Mama ake clam kwenye hii series character ya uchawi anaipatia sana mpaka pia yule mzee na kivuli chake. Hao watu wawili wanafanya series inakua realistic kwenye scene zao
Aisee hiii ni muvi kali sana clam vevo uko very bright una upepo mkali san hakuna wa kukuangusha.....next episode like & comment kwa utamu huu zitakuwa mara mbili yake..... Chochote ukifanyacho clam na kim ni kitamu sana alafu hii sio my daughter tena imekuwa super, super, super series than all
@@HusseinMohammed-s3j 😆😆mi sister sio braza😆hata mume wang akileta sjui vichekesho vake wala hua sishoboki hata kidogo naona anapga tu kelele bora nkamwangalie punga sese 😆
Nawapenda sana Mimi naitwa Manyanya Niko katika Tamthilia ya Dunia nawapenda sana wapendwa 🙏 naomba mnifollow kwa upendo wenu
Tumengoja dunia kwa hamu.
Manyanya Naomba namba yako tafadali mm natokea Kenya
Mnyoshee cath
Nakukubali kaka wa akil mingi, natamani kuigiza nami kaka nipe saport
Manyanya mapenzi 😂😂❤
Kama unamkubal clam gonga like apaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
Clam sisi wa congo tunafatilia sana kaz zako kusema kwei unajuwa aubatish.you are the best.
Mama ake clam kwenye hii series character ya uchawi anaipatia sana mpaka pia yule mzee na kivuli chake. Hao watu wawili wanafanya series inakua realistic kwenye scene zao
Nimekuwa wakwanza leo from USA 🇺🇸 nipe like kama umemaliza mwaka Salam na Familia yako
Tunamshkuru mungu
Tuko safi kabisa
Alihamdulilah
Namm naomben mnifollow
🙏
Wa kwanza leo sijawahi kuwa wa kwanza naomba like hata kidogo
Leo birthday yangu, naombeni like 100 tu jaman
Happy birthday 🎂
Happy birthday to u ♥️🙏
🎉
Sio yeye
Ishi sana bro
Leo Niko wakwanza kutokeya congo 🇨🇩🇨🇩 naombeni liké zenu jamani kama munamukubali Clam vevo
Nimehisubili sana toka jana ,na leo nimeamuka asubui na mapema sasa ivi ndo napaka chakula cha asubui vizuri.nakukubali sana #Clam #Mozambique🎉🎉🎉
Leo nimekuwa wa 213 😂😂😂😂 yn nimejiona nimewahi niko oman nachezea wifi ya mwarabu 😂😂
Tuonane
@chikwakwaahamadi9763 sohar nipo wewe je
Leo wa kwanz mm bx yanga anashinda leo wale wa yanga leo tunaxhindaa
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO 💚💛💚💛💚💛
💚💚💚💛💛💛👍👍👍
Chama la milele🏷
❤❤❤
Mnashinda njaa
Hawa wazee mbona wananichanganya😂😂😂😂😂
Iangalie kwa makini utaielewa, Yani toka mwanzo had ilipofikia
leo nimekua number 1😅😅🎉
Follow me
Clam agaliya muvi kwaza jo ukuye tu leteya
Hichi Kijiji uchawi tuh kuswali aaaah 😂😂😂
😂😂😂
😂
😂😂😂😂😂 nimecheka
Iyi kali kweli brother wangu clam Vevo ❤️❤️❤️❤️👉👉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩✌️✌️✌️✌️🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Leo nmewah Kaz nzur Ila dakika n chache sana jmn tuongezee ata dakika 5 zaid
Wanawake 🤣🤣😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 hadi movie mnataka muda uongezwe nilihisi ni kitandani tuu 😅😅😅
VEVO UMENIOSHA KOO KWA SHAMPOO NAWAPENDA WOTE ❤❤❤
Nime kuwa wa kwanza kuona😂😂munipe liké
Baba zoo kutoka dodoma tz, naombeni like zangu
Dah wanafika kwa mpingo sana anyway likes ziko wapi washikaji
Manyanya the boss boy
Move kali sana hii, sema clam unachelewa kutupaaa Rahaaaaaaaaaaa
Unataka akupe raha 😂😂😂😂😂
Kwa niaba ya 254 ,mchezo tunaikubali kwa ukubwa sana, big up team vevo,
To editor big up kwa kazi safi#LUCHO
Nimekuwa kwanza jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤😂😢😢😢😢😂😂😂❤❤❤
Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 wa kwanza weka likes hapa
Clam napenda sana kazi zako❤🎉
Wakwanza mm kutoka 🇨🇩 tukutane apa wa congo 🇨🇩 wezangu kkkkkie happy new year 2025
Happy New year 2025 mimi pia niko Congo 🇨🇩 Bukavu
@Blacksontigre25 fresh
Tupo hapa🇨🇩🇨🇩
Tupo apa
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team vevo
Move ni 🔥🔥snaa sema unatuchelewesha snaa broo
Wanasema mambo mazuri hayataki haraka😂😂😂
Wakwanza kutoka Uganda 🇺🇬 kazi nzuri doggo Clam ❤❤
Wa kwanza leo mimi 🎉🎉🎉 Vevo family
Aisee hiii ni muvi kali sana clam vevo uko very bright una upepo mkali san hakuna wa kukuangusha.....next episode like & comment kwa utamu huu zitakuwa mara mbili yake.....
Chochote ukifanyacho clam na kim ni kitamu sana alafu hii sio my daughter tena imekuwa super, super, super series than all
Dah mzigo Atari sana huuu
Eee mlala hoi Kim huki hepa mara ya tatu
Kanyaga mguu mpaka mjini
Bila kwongea na mtu yeyote kwa njia
Salimia wote
Nawapenda wote from 🇰🇪🙏
Wakwaza Leo gonga like apah
Kazi nzuri sana Mr. Clam vevo🇹🇿
Wa kwanza leo from oman 🇴🇲🇴🇲 hapa 🌹🌹
Nimekua wa kati😂😂 sipo mwanzo wala mwisho aya nipeni like sijui zina kazi gani na me leo zamu yabgu😅😊❤❤❤🎉🎉
Kazi nzuri masha allah ndio mara yakwanza naiangalia hii movie ila nimeipend wale mashabiki wa mkojani waliohamia huku km mimi tujuane kwa like
Sjawai mwelewa mkojan sjui kwa nn
Kweli unachokisema brother
@@HusseinMohammed-s3j 😆😆mi sister sio braza😆hata mume wang akileta sjui vichekesho vake wala hua sishoboki hata kidogo naona anapga tu kelele bora nkamwangalie punga sese 😆
Kumeanza kuchangamka sasa😊
Mungu akuongezee ubunifu clam good job🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Weeeee sija chelewa sana nipo kabisa kama unamkubali Calm vevo weka likes hapo 15th ila nawapongeza sana kitu kizuri kabisa jaman ❤❤
Napenda sana muvi zenu clam ila hamu usichi mungu kwenye muvi zenu
Weueh......clam na ushirikina joh.....❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂unatisha vevooooooooo
Movie nzuri sana UBARIKIWE sana clam Vevo
Sema clam hii tamthilia hujaipangilia kuna matukio hayaeleweki chanzo chake ila jitahidi kubadilika tunakukubali
Namu kubali clam ila musikwe nai chelewesha samaani❤️❤️❤️❤️❤️🥳❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Félicitations Kaka ❤🔥❤🔥❤🔥🇨🇩🇨🇩
Kama fanya uwezavyo urudishe gang Yako ...KAZI nzuri❤❤❤❤❤❤❤❤
NOUMA SANAAAAAA 😂😂😂😂😂
VEVO hakuna kama wew kipenzi Cha Wana nchiiiiiiiiiiiiiiiiiiii SUDY pongezi kwako mama 👏👍👍👍🙏🙏🙏🙏
Sudy ndo nani na ww 😂
Hongera Kim unajua kuigiza
katika movie kala hii nayo 🔥🔥
Weeeeeee ni shida Vevo uko ngufu sana
Wewe Kim Wewe, utakufa vibaya nakwambia 😂😂
Nakupenda clam Kazi zuri ❤❤❤
Hii mada mmeibadilisha clam off course sijawaelewa mm naona kama nachek movie nyngn sio ile ya MY DAUGHTER jinsi ilivyo anza mwanzo team clam
wa kwanza leo😌
Clam" Unajua sana sio poa Man, Maana Movie haipoi wala haiboi..👍🏾 tuongezee kidogo Dakika Jamaa
I m first one from🇧🇮🇧🇮🇧🇮nipeni izo like my brothers and my sistrs clam anaweza
Ivi na Mimi naweza kuigza jamanii daaa hua napenda niwe msanii lakn sjwh ata kujalibu lkn nawapenda sanaaa💗💗💗
Safi sana wapi likes zangu na mmi brother anafanya kazi nzuri sana
Wakwanza Leo...like zangu🎉🎉
Nakubali👊 sanaa vevo
وَالمُشركونَ قَد بَغوا علينا
إِذا أرادوا فِتنةً أَبينا
وَقَد تَداعى جَمعُهم عَلينا
طبقَ الأحاديثِ الّتي رَوَينا
فَاِردُدهم اللهمّ خاسِرينا
ITIKIA DUWA
@@suhaybuthedone4111amen 🙏
Au sio
Au sio
Apo kwenye njiwa kuna kitu nimejifunzaaaaaa
Tumemmiss sana sarah mashy ndiye alikuwa nyota ya kipindi.Fanya umrudishe sarah
Achana na sarah tulisha funika kulasa zilipendwa huyo
Ongera clam kwa movi. Inatufundisha mengi nabado itatufundisha
Jaman kwan mtu aki like kuna nin ebu mlike na mie nijue
Happy New Year For Everyone❤️🩹
You say happy new year TO everyone.
Nawapenda sana mim naitwa sahil nmecheza MCHANA MWEUSI naomba mnifollow na sasa nna kazi mpya inaitwa PAMBAZUKO LA AFRICA ni kali kwelikweli.❤❤
❤❤❤
Clam mwisho wa siku utakua mchawi😂😂😂maana series zako ni za kichawi🙌
Wakwanza kutoka mombasa Kenya❤❤❤❤
Follow me
Hahaha mtoto kautaka na kukimbia na kukamatwa
Kazi nzuri sana clam❤❤
Mbaya zaidy clam vevo, wewe ni mtu mkali sana napenda kazi zako
Wanao fuatilia hii movie kila kipande kama mimi niwaone
Tupo
@@DuniaNdogobasi tusimuangushe clam na jopo lake kwa ujumla
kkkkkk muvi ime ni letea baridi kinoma naogopa 😢 mamaan
WA kWANZA NIPENI LIKE🙌🙌🙌
HAPPY NEE YEAR ALL MY FRIEND 🎉🎉
BIG UP SANA MA BROTHER CLAM VEVO KWA KAZI NZURI ❤❤
Tunamtaka director kakoso
Tuna mtaka director kakoso💯💯💯💯
Mdada akigusa hii comment namtongoza❤😂
ALAAHH
😂😂😂nyama ya Kimu itakua ngumu hailiwi kizembe😂😂😂😂
😂❤mwak mpya 🎉😊😊
Cram baba uwa unacheza moves qar ila saiz kuna watu watakukimbiza ucpokua makin hi ulivonza na inavoendelea sielew cjui ata umekua mchaw sangap😂
Wakwanza from t.a
Clam unauwa wanyama ili upate uhalisia duuh😢😢😢sio haki
Naipenda sana hii bt mjitahidi kutoa kwa wakati
Mtoto mbona kw mpole au ndio kijiji chote cha wanga😂😂😂😂
Timu clam muko wapi? Ebu tujuwane hapa kwa kuacha like,🇨🇩🇨🇩☝️
Claaam Vevooo hongera kwa kazi nzur, lakin Mbona Role ya mtoto Angel imepungua sana wakati jina la kazi linamuhusu yeye Daughter wako 🎉🎉🎉
Stori wameibadilisha
Stor wameibadilisha baada yakutoka sara
@@AsiaOmar-mr7bk yaah
Ooh! Story imebadilika baada ya Mshangazi kutoka 😂😂🎉
Lakini Saramash Katuboa sana mashabiki wote kwa ujumla 🤨🤨
Kusema kwer clam unaweza
Naombeni like zangu jamani nimekuwa wakwanza❤
Leo na me nimekuwa 150 naangalia kutoka makambako ❤❤❤
Wakwanza kuitazama from Kenya 🇬🇲
Huyu mtoto anauwezo mkubwa sana, iyo scene yake ya kula viazi kaipiga 💯💯
🇨🇩🇨🇩🇨🇩 wakwanza❤❤❤❤❤
Follow me
Wa kwanza kutokea kenya❤❤❤❤❤❤
KADADA KAREMBO KACHAWI😂😂😂😂😂
Vevoooooo unajua namba 1 comedy tz 😊😊😊😊😊❤❤❤
Kila sikuu nasema akuna mchawii akawa na akiliiiii😂😂😂😂😂