HAMISA AFUNGUKA MAHUSIANO YAKE NA AZIZI KI/NILMWAMBIA ASIONDOKE/NINGEONDOKA NAE/NIMPOLE SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • HAMISA AFUNGUKA MAHUSIANO YAKE NA AZIZI KI/NILIYEMBAKISHA/NILIMSHAHURI ASIONDOKE/AMSIFIA NIMPOLE
    HAMISA AFUNGUKA MAHUSIANO YAKE NA AZIZI KI/NILIMSHAHURI ASIONDOKE/NAKWENDA KWAO/AMSIFIA NIMPOLE #hamisamobeto #hamisamobetoaziziki #aziziki #carrymastorytv #hamisaniliyembakishaaziziki #niliyembakisha

КОМЕНТАРІ • 120

  • @DevothaJohn-x4t
    @DevothaJohn-x4t 13 годин тому

    Napenda kukuombea amisa mobeto uendelee kupambana na Mungu aendelee kukuzidishia mpaka hapo ulipo

  • @Faith_joseph
    @Faith_joseph Місяць тому +25

    Hamisa nachompendea ni mrembo halafu mchapa kazi sana.... Hongera sana kwa kufungua branch ya Mobettostyles tandika umetumia akili sana👏👏🏾🎉

  • @laylathaji3938
    @laylathaji3938 16 днів тому +3

    HAMISA achana naomba majungu Tu,azizi ki ngoja ale mzigo,apunguze mawazo

  • @DevothaJohn-x4t
    @DevothaJohn-x4t 12 годин тому

    Nisaidie hamisa kazi nakuomba

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 Місяць тому +2

    Ongereni saaan Amisa kutusemeha kwa chme lake❤❤❤🎉🎉🎉

  • @DevothaJohn-x4t
    @DevothaJohn-x4t 13 годин тому

    Amisa mobeto naomba kazi hata ya kukifanyia usafi dukani pia me ni mchapakazi pia napenda kazi ya mtu niipende ni ukali na kuiheshimu pia me napenda sana usafi sana

  • @Faith_joseph
    @Faith_joseph Місяць тому +4

    Skin is skinning 🤩❤️

  • @monicawango2343
    @monicawango2343 Місяць тому

    Hamisa mdogo wangu naomba kazi hapo kwako,hataya usafi,nisaidie my❤

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 Місяць тому +5

    Mungu akutunze hamisa wangu nyie ardhi iinafaidi sana

    • @DevothaJohn-x4t
      @DevothaJohn-x4t 12 годин тому

      Naomba kazi hata ya kukata vitambaa na kufanya usafi

  • @nataliamashalo
    @nataliamashalo Місяць тому

    Hongera Sana jomooooon hamisa always love you ❤

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Місяць тому +8

    Azizi kumbe kaacha pesa Ndefu kwa Demu Pumbavu zakeeee hakusoma kwa Mayele

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 Місяць тому +3

    NIKIKUMBUKA ZARI ALIKITA CHIP WOMEN KHAAA , MUNGU NIMWEMAA🥳🥳🥳🥳❤️😍🕺🏻

  • @Gthekingtiger10
    @Gthekingtiger10 15 днів тому

    Saf sana hamisa kazi nzuri

  • @user-cw6jq7cv2k
    @user-cw6jq7cv2k Місяць тому +1

    Congrats girl

  • @DevothaJohn-x4t
    @DevothaJohn-x4t 13 годин тому

    Shikamo dada amisa mobeto kwa kupambana napenda kukuomba me ni biti mdogo ko naomba kazi me kazi yoyote nafanya, ko sibagui nakuomba naomba uniajili plz

  • @janethferous
    @janethferous Місяць тому +2

    Mobeto naomba kazi basi nikusaidie hata kukata vitambaa tu nakuomba many nifikilie niweze kulisha familia bwana

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 Місяць тому +9

    Huyu kahaba hana aibu atalala na wangapi? Wewe ni malaya tu umekojolewa na wanaume wengi sana

    • @linashayo2068
      @linashayo2068 Місяць тому

      @integrity277. Kumuita binadamu mwenzio malaya hio nayo ni dhambi, kama wewe ni mtakatifu huna dhambi yoyote basi hiyo ya kumuita Hamisa malaya ujue lazima utaitubu kama sio leo ni kesho. Mnataka Hamisa asifanye chochote kisa msiompenda hamtaki muone anafanikiwa. Tubu sana maana mimi nilivyokuwa msichana mdogo nilimcheka mtu fulani ili kujifurahisha. Lakini inaniumiza mpaka kesho. Kuna mwisho wa kila kitu , tusijisahau, dunia ni ya Mungu, Leo tupo kesho hatupo.

    • @aminaanab1071
      @aminaanab1071 Місяць тому

      Wewe una lala na wangapi tu anzee hapo😅😅😅😅

    • @mariamuramadhani4643
      @mariamuramadhani4643 Місяць тому

      Amekojolewa na wanume wengi kuliko mama yako ?😮😮😮

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa Місяць тому

      Atakojolewa ila sio na mtu kam wew😂

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 Місяць тому

      Analala na wanaume wengi kama mama akooo

  • @malietamaliet
    @malietamaliet Місяць тому +10

    😂😂wabongo atukawii kusema aziz ki ndo kamfungulia duka

  • @user-cu7ic4wy9h
    @user-cu7ic4wy9h Місяць тому

    Hongerani Mungu awajalie mfunge ndoa ❤❤🎉

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 Місяць тому +8

    Mbona wewe binti unapenda wanaume wa nje,? Mwisho wa siku wanakupiga chini ,tafuta mbongo mwenzio uendeleze maisha tayari una watoto,

  • @RamadhaniMshana-gk6vm
    @RamadhaniMshana-gk6vm Місяць тому +2

    Nakupend sana hamisa❤❤❤

  • @ElizabethEmmanuel-nj1oi
    @ElizabethEmmanuel-nj1oi 21 день тому

    Wee dada nakupenda sana my 💕💕

  • @hafidhali3020
    @hafidhali3020 Місяць тому +7

    Malaya kila mwenye hela anapewa papa

    • @aminaanab1071
      @aminaanab1071 Місяць тому

      Kama mamako😅😅😅😅

    • @hafidhali3020
      @hafidhali3020 Місяць тому

      @@aminaanab1071 inaonekana na wewe ni ktk Kandi la malaya

    • @aminaanab1071
      @aminaanab1071 Місяць тому

      @@hafidhali3020 pamoja na mamako😄😄😄😄

    • @aminaanab1071
      @aminaanab1071 Місяць тому

      Yani kila unapo mtukana mtu malaya kumbuka mamako malaya dadako malaya mak wako malaya

    • @hafidhali3020
      @hafidhali3020 Місяць тому

      @@aminaanab1071 wewe anaona kama umalaya umerithi kutoka kwa mamaako, Nadhani kama wewe ni mtoto wa kharam

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n Місяць тому +1

    Misa ni KIBOKO YAO WASANII WOTE❤❤❤

  • @DevothaJohn-x4t
    @DevothaJohn-x4t 12 годин тому

    Hamisa nakuomba niajili basi ata kazi ya kushona au kukufnyia usaf nakuomba 9:28 9:28

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 Місяць тому +4

    Make up zinawatowaga mbali. Wallahi du

  • @RAMADHANMARCK
    @RAMADHANMARCK 26 днів тому

    Waache ao waenderee na majungu yao wanafki ao acha ajidai amisa sapot sana nakukubali sana achana na ao manafki

  • @AishaNdayahoze
    @AishaNdayahoze Місяць тому +2

    Asant dada yang

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 Місяць тому +5

    Kwa ishara mwenye akili anaelewa

  • @HalimaNanyanje
    @HalimaNanyanje Місяць тому +1

    Naomba kaz

  • @H3s4d
    @H3s4d 10 днів тому

    Tuache matusi uhuru umepitiliza

  • @user-eb2me3xn1l
    @user-eb2me3xn1l 19 днів тому

    Amisa ww nimuislam ujue hebu jitande utapendeza dada na biashara zao zitazidi kufikia mbali

  • @user-bf3ij2ie5k
    @user-bf3ij2ie5k Місяць тому

    Kwn alishaachwa na yuke boss baba tayar

  • @EmanuelOdhiambo-rr2yv
    @EmanuelOdhiambo-rr2yv Місяць тому +12

    Hamisa Mobeto I am here to advise you as your brother......,wachana na umalaya kwasababu wewe ni mama mwenye watoto wawili.It's high time you respect yourself.Unajishusha thamani kila mara kuonana na wanaume tofauti."UNAHARIBU FUTURE YA WATOTO KINDLY STOP BEING STUPID".....HAO WAANDISHI WATAKUFUATA TU ILI WAKUULIZE MASWALI BALI THEY CAN'T HELP YOU IN ANYTHING". LOOK AT THE BIGGER PICTURE OF LIFE AND AVOID BEING STUPID."CHANGE YOUR ATTITUDE PLEASE".

    • @fatumamnyenze9696
      @fatumamnyenze9696 Місяць тому

      Bado n mdogo na hajazeeka bado damu inachemka hawezi kuitwa malaya mana hajaolewa pili hajapata wauwakika wote waongo atafanya nn na yy n mwanamke n bado mdogo..kua mama kulea watoto pekeako bila yakupata mwenza wakupa support uongo stress zitazidi pole kma ntakua nmekukwanza

    • @hafidhali3020
      @hafidhali3020 Місяць тому +2

      @@fatumamnyenze9696 yaani mpaka uzeeke ndio unakuwa malaya?

    • @marcobulili4341
      @marcobulili4341 Місяць тому

      Aziz ana kazi sijui uwezo wake msimu huu

    • @elipidhugotesha1909
      @elipidhugotesha1909 17 днів тому

      😮sijaelewa apo let her do what suit her

    • @WardaChande
      @WardaChande 17 днів тому

      Mbona makasiriko 😅😅kila mtu ana uhuru wake

  • @PanyaBuku-qo7tu
    @PanyaBuku-qo7tu Місяць тому +5

    Uchafu mtupu umalaya mtupu

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 Місяць тому +4

    Watu bwana mnashambikia udangaji sasa huyu si msharati tu nini mnampongeza anafanya zina na nye mnashiriki kwa njia moja ama nyingine kwa kumpongeza kweli dunia hii imani imekwisha Toba yaraab 🤲🤲

    • @linashayo2068
      @linashayo2068 Місяць тому

      @halimamasai2234. Usisahau hata wewe ni mwenye zambi umeshatubu zambi zako? Sasa anza kutubu zambi zako alafu ukimaliza utubu zambi ya kumtukana au kuhukumu Hamisa kuwa ni mzinifu . Hakuna binadamu yoyote aliyepewa kibali cha hukumu hata mitume ambao tunaamini walikuwa watakatifu basi walikuwa na zambi pia, ndio maana Mungu alijuwa katika dunia hii wote ni wenye zambi ndio maana Mungu hajampa mtu yoyote haki yoyote ya kuhukumu yoyote anaehukumu, Ni mwenye zambi.

    • @aminaanab1071
      @aminaanab1071 Місяць тому +1

      Labda ako karibu na mungu kuliko wewe hujui tu😅😅

    • @JacklineIkoki
      @JacklineIkoki Місяць тому

      ​@@aminaanab1071very true my dear

  • @HalimaNanyanje
    @HalimaNanyanje Місяць тому

    Naomba kaz ndugu.

  • @RahimaMct-ik8mr
    @RahimaMct-ik8mr Місяць тому

    😂😂Anacheza vizur kotekote AziZi K

  • @AllyAthuman-z9b
    @AllyAthuman-z9b 13 днів тому +1

    Kuna ujinga anaoufanya uyu dem viongozi wa yanga awajaliona ila likija tokea ndio mtakuja juta

  • @ChrissKadunda
    @ChrissKadunda 8 днів тому

    Umedamshi ila una mdomo mbaya ka ng'obwe

  • @Pratnumzsimba
    @Pratnumzsimba Місяць тому +2

    Mbunye ya hamisa ni tamu sana inaonekana😂😂😂

  • @rachelelias7750
    @rachelelias7750 Місяць тому

    Uyu dada ata ajielewi wanakutumia to masikini😢

  • @laylathaji3938
    @laylathaji3938 16 днів тому

    HAMISA endless kumchuna hiyo Fara,si kajirengesha mwenye,tafuta heal Tu,ila usije ukazaa nae atatuaribia ukoo na domo lake

  • @josephineokama2200
    @josephineokama2200 Місяць тому +6

    umalaya tu na mifuvu Yako ya mishavu

    • @salmaalimusa6809
      @salmaalimusa6809 Місяць тому

      Mmmh chuki hainaga adabu siuuufanye naww huo umalaya uwe kama yy?

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa Місяць тому

      Pumbafuu kabisa

    • @MariaSigan-i6g
      @MariaSigan-i6g Місяць тому

      Dada hakuna mwanamke ambae siyo malaya

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 Місяць тому

      ​@@salmaalimusa6809syo kwa mwanaume na lile Domo banah apo angekua Hana hela Wala hakuna malaya angemsogelea pesa Haina adabu

  • @SalmaSheha
    @SalmaSheha 16 днів тому

    Kijuso jushaazeeka my

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 Місяць тому

    Huyu si alishachumbiwa??? Hizo sifa unazompa! Ulishawapa wanaume wengine, yaani unautumia vibaya uzuri na jana wako be careful.

  • @user-jj3tq1rh4p
    @user-jj3tq1rh4p Місяць тому

    vizr umewakibu vyema madm nadhani wamerdhika

  • @SalumKapilima
    @SalumKapilima 16 днів тому

    Haaaaaaaaaha ka jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅

  • @rajabually869
    @rajabually869 28 днів тому

    Eti kahaba huwa wengine mnasumbuliwa na Majungu tu

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 Місяць тому +6

    Kumbuka Hata mama yako amekojolewa ukazaliwa wewe acha husda kumuita mtoto wa mama Wawatu kumuita kahaba tafuta Pesa acha kutukana Watu

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py Місяць тому

    Ila ninavyojuwa huyu mobetu. Alikuwa wa Ali kamwe Sasa apo mtazamo unakuwaje, naombeni jibu, Ila nakupongeza kwa juhudi yako ya utafutaji ongela kwa bidii

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 Місяць тому

    Hongera sana hamisa

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 Місяць тому

    Ila haya maisha duuuh

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Місяць тому

    Hahaha wambea hawa jmn🤣🤣🤣

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs Місяць тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yanga bingwa amisaa eee amisaa ee mungu akuwekeee🙏🙏🙏🙏🙏🕺🕺🕺🕺🕺🤲🤲🤲🤲🙌🙌🙌🙌

  • @SamwelIsack-fj7vd
    @SamwelIsack-fj7vd Місяць тому

    Mimi kiukweli napenda Sana uwazi wako kwa waandishi wa habari kuhusu maisha yako hujifichi kwenye mahusiano yako

  • @issachibangu6075
    @issachibangu6075 Місяць тому

    She’s so beautiful ❤

  • @emmymgonto4110
    @emmymgonto4110 Місяць тому +4

    Hongera bidada kwa yote ila nimeshangaa umeulizwa swali sensitive linalohusu maisha ya mtu na brand kubwa ikihusisha moja kwa moja viongozi makini na waliofanya juhudi kumbakiza Mchezaji wao
    Ajabu bandala ya kujibu kwa usiriazi kwa kulinda na kuheshimu jitihada kubwa zilizofanywa na viongozi wetu wewe unacheka cheka ili kuendelea ku entertain viskendo Kama hivi, kuwa serious

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 Місяць тому

    Hongera ❤❤

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 Місяць тому

    Waandishi wambeya kweli

  • @malizinakamisa-nd2qq
    @malizinakamisa-nd2qq Місяць тому

    Kazinzur

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 Місяць тому

    Hamisa safi sana

  • @mwendemwende5789
    @mwendemwende5789 Місяць тому

    Unatapatapa tu mpaka uzeeke ukitapa tu

  • @nahimanajo8993
    @nahimanajo8993 Місяць тому

    Tusahidiyeni namba ya hamisa tunashida ya vitamba tuko hinje

  • @HenedAidha
    @HenedAidha Місяць тому

    Galili l haya mustrih

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 14 днів тому

    Sasa wewe mobeto una wanaume wangapi? Kuna yule wa nje? Alikuacha? Kumbe kweli ndo maana diamond alikataa mtt siyo wake maana una wanaume wengi kazi unayo

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Місяць тому

    Say is my own

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 19 днів тому

    Makeup zinamfanya ashindwe kucheka

  • @NaftalMungure
    @NaftalMungure Місяць тому +4

    Ninyi watu mnao muita huyu hamisa malaya. Ooh kahaba. Huenda ninyi ndio malaya wakubwa ila tatizo tu umalaya wenu haupo hadharani wala hakuna anaewafaham. Shut-up your mouths

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p Місяць тому

    Xavi mtupu

  • @KulwaMartine
    @KulwaMartine Місяць тому

    Mwacheni mtoto wawa2 apambne katk maisha

  • @HalimaNanyanje
    @HalimaNanyanje Місяць тому

    Naomba kaz

  • @user-yu3kg6zl8q
    @user-yu3kg6zl8q Місяць тому +2

    unamwitaje mtoto wa mwenzako malaya nalaya ni nyie wivu tu kazi kukaa vibarazani

    • @user-cq1tf5sd3l
      @user-cq1tf5sd3l 5 днів тому

      Malaya Malaya Malaya huyoooo amini usiamini.

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Місяць тому

    Kahaba sugu dar kila mwenye jina na pesa analichovya.