A - Z: CHANUO AMWAGA MACHOZI, NDOA YAKE NA MADEBE YAIBUA MAZITO - "NAWEZA KUFA" | PART 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 735

  • @ElifaziHotel
    @ElifaziHotel 9 місяців тому +37

    Pole sana dada yangu Mungu atakuongoza ningeomba watu wenye huruma tumsaidie uyu dada Nipo tayari kumsaidia Pesa kidogo

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 9 місяців тому +19

    Pole kwa huyu dada,Mungu amtie nguvu.
    Wanawake tujifunze kitu,ukiwa na mwanaume hakikisha unachuma pesa za kutosha,maisha ya kupenda mwanaume bure,sio 2024.
    Wanaume wanabadilika,usipojichumia pesa zako mapenzi yakiwa matamu utajuta,wanawake lets stay focused.
    Pesa mbele,

    • @rerisamba
      @rerisamba 9 місяців тому

      Yap mabinti wajitume kabisa

  • @jumasango9793
    @jumasango9793 9 місяців тому +14

    Ndiyo shida na❤ninyi wana wake mkiona mtu yuko kimya unazani unapata bwege kwisha habari zenu

  • @GalaxyA-ve8tu
    @GalaxyA-ve8tu 9 місяців тому +7

    Chukua maamuzi mdogo angu ww bado sana alafu nzuri sana maisha popote mungu anakutafutia sehemu sahihi chukua atua uyafanikiwa mie naimani iyo pole sana

  • @costantinuszungu2460
    @costantinuszungu2460 9 місяців тому +7

    Ina shotiwa movie hapa Bila gharama Asante wasafi

  • @AthumaniHashimu
    @AthumaniHashimu 9 місяців тому +6

    Dada yangu wa wasafi unajua kuhoji vizuri mungu akubariki na kazi yako maana unajua kuchokonoa

  • @200Stella
    @200Stella 9 місяців тому +17

    Mara nyingi watu haswa wanaume wanaojifanyaga wapole na wana busara sana ndio wanakuwaga wakatili.Upole wao na maneno yao ya busara ni kama pazia ya kuficha maovu yao au uhalisia wao.Ili mtu alitendwa nao siku aamuwe kusema ataonwa anamsingizia.Pole sana binti.

    • @annachubwa
      @annachubwa 9 місяців тому

      Naijua hii

    • @ce-08
      @ce-08 7 місяців тому

      Kama ni mumeo basi kwako watu hawafanani wewe😂😂

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 9 місяців тому +23

    Mashallah, ila mstaarabu uyu Dada nampenda ❤pole sana kipenzi.

  • @Ment2kzy
    @Ment2kzy 9 місяців тому +10

    Dada pole sana fanya tu plan B ya maisha yako

  • @mwaminindayishimiye3149
    @mwaminindayishimiye3149 9 місяців тому +20

    Uyu dada nampenda❤❤❤ from UK jipe moyo Allah yuko na wewe

    • @malitomalito
      @malitomalito 9 місяців тому

      Kuma la mama yako madebe unafirwa wewe msenge madebe lidai

  • @YvetteShabani
    @YvetteShabani 9 місяців тому +6

    Ishi maisha yako dada Apana kufatana nauyo mwanaume

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 9 місяців тому +19

    NAMPENDA SANAAA HUYU DADA❤❤ UTAFIKA MBALI MAY MUCH LOVE❤❤❤

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 9 місяців тому +47

    Ogopa sana wanaume wanaojifanya wema katika jamii

  • @josephkigembe-ec4pq
    @josephkigembe-ec4pq 9 місяців тому +55

    Daah!! Mimi ni mtoto wa kiume, lkn kwa maisha ya ugaidi hivi hapana. Sina hata hamu ya kuendelea kuona movie zake mpumbavu huyu.

    • @dinocastico8495
      @dinocastico8495 9 місяців тому +4

      Umehukum kesi kwa kusikiza upande mmoja . Ilikua kunahaja ya kusikiza upande wa pili ili upate hukmu iliyo sahihi.

    • @georgebataze6625
      @georgebataze6625 9 місяців тому +5

      Jitahidi ujue na upande wa pili ndugu. Wanawake wanamambo mengi...

    • @radhakikoko
      @radhakikoko 9 місяців тому

      Kama hujawahi kuzurura katika vyombo vya maamuzi kuanzia vya familia hadi vyombo vya sheria vya maamuzi vya serikali unaweza kuhukumu kwa hisia kwa kilio cha huyo dada ila kama umebahatika kuzurura huko basi utapenda kwanza kusikiliza upande wa pili...Unaweza kumkuta dada analia kwa hisia anataka serikali iingilie kati nyumba yake inataka kuuzwa na matapeli kumbe kaichukulia mkopo benki kashindwa kurejesha kutafuta huruma anatumia kilio cha kutapeliwa ...Kitaaluma ni mwanasheria niliyepata bahati ya kuzurura katika vyombo vya maamuzi takriban miaka 20

    • @GafiziSalama
      @GafiziSalama 9 місяців тому

      Angekuwa ni mmoja sawa lakini waine wote niwabaya

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 9 місяців тому

      Usikute wala siyo wanne @@GafiziSalama

  • @mwanamwemasaid6341
    @mwanamwemasaid6341 9 місяців тому +5

    Pole sana mdogo wangu i feel ur pain....

  • @FatmaFetty-k5u
    @FatmaFetty-k5u 9 місяців тому +11

    Pole dada angu

  • @paulmbonika2459
    @paulmbonika2459 9 місяців тому +13

    Mwanaume MSHENZI, unazidi MZALIA... kazi sana

  • @AlaunaChengula
    @AlaunaChengula 9 місяців тому

    Pole Sana kipenzi mungu atakupaa wepes

  • @HalimaSuleiman-kt5wi
    @HalimaSuleiman-kt5wi 9 місяців тому +1

    Pole kipenz mungu ALLAH atakusimamia inshallah

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 9 місяців тому +17

    Huyo dada na mkubali sanaaa😢

  • @allyhuyu1892
    @allyhuyu1892 9 місяців тому +9

    Pole nchakali Kwa kuolewa na bomu la machozi

    • @NoorPrince-v1v
      @NoorPrince-v1v 9 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂 kwaniaba yake

  • @halimaamini8015
    @halimaamini8015 9 місяців тому +41

    Wanawake tutafute hela narudia kusema tutafute pesa

  • @elishaelishaedward9454
    @elishaelishaedward9454 9 місяців тому +18

    Jamani Chanuo navo mpendaga ndo anapitia hayo mungu Akupe wepesi katika ayo.

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 9 місяців тому +3

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @nyenyemasizon
    @nyenyemasizon 9 місяців тому +4

    Asalaleee kuna baadhi ya vyombo vya habali vipo kwa ajili ya kubomoa maadili yetu na kutuongoza njia ya kuzimuni😢😢😢

  • @FatumaKabika
    @FatumaKabika 9 місяців тому +2

    Pole sana

  • @bechujordan5202
    @bechujordan5202 9 місяців тому +2

    Pole dada yangu

  • @JumanneIddingamba
    @JumanneIddingamba 9 місяців тому +2

    Pole sana dada mungu atakusaidia

  • @TINAKtl
    @TINAKtl 9 місяців тому

    Achana nalo n filamu zke cyo k2 listening sana sura yenyew bas nyoooo utalaanika na hy machozi y huy mama

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 9 місяців тому +29

    Huyo madebe ni wale wanaume wanajifanya wana roho nzuri mbele za watu ila ni watu wabaya

    • @laylayl5166
      @laylayl5166 9 місяців тому

      Tangu hapo eti huvaa ngozi yakondoo kumbe ni chupi mmhhh

  • @ShabanYusuph-uz7ie
    @ShabanYusuph-uz7ie 9 місяців тому

    Pole sana dada yangu kwa uliyo yapitia 🙏

  • @abedmzungu9057
    @abedmzungu9057 9 місяців тому +14

    Mdogo wangu kuna kitabu kinaitwa ngoswe penzi kitovu cha uzembe, yaani ulisahau kazi ukaingia kwenye mapenzi daah pole

    • @MagdalenaHoja-jh9qg
      @MagdalenaHoja-jh9qg 9 місяців тому +1

      😅😅😅😅😅umenikumbusha mbaliiii

    • @MohamedAlly-e1j
      @MohamedAlly-e1j 9 місяців тому

      ​@@MagdalenaHoja-jh9qgkaz kaachishwa na huyo mpumbavu baada ya kumuoa ila anatia huruma san😢

    • @MagdalenaHoja-jh9qg
      @MagdalenaHoja-jh9qg 9 місяців тому

      Yaan madebe kaniboa nimechukia kweli,nimateso

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty 9 місяців тому +2

    Pole sana chanuo mdogo wangu inauma sana jamani

  • @MwanapiliMzungu
    @MwanapiliMzungu 9 місяців тому +9

    Wanawake mna viti vyenu peponi😢😢😢so sad

  • @KissBesos-cq4gx
    @KissBesos-cq4gx 8 місяців тому

    Moyo na vitendo vya mtu tofauti na fikra yani usione mtu mshauri moyo mkavu Ike kazi tuu sio kwa kuwa anaelimisha ila moyo mkavu

  • @asiamnayahe7914
    @asiamnayahe7914 9 місяців тому +3

    Allah akupe subra kipenzi maan madebe mwenyew alikuambia usipokee zawad ya nguo kw mtu Alie uchi

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 9 місяців тому +1

      Nikweri kabisa aisee na mim naikumbuka hio

    • @salumsufiani8022
      @salumsufiani8022 9 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂

  • @janethjerald1737
    @janethjerald1737 9 місяців тому +12

    Madebe kashaniboa sifatilii tena filamu zake

    • @nasibujuwe3038
      @nasibujuwe3038 9 місяців тому

      Sana Tu anampango madebe ..mshenzi kwa jinsi uyu bint anavyohongea sio poa..Hata kama sijajuwa upande wa pili wa madebe lakini hii tu ya ya mke wake huyu wa Nne na Hata kama suna ......sio anampango watoto Anawatupa kama hivi kwa nini aliwaleta hapa dunia

    • @juliusabubakar2203
      @juliusabubakar2203 2 місяці тому

      Kama sijakosea kuna pahali kama bado uko na kumbu kumbu za nabii mswahili nanuku akisema kwambausioleke na mutu mchekeshaji ukadhali kwamba utapata faraja na furaha kwa ndoa yako.

  • @MariamJuma-o9z
    @MariamJuma-o9z 9 місяців тому +6

    Chanua is my best in TZ l really v❤❤❤ that lady pole sana sis from Dubai

  • @NajmaramadhaniAlly-is6mf
    @NajmaramadhaniAlly-is6mf 9 місяців тому +2

    Ulimpenda sana mumeo ndio mana

  • @hassanRijal
    @hassanRijal 9 місяців тому

    Pole Chanuo from Kenya🇰🇪

  • @omarmutta4999
    @omarmutta4999 9 місяців тому +1

    Nabii mswahili.

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 9 місяців тому +1

    Kumbe madebe nj mshenzi sana daaaah afanani na iyo sura

    • @rosemarymacheta7367
      @rosemarymacheta7367 9 місяців тому

      Unasema afananii na ile sura kama syllabus ya shetani😂

  • @Bantu-r9o
    @Bantu-r9o 9 місяців тому

    🎉cMadebe Lidai....wakati wako was kusifika ndio waisha huo

  • @AbdullyAlly-k6t
    @AbdullyAlly-k6t 9 місяців тому +3

    Waislam kuna baadhi wanatuharibia sana hii dini aiseeee😢😢

  • @JACKMIPAMBA
    @JACKMIPAMBA 9 місяців тому +1

    Uyo dada amepotezewa marengo sana na uyo jamaa uyo dada anakipaji cha kuigiza chanuo bado Sanaa inakuitaji ludi kazini mama angu.

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 9 місяців тому +3

    Wanaume jamaniiiiiiii 😭😭😭 mungu anawaina na ukimuona mwanaume anaongea sana jua bomu hilo hatarr

  • @HalimaSuleiman-kt5wi
    @HalimaSuleiman-kt5wi 9 місяців тому +1

    Dada dida unakaziyaa sana

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 9 місяців тому +4

    Ndoa mtihni wallah Allah atufanyie wepesi InshaAllah........

  • @AsmahAwadhi
    @AsmahAwadhi 9 місяців тому

    Pole mwaya mungu atakusimamia kwa kila jambo

  • @saidytopsi7988
    @saidytopsi7988 9 місяців тому +1

    Dah polesana

  • @HidayaWilley
    @HidayaWilley 9 місяців тому +2

    Pole sana dada

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 9 місяців тому +1

    Chanuo pole nakupenda❤

  • @NeemaMrema-bl2og
    @NeemaMrema-bl2og 8 місяців тому

    Pole kipenz

  • @lucasshirima2880
    @lucasshirima2880 9 місяців тому +2

    Tusikie na upande wa pili....maana maisha ya ndoa yana drama nyingi sana...siamini sana wanaokuja kulia kwenye vyombo vya habari ..hakuna mwanaume anayeweza kumpa talaka mwanamke anayemweshimisha...kiundani maisha yana drama nyingi snaa

  • @VeronicaMahenge
    @VeronicaMahenge 8 місяців тому

    dada una big talent pambana

  • @o.ballek.e4265
    @o.ballek.e4265 9 місяців тому

    Hii story ni movie ya nguvu itakayouza na kutulia sana nakupenda dadaangu move on wanaume wapo tofauti jua kujitegemea watu watakuzarau na kukutumia

  • @sunshineafricana1726
    @sunshineafricana1726 8 місяців тому +1

    Uzuri wa wanaume hatujielezi saana...Apa unawezakuta hii yote Madebe ywasingiziwa😂😂😂😂

  • @herijaphet
    @herijaphet 9 місяців тому +5

    MIMI HAIJANISIKITISHA. NAONA DADA HUNA HEKIMA. KESI ZA FAMILIA ZINAAMLIWA NA MEDIA. KWELI WW NI MSANII

    • @joycemaige6838
      @joycemaige6838 9 місяців тому

      Kuna mahojiano aliulizwa umeenda serikalini akasema ameenda lakini hasikilizwi kwasababu madebe anaongea maneno mazuri na anasikilizwa then wanamfukuza mwanamke wanamwambia wewe ndio mkolofi

  • @CharlesRehani
    @CharlesRehani 9 місяців тому +12

    Dida mbeya sana😂😂

  • @RajabuNasri
    @RajabuNasri 9 місяців тому

    Pole sanaaa

  • @SAIDMSAFIRI-y7q
    @SAIDMSAFIRI-y7q 8 місяців тому

    Ogopa sana mwanaume mpole anayejifanya mshauri mbere zawatu napia mnyenyekevu kwa watu ogopa sana

  • @rahmasaeed6860
    @rahmasaeed6860 9 місяців тому

    Kuna wanaume washenz mpk wanatutoa imani, mie kwa kweli yanayonikuta kwenye ndoa wacha nilee wanangu tu ila wanaume hawa tulowapata ni wenziwe firauni, mungu atatulipia huko tunakoenda,na hukumu itaanza hapa2 duniani, pole sana, haya mitihan ni wanawake wengi yanatukuta.

  • @GerrardUngwa
    @GerrardUngwa 9 місяців тому +4

    Pole sana dada yangu 😭😭

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 9 місяців тому +2

    Kwamwonekano huyu dada mnafikiii sana anatafta kiki kwajina lamumeo. pia kumbuka hao unao ongeanao hayupo mke wamtu au mume wamtuuu.wote wahuniii tuuuu.huyuuu mwanamke anamdomo sana hanaheshima anatakaa kmupanda mume kichaniiii

    • @djhajiztz
      @djhajiztz 9 місяців тому

      unaongea nini wew aujielewi

  • @ZuberiMangube
    @ZuberiMangube Місяць тому

    Pole cn

  • @jovinmancomedytz
    @jovinmancomedytz 9 місяців тому +2

    Mimi mtoto wakiume lakini namshauri sana madebe aache mambo yakidunia amrudie mkewake huyu dada nilivyomuona nimwanamke wamaisha

  • @Iddahbaby-jk
    @Iddahbaby-jk 9 місяців тому +5

    Mimi ata stofatilia filamu zake tena kashaniboo

  • @DanielmashaGona
    @DanielmashaGona 9 місяців тому +4

    Acha tuwe pole sana wana. .ndoa😮😮

  • @ramadhanmnembuka1408
    @ramadhanmnembuka1408 9 місяців тому

    Wanawake ni waongo sana Wakipandwa Na Ushetan Kichwan mwao Ukimsklza Madebe Utaskia vingne vchafu kuusu uyu mwanamke WAONGO SANA AWA WAKPANDWA NA ROHO YA KISHETAN

  • @dr.madevualcantara4775
    @dr.madevualcantara4775 9 місяців тому +24

    Msema pweke siku zote huwa mkweli hebu jaribuni kuwaita wawili wakiwepo wote muwasikilize sio mmoja tu

    • @AishaAisha-rh1fc
      @AishaAisha-rh1fc 9 місяців тому +4

      Unamjua madebe ww ....achana na wanaume wa aina ile tu

    • @nelsonandanyi
      @nelsonandanyi 9 місяців тому +2

      Kweli ila Madebe ni debe la wanawake

    • @Tausishaban-he5io
      @Tausishaban-he5io 9 місяців тому

      ​@@AishaAisha-rh1fckbx dd tn asiongeee cz maaana wanamme wa aina hiii ni wabaya sn

    • @RehemaMakunza
      @RehemaMakunza 9 місяців тому

      Hawa ndio wanaume

    • @christonchristian7448
      @christonchristian7448 9 місяців тому

      ndo tulivo mbwa nyie

  • @thomaslandwhale
    @thomaslandwhale 9 місяців тому +32

    These kinds of folks are BLASPHEMOUS, they are full of wickedness in the inside but they are Godly in the outside. Respect Women!! Every Woman is a Queen, is a Mother and is a Goddess.

    • @shabanipanya1033
      @shabanipanya1033 9 місяців тому +1

      One side information is just a tells that need prove and prove is to listening second side of information so you can balance both side

    • @thomaslandwhale
      @thomaslandwhale 9 місяців тому +4

      @@shabanipanya1033 you are absolutely right, the guy was married to three different women. I'm NOT being Judgemental but try to figure it out

    • @salimjumaa8180
      @salimjumaa8180 9 місяців тому +1

      Well said.

    • @DeograsSebastian
      @DeograsSebastian 9 місяців тому +2

      No research no right to talk, let the writer look for Madebe Lidai then the listenners will comment

    • @thomaslandwhale
      @thomaslandwhale 9 місяців тому +1

      @@DeograsSebastian it's NOT the question of doing research, if Chanuo is lying why Madebe can't come up and prove her wrong?????

  • @CedrickKagabo
    @CedrickKagabo 8 місяців тому

    Mukosafi sana

  • @ChukiNjilinge
    @ChukiNjilinge 9 місяців тому

    Pole sana habity utapata mwanaume mwingine ambae atakupenda na atakuthamini.

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t 9 місяців тому

      Atokee wapi dunia hii aso hili ana lile nikuvumiliana tu maisha yaende nisilopenda ni kupigana tu lakni ni changamoto tup.

    • @ChukiNjilinge
      @ChukiNjilinge 9 місяців тому

      @@FatumaMohamedi-t6t ata ng'ang'ania vip Kama anayoyasema ni kweli atakuja kuumia bure mtu Kama hakutaki atakutafutia sababu ili tuu uondoke.

  • @oswardmsigwa5728
    @oswardmsigwa5728 9 місяців тому +3

    Lakn madebe mwenyewe aliwahi kusema ndoa pekee ndio mtihani mgumu sana kuufaulu ndiomaana cheti chake unapewa kwanza hafu mtihan unafuata kwahyo hapo dada chanuo hayo unayoyapitia kwasasa ni sehemu Yako ya mtihan wa ndoa

  • @BITEMAHIMBO
    @BITEMAHIMBO 9 місяців тому

    Nakuelewa dada

  • @SafiaOmar
    @SafiaOmar 9 місяців тому +6

    Wanawake wenzangu kama anachosema huyu mdada ni kweli. Basi please ukipitia ndoa za manyanyaso msizae mapema au msizae zaidi ya mtoto mmoja 😢😢

    • @ce-08
      @ce-08 7 місяців тому

      Ili iweje kwahiyo wewe unaweza kwenda kumtegemea mwanaume kwa Kila kitu ndiyo maana unaogopa kuachwa ukiwa umezaa shosti tafta chako akikukuta unakitu anakuwa na heshima maana anajua hata akisepa hutoteteleka

    • @SafiaOmar
      @SafiaOmar 5 місяців тому

      Inahitaji kuwa na D2 kuelewa nilicho andika. Endelea kuiga maisha

  • @niwaelally1579
    @niwaelally1579 9 місяців тому +95

    Madebe ni Narcissistic kwa watu wanaonesha ni watu wazuri sana na wajuzi kuongea na hawakubali kushindwa.wao hujifikiria wao tu 😢😢😢

    • @Zuu673
      @Zuu673 9 місяців тому +9

      Km zamaradi tu

    • @aishaaisha4549
      @aishaaisha4549 9 місяців тому +3

      Kweli kabisa

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 9 місяців тому +7

      Yeah! Kujifanya kuwa yeye ndo anajua Kila kitu na yupo sahihi yeye tu kwa Kila anachofanya/ kusema

    • @silamshana6249
      @silamshana6249 9 місяців тому +2

      Kumbe Narcissistic ndivo walivo ivo

    • @niwaelally1579
      @niwaelally1579 9 місяців тому

      @@silamshana6249 Narcissistic ni mjanjq kuliko kitu chichote kile hqpa duniani. Ni mtu mstaarabu mbele za watu ni ma pretenders wa hali ya juu. Wao wasomi, wao wacha mungu, wao wajuaji, Narcissistic ana jiangalia yeye kwanza. Furaha yake yeye na siku zote ni mahodari wa kuongea yani Narcissistic mshindi yeye hakubali kushindwa tena madebe yupo level ya chini kabisa wengine waliopo kwenye hali mbaya zaidi huj8sahau na kuonesha mbele za watu hawa kwao ndio ufahari wao. Hawajqlig8 maumivu ya mwingine na jibu kubwa kwa NARCISSIST NI KUKAA KIMYAAA huwa wanaumia ukikaa kimyaa furaha yao ujibizane nao wakutupe kwenye depression alafu wawaambie watu mnamuona si nilisema huyu mwanamke chizi mmeamini yani ku deal na Narcissistic uwe na moyo sana

  • @PeterBaton-v9z
    @PeterBaton-v9z 9 місяців тому +5

    Kujuwa kuongea Cyo kwendana Na Tabia🤣🤣

  • @Saadiya-t9r
    @Saadiya-t9r 9 місяців тому +1

    Pole my love yaan talaka

  • @AllyMgawe
    @AllyMgawe 9 місяців тому +1

    Hilo ni kweli ndugu,kwnn asikimbile kwenye chombo cha dini bali anakimbilia kwenye mitando na midia, hekma ya ndoa hauna dada yngu

    • @annachubwa
      @annachubwa 9 місяців тому

      Hivyo anavyoongea ndo anapata relief ya moyo, halafu shida kama haujaikabili huwezi kujua maumivu yake, mimi ni muhanga namwelewa sana

  • @abdulngenda6475
    @abdulngenda6475 9 місяців тому +2

    Jameni chanuo nahitaji kumsaidia, bila kuhitaji lolote. Mimi mzee tena mzee hasa.basi jameni nipenini numberbzake kwenye messager Abdul Ngenda.

  • @Ngendakumana_
    @Ngendakumana_ 9 місяців тому +6

    Aiise mbona makubwa😢😢 nirijuwatu yaani ayomaisha tunayona mitandaoni 💯niyakuigiza yaani kiufupi nimawazo wanatumia kuandikatu😢😢

  • @zachariasimon-hf2kj
    @zachariasimon-hf2kj 9 місяців тому

    Asee sio sawa alcho kifanya uyo mwanamke

  • @MinnerOchu
    @MinnerOchu 9 місяців тому

    Pole daa

  • @denismahlangu
    @denismahlangu 9 місяців тому

    Mimi ukiwa uko tayari nitakuchukua ❤❤❤❤❤❤❤

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 9 місяців тому +9

    Jama mkatil kwenye ndoa yake aendani 😢

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 9 місяців тому

    km hujaoa na ukasikiliza hizi hbr utamuona mwamba mbaya mno, ila wanawake nao kuna maeneo wanapitisha watu kuna leta shida mno, nadhan nzr wangemtafuta na madebe ila km anafanya haya mambo hadi kwa wanawe atambue kuna kesho halafu sisi ni pipo ardhin ndio makazi kuwatesa watu walioumbwa na mungu ni dhambi haitamuacha salama

  • @CatherineJohnson-y2h
    @CatherineJohnson-y2h 9 місяців тому +4

    Dah..!!!..mwili unasisimka😢

    • @rosemarymacheta7367
      @rosemarymacheta7367 9 місяців тому

      Ungeskia ile ya Kwanza ndio ungesisimk Mara mbili hiii amepoa poa hisia zimepungua

  • @MojamojaMojamoja-lw2ph
    @MojamojaMojamoja-lw2ph 9 місяців тому +3

    Didaa 🎉🎉🎉

  • @RufeaAbdalla
    @RufeaAbdalla 9 місяців тому

    Jamani wanaume wazalilishaji jamani anapokufata anakufata.vzr akisha kuziea anakubadilikia pole dada😮❤

    • @annayessa5256
      @annayessa5256 9 місяців тому

      Duh wanaume hata sjui upoje ila uchawi upo

  • @thomaslandwhale
    @thomaslandwhale 9 місяців тому +6

    The New Dr Mwaka 😢

  • @salumuibadi4501
    @salumuibadi4501 8 місяців тому

    Hakuna ndoa ,,,ni ushetani tu ndio maana huwekwa hadharani kuipotosha Jamii..!

  • @MadoshiMakelege
    @MadoshiMakelege 9 місяців тому +3

    Mmmh so kwery Mana nanyie wanawake mumoo

  • @RanjaniHussein
    @RanjaniHussein 9 місяців тому

    Dada pole

  • @1tripple9
    @1tripple9 9 місяців тому +23

    One thing for sure you dont listen to one side n make decisions, untill the other person tells his/her side story then make conclusions.

    • @alinanisimbeye9512
      @alinanisimbeye9512 9 місяців тому +1

      Engejitokeza aseme nahe ilitujue ukweli

    • @nautharimakuka
      @nautharimakuka 9 місяців тому

      Umenena vizuri sana

    • @1tripple9
      @1tripple9 9 місяців тому

      @@nautharimakuka Asante.

    • @jitulamtumba571
      @jitulamtumba571 9 місяців тому

      absolutely

    • @laviesoila9100
      @laviesoila9100 9 місяців тому +1

      Fine but you can just tell by the number of women he has been with..not just that but alikuwa amewaoa..you mean all those women walikuwa wabaya??na if they were ..what about the kids?

  • @PintoKibopa-ev4ec
    @PintoKibopa-ev4ec 9 місяців тому

    siku hizi wanawake hawana uwezo wa kivumilia mikik ya ndoa 7bu washaur n wengi sana pia wazaz huchangia mtoto kua mjinga ndoa za zaman wazee walikua makatili sana lkn walidumu na wake zao ila kwasasa alie olewa ana omba ushaur kwa asie kua na ndoa . huyu n msenge tena msenge sana alitakiwa kuyamaliza au kuvumilia had mwsho una muanika mtu hadharan wanawake wa cku hzi n misenge sana

  • @DavidShabani-y7v
    @DavidShabani-y7v 9 місяців тому

    Wanawake waongo sana

  • @djggghgdd-fq8pr
    @djggghgdd-fq8pr 9 місяців тому

    Mamy move on my dear sister 😢😢😢😢 pambana kwaajili ya wanao siku moja atakuja kukumbuka chanuo ifeel your pain

  • @idayajuma4550
    @idayajuma4550 9 місяців тому

    Ukisikiya maelezo ya chanuo na maneno anayosemama madebe,nivitu viwili tafauti ila pole sana tunakupenda

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 9 місяців тому +1

    Wasafi tafuten hbr siyo mnaenda na trend. Chanuo pole

  • @SARAHKATAGIRA
    @SARAHKATAGIRA 9 місяців тому +4

    Dada uko sawa kabisa Ila si vyema haya mambo kuyaleta kwenye midia