JOKA LA KIJIJI FILAMU YA KUSISIMUA
Вставка
- Опубліковано 30 кві 2021
- Filamu hii niliwahi kuweka kwenye Channel yangu iliyopita na mamilioni waliiangalia. Channel ilipata matatizo kwa hiyo haikuweza kuendelea kuwepo kwa hiyo niliifanyia maboresho na nimeirejesha tena. Joka lililosumbua kijiji.
Hata Sisi wa congomani twa shukuru Safi Sana kabisa👍👍🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Uwongo hii movie iko na story mzuri
Ni mzuri sana✌️✌️
2nakupend sana kaka madenge
Nawapata vema kahama🎉🎉🎉 naitwa sadock
Kaka asante kwa filme hii na nakuomba utuletee filme yenye jina VITA YA NYOKA
Mmmmmhhh jaman toka nimezariwa ndo mala ya kwanza kuona nyoka kubwa hivi
😅😅😅👍👍👍🤚👏 Big up sana madebe
Kaka leta nyingine kama hiii🎉❤
Follow from Pakistan this is amazing
Asante kwa kazi nzuri
🎉🎉🎉🎉🎉
Nzuli sana kaka madebe hongera kwa filamu zako twazipenda sana huku kenya🇰🇪💪🔥💯
Nimekubali bro nabi
Mwanamke mchawi!!!
Ni nzuri sana 😂😂
Jamani mganga nimekupenda bure😘
Nawapenda Bure🥰
Joka la kutisha kweli aiiii cheiiii
Nice move from Uganda
Ongera sana kwa utunziwako ambaho unahelimisha jamii
Jamani tamaa ni mbaya sana
Kazi nzuri
Kazi nzur kaka kwel mungu kakupa kipaji
Nice one follow from diaspora
Nzur Sana ongera madebe natumai tifa angekuwa hai saiz nae angekuwa star mkubwa.
One of the best movie to me throughout 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mzuri na inafundisha
Wooow nice film everyone will like to watch
Very interested 😉 watching from Kenya
Tunapenda sana filamu zako
I'm Kenya nafurahia hii filamu sana
Naipenda sana
Unaigiza Kali kaka
ongereni sana movie nzuri sana
2nashukuru sanaa kwa film zako madebe apa 🇹🇿
Hiko vizuri
Kazi nzuri kinoma
Good bro
Nzuri jmn🔥🔥🔥
Movie Kali sana 💞💞💞💕💕💕💔💔💔❤❤❤💗💗💓💓💓
Barvil
Kenya nawapenda Sana majirani wazuri keep on de good 👍🎉❤ work.
Kazi mzuri kinoma
Good madebe ledai
Kutoka Ethiopian nzur sana move wekana weedi wainaka
Napenda sana movie zako
Nzuri sana
Poleeni Sana watu watu manyara, mungu ataonyesha mlango wa kutokea
Waah jamani hilo joka la kiajabu yaani hapo mwisho 😢sijayaamini macho yangu dah 🙆
Muvi kali sana
Hongera sana... movie nzuri yenye mafunzo
Shaby umetisha
hiyo mvi ni nzuri Sana inapendeza Sana jamani
Nakubr xan wanangu
😭😭
Ni nzur nmeipenda sana kaka
Kazi mzuri
Daaah!!nakubali madebe lidai kaz nzuri🙋🙋🙋
Ongrl
Ole! Wenu mama muuao waume wenu.
Nakukubal sana
Hujawah kufeli baba mzaz🔥🔥
It was a nice one thkz guys watching from UGANDA
Nimeikubali nzuri
Nakupenda sana kaka
Conguratuation for good movie
What a nice movie 😄😄😄😎😎
Nawakubali wanyambi
Good job 👏 ❤
Unajua sana kaka
the only film I love and follow with alot of education
Jamni malipo nihapahapa duniani
Nzr sana
Twazipenda movie zako
Fillamu hii ime nigusa sana
Nimekukubali kaka
Movie nzuri sana
Nawapenda bure🎉
Daaaaaa upo vzl
Sawa nimekuelewa
Kwani Mama,lile joka ni la kwako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu dada nampenda
joka lakijiji 50:24 50:24
Asante film nzuri
Napenda hii filamu mzuri sana
Doooh....jameni 🤣 tamaa mbaya😏
Nawapenda pia
nmekubali NABII MSWAHILI 100%
Very nice 👍👍
hongera sana nabii unawezaaa kaka
Asante sana tu kaka Abii Mungu yupo pamoja na weeeee
Filamu zako madebe ni nzuri Sana
Tunafulahia Na taalifa mnazo zitoa
Nambiy
This movie so beautifully
Noma sana hii mvi
Film nziza
Upo vizuri sema unacherewa kuweka ngoma mpya
Dula
Napenda yaani movie zote unazo toa kaka
Madebe Lidai nakuinamishiaa baba👌👌👌
Moddy hyu mtabiri namupenda sna anasungumuza ukwel
Hii movie yako no nzuri sana@@@
Mbona hamjibu
Good xan
Sijui kama nitalala na huyu mjoka najuta kuangalia ila ndo nimenza inabid niendelea
Hakikaa nimependa San 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mkojan
Bit nmeikubal🎉🎉
Nzuri
Picha mzuri sana
Tuma picha ifuatayo.nzuri filamu.mimi nikiwa south Sudan,nimependa sana