Ndugu zangu, wakati mwingine Mungu anaweza kutushushia Nyota njema, bila sisi wenyewe kujua, kwani hata yeye katika ukuaji wake hakujua kama siku moja atakuja kua Rais, tumsapoti na kumuombea ili Mungu azidi kumtia Nguvu katika kutuongoza, Pia tukumbuke kua Mungu ndie mpangaji wa kila jambo, Mungu akulinde Mh. Magufuli, Aamina.
Asante san baba yatu asante san kiongozi wetu asante san raisi wetu kwa majukumu makubwa san kwa kuriongoza taifa letu raisi wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
Mie ni muislamu lakini wallahi naamini kuwa umeletwa na Mungu. Nipo Zanzibar lakini natamani kukuona madarakani Hadi Tanzania ieleweke kuwa ni nchi tajiri. Watanzania washafunguka macho kwa juhudi zako. Inshallah utarudi imalize kazi aliyokupa Mungu. Na naamini kuwa ukimaliza wewe ataletwa mwengine Kama wewe.
Usitamani ujue kinachotokea huku..ni wakati pekee ktk maisha ya nchi CAG anazozana na wabunge kisa neno ''dhaifu'' wakati pekee mbunge yupo matibabuni ila spika anasema hajui alipo...majanga ya utekaji na watu wasiojulikana linasonga with flying colors...so hizo ni strategy za 2020 leo tunaona anawaahidi swali je tutaona na ahadi zake zikitimia pia?? Hizo nitafanya hivi nitafanya vile
Watoto wa Sikuizi hawana Adabu,mnafundishwa nn huko shuleni hamjui kusalimia,hamjui kusema asante unaongea kama unaongea tu n msela mwenzio mtaani.Hongera Rais wangu kwa juhudi zk z kutupambania wananchi.God bless u
Mheshimiwa Dctr Jpm kama Uchaguzi Wa Mungu Mwenye mamlaka yote Ulimwenguni sisi waliowake tufanye nini basi tuamulutuchapekazitukuunge mkono,Baba mungu akuongezee maisha marefu,zidi kutupaka mafuta watanzaniatunapendeza,ombi lingine Baba reli hisiende Rwanda ikakosakufika mkoa Wa kagera no kwako baba joining to Mtukula Boder
Wonderful President. . As a teacher please teach all East African Presidents what nationalism is all about and not tribalism but 1 Nation 1 People equal and togetherness to prosper
Muheshimiwa ubarikiwe mwaka utakapo fika mahuta wilaya ya tandahimba ninakuomba Sana nipate nafas niongee JAMBO mzito Sana tafadhali ombi kwako mh Rais tafadhali waandish aupate ujumbe huu Rais huyu ni bora kabisa kwetu wananchi wanyonge
Nina shida sana ya kukupa ushauli ndugu yangu rais sijui, lakin mzee fanya mpango katiba ivunjwe urais uwe miakaa 40 utuongoze miaka hyo tz iwe kama ulaya baba JPM
Magufuli is a real working people's servant. May God Almighty bless him abundantly. Wish other president in Africa would emulate him. Africa would go far in development.
Unafahamu maana ya "Mungu hakubaliki"??. Kweli nimeamini wanaoishabikia CCM wengi ni mapoyoyo.. Pambana kwanza na changamoto ya kufahamu Kiswahili, kwa ujinga wako ona sasa unavyoingia katika kumkufuru Mungu!!!
President ambao ninamupende ni Huyo huyo wa Tanzania kwa jangamoto zake .Mimi ni nurundi ,Niko Burundi lakini napendaga interws zake kabisa.watu kama hao ndie afrika inaitagi.big up mweshiniwa magufuri .Tanzania ilibalikiwa kuwa na kiyongozi kama weye kabisa.
Mungu baba asante kwa kutupa Rais JPM tunamuombea kwako umlinde umpe Afya njema na umuongezee nguvu tuchape kazi namaamini baada ya miaka michache Tanzania itakuwa nchi nzuri zaidi ya sasa asante mungu mungu ibariki Africa mungu ibariki Tanzania na watu wake
Mimi ni Mzanzibar ambae japo kua unafanya vizuri ktk uwongozi wako lkn siachi kukulaumu mpaka siku utakapo kuja kwetu jspo kutusulimia na sisi tumekupigia kura pia
Sawa ila kusini ametutupa sana tokea aje msimu wa korosho bas hajatokea tena na hajaleta tena kitu kingne ambacho watu wa mikoa ya Lindi na mtwara watamkumbuka hamna ila huko kanda ya ziwa kwapa Meri,soko la kimataifa,anataka kuwapelekea tren ya umeme na barabara juu alafu unaniambia hana ubinafsi kweli inaingia akilini?
Nimegundua marais waliopitia ualimu wanakuwa na upeo mkubwa sana,wanakuwa na huruma kwa watu wa chini,wanajua changamoto,namlinganisha Rais Magufuli na Nyerere,
Gonga like kama ulikua unamsubir mwanafunz aliymjibu kisela magfl
Yuk poa
🤣🤣🤣🤣
MB zangu jaman.
Am a kenyan citizen but i adore president Magufuli for his good leadership
Mfano bora wa kuigwa!!
Magu bonge la Raisi
Ahsante
Karibu 🇹🇿🇹🇿
Rais mwema Mimi najivunia
Rais wetu yuko vizuri
Ww mwanafunzi ur advance level, sema;- ASANTE MH RAISI/NASHUKURU SANA MH RAIS........ndipo uendelee kujieleza.
Ndugu zangu, wakati mwingine Mungu anaweza kutushushia Nyota njema, bila sisi wenyewe kujua, kwani hata yeye katika ukuaji wake hakujua kama siku moja atakuja kua Rais, tumsapoti na kumuombea ili Mungu azidi kumtia Nguvu katika kutuongoza, Pia tukumbuke kua Mungu ndie mpangaji wa kila jambo, Mungu akulinde Mh. Magufuli, Aamina.
Binuru Sm kweli kbs
Kweli mzee chapa kazi kwenye kujenga nchi hakuna vyama na cc wapinzani tunaiona Nazi nzuri mkuu
Jamani munguu
Mungu m.bariki magu
Binuru Sm mmmmmmm
Asante san baba yatu asante san kiongozi wetu asante san raisi wetu kwa majukumu makubwa san kwa kuriongoza taifa letu raisi wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
Mungu akubariki sana baba yetu MH. Dkt.John pombe Joseph magufuri kwa kazi nzurii unayoifanya ktk nchi yetu ya tanzania
Mie ni muislamu lakini wallahi naamini kuwa umeletwa na Mungu. Nipo Zanzibar lakini natamani kukuona madarakani Hadi Tanzania ieleweke kuwa ni nchi tajiri. Watanzania washafunguka macho kwa juhudi zako. Inshallah utarudi imalize kazi aliyokupa Mungu. Na naamini kuwa ukimaliza wewe ataletwa mwengine Kama wewe.
mungu azidi. kukupa ngv
Kwan jpm anaiongoz mpk nzenji
Kenya tutapata wap rais mzuri kama Magufuli.. I salute you Mr. President
😂😂utangoja sana
😂😂kabisa yaani vile
Kila mwenye mazuri ana mabaya pia...so you just be thankful for Mr kenyatta...he's doing a great job too
Usitamani ujue kinachotokea huku..ni wakati pekee ktk maisha ya nchi CAG anazozana na wabunge kisa neno ''dhaifu'' wakati pekee mbunge yupo matibabuni ila spika anasema hajui alipo...majanga ya utekaji na watu wasiojulikana linasonga with flying colors...so hizo ni strategy za 2020 leo tunaona anawaahidi swali je tutaona na ahadi zake zikitimia pia?? Hizo nitafanya hivi nitafanya vile
Asante baba tupo pamoja
Watoto wa Sikuizi hawana Adabu,mnafundishwa nn huko shuleni hamjui kusalimia,hamjui kusema asante unaongea kama unaongea tu n msela mwenzio mtaani.Hongera Rais wangu kwa juhudi zk z kutupambania wananchi.God bless u
Kawafundisha Magufuli kwa kuwauawapiga kura wake. Wote hapo wanatoka kwenye familia zilizotekwa, kupigwa na kufariki.
Kwel wewe ni mtetezi wa wanyonge tunakupenda Sana mungu akupe maisha marefu na yenye her dunian
Good
Nakupend bure magu asiekupenda ajinyonge
Hapa kazi tu
Mheshimiwa Dctr Jpm kama Uchaguzi Wa Mungu Mwenye mamlaka yote Ulimwenguni sisi waliowake tufanye nini basi tuamulutuchapekazitukuunge mkono,Baba mungu akuongezee maisha marefu,zidi kutupaka mafuta watanzaniatunapendeza,ombi lingine Baba reli hisiende Rwanda ikakosakufika mkoa Wa kagera no kwako baba joining to Mtukula Boder
JPM Mungu akubariki, Kenya tunakutizama na kukumezea mate.
Samwel olesi
mungu akubariki raisi.nakupenda Kwa Utu wako.
Wacha atakuja kugombea kwenu 2025
siku moja mungu atatuisadia na sisi
Ngojeni miaka 20 ijayo tuawapaa kwa mkopo
Uyu mzee hapendi kulala kweri juzi tu alikuwa magereza huko,Leo kaja Skonga pia duuuuh!!!!
Kweli we kama Hayati mzee Nyerere.
Siyo kweri sema kweli
Acha kumlinganisha Mwl. Nyerere na watu wa Kiki
@@fidoslameck4316 unajua Kiki? You speak a pointless
@@fidoslameck4316 huyu ni zaid ya nyerere katika kuleta maendeleo
Mbona kwetu haji anafanya ubaguz bhan
President good work am one of Tanzanian citizen at persuing my studies at Nairobi kenya
Jamani mimi nimrundi akakini huyu raisi nampenda sana anahekma na anachapa kazi kiukweli. Muongezeni azidi kutetea wanyonge.
Habari yako Muhammad. Kwa niaba ya watanzania napenda kusema Asante kwa kumpenda Rais wetu.karibu sana
Ubarikiwe sana president kwa kutatua changamoto, naamini barabara yetu ya Mgololo-Mafinga utaifikiria kwa lami
Mv
Na hawa watoto wa kibongo hawajuwi hataa kusalimiaa kushika mike tuuu wanaanza (tunashidaa ya madarasa) heeee sasa hiyo school inawafundisha ninii
Yaan ww acha tu 🤔🤔
Rais wangu nakupenda sana natamani uongoze hadi mwisho wa uhai wako.nakuelewa sana
Hao walinzi walioko juu ya gari,,,Wana raha 😂😂😂
MUNGU akuinue Rais wangu nakuombea
Daima nakuombea mzee baba
Hongera sana RAIS MAGUFULI m mungu azidi kukutunza chamani 🙏
hahaha
Hatujawahi kukuona Manyara Ni shm ya Tanzania pia
Am a kenyan citizen and i really adore and admire the way president Pombe works. One day il go to Tanzania
you are a people person. Mwenyezi Mungu akubariki sana. Salute H.E. President
Hapa kazi tu!!! I love you so much
Kila idara unatosha Mzee baba! Mungu akupe Afya tele.
Razia Mbwana Pamoja sana mzee baba
Peter Kiseme alipo tupo
Peter Kiseme Naalipo tupo hakwami mtu hapa.
Anayetaka kutuia atapa tabu sana safar inaendelea....
Hakuna kukwamishwa.
Rahaa sana wanausalama wa Taifa hapo..., kazi nzuri, Good Job.
Maaasha lla Mungu akuwezeshe
Tunakuombea na tutazidi kukuombea katika utenda kazi wako Rais tunakupenda sana
Wonderful President. . As a teacher please teach all East African Presidents what nationalism is all about and not tribalism but 1 Nation 1 People equal and togetherness to prosper
Mimi ni Mkenya lakini naipenda serekali ya Tanzania
Mungu akubark rais wetu
Kwanini tusikupende wenye wivu wajinyonge
Tena kwa udenda
Huna mbaya. Big up mhe Rais wetu. Nakupenda kiongozi ww sijaona mfano wako bado.
a man of people very
man, GOD bless you alot
Mungu ailinde inchi Tanzania, na mpenda Raisi Magufuli sana
Magufuli baba lao 😘
Muheshimiwa ubarikiwe mwaka utakapo fika mahuta wilaya ya tandahimba ninakuomba Sana nipate nafas niongee JAMBO mzito Sana tafadhali ombi kwako mh Rais tafadhali waandish aupate ujumbe huu Rais huyu ni bora kabisa kwetu wananchi wanyonge
Ngupali Rashidi p
Ngupali Rashidi paypyi
Eti mna jifanya kutaka kumng'oa magufur nyooookoooooo
Wee Salma taratibu jamani wapinzani hawapendi hizi kauli zako
Una maisha gani wew unayesema hvy
salma we ni lijinga tu, ungekuwa na akili timam usingetukana mwehu
Kwa kifupi hawawezi kumng'oa
Nina shida sana ya kukupa ushauli ndugu yangu rais sijui, lakin mzee fanya mpango katiba ivunjwe urais uwe miakaa 40 utuongoze miaka hyo tz iwe kama ulaya baba JPM
Rafa Bahezwa kweli kabisa ni bidhaa adimu sana kupata
Siyo ushauli sema ushauri
Mwl amesahau kuulizia kuhusu kupanda madaraja na nyongeza ya mwaka maana duuu nishiiidaa
Big up magufuri
R.I.P
Safi sana raisi wangu.
Nampenda Sana huyu president mungu akutunze
That's my president love you baba
Magufuli is a real working people's servant. May God Almighty bless him abundantly.
Wish other president in Africa would emulate him. Africa would go far in development.
sasa huyo mwanafunzi aliyemjibu rais kisela yukowapi hapo
kaondoka
@@robykisinga5193 kaenda wapi 😂😂
Kasema Juz kati😆😆
Mungu Azidi Kukubariki sana Mkuu president
Sijaona mwanafunzi anajibu kisera
Muhammad Salim aliyepost anazngua
Siyo kisera sema kisela
Richard Girgis acha ujuaji
Juzi kati
@@BidhaaTz pilipil usioila yakuwashia nn...si utulz tk arf
Mungu hakubaliki
Unafahamu maana ya "Mungu hakubaliki"??. Kweli nimeamini wanaoishabikia CCM wengi ni mapoyoyo.. Pambana kwanza na changamoto ya kufahamu Kiswahili, kwa ujinga wako ona sasa unavyoingia katika kumkufuru Mungu!!!
@@theofridmtulima3666 haya maneno unamwambia nani?
Siyo hakubaliki sema akubariki
Magufuri for life
Sema magufuli siyo magufuri
Excellent,very patriotic and concerned with it's citizens
Mwalim kaongea vzr San,ongera rais wetu
Maashaah allah raisi wetu👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾😍😍😘😘😘😘😘
Kweli saiii
I like the way he does his things
Mwalimu mzuri asee like hapa kama unakubali
President ambao ninamupende ni Huyo huyo wa Tanzania kwa jangamoto zake .Mimi ni nurundi ,Niko Burundi lakini napendaga interws zake kabisa.watu kama hao ndie afrika inaitagi.big up mweshiniwa magufuri .Tanzania ilibalikiwa kuwa na kiyongozi kama weye kabisa.
Congrats,Mr president JPM,I lyk that,from,†254
nawapondeza..kam umesikia hiyo gonga like twende sawa
Upo vizur
Francis Mhilu haahaha
Mimi sitaacha kukupenda mpk siku ya mwisho
Mungu baba asante kwa kutupa Rais JPM tunamuombea kwako umlinde umpe Afya njema na umuongezee nguvu tuchape kazi namaamini baada ya miaka michache Tanzania itakuwa nchi nzuri zaidi ya sasa asante mungu mungu ibariki Africa mungu ibariki Tanzania na watu wake
safi sana rais wetu tunakupenda
mungu akupe nguvu zaid
Prezo wa Kenya akisimama hivi kwa watu cha muhimu ataongelea ni BBI. Very different mind
Mimi ni Mzanzibar ambae japo kua unafanya vizuri ktk uwongozi wako lkn siachi kukulaumu mpaka siku utakapo kuja kwetu jspo kutusulimia na sisi tumekupigia kura pia
Zanzibar kun raisa wenu bn iyo unatakiw kumlaumu uyo w kwenu
Akija huko inatakiwa awe amearikwa kwasababu huko kunarais wenu hawezi kuja tu hovyo
Magufuli barikiwa sana
Love you President God guide you throughout your journeys
Nakukubali rais wangu hakuna kama wewe tanzania yaviwanda iko powa sana barabara safi madaraja kama yote elimu bure mungu akulinde rais wangu
Mungu abariki kazi ya mikono yako. Amina
daaah rais wetu mungu akulinde
Good job magufuli .I wish we had a president like u
Kweli zanzibar uende magufuli
ubarikiwe saan baba
MH.RAIS UNAJALI KWENU TUU #MWANZA MIKOA YA #KUSINI UKIJA SIKU MOJA HAUJI TENA ACHA #UBINAFSI BABA
Anna Tomas huyu baba hana choyo, muda ukifika atawafikia tu. Mungu azidi kumbariki.
Sawa ila kusini ametutupa sana tokea aje msimu wa korosho bas hajatokea tena na hajaleta tena kitu kingne ambacho watu wa mikoa ya Lindi na mtwara watamkumbuka hamna ila huko kanda ya ziwa kwapa Meri,soko la kimataifa,anataka kuwapelekea tren ya umeme na barabara juu alafu unaniambia hana ubinafsi kweli inaingia akilini?
Wacha nyumbani ni nyumbani jibebe
Ahaaahaaaa wasiwataman taman😀 Magufuli oyeeee
Nimegundua marais waliopitia ualimu wanakuwa na upeo mkubwa sana,wanakuwa na huruma kwa watu wa chini,wanajua changamoto,namlinganisha Rais Magufuli na Nyerere,
Ahsante mh Raisikwa kuikumbuka shule yangu!
Imebaki historia mshumaa ulizima gafla kama masihara duh 😭😭asaivi hakuna nini wala maini 😢
Hatari
Mafisadi wooote sweka ndani Tanzania nitajili bwana
Siyo nitajili sema nitajiri
Hongera sana mheshimiwa
Ama kweli kifo kinajua kula vitu vizr 😥😥😥
Wanafunzi heshima ziro"hawasalimii(awahamkii)n
Haaaa haaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaa rahha Sana mzee anavyofanya kazi. Wasaidiz wake hawayaoni haya ?
kweli uyu ni lais tunaye mtaka
Proud of my president
Ingeweza Magufuli after tz please kuja kenya bana uhuru kenyatta niuonevu tuuuu no maendeleo atuoni
Rais wetu nakuomba uwende moshi pia Mbokomu secondary katusaidie kule maan kunachangamoto nyingi sana
Yes
Big up mzee baba!
JAZIYU JUMA Rajabu gingers. Sana. Mheshimiwa. Rais
NJO RAISI HUYU HAPANA hawa wetu wa Congo
Eti juzi kati huyo binti bhana noma sana
Kwa hiyo wewe unadeal na watu wa Mwanza tu au sio?
Noah Mwaipopo embu embuh vzR
Pong unazingua ujue!!😂
Mwanza secondary ni Shule yangu ... nimefurahi sana kusikia .. duh nilikuwa B2 Biashara
mfalme wa kweli atawale miaka yote jamani namwombea kwa MUNGU. maisha malefu na yakuigwa na wengi
Hongera sana JPM
Jamani tunakuomba uje shule ya arusha olasiti sekondaru
Uncle magu is the best one
Baba njoo huku mzumbe chuo kikuu hatuna vijiji vya mbele barabara mtihani
Mungu akutunze Raisi wangu
Mh Rais binafsi nakukubali sanaaaaaaaa
Mmmm nataman Mimi binafsi rais wangu magufuli nikupigie hata kura mia ziwe zangu mwenyewe nakupenda sana uko vizur
Nakukubali raise wangu rushwa kwishaaaaaa
Magufuliii una ubagunziiii njooo na kwetuuuu
Mmmmh wanafunz wana vibee
Baba Rais wa wanyonge Mungu akubaliki