 4 роки тому +5

    Tamaa mbele mauti nyuma mwishowe utaambulia zawadi ya gonolea

  • @sirlankagirl6256
    @sirlankagirl6256 4 роки тому +1

    Wew pumbafuuuuu ni malayaaaaa nyoko

  • @rechoraphael9491
    @rechoraphael9491 4 роки тому +19

    😂😂😂😂Etiii yeye aachiki unakipi wewe ambacho mwanaume wezio hawana

    • @sophiamacdonald2711
      @sophiamacdonald2711 4 роки тому

      Senge tuu eti huachiki sura yenyewe hiyo pesa wapatiwa na wanawake alafu uso anakaa mzee huyu afuate sugar mumy aache ndogo ndogo na kina diamond

    • @husnaomande5887
      @husnaomande5887 4 роки тому

      Labda ana zaa

    • @ernestjohanes9087
      @ernestjohanes9087 4 роки тому

      Itakuwa anatumia nguvu za kiume madawa usimpe kuma dada ana uchawi huyo

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 роки тому

      @@ernestjohanes9087 mwache ampe ni yake

  • @claudineuwitonze4823
    @claudineuwitonze4823 4 роки тому

    Nilikua nampenda mlela kwa kazi zake kweny movie ila kwakumuumiza Ebitoke namcukiya saaaaaana sitaki hata kumupna!mshenzi huyo kabisa! Dyna Burundi

  • @isayalaizer1367
    @isayalaizer1367 4 роки тому

    malaya tu

  • @nasfaiyogo3881
    @nasfaiyogo3881 4 роки тому

    Msiiiiuuu mswaligi jamani tu nd kilichobaki kwa dunia ya leo tujiandae na maisha mengine ya huko mbinguni achen ujinga

  • @bigmamaa2198
    @bigmamaa2198 4 роки тому

    254.. Mlela mbwa koko

  • @wardajeilan6636
    @wardajeilan6636 4 роки тому +4

    Huyo dda hafikiri kama naye atachwa kama ebi

  • @naimamwaibanje156
    @naimamwaibanje156 4 роки тому +14

    Anakwambia jina lake Precious, wewe unasema Meyas😂😂😂😂😂😂uwiiiii, ngachoka

  • @mahamer9903
    @mahamer9903 4 роки тому

    Yangu ni macho tu

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 4 роки тому +3

    Shenz Sana mlela pepo lako Hali kamatik ushampuluta ebitoke umemuacha wanaume shenz Sana ndomana mm simpendag mtu

  • @bh-hijrahbathromeo701
    @bh-hijrahbathromeo701 4 роки тому

    Umenikela sana mlela nakuchukiy

  • @cindymacho5282
    @cindymacho5282 4 роки тому +1

    wanawake mutatombeka Hapo dar mwisho ndoa mutaenda kuzitafuta makaburini take care ladys shutukeni basi.

  • @rosekweka9544
    @rosekweka9544 4 роки тому

    Kweli huyu dada mmmmm sijui Kama anazote

  • @rehemaradhid5716
    @rehemaradhid5716 4 роки тому

    Anamtesa mwezake sana eb masikinii

  • @azizakagusa9910
    @azizakagusa9910 4 роки тому +1

    Mmmmhhh aisee tutaendelea kuona mengi

  • @deborafrance5439
    @deborafrance5439 4 роки тому +5

    Mlela bwana ukinata umenata!!

  • @brigitamash2007
    @brigitamash2007 4 роки тому +2

    Umelaananiwa huyu mlela aki Mungu hapendi ivo usha pata utakacho sasa wamtesa ebitoke

    • @abusaeed9037
      @abusaeed9037 4 роки тому

      Aisha Jamal naskia bitoki ame myima kisoda

    • @brigitamash2007
      @brigitamash2007 4 роки тому

      @@abusaeed9037 hahaahahahah

    • @khatibuhijja459
      @khatibuhijja459 4 роки тому

      @@brigitamash2007 hahaha, kwani alitak nn Mlela

  • @issamalik3490
    @issamalik3490 4 роки тому +1

    I knew it,avusha dau tuu coz si type yake jamani, alafu watanzania mnakaaje kuzungukwa tuu mukua mpira wa corner.....???

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 4 роки тому +4

    Reality show,daaah

  • @lucyalbinusalbinus9775
    @lucyalbinusalbinus9775 4 роки тому +1

    Mlela nilijua no mtu hahahah utachezea wangapi acha kujiharibia CV alfu mapenzi ya mtandaona au ndo ustaa

  • @husnaomande5887
    @husnaomande5887 4 роки тому +1

    Mapenz bongo hahahaaaaaa umaaruf wa kwapa kutoa haruf mbele za wa2 nani kasema 😕

  • @KladesKladseee
    @KladesKladseee 4 роки тому

    hahaaah jmn wabongo mtatuonyesha mambo

  • @cuteme4870
    @cuteme4870 4 роки тому

    Duh

  • @aminakawawa1935
    @aminakawawa1935 4 роки тому +1

    Khaaa wanaume hawa kadada kazuri sema kamuumiza sana so sad

  • @irineakechkechah3870
    @irineakechkechah3870 4 роки тому

    Once dem amesema Yeye ni model usijisumbue kuuliza modol wapi

  • @aminamakacha6258
    @aminamakacha6258 4 роки тому +2

    Wanawake sisi kwely mwalim wetu kipofu unamuona mwenzio kafunuliwa na ameachwa kidizain fulan hiv na ww unajipeleka hata akili azipo sijui vip 🙄🙄🙄

  • @bigpoverty499
    @bigpoverty499 4 роки тому

    😂😂😂😂😂lakini hawa wameendana vile kushinda ebitoke hii couple ni 🔥🔥🔥

  • @stainasmkoko604
    @stainasmkoko604 4 роки тому +11

    Mwanaume mzima ovyo; malaya wewe

  • @manirambonafidera6866
    @manirambonafidera6866 4 роки тому

    Yani kirasiku nikubadirisha wanawake 🤣🤣🤣🤣🤣 pole sana ebitoke

  • @tatukachingwe2290
    @tatukachingwe2290 4 роки тому +6

    Mlela jamaaa mbona unatutindinganya wenzio,,

  • @fakhirhamad1273
    @fakhirhamad1273 4 роки тому +2

    😄😄😄ngoja nilale jamni mlela ama kweli wewe bongo move

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 2 роки тому

    Wamerudiana

  • @umekondawemaq5756
    @umekondawemaq5756 4 роки тому +1

    Urafiki gani huo Na mnatombana...alafu wasema huachiki vipi mijipele ya uso tu!! Sheeenzzzz

  • @castokasekenya467
    @castokasekenya467 4 роки тому

    mimi siachiki mzee ukinasa umenasa😁😁😁😁😁😁

  • @nyamburawacoast305
    @nyamburawacoast305 4 роки тому

    Dem hataki kusema ukweli kwasababu anajua hata yeye ataachwa mpoo

  • @aishasuleimani3773
    @aishasuleimani3773 4 роки тому +1

    Yani ww unamuumiza mdada wawatu kwa ajili ya.umalaya.kwako.IPO.siku.itakutoka puani

  • @florangido202
    @florangido202 4 роки тому

    Kwani kuja na Demu ndiyo Mpenzi wake!!
    Acheni uchonganishi,
    Mlela Umejibu vizuri sn

    • @ireneyusuph903
      @ireneyusuph903 4 роки тому

      Flora Ngido mmmmh sio kwa kushikana huko

  • @reubenonsando1148
    @reubenonsando1148 4 роки тому

    Jamaa acheza game za kiutoto .

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 4 роки тому

    Hiki ndio kilichokukuta leo kwa ajili ya uzinzi wako, na hii ya urafiki wa karibu ndio unakojifichia acha hzo bac fanya kmya kimya mazeeeeeee! Aibu imekukuta leo 11/ 11/ 2019 hutasahau hyoooooooo!! Cc ndio tumemalizia mwaka mbele ya waandishi wa habari.

  • @fatumaramadhani7715
    @fatumaramadhani7715 4 роки тому +1

    Mie nao hao bado wapo kwenye muvi yao wanatuzuga tu hapa

  • @neytharkhan128
    @neytharkhan128 4 роки тому

    Huyo rafiki anasifa kujichelesha kifuani kwa mlela ovyoo

  • @sarahmohamed337
    @sarahmohamed337 4 роки тому +2

    Ukiaona mwanaume anajisifia hivi Ujue hamna kitu😒😒

  • @josephmwaitete8379
    @josephmwaitete8379 4 роки тому

    Bro unakula makombo hayo demu kapigwa na wengi mno mpaka basi

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 роки тому

    Mmmmh eti huyu in rafiki yangu huku mdada anamlalia begani kwa kutuonyesha zaidi daaa yetu macho kutazama.

  • @mariellerashidi4649
    @mariellerashidi4649 2 роки тому

    Hiyo sauti ndohuwaga inamuhuwa ebitoki

  • @glorrymussa589
    @glorrymussa589 4 роки тому +1

    Ebitoke mamy inatosha pumzisha akiliyako achana hao washamba wamapezi

  • @umikuruthumamasi7760
    @umikuruthumamasi7760 4 роки тому +3

    Hahahahahaaa Jaman mtangazaji sio kwa kumshushua huyo dada yan mpaka uso umekosa nuru hahahaa ulivyo mtaja ebitoke ndio kabisaa usoo ukawa kama mama wakimasai kapoteza ng'ombee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @priskusiprochesi412
    @priskusiprochesi412 4 роки тому

    Mlela hana jpya

  • @foibekajiru7243
    @foibekajiru7243 4 роки тому

    Kwanza atakua na kibamia,mlela

  • @zunirasalim7660
    @zunirasalim7660 4 роки тому

    Mwongo hyu kaka

  • @jennifernduka720
    @jennifernduka720 4 роки тому

    Hizo kucha kaa jini mchinja shingo za watu 🙈🙈🙈

  • @barakamwakapoma2702
    @barakamwakapoma2702 4 роки тому

    Unapenda kulelewa sana wew kijana bado tu zamu yako ya kuolewa

  • @shivaniahashim3558
    @shivaniahashim3558 4 роки тому

    Et rafki nyoooooh! Malaya wee

  • @shamilarashid346
    @shamilarashid346 4 роки тому

    mmmh.na hiyo mikucha kama jini

  • @zainabumshihiri7041
    @zainabumshihiri7041 4 роки тому

    Na very soon mambo yataenda kama ilivyo hhhhhh na kweliih

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 4 роки тому

    Mnafiki mmoja fanyenu zinaa tu

  • @joshuaviwanjamwanza8061
    @joshuaviwanjamwanza8061 4 роки тому

    Beyonce wa Buza

  • @MA-kh2lr
    @MA-kh2lr 4 роки тому

    Ebitoke alijipendekeza sanaaaaa kwa mlela. Yani yeye ndio anasema oooh nampenda Ni mume wangu. Lakini Mlela anasema urafiki tu... Na tuko kikazi. Yani Ebitoke hakuna Benpol wala Mlela aliwahi kumkubali mbeke za watu. Ila yeye awashwa sanaa. Sasa Paka ukimwekea Ngama ataicha???? Analiwa kwa kujipendeza kwake alafu anatemwa.

  • @helenjonsob5718
    @helenjonsob5718 4 роки тому

    Mmmmmmmh! Kazi ya mlela kuchezea watoto hata wewe atakuacha tuuu

  • @fatherboyclassic8464
    @fatherboyclassic8464 4 роки тому +1

    Zote nikiki zamlela

  • @sabrahmashema842
    @sabrahmashema842 4 роки тому +1

    To love love yeah to love love yeah to love yeah I needed to hate u to love you 😂😂😂😂😂😂😂😂Namsaidia ebitoke kuomboleza

  • @mingumatai6559
    @mingumatai6559 4 роки тому

    Wela patamu hapo

  • @rachaelnjokindichu5963
    @rachaelnjokindichu5963 4 роки тому

    Apo unaona ametapika vipi mumbwa nyinyi.

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 4 роки тому

    eti ebi ayuko vizuri nimekuja na huyu rafiki yangu leo daah urafiki wenyewe ndo na mabusu juu arafu ata ebi ulikuwa unasema rafiki yako wakaribu mpenzi na huyu nawa yake hipo jikoni wanafuta kk tu kujulikana mjini hapa

  • @alesiakayoka1203
    @alesiakayoka1203 4 роки тому

    mlele mchakavu yani kaka kutu kwenye Chima,

  • @venishajohn3458
    @venishajohn3458 4 роки тому

    Huyu dada ni mrembo tatizo hiyo mikucha sasa kha!

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 4 роки тому

    Huachiki kwa kip ndugu yang

  • @ruznamagomba5699
    @ruznamagomba5699 4 роки тому

    Uyu dada muongo Sana Malaya utawajuwa tu... Leo kasema alikuwa hajui km ebitoki ana mahusiono na mlela... Kashasahau nyuma aliongea nn.. Na uyu mlela bwege tu kubwa Zima

  • @kilungodionizi1865
    @kilungodionizi1865 4 роки тому +3

    duuuh kaka vepe mbn unazinguwa wa nyamwez wenzio 😂😂😂😂hy mwingne tn ebi yupo wap

  • @janethkimaro3410
    @janethkimaro3410 4 роки тому

    Rafiki gani anakuegemeaegemea bila haya mbele za watu???

  • @ruqiyaruq5142
    @ruqiyaruq5142 4 роки тому

    Hao wasanii kwa umelala ndo zao

  • @scholakanga163
    @scholakanga163 4 роки тому

    Social media ,uhusiano n siri sa watz tunafeli wapi

  • @zawadihamisi9585
    @zawadihamisi9585 4 роки тому

    Nlijua tu wataachnA uyu jamaa Malaya sijawahi muonea aki amezoea kuchezea watoto WA watu lkn ipo siku utakuja mahali sipo uume ulalishwe ww zembwee mkubwa

  • @speriussimba6466
    @speriussimba6466 4 роки тому +1

    Mlela kama mm yaan mtot Ukinasaa uchomoki nyambafuu

  • @nemymtango4074
    @nemymtango4074 4 роки тому

    Huyu dada naye asubiri kulizwa

  • @mimydiamy4663
    @mimydiamy4663 4 роки тому

    mtangazaj mekupend buree kwa maswal yako ,uyo dad anachekesha majibu yake Duuuh Et rafk angu Hahah Uku unamshika shika ilo ni wenge tu😂

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 4 роки тому

    Mnafiki huyu msichana urafiki hani huu wakuekeana mabega hivi kuna urafiki wamke na mume kweli? Hivi tuseme huyu msichana hana boy freinda hata aje na yusufu hapa mwazibwa nyie macho tuu kama mlela hakuachana na ebitoke mbona ebitoke amahojiwa machozi yanamlengalenga huyu yusufu nikinuka mto tuu

  • @tabufredmakunga4769
    @tabufredmakunga4769 4 роки тому

    Tumewachoka ujinga wenu

  • @kaidrisa2711
    @kaidrisa2711 4 роки тому

    Nawe mchokonowaj

  • @mapenzikatana9990
    @mapenzikatana9990 4 роки тому +1

    Huyo demu mwenye Yuko na mulela musenge acha avuliwe suruale halafu achwe

    • @abusaeed9037
      @abusaeed9037 4 роки тому

      Mapenzi Katana ni jeri msena

    • @mapenzikatana9990
      @mapenzikatana9990 4 роки тому

      @@abusaeed9037 kabisa Dede namurize mwanziwe ala iye naye andarichwa mataani

  • @magnifiquentkrtmna320
    @magnifiquentkrtmna320 4 роки тому

    We mulela wewe nijini kahaba

  • @nadiyakisho2178
    @nadiyakisho2178 4 роки тому +1

    mambo ya watu hayooo ngoja nipite mie

    • @omaniwomen7563
      @omaniwomen7563 4 роки тому

      Mlela malaya 2 huyo anacho kitafuta ni gono 2 hakuna kingine form Omani

    • @nadiyakisho2178
      @nadiyakisho2178 4 роки тому

      Omani Women pengine pia hakos

    • @omaniwomen7563
      @omaniwomen7563 4 роки тому

      Umeona eee kilicho baki ebii apige 2 kz mambo ya mahusiano aweke pemben kz kwanz

    • @nadiyakisho2178
      @nadiyakisho2178 4 роки тому

      Omani Women yap ila hatujuw kampenda vip siwajuwa mapenzi yanavyo umiza

    • @omaniwomen7563
      @omaniwomen7563 4 роки тому

      Najua my lakini 2limwambia ebiii Mlela ypo kimaslai na siyo kwa mapnz ndo ajifunze na cku nyingin

  • @kankeraclementine2057
    @kankeraclementine2057 4 роки тому

    Murere himbwa kabisa 🤔🤔🤣

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 4 роки тому

    Aki nyinyi wandishi za singine muna nibamba namaswali kwa watu😂😂😂😂😂ata wewe puresha uta tumika2 kama dasita na uwachike kama ebitoke sai uji ulizi kabula ya ebitoke niwangapi wame pigwa kama mupira uwanjani wakaachwa kwa mata🙄🙄🙄🙄