Mm niwa 98 lkn alihamdhullh kuchelewa sio kuacha kuangalia kabisa uyu mwizi kanichekesha 😂😂😂😂kakutana na panga la shaba mgangaaa tap tap crini 😂😂😂😂😂😂jamani nyiee move tamu mama vai kitakuramba ww 😅😅😅😅😅 mumeweza my tim goz ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😅😅😅😅😅 Alakin uyu mamkwe anakicha gani kinamsumbua. kashindwa sherti 😂af anataka matatizo nawatu walomzingua kwa safar Yao wamefanya Lamana mana uyo mkongwe Hana aibu
Tutafakari sote ujumbe huu wa eno la Mungu bila kujali imani zetu zinatuongozaje Luka 13:7 Akamwambia mtunzaji wa shamba la mizabibu, Tazama, miaka mitatu hii naja nikitafuta matunda juu ya mtini huu, nisipate kitu; uukate, mbona hata nchi unaiharibu? Luka 13:8 Akajibu akamwambia, Bwana, uuache mwaka huu nao, hata niupalilie, niutilie samadi; Hivyo ndivyo Mungu na malaika walikua wakijadili juu ya maisha yetu ya mwaka jana na mwaka huu. Ndivyo nasi tulivyofanyiwa na Mungu wetu. Tutafakari vema njia zako. Kwani naamini tumeingia mwaka huu ikiwa ni kwa Neema yake tu. Bado tunahitajika kumzalia matunda kwa kazi , talanta na vipawa alivyotupa. Tuendelee kumtumikia Mungu ili azidi kutubariki.
HII NI LINK YA KUJIUNGA NA GLOUP LA DIRECTOR GOZI FANS KARIBU👇👇👇 chat.whatsapp.com/C3TJF0paB15LyRade5kk9a
@@directorgozi5509 asante sana directeur 🙏 ep 19 itakuwa mpaka lini sisi tuna miss sana filamu zako
Boss mnaichelewesha Sanaa yaan
Kaka bi kauye yupo wp mbona aonekani jamani❤
Heri ya mwaka mpy
Gozi namashabi wote wa gozi wanao mkbali gozi tujuane apa kwa like 🎉🎉
Leo kidali kakutana na panga la chuma😂😂😂
😂😂😂😂😂kwaiy Bobo umeamua kumtekq Vai sio
Nawapenda sana Tim ya gozi
Movie kalii sanaaaa gozii❤❤❤
Mwaka mupia na vyote bipia 🎉🎉jamani nipe like zangu mimi wa 🇨🇩👆👆
Wow nilihimis jamani daaah ahsanten sana heri ya mwaka mpya Wana familia ya director goz
Mganga umejua kunichekesha leo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mganga wa tiktok
😅😅😅😅😅😅😅
😅😅😅😅😅wa tiktok 😅😅😅
😂😂😂
Wakwanza nipe likes zangu ❤❤🎉🎉🎉
Mwajuma mkomavu 😂😂😂😂😂
Tap tap sklin 😂😂 mganga aje tumfundishe kipembaaa bado sanaaa
Ila kijiko😅😅😅
Namupenda mwajuma mukomavu
Taptap screen 😂😂
Mbona mnachelewesha sana vipande jaman
Mganga yupo layivu😂😂😂😂😂mtumeee😅😅😅
Léo nimecheka 😂 muganga Bana
Mganga yupo laivu,,,tumeni loooze😂😂😂😂
Wakwanza leo naombeni like jamani acheni ugaigai😢
Nimechelewa sana
Nawapenda sana kutoka Mozambique 🇲🇿
It's waziri good storyline with good characters 👏weldone
Wa pili nipeni like hata 10
Mwambie mganga akupe wa online 🥱🥱🥱🥱
Ati kuku anaingia period🤣🤣🤣
Au sio🎉🎉
Mm niwa 98 lkn alihamdhullh kuchelewa sio kuacha kuangalia kabisa uyu mwizi kanichekesha 😂😂😂😂kakutana na panga la shaba mgangaaa tap tap crini 😂😂😂😂😂😂jamani nyiee move tamu mama vai kitakuramba ww 😅😅😅😅😅 mumeweza my tim goz ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mwanangu gozi naona vijana wanakushika sharubu wanaruka na mma mtu
😂😂😂😂😂😂 mganga maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉
Mwajuma chukua mauwa yako unajua sio poa😂😂😂😂😂
Huyu mnganga Yuko vizuli sanaaa
Mpenzi haana umuli😂😂😂😂😂
Mama mkwe anahangaika huyo
Wa2🎉🎉🎉
One love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Mganga hansboy😅😅😅😅😅
Ila Gozi nakuona mbaali
Naifatilia nikiwa canada
Mganga wa Leo umeniacha 😂😂😂 na kicheko kwl
Mganga hajamaliza ujana 😅😅
Unajua sana ili unaleta maneno ya kiuni Sana
Igiza na wewe uache maneno ya kihuni kama unaweza
Ni character yake sasa unalalamika nini
Kaz nzur sana
😅😅😅😅😅 Alakin uyu mamkwe anakicha gani kinamsumbua. kashindwa sherti 😂af anataka matatizo nawatu walomzingua kwa safar Yao wamefanya Lamana mana uyo mkongwe Hana aibu
😂😂😂😂😂mganga hoyeee
Pia uku Kuna tapuru tapuru kwisha sisi🤣🤣🤣🤣🤣🙆🙆
Ila gozi mganga huyu umemtoa wapi😂😂😂,duh! Masharti sasa 🙌
Nimeingoja sana hii
Kazi nzuri GOZI mtu wa kazi
Eeeh Mganga Na Net😂😂😂😂😂
Mmh!!!
Mbona kama awamu hii mwajuma mkomavu kavurugwaaa,...kila anacho kiongea yeye mwenyewe hakielewiiii....😂😂😂😂
Nice one keep going Gozii
Mama kasha haribu mashaliti alopea na Muganga
Bingwa🎉
Picha nzuri tatizo inachelewa sana bana
Mganga kazengua hajui kazengua
Great saana brother 💪💪💪💪
Jamani inazidi kunoga🎉
Good job
Mama mkwe leo kayatimba, hadi kwa mganga wa tap tap screen😅😅😅😅😅
Gozi
Good job wapenzi❤❤❤❤❤❤❤
Nimekuwa wa pili kuangalia naomba like zenu
Habari za mwaka mpya nawapenda bure❤❤
😂😂😂😂😂mganga mbona pambe kuliko mwajuma mkomavu😂😂😂😂napenda mganga na mwajuma wanavyoongea 😂😂eti udugu wangu😂🎉🎉🎉❤
Mbona panga la shabaaaaa
🤣🤣🤣mganga jaman umentoa stress 😂😂
Taptap screen haaaa tuma gift jaman mganga kajua kunikosha yuko zake bize na live😂😂😂😂
Surah imeenda kibla hio mama 🎉🎉🎉🎉🎉
Nàomba lozi maudugu hai 😅😅uduguuu
Mana vai unafanya unyama sana
Mganga Genz😂
Tumeanza kivingine ❤❤❤
Love this 💕
Tutafakari sote ujumbe huu wa eno la Mungu bila kujali imani zetu zinatuongozaje Luka 13:7
Akamwambia mtunzaji wa shamba la mizabibu, Tazama, miaka mitatu hii naja nikitafuta matunda juu ya mtini huu, nisipate kitu; uukate, mbona hata nchi unaiharibu?
Luka 13:8
Akajibu akamwambia, Bwana, uuache mwaka huu nao, hata niupalilie, niutilie samadi;
Hivyo ndivyo Mungu na malaika walikua wakijadili juu ya maisha yetu ya mwaka jana na mwaka huu. Ndivyo nasi tulivyofanyiwa na Mungu wetu. Tutafakari vema njia zako. Kwani naamini tumeingia mwaka huu ikiwa ni kwa Neema yake tu. Bado tunahitajika kumzalia matunda kwa kazi , talanta na vipawa alivyotupa. Tuendelee kumtumikia Mungu ili azidi kutubariki.
Jmn gz mv tamu had naon muda mchache🎉🎉
Ila huy mganga 😂😂😂 nmecheka km mweu mbn kam yule mstaalab wa tktk
Nice
Mganga sasa
Uyama mwigi 😊😮😢
😂😂Mm mganga tu❤
Comi g hapa toka bagamoyo
Nawakubali sana
kamdomo mwajuma😂😂
Mganga yuko bz online ..😂😂tap tap screen 😂😂mganga choroooo!!
Safi sana❤❤
Kheri ya mwaka mpya brother from Zanzibar
🎉🎉🎉🎉🎉 Nawakubali
😂😂😂😂😂Mi nampenda mganga Colo tasitabu sklim mganga star akuleteye kuku mwenye periode nini 😂😂😂 nakupenda bure we nikomesha😂😂😂😂😂
Samahani ,gozi unatuchelewesha mpaka tunasahau kama kuna kipindi cha penzi la mama mkwe
Tap tap screeeeeeeen!!. Am gift am gift!!😂😂😂
Wa mia kbs happy new year kwa watazamaj wote
Mganga sasa 😂😂😂
Wapili leo
Mwajuma mkavu kwani bado tu hujapata simu yako mbn bado kiswaswadu
Eti Sura ishaenda kibla😂😂
Tuko pamoja gozi
Mpk nimeona dak zimekuwa chache😂
Mganga anasema tap tap screen 🤣🤣🤣🤣🤣
Hatimae tumepata yakufungulia mwaka niwatakie heri ya mwaka mpya directer goz na Tim yako
Mgangaaa kuongea na sim bana watubowa.iyoo stail ondowa bana unatowa utamuuu