BABA YANGU KIPOFU FULL EP 02 SEASON TWO💕

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 269

  • @PALMAVIBESBYWAMBUESSO
    @PALMAVIBESBYWAMBUESSO 3 дні тому +51

    Kama umefika salama uuh mwaka 2025 mshukuru mungu pia gonga like god bless all

  • @shelvinimali
    @shelvinimali 3 дні тому +27

    Leo mm ndio wakwanza kutoka Kenya mpee ata likes kumi tu jamani

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 3 дні тому +58

    Huu ni uvivu wa kuandaa Tamthilia 😂 Season two tena, halafu kawa kipofu tena, yaani kama vile inaanza mwanzo upya 😂😂😂 Ni baada ya kuona maigizo mapya hayana ubunifu yanataka kufanana na hili hili 😂😂😂

    • @sajisikakoko7466
      @sajisikakoko7466 3 дні тому +3

      Wameyatimba kabisa

    • @Arnasir_1
      @Arnasir_1 3 дні тому

      Mtihani sana hawa ndio wana taka kuirudisha tena Sanaa ya bongo nyuma wakati ilikua isha anza kuchangamka kashindwa kuwaza kazi nzuri kula anayo toa ina feli kaona arudie hii kisha hata hii imemshinda kusuka ili ivutie akiendelea hivi atapata view elf kumi kwa siku 😂

    • @liliy-u3n
      @liliy-u3n 3 дні тому

      Adi wanaribu sasa😂

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express 3 дні тому +1

      @@Arnasir_1 😁 sasa ataisukaje wakati hata season one ilitakiwa iishie episode ya 20 akafosi mpaka kuweka wachungaji na mambo yasiyoeleweka. Wakina Nupt waliizungusha zungusha sana ingetakiwa kuisha mapema sana. Sasa anaibuka na season two kabisa halafu kawa kipofu 😁😁😁😁😁 Ameshafeli

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express 3 дні тому

      @@liliy-u3n 😁

  • @FelixMunyao-t9u
    @FelixMunyao-t9u 3 дні тому +19

    Jamani sikieni sauti ya huyo kijana ameiba hyo wimbo wa baba yagu kipopu
    Jamini account yake anajita aje tumsupport ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @angeuwimana9200
    @angeuwimana9200 3 дні тому +10

    Jamani jamani Leo nimewai tangu hiyi filamu ianze ndio mara yangu yakwanza😂😂team baba Joana tujuane❤❤

  • @PaulinaMligo
    @PaulinaMligo 3 дні тому +9

    Mbaya sana kama mmechoka kutafuta nyingine mkalale

  • @LatyKhatib
    @LatyKhatib 3 дні тому +7

    Jmni jmni msiwe mnapenda kuhukumu kaz za mikono ya watu😢 mm naona vzr sann movie zuri Allah awajaalie wafike mbali na hapo inshallah

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 3 дні тому +1

      Wanakatisha mtu tamaa kwa kweli,sio poa...kuna mbinu za kunkosoa na kunshauri mtu ila sio kwa wanavyomwambia

  • @FAIZAWESAAMANI
    @FAIZAWESAAMANI 3 дні тому +9

    Mbona notification inakuja late after 4 hrs 😢 sijafurahia

  • @JacklineNasimiyu-g7o
    @JacklineNasimiyu-g7o 3 дні тому +5

    Patronise!!high five 👋❤❤

  • @Kadii-o9s
    @Kadii-o9s 3 дні тому +3

    ❤❤❤❤❤nawakubali snaa bba joan

  • @salmanadjibu
    @salmanadjibu 3 дні тому +5

    Sijacelewa sana heri yamwaka mupya baba karobo

  • @RahmaRashidi-ih9tk
    @RahmaRashidi-ih9tk 3 дні тому +1

    Muvu nzuri sana bba karobo usisikilize kelele za milizo zirakuporeza simma na mungu elimisha jamii kka simama na mungu ,iyo mpya napi katoa mnasema manyokanyoka ,acheni fitina zenu hapa

  • @FiestaNiyongere
    @FiestaNiyongere День тому

    Patronise unaimba vizuri🎉🎉🎉🎉❤

  • @FelixMunyao-t9u
    @FelixMunyao-t9u 3 дні тому +7

    Moto sana ❤❤❤❤
    Af huyu pratronice account yake ni hipi tumsupport jamani 🎉🎉🎉🙏🙏

  • @ashasalumabdalla4003
    @ashasalumabdalla4003 3 дні тому +2

    Imeboa sana baba karobo kurudi kipofusipendi hata kuangalia nilitamani mama karobo awe kipofu ili aone machungu aliyokuwa akipitia baba karobo.

  • @gilbertoisso
    @gilbertoisso 3 дні тому +6

    Happy new year guys nawapenda sana na mungu awape mahitaji ya mioyo yenu huu mwaka muwe matajiri ❤❤❤❤

  • @MarystellaSaleh-pk9te
    @MarystellaSaleh-pk9te 3 дні тому +5

    Wakwanza kutoka Kenya 🎉🎉🎉🎉

  • @LinahKasila-i2t
    @LinahKasila-i2t 3 дні тому +7

    Uvivu tu wa kulima embu kalimen sio kwa ubayaa😂😂😂

  • @joufflyngmutangaza306
    @joufflyngmutangaza306 2 дні тому

    Twende tuuuuuuu 🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @SaumuSalimu-z4r
    @SaumuSalimu-z4r День тому

    Napenda kaz zao kiukwel nnachopenda kuwashaur waongeze juhud

  • @DoteeKanash
    @DoteeKanash День тому

    Kazi nzuri patronize

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori 3 дні тому +3

    Mbona sioni wengine jameni 😢😢😢watu wa harmonize hoyeeeeeeeeeeee nataka nikuje unifunze pia mm😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @ZuhuraRamadhani-r9v
    @ZuhuraRamadhani-r9v 3 дні тому +3

    baba joani usingetoa season2 ungetunga tu stori nyingine kaka yangu iyo ingeishia palepale ilipoishia ni ushauri tu baba

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 3 дні тому +3

    Aca nilale ntqmaliziya kesho maana mmedha nicekesha mpaka na basi nyiye mmenishinda tabiya😂😂😂eti kaishiwa nini daa siwawezi kabisa😂😂😂

  • @RahmaRashidi-ih9tk
    @RahmaRashidi-ih9tk 3 дні тому +1

    Kka simama na mungu umetoa nyoka wamesema manyoka wanaogopa mbona ,bwana lete kipofu tuburudike sie.

  • @MariamuAbdallah-jn1uk
    @MariamuAbdallah-jn1uk День тому

    Chefuu ata ainogiiiii, ilishaisha izi mambo gani tena kurudishana nyuma 😒😒😒😒😒😏😏😏😏😏😏😏

  • @JacklineNasimiyu-g7o
    @JacklineNasimiyu-g7o 3 дні тому +5

    Mi naona wako sawa tu,maana Mungu ukimkana ,atakukana pia,na ukimrudia kwa goti la msamaha atakusamehe, kwa hiyo tufatilie ujue jinsi gani unaweza kumrudia mwenyezi Mungu

  • @clovisnininahazwe2478
    @clovisnininahazwe2478 2 дні тому

    Ongelaaaa❤❤❤❤❤❤

  • @FredyBennymassawe
    @FredyBennymassawe 3 дні тому +21

    Haina mvuto kabisa ni kama tunamaliza bundle bure

  • @KajunaKajuna67
    @KajunaKajuna67 День тому +1

    Baba Joan umezingua sana season two imetoka wapi

  • @MateusDomingosMuangane
    @MateusDomingosMuangane 2 дні тому +1

    Deus te abençoe sempre pai de Kalobo

  • @Lastborn_chard-123
    @Lastborn_chard-123 День тому

    Aaaah sahv mmeanza kukera na ma tamthilia yenu ya maeudio mjue kwa mm mnaweza mkanikosa kyaaa

  • @hamzarobert2372
    @hamzarobert2372 День тому

    😂😂😂 baba kalobo unanimalizia bando ujuwe sasa ndio nini ulisema umefika mwisho mbona umeanza tena upya maana vick hakuwepo

  • @GraceSinkalla
    @GraceSinkalla 2 дні тому

    Msiwe wavivu,mnaturudisha nyuma

  • @elizeusmichael3463
    @elizeusmichael3463 2 дні тому

    Mwimbaji safii

  • @SalomeSumbizi-ll9wc
    @SalomeSumbizi-ll9wc 3 дні тому +5

    Duuuh!! Malizieni tu Umaskin wangu

    • @RukiaAminiBwanamkuu
      @RukiaAminiBwanamkuu 2 дні тому +1

      Nashangaa kwanin wameikatisha umaskin wangu

    • @SalomeSumbizi-ll9wc
      @SalomeSumbizi-ll9wc 2 дні тому

      @RukiaAminiBwanamkuu walisema baadh ya wasanii awapo lakin kweny iyo season 2 Yao tu awaona duuuh

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 2 дні тому

      😂😂😂😂😂😂😂​@@SalomeSumbizi-ll9wc

  • @MalkaNinik
    @MalkaNinik 3 дні тому

    Wau kitu moto sana

  • @hajikhamis9191
    @hajikhamis9191 3 дні тому

    Flm mbaya upofu tens jaman mnatutia uvivu wa kutizama

  • @aggreylikhubi5814
    @aggreylikhubi5814 День тому

    Kali sana 254🎉🎉

  • @MariamBongo-g1s
    @MariamBongo-g1s 3 дні тому

    Mwaboesha sana

  • @ntezealoyce7043
    @ntezealoyce7043 3 дні тому

    Anaekosoa kazi ndo mtu mzuri ujue anakupenda na sia kusifia kila jambo tu,penye kusifia sifia tu penyekukosoa kosoa kwa kujenga

  • @ArthurArthur-e4q
    @ArthurArthur-e4q 3 дні тому +1

    kama haujui andika story nzuri nenda kwa chado,baba ASMA ufunzwe kazi

  • @FaithKimwetuny
    @FaithKimwetuny 3 дні тому +1

    Wa kwansa leo❤❤❤

  • @JudyNyaboke-e6o
    @JudyNyaboke-e6o 3 дні тому

    🤣🤣🤣🤣🤣ila sina hamu ya kuwatch tena mautamu zimeisha

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 2 дні тому

    Ooooo imerud ten saf san

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 2 дні тому

    Kazi tamu

  • @AngelJohnson-q5p
    @AngelJohnson-q5p 3 дні тому

    Mbona qram anatoa sizon2 nahamsemi kama mnavyo msema huyu baba sijapenda

  • @KulwaLudovick
    @KulwaLudovick 3 дні тому

    Hapo hamuna muigizaji wamuachie manyanya au clam VEVO na steve wengne njaa hawana ubunifu

  • @SultanAlshekaili-q8f
    @SultanAlshekaili-q8f 3 дні тому

    Kazi nzuri sana

  • @MaryamKjor3
    @MaryamKjor3 День тому

    Kalobo pole sn❤❤❤❤❤❤

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 3 дні тому +1

    Kazi nzuri sana ❤❤❤

  • @AspaIgnas
    @AspaIgnas 2 дні тому

    Naulidha maswali mengi 😂ana kithembe uyu

  • @MoosesKuloba
    @MoosesKuloba 3 дні тому

    Mm Moses kutoka kenya nipee like jamani naona mko sawa kabisa

  • @AngelJohnson-q5p
    @AngelJohnson-q5p 3 дні тому

    Mm nawapenda hawa majini😂😂

  • @ArthurArthur-e4q
    @ArthurArthur-e4q 3 дні тому +1

    Ki ukweli baba Joan wewe ni mzembe sana lakini tusi ku laumu sana kwa sababu umesha kuwa mzee achiya sasa watoto wende uka lime

  • @Dominic-lt2fw
    @Dominic-lt2fw 3 дні тому +2

    @baba joan🎉🎉🎉🎉Joanne ❤❤

  • @SkeetoSsaa
    @SkeetoSsaa День тому

    😂😂😂😂😂kazi ipo mikombola tu

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa 2 дні тому

    Safi sana

  • @LéonardKyongozi
    @LéonardKyongozi 3 дні тому +1

    Wa Congo tujuwane apa 🇨🇩 bana mboka toko konza na 2025

  • @ZanaaIssaa
    @ZanaaIssaa 3 дні тому

    Daa.hii.move.itakutoa.machozi.wallah😢😢

  • @BashiruMsukulu
    @BashiruMsukulu 3 дні тому +1

    😂😂😂 huyu msanii tozi tena

  • @DorineJuma-v8d
    @DorineJuma-v8d День тому

    Wenye mnasema hii season2 si tamu wenye kuipenda tupo😊😊much love from kenye,,we love you baa kalobo

  • @phabianmpemba-h9v
    @phabianmpemba-h9v 2 дні тому

    nimeipenda fabiani

  • @ArthurArthur-e4q
    @ArthurArthur-e4q 3 дні тому +1

    Mzee kama cinéma imekushinda nenda uka lime shamba

  • @tatutatu6516
    @tatutatu6516 3 дні тому +2

    Jamaniii❤❤❤ hii kali sanaaaa😂😂 from Mombasa kenya 🇰🇪 🇰🇪 am 18 years old am Nuru Walter 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏

  • @elvinakalu6991
    @elvinakalu6991 3 дні тому

    Waah ni kali sana ❤❤

  • @FlorenceObimbo
    @FlorenceObimbo 3 дні тому +1

    Vipi tena lazima mungeleta part two

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 3 дні тому

    Baba kalobo kwanini umeludi kwa setani ludi kwa mungu ukaobewe

  • @MabeleJulius
    @MabeleJulius 3 дні тому

    Hii movie hakuna kitu,toa mpya😊😮😮😢😮

  • @WilliamAnaklet
    @WilliamAnaklet 3 дні тому +1

    Umeishiwa mbinu baba karobo baada ya kuona BABA YANGU KIPOFU uliikimbiza unaamua kutudanganya mashabiki zako

  • @TeddyJoseph-w5h
    @TeddyJoseph-w5h 3 дні тому +1

    Yaani haina mvuto kabisa maana baba karobo alivo kuwa kipofu kwa waganga ilishindikana alafu tena mumerudi huko huko masharti yenyewe unaambiwa umutafute mwenyewe je utawzaje kumpata na wakat hauoni? Kama kweli yeye snaitaj kukusaidia kwanini asikusaidie nakuvipata ivyo vitu anavyo itaj? Kweli nimeamini sikio lakufa halisikii dawa.niwa tskie kheli ya mwaka mpya wapendwa wangu.

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 3 дні тому

    Baba joan pambana usiskize kelele za chura ww ni tembo lazima unywe maji...wanaolalama hamjalazimishwa kuview wala kuwatch,MTUPISHE😏

  • @DenisJeruiyot-r2g
    @DenisJeruiyot-r2g 2 дні тому +1

    Nuks hii😅😅

  • @ZainabChebet
    @ZainabChebet 3 дні тому

    Sasa kipofu atamtafuta aje hizo vitu zote sure waganga jamani kama kusaidia mtu ni vigumu ni heri kusema.😊

  • @ashasalumabdalla4003
    @ashasalumabdalla4003 3 дні тому

    Movie imekera sana yaani haikupendeza hata kidogo baba karobo kurudia kipofu.

  • @RahmaRashidi-ih9tk
    @RahmaRashidi-ih9tk 3 дні тому

    Mbona wahindi wanamwendelezo mpaka mwaka unaisha sizoni aiishi kwa nini muone bba joan amalize kipofu ina shida gani kuendela kuwepo muvi hhi

  • @olicej7837
    @olicej7837 2 дні тому

    Huu ujinga huu khaa season 1 iliisha tayari umeona na umekuwa boss sasa ivi ni madudu gani haya unatuletea yaani utajipotezea followers wako shendhi😂😂😂😂😂

  • @EzekielJoseph-n7p
    @EzekielJoseph-n7p 3 дні тому

    Duh umegeuka kuwa kipofu tena pole sana😢😢😢

  • @AbdulHamidBakar
    @AbdulHamidBakar 3 дні тому

    YANI hapa alitakiwa mama karobo awe kipofu yy sio baba karobo

  • @jaruomuhumba4740
    @jaruomuhumba4740 2 дні тому

    Huyu kaishiwa😂

  • @BessyMukami-n7k
    @BessyMukami-n7k День тому

    Much Love 🎉🎉🎉🎉

  • @HidayaAbdallah-l2l
    @HidayaAbdallah-l2l 3 дні тому +1

    Eeeh jmn baba karobo kaaa kipofu tena

  • @DenisJeruiyot-r2g
    @DenisJeruiyot-r2g 2 дні тому +1

    Kweli Haina ladha😢

  • @Dil-nawadhFt
    @Dil-nawadhFt 3 дні тому +1

    Mna Bowa bn hatutaki season 2 mnaturudisha nyuma tu toeni move nyengine jmn aakaaa

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 3 дні тому +3

    Baba joan naww uwe mbunifu hii movie ulishaimaliz now umeleta season2 haikua nahaja nibora ungeanz kitu kipya

  • @LukasKipuyo
    @LukasKipuyo 3 дні тому

    Asante sana mung kwa huu mwaka

  • @rogerdeprezzo8648
    @rogerdeprezzo8648 3 дні тому +1

    Sinema nzuri sana

  • @FelixMunyao-t9u
    @FelixMunyao-t9u 3 дні тому

    Machakos ukambani nawakilisha 🎉🎉 Kenya
    Happy new year 🥳 watanzania ,Kenya na Afrika kwa ujumla

  • @JULIETHGORWA
    @JULIETHGORWA 3 дні тому

    Mungu akusaidie baba karobo

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 3 дні тому +1

    Mm wamwishooo❤❤😂mwishooo the

    • @swabrinamwaka2437
      @swabrinamwaka2437 3 дні тому +1

      Happy New year guys ❤❤

    • @Dominic-lt2fw
      @Dominic-lt2fw 3 дні тому

      HAPPY NEW YEAR too from KENYA ❤❤❤​@@swabrinamwaka2437

  • @PillyEliasa
    @PillyEliasa 3 дні тому +2

    Kwani kuna aliye lazimishwa kuangalia hii movie jamani kwanini mummese vibaya baba karobo hii ni kazi kama kazi nyingine kama wewe unaona haikufai acha ujalazimishwa kuangalia bando ni lako hakuna alikushika mkono vp wew kazi yako ikiongelewa vibaya utajixkiaje?? Acheni hizo jaman 😢

  • @PrincessPendo-mc4dm
    @PrincessPendo-mc4dm 3 дні тому

    Hii imekuwa noma sasa

  • @SalomeMideva
    @SalomeMideva 3 дні тому

    Eee vigogo wanalambana wee Haya msicheleweshe

  • @Prophètisraëlmbinguwazi-eb6mp
    @Prophètisraëlmbinguwazi-eb6mp 3 дні тому +2

    Baba karobo ikikuja mvuvi nyingine nita ku follow ilaapa naku ani follow

  • @SAKINAOmaryBakari
    @SAKINAOmaryBakari 3 дні тому

    Nzuri❤❤

  • @OsakiKt
    @OsakiKt 3 дні тому

    Muvi yenyewe munachelewa kuachia

  • @karisakahindi7583
    @karisakahindi7583 3 дні тому

    Umeiharibu cz ilikua imeisha

  • @MourinMasawe
    @MourinMasawe 2 дні тому +1

    Move inachanganya

  • @KulwaAndrew
    @KulwaAndrew 2 дні тому

    Uyo mwenye kigugumiz humo anafanya nn mm sio kwa ubaya lkn wengn wahusika hawan umuhimuuu mbn

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 3 дні тому

    Hapa hamna kitu ngoja nitulie na bando langu siwez anagalia muv ile ile inageuzwa 2