SIDE CHICK (Mchepuko) EP 10 || S01 || LOVESTORY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • #drama #love #bongomovies #sidechick #lovestory

КОМЕНТАРІ • 52

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan Місяць тому +3

    Zuu punguza mambo yaku lialia hakuna Movie unache zaga bilakulia pole sana Mungu akufa nyie wepesi

  • @NuruAndrew-b1e
    @NuruAndrew-b1e Місяць тому

    Mbona my destiny zuu kaigiza vizuri❤❤❤❤❤

  • @franktodory
    @franktodory Місяць тому +3

    namba moja kabisa hapa

  • @zaujikha
    @zaujikha Місяць тому +3

    Sania una mdomo wa kijeurii😂😂😂😂😂😂

  • @ChjksHave
    @ChjksHave Місяць тому +1

    Weeeeee fanya mchenzo nimeidaka 😮😮😮

  • @GivenyantonyAntony
    @GivenyantonyAntony Місяць тому +2

    namm leo nimejitaidi wa kumi na saba naombeni like zen❤❤❤

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu Місяць тому +2

    Kipara mtelezo 😂😂😂

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 Місяць тому +2

    Zuu unataka msaada kwa msababisha matatizo yako😢...sio rafiki huyo

  • @EvethaSimba-i1c
    @EvethaSimba-i1c Місяць тому

    Sania unapenda umbea sasa mmekutana na kicheko,Kipara mtelezo kamjia mwanae kai tulia babaa,Sania ndiyo mshauri wenu wota halafu yy hana ndoa,dada wa kazi maana ww unaswampa sana,

  • @NoorEesa
    @NoorEesa Місяць тому +2

    Watano Leo ❤❤❤

  • @LovenessJamesi
    @LovenessJamesi Місяць тому +1

    Kisania jmn na ako ka mwili kake anapewa sini ya ushaur jmn mnataka mumuuwe sas mdada wawatu atanenepa sangap sas😂

  • @RACHAEL-p9q
    @RACHAEL-p9q Місяць тому +1

    Yaani mnachilia mkitaka😅

  • @djanfarmoulay6865
    @djanfarmoulay6865 Місяць тому

    Nauza mafuwa Kwa bei nafuu 😢😢tena ni Yale makalii 😢😢Ila naitaji mnunuzi mwenye uhakika 😢😢

  • @EstherJames-z1h
    @EstherJames-z1h Місяць тому +2

    Wakwanza frm kenya

  • @LovenessJamesi
    @LovenessJamesi Місяць тому +1

    Kipara mtelezo😂

  • @RebeccaMwamengo-w2w
    @RebeccaMwamengo-w2w Місяць тому

    Zulu acha kulia bana❤❤dada angu

  • @NuruAndrew-b1e
    @NuruAndrew-b1e Місяць тому

    Ila apunguze kulia

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 Місяць тому +2

    ❤❤❤

  • @DzameHamisi
    @DzameHamisi Місяць тому +10

    Sasa kai pesa ya kulipa msichana wa kazi iko wapi na wewe mwenyewe walelewa na cendy alafu zuu acha kujiliza siumu block Chiko yaishe

  • @FelistusKimanzi-f2g
    @FelistusKimanzi-f2g Місяць тому +1

    Nice one

  • @McT-m1m
    @McT-m1m Місяць тому

    Sakina changamka kidogo

  • @ScollaMassu
    @ScollaMassu Місяць тому +1

    Ila sania unajua kushauli na kupanga

  • @VaneGesare-wf7oq
    @VaneGesare-wf7oq Місяць тому +3

    Wakwanza leo nipeeni likes zangu ❤❤❤

  • @AgathaPeter-tz8iq
    @AgathaPeter-tz8iq Місяць тому +1

    Wasita leooo

  • @EmmyYorammy
    @EmmyYorammy Місяць тому

    Zuu kulialia mpaka unaboa

  • @SalmaFataki
    @SalmaFataki Місяць тому

    Munaona.mutaweza kumaliza imovie

  • @BabyWaa
    @BabyWaa Місяць тому

    Hello wapendwa nawapenda wote ❤❤

  • @clariszawadi2010
    @clariszawadi2010 Місяць тому +4

    Nmekuwa wa 30 na sijawai pata like hata moja naomba mnipee hata tano wapenzi wa side chic ❤❤

  • @ErastoMsemwa
    @ErastoMsemwa Місяць тому

    Zupunguz kulia

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Місяць тому

    Lakini inaumiza kuleya mutoto unaejuwa niwako nakumbe sio wako nikiona Kay jinsi anavyo mpenda uyo mutoto siku atajuwa sio wake sijuwi itakuaje😢

  • @TheresiaEliazary
    @TheresiaEliazary Місяць тому

    Zuu mbn kote unalia unatuboa si mashabik zako

  • @MaryamMoosa-g5s
    @MaryamMoosa-g5s Місяць тому

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SaumuRuwa-r7j
    @SaumuRuwa-r7j Місяць тому +1

    Mbn ile ya wandema mumeacha kutoa 😢

    • @JanethLeonard
      @JanethLeonard Місяць тому +1

      Hawa siku hizi huwa hamalizi wanaishia njiani tuu

  • @Official-naynah-tz
    @Official-naynah-tz Місяць тому +4

    Wee zuu tumekuchoka na kulia lia kwako
    House girl unalia huku nako hebu tupunzishe

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe Місяць тому

      Yssni

    • @Asiakihiyo-p5k
      @Asiakihiyo-p5k Місяць тому

      nahajui hata kulia sasa

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe Місяць тому

      @@Asiakihiyo-p5k unajua niliacha Hadi kuangali naona mtu analia tu alafu hatumii akili hata kama ni Sanaa rafiki mnafiki Bado anampa mambo yake 🤔Mimi sifanyagi ujinga huo

    • @MunaMuna-d4b
      @MunaMuna-d4b Місяць тому

      Lakini ndio sini aliopewa na direct ​@@MonicaMkombwe

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs Місяць тому

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LinadaMaria
    @LinadaMaria Місяць тому +1

    Wa kumi na sita jamani naomba like zangu ata 5

  • @ShadiaIdrissa-r2f
    @ShadiaIdrissa-r2f Місяць тому +1

    Jaman nipeni namim likes hata moja

  • @AnastaziaElisha
    @AnastaziaElisha Місяць тому +1

    Yan huyo wa miwan mmbea simpend mm

  • @LilianKagimbo
    @LilianKagimbo Місяць тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @janeburu6538
    @janeburu6538 Місяць тому +1

    ❤❤❤

  • @LithaBrighton
    @LithaBrighton Місяць тому +1

    ❤❤