We ushakua mtu mzima binti yako angekua hasomi angeshazaa lakn nashangaa unavaa vinguo haviendani na umri wako unafanya mambo hayaendani na umri wako punguza dada jua limeshakuchwa hilo 😂😂😂🤣🤣🤣
Wanasema dida m'baya ujijue ww mzuri unalevo ya dida?oooooh anakipaji cha umbea ww mwenye kipaji cha uhandisi unechora jengi gani?ndio yuko juu yenu mweeeeeeeh
@@rahmaramadhan2476 acha tu wangu kuna watu wakialikwa na diamond wanachizika hatari sasa mtu mzima kama huyu kuvaa gauni kama lile shida Yote ya nin amepata aibu kwa vitu vidogo mpka ameagiza tisheti kutoka nyumbani
Nyiye waswahili acha ushamba. Eti mimi mzungu, tanasha nimzungu, zari muarabu??? Ndo Nini? Waraabu tabia zao mbaya, wazungu washenzi, what you see in movies is all fake. Wazungu na warabu washenzi kuliko waswahili. This slavery mentality thinking that wazungu are better needs to stop. Black people learn to love yourselves, it's the only way we can help each other. Indians, arabs and wazungu love themselves that's why they help each other in work everywhere.
Wanaomponda Dida kazeeka kwani amewakosea wapi mbona uongeaji wake ni sehemu yake ya maisha na ndio kula yake...tuache chuki binafsi.
Mhhhh
Sijui kwanini watangazaji wa redio wana mionekano zero na zura nzito ila sauti mashallah
Dida I missssss you sooo much. We tokea chuo hupendi kufatilia ya mtu. Halafu hauna roho mbaya. Nakupenda na nakukumbuka saana.
Nampnd sanaa dida saut yak na mishushuo km yotee HAHAHA wakuache weeeee
Dida ni nashida kubwa sana dada angu na.jua.wew ndiye unawesa kunisaidia.dada angu mm niko kilimanjaro dada
Nakupenda dida, ila watu wa instant wamekujalisha shoga, hadi umeenda kununua nguo nyingine!!!!
Daa dida Masha ALLAH, umejibu vizuri
dada ume nonga sana
Nakupenda sana we dada coz unajitambua
Nime kupenda Dada Did a💕😍😘👌
Mnaomponda Dida mna wivu tu, naona michambo yake inawachomaa kisawasawa 🤣🤣🤣🤣🤣
Selina Thidwa .
Dida, mtumzima. Mwenzang weeeee
Wanaomponda kazeeka hongera zao,wao watabaki vijana Milele😏
Hapo sasa
👌
We ushakua mtu mzima binti yako angekua hasomi angeshazaa lakn nashangaa unavaa vinguo haviendani na umri wako unafanya mambo hayaendani na umri wako punguza dada jua limeshakuchwa hilo 😂😂😂🤣🤣🤣
🤣🤣🤣kabisa
Jamani kwa uzee ganiii?acheni zenu uuuuwi ulitaka avae gunia?
Wtz!hatuishi maneno na hupenda kukosoa tu sijui kwanini hatuachi kuchunguzana au kuongeleana.
wivu utakuua pambana na hali yako
Dida ushofel
Nakukubali my crass ment Makongo high school
Sio crassment ni classment hovyo
@@joanfabian4031 😂😂😂😂
Afu dida unaekinzanaga na kumbuka shoga kumbe ndio huyu aiseee big up dada
Kweli Dida kila mtu na maisha yake!!
Nampenda Sana huyo mtangazaji he looks nice
Una akiri sana mama nimekupenda sana
guys muacheni jaman Dida next level
D.I.D.A DIDA 😍😘😘😘😘
Mmmh hyo dida kumbe ndoww wakawaida mno ilaunavyojua kuchamba wenzako 😀kumbe mwenyew sur Kam.......
Elimu imemfanya awe ivyo
sura kama nn? aliyekuumba ww na ndip kamuumba dida au kuna mtu anajiumba ? mkome kumdhihaki mungu
Bona TV Naanza kuwaelewa Sana Chapa Kaz Vjana Wenzangu Ila Wee presenter Jaribu kua Serious sana unachofnya maana Sjakuelewa hta kidgo
Kamuhoji wewe Kama unaweza
Kiukweli dida mbaya
Ashukuru kitaulo
@@davinahevenly7899 Cheni majungu mbwa nyie
@@sudir.s.8073 Asante mbwa mbona mnyama rafiki. Ningekuwa Inzi wa Chooni kama wewe ndio ingekuwa taabu. Si kwa kunuka huko.
Salma 🙏🙏🙏kwa nn unamwambia binadamu mwenzako mbaya,binti wa kiislam unacomet hivyo.
@@Pedeshee01 Muambie huyoo anaemkosoa Allah
Safi sana dada wamie nakupendag sana da dida
Wew noma wanyonyoe hao kbx
I love Dida
Maashaa Allah Dada napenda kipind chako
Lamjombaangu😁😁😁😁😁duh....vituko jamani
Hivi nyie mnaosemaga mko cool kama mzungu ,mnajua kua mzungu ni mbea wa kwanza dunia mzungu anasengenya ana chinganisha kuzidi mtu yeyote hapa duniani
Judith Tibandebage mzungu yupi huyo? Au Bongo zozo?
Unasema kweli kabisa wasiowajua wazungu watasema wako poa lakini hakuna wambea na wasengenyaji kama wazungu. Ukikaa nao ndio utajua.
@@daimavlog 😂😂
Sura nzito kama vutali ya magimbi alafu una roho mbaya sana unapenda shali
ARAFA MPOMA sura hana na make up zote
ARAFA MPOMA pendaneni wanawake🙏🙏🙏🙏 unamkashifu vipi mwenzako hivyo
We yako I post tuioje
Nampenda huyu dada jaman
Dida ana rangi sita.
Nakupenda Sana dida
Saut nzur lakin sura mbayaaaa
Hasha 34343 hiii
huna lolote umuwezi @dr kumbuka alaf dada angu serios ujui kuvaa kabisaaa
muzney mpemba1 huyu aliona kumbuka atamfunika avhukue mashavu yake times ndio wakafanya figisu kiukweli kumbuka ni zaidi ya Dida
Umeonee Kumbuka kamzidii kwa taaluma basi povuu! Mwanamke bifu hadi kwa wanaume. Loo! Anamashavu kama puto
Davina Hevenly ahahahhHahahah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😋😋😋😋
Wanasema dida m'baya ujijue ww mzuri unalevo ya dida?oooooh anakipaji cha umbea ww mwenye kipaji cha uhandisi unechora jengi gani?ndio yuko juu yenu mweeeeeeeh
Mzanzibar mlevi bayaa...
Umedamsh mwaya
huyu mtangazaji ajatulia kabisa jifunze kwa wenzio ukishika maiki tulia unachechetuka sana bana we wakiume ujue
aim fetty 😂😂😂😂😂😂😂
Sura na mikono haviendani
😁😁😁😁
Ndio mlivyo wadada wamjn
Wa Dada wa Dar😅😅😅😅
Nakupenda sana dada😍😍
We mkali
😁😂😂😂 Nimeipenda
I love dida
Wewe mžuri dada
Panda sana dida
Nakupenda buree dida
uyu Dada mbaya bana kajiharibuu
wakuache dida wetu, mamaaa michambooo, mbabe Wa michambooo
ZENA ABDULRAZAKI CIO kwajicho Hilosura dida
Hio ndio rangi yake natural ama amejiongeza anemjua Dida atujuze nauliza tuuu
Ndio rangi yake toka anaigiza kipindi cha nyuma
Dahhh huyu Diamond kicheche kweli yaan anawavua chupi wasichan kila kukacha duhh huyu kiboko
Acha waseme mimi namkubali dida
Mie nakukubar sn mama samira
Kwakitu gani ushuzi😏mishavu kama paka la muhimbili mxxxxxw👌
Dida umependezaaa nakupenda bure
Present nimekukmbali san
Hamad Saidy m binas nampenda sana dida
Nice dida
Yani huyu usomnene mwili mwembamba Ata cmuelewi
Fanya mambo yanayoenda na umri wako dida
Nampenda sana dada huyu
Ana sura nzito huyuuu
Acharoho mbaya
Kupapalikia shuhuri ya watu ndo kumekufanya ukavaa gauni kama mfuko wa gita kwa ajili ya kupania shuhuri
Da nimecheka sana mpaka nimepaliwa
@@rahmaramadhan2476 acha tu wangu kuna watu wakialikwa na diamond wanachizika hatari sasa mtu mzima kama huyu kuvaa gauni kama lile shida Yote ya nin amepata aibu kwa vitu vidogo mpka ameagiza tisheti kutoka nyumbani
Siwema Michael 😂😂😂😂
Kweliiiii nimependa
Hili dada sura nzito
Mm napenda dida anavyongea na sauti yake
Iyoo mikonoo vp
Penda sana dada dida wanao kuchukia tupa kule
Did nkupnda sn tyyyy jomon has pale unaptoa mipsh kw taarab
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
LA jioni hiloo
jamani hatari nakupenda bure
Dida muongeaj sana rakini
Mambo diddah
Wewe unajeuli yakumjibu yakumjibu dr kumbuka jinsi anavyokunyonyoa duuuuu.alikwambia maziwa km fuko latakaaaaaaa
Wajina ushazeeka kwa kweli na uwache ujinga bhaana
Huyu mtangazaji mbn cmuelewii
Hamida Mahmoud
Kama mwehu ha ha ha ha .
😁😁😁
Mtangazaji mbona kama kichaa umekunywa nini
Siwema Michael
Mtangazaji kama kapagawa , sijui hakutegemea kama Dida atakubali kuhojiwa ??
Au pombe za buree ??
Maana sio kwa mhemko huo .
@@chayogasperi9783 hakutegemea
nakupend bule
Dida kweli kabisa hicho kipaji wengine wanapoteza muda waangalie wasijejitia bure penda sana
Waoooh
Shoga nakupenda hatariii😍😍
Dida yuko poa sana
Mbona uso na mikono havina ushirikiano
Kipaji cha ujingaa loooh.
Ibua chako cha kijanja ufike levo yake kwanza ndio uje useme shiti
LEO UMEVUA MIWANI KULAMEK MACHO VIMBEEE
We presenter mbona kichefchef
Dida sasa
Kwani dida usoni ulichopaka ndo makeup ama
😂😂😂😂😂😂
Diana Baddy 😂😂😂😂
Una hekima Dida, penda sn wewe.
Nyiye waswahili acha ushamba. Eti mimi mzungu, tanasha nimzungu, zari muarabu??? Ndo Nini? Waraabu tabia zao mbaya, wazungu washenzi, what you see in movies is all fake. Wazungu na warabu washenzi kuliko waswahili. This slavery mentality thinking that wazungu are better needs to stop. Black people learn to love yourselves, it's the only way we can help each other. Indians, arabs and wazungu love themselves that's why they help each other in work everywhere.
🙌🙌🙌
Mtangazaji kama bangi vile????
Presenter anae radi
dyda nakupenda bule ila sauti ndo konk sana
Pulova
😍😍😍😍😍
😀😀
Oi
Mkorogo sasa
Tarabu
Domo limejaa meno atar
Duuuuuuuu
Ulitk ajaze pua?
Picha Za ngono
Kkkkk puluova
Hahaahauhaha
Dida kitaulo
Dida nakupenda san huwa unaongea ukweli kabc mungu akuzidishie zaid kipaji chako na umeogea kweli
Umedamshi mjukuu wangu