DUNIA (Ep 36)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 4,8 тис.

  • @zafaranmohammed7272
    @zafaranmohammed7272 16 днів тому +100

    Cathe kaingia kwenye 18,kula chuma hichooo, much love Manyanya ❤ 🎉🎉

  • @EnoCriss
    @EnoCriss 17 днів тому +382

    Wewe unaefuatilia tamthilia hii Mungu akuepushie maadui wote wanaofanana na Cathe. Much love❤🎉

  • @MorryCotton
    @MorryCotton 17 днів тому +454

    Manyanya fanya ufanyavyo itoke kesho nataka kumuona cath anavyo umbuka 😂😂😂 big up sana manyanya

    • @Zarethelovelady
      @Zarethelovelady 16 днів тому +3

      🎉🎉🎉🎉😂😂

    • @mwajuxjr8788
      @mwajuxjr8788 16 днів тому +4

      😂😂😂Tuko pamoja

    • @IvyizaDesta
      @IvyizaDesta 16 днів тому +4

      Duuuh! Uyu mkaka ni genius sana💃💃💃

    • @marymnyazi9471
      @marymnyazi9471 16 днів тому +2

      😂😂😂😂

    • @mariammwinyiali
      @mariammwinyiali 16 днів тому +8

      Cathe umecheza pasipochezwa😂🎉🎉xx wacha kikupate.MALIPO YA UBAYA FEDHEHA😢.
      NEXT EPISODE QUICK manyanya mm naangalia wewe tu KATKA hii tamthilia. Matlda pole I say marafiki hao bana😢 TAMTHILIA PAMBE SANA ILA paka la baa ww NA NDOA YKo😢 MPK MACHOZ HUNITOKA MDADA WA watu anavyoteseka.

  • @Maombimozes
    @Maombimozes 16 днів тому +38

    Manyana ana hakili sana hivi kweli hyu jamaa hana cheo chochote selekalini jaman mungu amubaliki sana bloo hyo aise anafundixha jamii na ndugu na dunia nzima mungu amubaliki kikubwa tujifunze kuixhi na malafikizetu au wanao yuzunguka

    • @EvalyneBenjamin-w7b
      @EvalyneBenjamin-w7b 14 днів тому

      Duhhh nimependaaa manyanya so bright uyu kaka kashtukiaa issue ametumiaaa akilii kumkata catheee
      Waooiih i like it huu mtego ni zaid ya mtego panyaaaaa😅😅😅😅😅😅😅

    • @EvalyneBenjamin-w7b
      @EvalyneBenjamin-w7b 14 днів тому

      Uwe blessed na Mungu sanaaa. Manyanya

    • @DoriceEdward-l6s
      @DoriceEdward-l6s 14 днів тому

      Manyanya mbona hii shat unaipenda sana

  • @ugenny125
    @ugenny125 17 днів тому +778

    Kama mnaamini huu mwaka mungu anaanza na sisi na nimwaka wa mafanikio weka like hapa kwa imani

    • @SidiMariam-ph7cc
      @SidiMariam-ph7cc 17 днів тому

      Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen

    • @IsakaKiyalo-s3v
      @IsakaKiyalo-s3v 16 днів тому

      😢Amina

    • @GladysKarembo
      @GladysKarembo 16 днів тому

      Amiin Yarab 🙏

    • @Asma-comedian6
      @Asma-comedian6 16 днів тому

      Naomba mnifollow wapendwa 🙏

    • @MarryAblaham
      @MarryAblaham 16 днів тому

      Ug boy

  • @JamesJuma-c4b
    @JamesJuma-c4b 16 днів тому +134

    Kuna wanawake wengi sana kama sindi na mm ni shuhuda wa hili ee Mungu watetee kina mama wote 🙏🙏🙏

  • @sakina5550
    @sakina5550 17 днів тому +183

    Nani kalia na sindi leo😢😢 mwanamke mvumilivu sana

    • @LovenessMwakatobe
      @LovenessMwakatobe 16 днів тому

      Daaaaaah

    • @Maryamhassan-kq9ql
      @Maryamhassan-kq9ql 16 днів тому

      😢😢😢😢 mwanamke akifka apa kwisha abari yko

    • @EstherJoseph-jy1os
      @EstherJoseph-jy1os 16 днів тому

      Yan wakiachana na mlevi wake nitafurahii

    • @FurahaHaule
      @FurahaHaule 16 днів тому

      Anamoyooo sanaaa daaaa

    • @DonJoselyne
      @DonJoselyne 15 днів тому +2

      yani mimi kalia sana kuona sindi mwanamke mvumilivu katoa cozi lake imeniuma sana ila kilico nifurahisha nikuona sindi kaamua kuacana namlevi wake jamani tunakubaliana na maamuzi ya sindi tujuane jamani

  • @MolvetyAugustinoh
    @MolvetyAugustinoh 16 днів тому +32

    Sijawah fuatilia bongo muvi Kama nilivo fuatilia muvi ii congrat maecter wotee❤❤❤

  • @RizyoneSteven-e8b
    @RizyoneSteven-e8b 17 днів тому +689

    Toka nianze kufatilia hii muvie sijawah kupata like jamn 😢😢🎉🎉

  • @Mwanabina
    @Mwanabina 17 днів тому +176

    Ila sindi mwanamke na nusu apewe maua yake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 anaweza

  • @Noéslave
    @Noéslave 16 днів тому +187

    Yeyote ataona iyo message mungu amzidishie siku zakuishi na uyu mwaka maisha yake ya badirike🙏🙏

  • @jumakasomelo3901
    @jumakasomelo3901 16 днів тому +20

    Church boy!! Mtumishi wa mungu pole kwa jaribu Hilo, siku zote kuufikia ufalme wa mbingu Hadi ujaribiwe.

    • @rayianny
      @rayianny День тому +1

      Hahaha 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Fabricebilali
    @Fabricebilali 16 днів тому +108

    Manyanya nakupenda sana unajuwa igiza uyo mchawi Sana ataumbuka tu

  • @AmaniRashidi-i9b
    @AmaniRashidi-i9b 17 днів тому +154

    Haya wa Kwanza kutoka mbali Sana south African nipeni like hata siku moja sijapata😂

  • @LightnessSilvester
    @LightnessSilvester 16 днів тому +133

    Yani mi hii movie Toka imeanza Huwa nafatilia ila mbka saiv sina like ata moja jman na Mimi naombeni likes zenu bas❤❤❤❤❤

  • @DeboraLihako-m8h
    @DeboraLihako-m8h 15 днів тому +15

    Ila na aman Leo umenifurahisha Sana ety kemea Pepo🤣🤣👍👍mweeee nimechemka kwa sauti, sasa kunazidi kuchangamka

  • @Haji-yr9db
    @Haji-yr9db 17 днів тому +178

    Hii muvi inatufundisha mengi sana ila tusisahau kumuomba mungu atuepushe na mabalaa ndan ya mwaka huu 😢😢😢 tusisahau kuomba ndugu zangu

  • @khadijahomary1755
    @khadijahomary1755 16 днів тому +115

    Kunywa 😂😂 Dunia hyo ndo Dunia usimuamin mtu kamwe, inafundisha sana jmn, Hongeren mmeweza🔥🔥🔥isichelewe jmn maani🔥🔥🔥

  • @manyanya-01
    @manyanya-01 16 днів тому +213

    Kesho naumbua kila kitu😅

  • @JaneAmily
    @JaneAmily 16 днів тому +31

    Hahaahaahahahhhhaaha et kemea hilo pepo ila aman dhambi gani kumkumbatia mtu 😂😂😂😂😂

    • @UpendoMbwambo-j5s
      @UpendoMbwambo-j5s 14 днів тому

      Yaaani jaman nimecheka 😂😂😂😂huyu mtumishi ....vile alivyonyoosha ule mkono

  • @razesdragon
    @razesdragon 16 днів тому +123

    Tunaocheka wakati Amani akiogopa wanawake tujuane kwenye like 🇨🇩🇨🇩🇨🇩😂😂😂

  • @johnluganga5701
    @johnluganga5701 16 днів тому +39

    Wow! Cathe sasa naye amepatikana, haihitaji nguvu kubwa
    Nimependa sana aise
    God bless you guys

  • @ElianneIrambona-n8z
    @ElianneIrambona-n8z 16 днів тому +88

    Waoooo manyanya nimependa safi sana kumbe unampenda sana mati ongela wenye upendo kama.wako niwachache sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @ARONPaul-bz3ws
      @ARONPaul-bz3ws 16 днів тому +1

      Ilq.manyqnya leooo kanichekeshqqqa kweliii yqni

  • @DeboraLihako-m8h
    @DeboraLihako-m8h 15 днів тому +5

    Eeeh we mungu hiyo dawa imdhuru hiyo mchawi mwanamke mwenye roho mbaya, ila matrida apone jaman mwee hakika manyanya unajua Sana kumtambua mtu kiukweli uko vizuri sana jaman mat wetu apone Ili muendelee kuenjoy zaidi ❤❤❤ nawapenda Sana mat na manyanya

  • @Matt-s4e4g
    @Matt-s4e4g 17 днів тому +227

    Ni uzuni sana ila tujifunze Zaid kuna watu weng mjafollow baba asm naomba kama hujafanya vile mfollow ❤❤

    • @Cathymanyanya
      @Cathymanyanya 17 днів тому +3

      ❤❤❤

    • @HappnessMiribo-jw8pb
      @HappnessMiribo-jw8pb 17 днів тому +3

      Matiunanikosh sana kipeniz yani mnaendana san namanyany

    • @OsianaElnest
      @OsianaElnest 17 днів тому +3

      We Matilda damu inayotoka siku zote hizo unaitoa wapi😁😁

    • @Mkama-M
      @Mkama-M 17 днів тому +2

      Mmefanya cha maana kuketa EP ya 36

    • @ZainabuMathias-x6p
      @ZainabuMathias-x6p 17 днів тому +2

      Sawa kipenzi 🎉🎉🎉

  • @JescaMapunda
    @JescaMapunda 17 днів тому +411

    Inaonekana ukisema tuu sijawahi kupata likes watu wanalike comment yako 😊 haya na mm likes kidg😂

    • @Michellarnkubitu
      @Michellarnkubitu 16 днів тому +2

      @@JescaMapunda hamna baby....😅😅😅😅😅kweli nimefurahio mno hiyo part.....

    • @philetundo
      @philetundo 16 днів тому +1

      😂😂😂 umepata

    • @MosesNiyonzima-f4g
      @MosesNiyonzima-f4g 16 днів тому +2

      Hahahaa umenichekesha sa😢

    • @Rebeccaclaud
      @Rebeccaclaud 16 днів тому +2

      @@Michellarnkubitu Duh na umezpata ksawa sawa

    • @mickyblenda4283
      @mickyblenda4283 16 днів тому +1

      ,,🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @docmedia94
    @docmedia94 17 днів тому +68

    Manyanya, kenya tunakupendaaaa. Kazi nzuri hii🎉

    • @Asma-comedian6
      @Asma-comedian6 17 днів тому +4

      Asante🙏 naomba unifollow piah

    • @RosebalindaKB
      @RosebalindaKB 17 днів тому

      🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @IRATUZIAimable
      @IRATUZIAimable 16 днів тому +1

      ​@@Asma-comedian6 hata na Burundi tunakupenda sana mno Manyanya wetu

    • @NduwimanavovobiVovobi
      @NduwimanavovobiVovobi 16 днів тому

      Asante manyanya😂😂😂😂😂😂😂 nimependa😂😂😂

    • @AgnesMINANI
      @AgnesMINANI 15 днів тому +1

      ❤❤❤

  • @Alistide
    @Alistide 15 днів тому +4

    Kazi nzuri saaaaana hongereni wote mlioshiriki kutengeza hii kazi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @TedyAbela
    @TedyAbela 17 днів тому +47

    Mudi shikamoo 😂😂😂😂eti mkewangu ulivokuwa faita najua hizi siku mbili utapata hela yakodi😂😂😂
    Mbuzi kweli huyu🙌

  • @Shybabe1990-pd5yx
    @Shybabe1990-pd5yx 16 днів тому +57

    Nimeipenda hio manyanya yakumwambia kathe akunywe umetumia Akili Sana 🎉🎉😂😂😂

  • @JumaShadrack-q5k
    @JumaShadrack-q5k 17 днів тому +61

    Jamani tunajua mnapitia changamoto nyingi katika kutu tayalishia furaha mashabiki zenu ila msichelewe sanaa tunawapenda❤❤

  • @AlekwaMpenzu
    @AlekwaMpenzu 15 днів тому +7

    Church boe anazngua 😄😄🤣dhambi dhambiii

  • @ChristianRugenge
    @ChristianRugenge 17 днів тому +37

    Iyi movie ni moto sana kabisa nime angaliya mara mbili mbili congratulations manyanya kwa kazi nzuri wewe una niku kumbusha kanumba salute

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 17 днів тому +52

    Manyanya mashallah nimekupenda Bure huyo mwanamke ni mchawi anywe nae 😢😢😢😢😢😏😏😏 wivu kwa penzi lenu kama vile ajui moyo unafwata ukipendacho ❤️

    • @Asma-comedian6
      @Asma-comedian6 17 днів тому +6

      Asante naomba unifollow piah

    • @nyamiziramadhani4232
      @nyamiziramadhani4232 17 днів тому +1

      hawez kunywaa catheee😂😂

    • @AnethMgisha
      @AnethMgisha 17 днів тому +1

      Yaan mwisho wa mnafiki ni aibu natamani Cathe adhalilike

    • @kitomarijames3507
      @kitomarijames3507 17 днів тому

      Acount yako ni ipi​@@Asma-comedian6

    • @MwanashaSuleimanTabwara
      @MwanashaSuleimanTabwara 17 днів тому +2

      We matty zoba kweli mara ya mwanzo ulipewa juice ukaanza hayo matatizo tena umeletewa dawa unakunywa hivi we unaakili kweli ngoja ufe ukijiona

  • @BrightoneAyubu
    @BrightoneAyubu 16 днів тому +42

    the best favoriet episode MANYANYA HUYU MTU MWINGINE KABSA YANI KWENYE HII DUNIA BEST ACTOR🔥🔥🔥🔥

  • @FrancineKasigwa
    @FrancineKasigwa 11 днів тому +1

    Sindy kweli usha vumiliya uyo siyo mwanaume at all 😢😢 love from Australia ❤

  • @magicbrain905
    @magicbrain905 16 днів тому +23

    Dah aisee Noma Sana Kaka. Umenikosha Sana wiki hii we Manyanya bin makitunguu. Ila mnachelewa Sana hafu vipande vifupi Sana bwana

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 16 днів тому +29

    Nakubali sana saiv hamcheleweshi kazi yetu pendwa❤🎉

  • @SolutionsSammy
    @SolutionsSammy 17 днів тому +235

    Jamani mimi Léo wa kwanza kutoka apa Congo nakubali sana iyi movie ❤ tusapoti sana kazi mzuri ya manyanya na usisahau kunipa ata like moja mimi apa 🎉🎉🎉🎉🎉😂😮😮😮

  • @qatarabcde8228
    @qatarabcde8228 15 днів тому +4

    Manyanya chukua maua yako 🎉🎉Catheee kimekuramba leo....alafu wachepuka fresh bro una care mpaka nihatarii❤❤

  • @MoviesZakwetu
    @MoviesZakwetu 17 днів тому +30

    Yan kama zari Ile kuingia TU UA-cam Dunia nayo hiyo, Yan sijui niseme nn❤❤❤ nakupenda sana Kase respect brother manyanya na wote kwaujumla. Haya like ziwe nyingi

  • @RabiaSaid-sh1km
    @RabiaSaid-sh1km 17 днів тому +69

    Hatuna budi zaid y kusema alhamdulillah sio rahis ila kwa uwezo wa Allah hakuna uzito kwa kwake niwatakie ijumaa kareem❤❤❤

    • @HadijaOman
      @HadijaOman 17 днів тому

      Amini na kwako pia kpz

  • @clement4332
    @clement4332 17 днів тому +19

    Next episode muwahishee
    Series nzuri sana inaelimisha na kuburudishaaa keep it on🔥🔥🔥🔥

  • @ALPHONCEFELESIANO
    @ALPHONCEFELESIANO 15 днів тому +4

    ❤❤❤❤ongeleni sana na tunawafuatilia ila awaimbeni kitu ❤❤❤❤msiwe mnacherewa ❤❤❤❤kutoa mwenderezo

  • @AshaMalekela-o7t
    @AshaMalekela-o7t 17 днів тому +108

    Jamn kam kun aliofulaisha na manyany tujuan jamn maua yak 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @Lidya-e1i
    @Lidya-e1i 17 днів тому +23

    🎉🎉🎉❤❤❤wooiiii pongezi kW manyanya ,kwa kweli manyanya anampenda matilda kW shida na raha,Leo umemweza Cathe

  • @barakafesto6372
    @barakafesto6372 17 днів тому +26

    ❤❤❤ manyanya asee nimekubali kaka duuh good bless brooo

  • @bennys4484
    @bennys4484 15 днів тому +1

    Dar mama we ninyokoooo nakimekupenda Sana kaka🤝🤝🙏 Ila ombi Ni1 ongezen kidogo dakika🙏🙏🙏

  • @AminaKhalfani-ib7sh
    @AminaKhalfani-ib7sh 17 днів тому +153

    Wangap wanasapoti waongeze dakika jaman😢😢 aki wanataman Kathe yamkute mazito tujuwane Kwa like🥰🥰🥰

    • @beliahmmboga8812
      @beliahmmboga8812 17 днів тому +1

      @@AminaKhalfani-ib7sh Mimi NAMI ninataka aumbuke vibaya

    • @beliahmmboga8812
      @beliahmmboga8812 17 днів тому +1

      @@AminaKhalfani-ib7sh anamtesa yule Mtoto wa kike kisa na maana yeye ni mrembo zaidi😏😏

    • @AshaJuma-dz6hq
      @AshaJuma-dz6hq 16 днів тому +2

      Mpk hapo yashamkuta maana akimaliza kunywa hyo dawa kikombe kizima akitoka hapo ni mwendo wa kuvuja na kunuka km mwenzie😂😂😂😂manyanya Amejua kumkomesha

    • @beliahmmboga8812
      @beliahmmboga8812 16 днів тому +2

      @AshaJuma-dz6hq Manyanya ni kiboko chake cathe😂alivyokuwa akimwambia ongeza ungedhani ni ya mgonjwa Matty kumbe ilikuwa ya daktari wa Matty 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @MwanaishaMine-g5g
      @MwanaishaMine-g5g 16 днів тому

      @@beliahmmboga8812 nimependa manyanya alivofanya

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media 17 днів тому +37

    Leo nipo kuomba LIKE tu... Maana huu mwaka umeanza kuchangamkaa 🎉🎉🎉
    BIG UP KWA WOTE TUNAOZID KUTOA SUPPORT ❤❤

  • @HawaBedui
    @HawaBedui 17 днів тому +24

    Watu oyoooo cathe Leo kimemramba 😁😁😁😁mpka useme kaka manyanya Kaz nzur san

  • @LessaEzekiel-v7s
    @LessaEzekiel-v7s 15 днів тому +1

    Aisee manyanya umenifurahisha saaana big up to you broo💪

  • @Privadee
    @Privadee 16 днів тому +42

    Ilaaa church boi 😂😂 eet kukumbatiwa ni dhambi 😅😅😅😅😅😅😅 Jamn

  • @JumaNihuka-k3h
    @JumaNihuka-k3h 17 днів тому +21

    Wew mud iv unaitazama hii muv?du! Nakubar san🎉🎉🎉🎉

  • @AyubuKamendu-r7l
    @AyubuKamendu-r7l 17 днів тому +24

    Hatimaye sindi kafikia mwisho wa kiwango chake cha uvumilivu, pole sana paka la bar unaweza kumpoteza mke mwema sana kwako😢😢😢

  • @MuntazySaidy
    @MuntazySaidy 15 днів тому +1

    Daaaaah 🎉🎉🎉🎉 Ila Hiyo kipand kinachokuj nikizur San cjui kitatumwa Lin humu Yan nakitaman Mnooooooo nipo tiyal kukop Bando hat la 5000 Ilimladi niangalie😊😊😊

  • @ClintonAbeli
    @ClintonAbeli 16 днів тому +57

    Wanaootamanii sindii na amanii wawe na mahusianoo

    • @LyidiaRupia
      @LyidiaRupia 16 днів тому

      Mm apa

    • @felicianiedward
      @felicianiedward 16 днів тому +1

      Arudi kwa mume wake... hakuna kurudi nyuma. Hivi mfano we ndo Mudi uachwe ungejisikiaje?

    • @Nffh-r4u
      @Nffh-r4u 15 днів тому

      𝐴𝑠𝑘𝑖𝑒 𝑣𝑏𝑎𝑦𝑎 𝑛𝑎 ℎ𝑢𝑘𝑜𝑜 𝑠𝑎𝑠𝑎 𝑎𝑛𝑎 𝑣𝑖𝑔𝑒𝑧𝑜 𝑔𝑎𝑛𝑖 𝑣𝑦𝑎 𝑘𝑢𝑖𝑡𝑤𝑎 𝑚𝑢𝑚𝑒 ..𝑘𝑖𝑙𝑎 𝑠𝑖𝑘𝑢 𝑚𝑡𝑜𝑡𝑜 𝑤𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑢 𝑎𝑡𝑒𝑠𝑒𝑘𝑎 𝑘𝑖𝑠𝑎 𝑦𝑒𝑦𝑒 .𝑘𝑖𝑙𝑎 𝑘𝑢𝑘𝑖𝑐ℎ𝑎 ℎ𝑎𝑖𝑠ℎ𝑖 𝑚𝑎𝑔𝑒𝑛𝑖 ..ℎ𝑖𝑖 𝑎𝑗𝑖𝑘𝑢𝑛𝑦𝑖𝑒𝑒 ....𝑘𝑖𝑙𝑎 𝑠𝑖𝑘𝑢 𝑎𝑖𝑠ℎ𝑖𝑖 𝑎𝑎𝑎ℎ 𝑎𝑡𝑎 𝑚𝑏𝑤𝑎𝑎 ℎ𝑢𝑐ℎ𝑜𝑘𝑎𝑎​@@felicianiedward

  • @Michellarnkubitu
    @Michellarnkubitu 17 днів тому +84

    Watu wanasema kutoka waanze kufuatilia hii series hawajawahi kupata likes😂😂😂na mimi sijawahi kufurahia kama leo...daaah...casy kimemrambaaaa😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @AyubuMapesa-e8t
    @AyubuMapesa-e8t 16 днів тому +15

    💯 unajua sana brodher sana sana very nice mungu kakubalikii yeas..💥💥💯

  • @robertphilibert9425
    @robertphilibert9425 16 днів тому +2

    Hongera mzee wa "KITAALAMU", Manyanya pamoja na timu yote, Mungu awatunze! Mnafariji, mnaelimisha na kuburudisha❤.

  • @JoyceJulius-r6g
    @JoyceJulius-r6g 17 днів тому +23

    Dah ila hii muvi jaman ikiisha naumia mm jaman jaman jaman mbona muvi nzuri sana hiii jaman maua yenu chukueni 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Ivanmansoor-ul6nl
    @Ivanmansoor-ul6nl 16 днів тому +11

    Nmebarikiwa sana ma mamemo ya aman mm n mmoja kati ya mtu nnae pitia magumu mpa nkahis watu wananroga lakn kumtuainia mungu n jambo la kwanza

  • @AloyceMasalu
    @AloyceMasalu 17 днів тому +21

    Waliofurahishwa na manyanya tujuaneee gonga like 😂😂❤🎉🎉

  • @tototundu8159
    @tototundu8159 16 днів тому +4

    Mke wa muddy umenifunza kitu kikubwa sana mugu akubaliki sana niko Burundi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Martha-u7w
    @Martha-u7w 17 днів тому +72

    Jaman naomben like ata tanooo tuuu mbn mm sjawah pata tuanze mwaka good

  • @WangSoo-t6i
    @WangSoo-t6i 17 днів тому +24

    Hii movie inaelimisha sanaaaa zaid ya shule 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥

  • @sultanrichardson5487
    @sultanrichardson5487 17 днів тому +1443

    Tunaotamani hii sumu ya sahivi isiwe na madhara Kwa Matti ili cathe adhalilike, tujuane Kwa like hapa 👍

    • @MonicaJerald-z7l
      @MonicaJerald-z7l 17 днів тому +19

      Amani amani amani

    • @paulos4672
      @paulos4672 17 днів тому +16

      Lkn mbona kasee umtese mwenzio 😢au basi

    • @Michellarnkubitu
      @Michellarnkubitu 17 днів тому +11

      @@sultanrichardson5487 ashadhalilika tayari😅😅😅😅nimependa

    • @JohnCamon2
      @JohnCamon2 17 днів тому +16

      Iwe masharti ya mganga haikubali haweke dawa matty akiwa anaona

    • @MwatumuAthumani
      @MwatumuAthumani 17 днів тому +6

      Atuke nadamu zakuoza kabisa😂😂😂😂 mh maigizo❤​@@JohnCamon2

  • @ErnestiMarawiti
    @ErnestiMarawiti 16 днів тому +6

    Nakukubali sana sindi ❤ 🎉🎉

  • @NeriaRabson
    @NeriaRabson 17 днів тому +21

    Kaaah dakika Moja watu washacoment Maelfu hi ndo dunia bhna

  • @LenovaMbonihankuye
    @LenovaMbonihankuye 17 днів тому +23

    Manyanya nakupenda san unaakili mno❤❤❤😅😅

  • @Asma-comedian6
    @Asma-comedian6 17 днів тому +32

    Wangapi wamefurahia cathey kunjwa Ile dawa ambayo Matilda aliwekewa na cathe mwazo? Naomba mnifollow wapendwa wangu 🙏? Anae kuthamini na kukujali uwa anatoka mbali na sio karibu yako

    • @estherobed8693
      @estherobed8693 17 днів тому +2

      Msicheleweshe sana please manyanya

    • @RahelMhezi-f9o
      @RahelMhezi-f9o 17 днів тому +2

      Uko vzr kaka Manyanya pokea🎉🎉🎉🎉 move zako zinafundisha sana

    • @Asma-comedian6
      @Asma-comedian6 17 днів тому +1

      @@RahelMhezi-f9o Asante ila usisaau Kuni follow 🤗♥️

    • @Asma-comedian6
      @Asma-comedian6 17 днів тому +1

      @@estherobed8693 tutajitaidi kuwai ila nichangamoto TU za hapa na pale ndo zinapelekea tukachelewa

    • @Asma-comedian6
      @Asma-comedian6 17 днів тому +4

      @@RahelMhezi-f9o 🙏🙏

  • @lipungetv
    @lipungetv 13 днів тому +1

    Jamani mwenzenu kwanza niwapongeze hawa waigizaji woote kwenye hii movie. Ila naomba kujua msanii aliyeimba huu wimbo maana ninaupenda sana huu wimbo

  • @kevintraore3564
    @kevintraore3564 16 днів тому +13

    Manyanya ni mtu alipewa maarifa na mwenyezi mungu. Matilda shukuru kwa kupata mume mwenye anajali Afya yako, mahitaji yako na hata thamani yako. Hongera manyanya

  • @teddysananga
    @teddysananga 16 днів тому +28

    Church boy bhnaa, 😂😂 et kukumbatiwa dhambi

    • @MELVINBBY
      @MELVINBBY 16 днів тому +2

      Weee achana na huyo church boy maana matlida ndio anamjua si unakumbuka hpo nyuma matlida alimbaka church boy.😂 sasa church boy anapenda kubakwa😂😂😂😂

    • @teddysananga
      @teddysananga 16 днів тому +1

      @MELVINBBY 😂😂😂

    • @pur-ple-girll-304
      @pur-ple-girll-304 16 днів тому

      😂😂😂😂😂 kwel umenikumbusha mbali​@@MELVINBBY

  • @Keddyz254
    @Keddyz254 17 днів тому +29

    Hivi huyu muimbaji ninani si munipe jina lake😢😢😢nyimbo tamu sana bana toka episode 1 hamsemi😢😢😢

    • @Gloriazawad
      @Gloriazawad 17 днів тому +1

      Achana naye ni my wangu 😂😅😂😅😅😂

    • @SwaumuJuma-b1n
      @SwaumuJuma-b1n 17 днів тому +1

      ​@@Gloriazawadsio wako ni wangu 😅😅😅😅

    • @AnnaMichael-o5y
      @AnnaMichael-o5y 17 днів тому

      Umeona ee

    • @Gloriazawad
      @Gloriazawad 17 днів тому

      @@SwaumuJuma-b1n 😁🤣🤣🤣😁 olewako akupee number uchukue na funga safar ya sumba wanga kwasababu yenu tu 😔🤣🤣🤣😂🤣

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 17 днів тому +1

      Church boy 😂😂😂😂😂bwana 😂😂

  • @buguhi3
    @buguhi3 15 днів тому +2

    Duuh Iseeee MUNGU msaidie Matridaa. 📿📿📿🙏 Maan Bado hajamjua mbaya wake.. duuh ila Catherine aya bn.. GOD anakuona.. sema nin.. Mnatupa kazi nzur sanaaaa aisee MUNGU awabariki sanaaaa.. tuna support Kaz yen ifike mbali Zaid ya hapo ilipo... Happy New year familia 💪 with a lot of joy for US

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 17 днів тому +40

    Amani + Cindy = ❤ nani ananiunga mkono! 😂

  • @lailandambile3706
    @lailandambile3706 16 днів тому +32

    Sema amani sitaki nataka tu 😂😂😂😊

  • @JosephBidii-k6i
    @JosephBidii-k6i 17 днів тому +43

    Swali kwa mood jaman... unatuigizia kua unataka mke bora ama hii movie ww haya ndo maisha yako???? Maana unampa shida sana cindi

  • @kharashbabar7393
    @kharashbabar7393 11 днів тому +1

    Kwanamna yakiotomatiki...kiasili kwanamna ya mwanamke alivyo...hapo ndipo ibilisi anapopita katika mishipa yamwanamke nakua mwepesi kutoeka ktk ndoa yake..Mudi unaharibu ndoa yko....na Mrs manyonga umeharibu....ila hili sioigizo nifunzo kwetu sote...

  • @SevidaEmmanuel
    @SevidaEmmanuel 17 днів тому +47

    Njia ya Manyanya n nzr , saf huyo ndo mwana sheria sasa wa Dunia

  • @shadyarif653
    @shadyarif653 17 днів тому +14

    Kenya hapa shady nipeeni Maua yangu mnaofatilia hii tamthlia toka kenya na east africs yote🎉

  • @FrankKato-ky8sr
    @FrankKato-ky8sr 16 днів тому +24

    Umetisha sana kaka manyanya

  • @lydiahmocheche
    @lydiahmocheche 16 днів тому +3

    Mati rafiki yako mbaya ila leo kapatikana,,manyanya hongera sana👏👏💓💓

  • @Albatishabani
    @Albatishabani 17 днів тому +13

    Ila manyanya ni professa kwa kweli 🎉🎉🎉 namipa mauwa yenu, ebu naitaji like ya maty na kanji.

  • @styvesumaili7244
    @styvesumaili7244 17 днів тому +15

    🎉🎉🎉Mimi leo nimeisubiri Dunia, hapa na hapa kuingiya on ila mumeniwayi kwa kweli 😊😊😊😊

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 17 днів тому +17

    Manyanya umenifurahisha sana❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Donny40-u3l
    @Donny40-u3l 15 днів тому +2

    Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    Ila ningempata mwanamke Kama #sindi jaman daaaah! D kubwa anazingua

  • @AshfainaSaid-g4h
    @AshfainaSaid-g4h 17 днів тому +48

    nimekuwa wa kwanz leo jaman ata laik moj tu

  • @KalistaMjegele
    @KalistaMjegele 16 днів тому +7

    Eee mungu uliyeumba mbingu na ardhi upo wapi ee mungu Linda kipaji cha MANYANYA awe juu siku zote

  • @Amani_felix
    @Amani_felix 16 днів тому +13

    Huyu kase akitandikwa vizuri atasema alikorithi hiyo roho mbaya kama kichwa cha mudy😅😅

  • @ombenilmwandilava554
    @ombenilmwandilava554 16 днів тому +4

    Mngekuwa mnatuwekea yajayo jaman big up sana mpewe maua yenu

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 17 днів тому +11

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team manyanya and violet kase manyanya kakonyoosha

  • @markovuruga86
    @markovuruga86 17 днів тому +29

    Kazi nzuri..... Ila siku mtuonyeshe na anapokaa cathe

  • @Robertmzee-j6w
    @Robertmzee-j6w 16 днів тому +15

    Okopa ww mwanamke akalie Kwa mwanaume mwengine kwaajili yako 😂😂

  • @JamesBushu
    @JamesBushu 15 днів тому +2

    Mwanasheria manyanya yuko vizuri,cathe amejichanganya!ila muddy abadilike anaelekea kumpoteza sindi 🎉

  • @GamitoPatricioEdmarques-sp1uy
    @GamitoPatricioEdmarques-sp1uy 17 днів тому +13

    Good sana tipo pamoja adi mwisho 🎉 from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @RebyMarky
    @RebyMarky 17 днів тому +22

    Amani amani kwa mat ulikataaa ivoivoo hahahah😂

  • @ShamsaKalim-tv4jm
    @ShamsaKalim-tv4jm 17 днів тому +22

    Amani nikumbatie 😂😂🤣 mbona kumbato?😀

    • @Gloriazawad
      @Gloriazawad 17 днів тому +1

      😂😅😂amani anaogopa kubakwa tena😅😂😅

    • @viviankemunto4435
      @viviankemunto4435 16 днів тому

      ​@@Gloriazawad🤣🤣🤣

  • @helenamemba2699
    @helenamemba2699 16 днів тому +9

    Ila uyu mtimishi nae sitaki nataka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣