Mashallah 2020 bado naitizama lnshallah,madebe lidai ndio mahana pia hakakujalia kikundi chenye uelewa kama ulivyo.yani muko vizuri sana nyote kundi zima.#254👨🎓👍
Madebe natamani sana siku moja nikuone umevaa uhusika wa #uboss tajiri au sharobaro bishoo matata mpaka saa ya ukutani uvae mkononi maana kwa filam za hali ngum nakuona unaweza ila je unaweza kuwa boss au bishoo matata neno langu sio sheri
Madebe wewe i msanii mkubwa sana lakini hujijui, una washabiki wengi sana ndani na nje ya nchi, ila filamu zako huchelewa sana kutoka, kwa imi sidhani kwa sasa kama kuna msanii anakufikia, movie zako ni mafunzo tosha kwa jamii kwa kila hali, watu lio nje ya nchi husubiri sana movie zako lakini hatuzipati kwa wakati. please part 2, Thank you
Madebe Lidai Usikate tamaa hata chembe lakin kua Makini Wasikuunge Freemason make Wabongo ni kawaida yao cku hiz akipanda kidogo wanamteka Freemason wewe kipaji chako hakihitaji Freemason
Nc san madebe mimi sio mtazania ila napnda movie zako hata watu wengin wameshaaza kupnda movie zako hata Mume wng hajuw kiswahili ila anapnda ku cheki movie zako nc san 🇺🇸🇺🇸
Pesa sio kila kitu kwenye hii Dunia uwezo wa pesa unaishia kununua Sanda tuuu kamwe haiwez kununua roho..... Na thamani ya Binti yako ni kubwa kuliko kitu chochote katika hiiiii Dunia
Rafiki mnafiki kweli kikulacho ki nguoni mwako. ....Hahaaaaaaa Baba shida nae zaidi eti kama kuna somo lenye nilikua nililichukia ni samahani noma sana huyu mzee
TATIZO LA NCHI YETU WASANII NA MAMBO MENGINE HAYAPO KIPAUMBELE SANA LAKINI KWA KINA HIZI ZA MADEBE NI WATU WAKUWEZESHWA MUVI ZAO NA KUFIKISHA MBALI SANAA YETU
Yani nakupenda madebe kazi nzuri kakaangu ALLAH akufanyie wepesi
Uwezo wa pesa huishia kwenye kununua Sadah Tu....🙏🙏🙏🙏🙏Madebe....twakupenda Sana Kenya(Nairobi)
Mheshmiwa Madebe cha zaidi sina ela nakuombea kwa Allah akupe umri twawili utuelimisha malimwengu yalivyo.Thnx
ongere sana mabede unakipaji Mungu akujarie sna
Napenda sana movie zako Madebe upo kiuhalisia Kaka👍👍
Mimi ndo uyo na watch nan tupo pamoja mwezi huu likes zipo wap
Siku zote kitu kizuri kinaonekana2
2021 ninajikumbusha, kizuri kinajiuza.
Love from Burundi 🇧🇮
jamaaaaa yuko vizuriii kinoma kanumba 222222222
Kweli wew mnabii mswaili
Baba WA msichana yuko sawa % mzike Huyo kijana akiwa hai wamezoea kuwaharibia wasichana WA watu maisha na masomo
Mashallah 2020 bado naitizama lnshallah,madebe lidai ndio mahana pia hakakujalia kikundi chenye uelewa kama ulivyo.yani muko vizuri sana nyote kundi zima.#254👨🎓👍
Madebe natamani sana siku moja nikuone umevaa uhusika wa #uboss tajiri au sharobaro bishoo matata mpaka saa ya ukutani uvae mkononi maana kwa filam za hali ngum nakuona unaweza ila je unaweza kuwa boss au bishoo matata neno langu sio sheri
Madebe Nafasi ya Kanumba imebakia kwako Big up sana bro kwakazi nzuri
Napenda movie z madebe Sana zina uhalisia wamaisha tunayoishi karne hz keep it up madebe
NAIPENDA SANA HII FILAMU YENU YA INSHA-ALLAH
Nakupenda sana madebe hasa muvi zako mungu akapo maisha malefu zaidi
Sante uko vyema snaaa mungu atakuongoza inshaalah napenda Sana'a kuangalia filam zako
Madebe Lidai Wewe ni Top The Greatest Yaan Hakuna Msanii Mwingine Tz wewe ndo Memba
nimeielewa
Madebe wewe i msanii mkubwa sana lakini hujijui, una washabiki wengi sana ndani na nje ya nchi, ila filamu zako huchelewa sana kutoka, kwa imi sidhani kwa sasa kama kuna msanii anakufikia, movie zako ni mafunzo tosha kwa jamii kwa kila hali, watu lio nje ya nchi husubiri sana movie zako lakini hatuzipati kwa wakati. please part 2, Thank you
Momo nakubali xn kk madebe
Kk mm natamani muovi zako xn nakubali xn
Momo good
madebe uko vzr ndugu yangu unafanya tukumbuke tulikotoka katika karne hii ngumu ya utandawasi
Momo sikuzute anaye famu mambo yake ufanye mda sana umenisoma
Madebe Lidai, ubora na ugwiji wako kuitumia kiswahili vyema, kongole
Nakukubari sana madebe mtoto wa nandagara
Shukran sana naomba sehemu ya pili
Nafurahia Sana movie zako zahekma na busara namafunzo mengi madebe hongera sana
Madebe ongera sana maana unakipaji/kipawa cha pekeee sana mungu aijalie kazi yako
Madebe lidai wewe n kanumba wa pili na usipochunga madebe wewe unakuja kua zaidi ya kanumba ndugue Bosco
Nampenda Sana Uyu Bwela Cjui Kwa Nni Katoka Kunivutia C Mnisaidie Namba Yeke 😂😂😂😂❤❤❤❤
Kumbe wewe Kama mimi nampenda kweli😅😅
Hongera ndug kwakipaji ulichonacho,,,,lakn nimeshaweka mb achia sehemu yapil bac
tunashukulu kwa kuruelimisha movi zk darasa rosha
Shida pekee ya madebe hana elimu lkn kama angekua na elimu yan kanumba mtupu
madebe uko vizur kaka napenda uhaisia wa kazi zako very good brother
Lidai upo vizuri mdogo wangu endelea hvo hvo dogo
masebe mm sna zito ila nakuombea safar njema ya maisha
Nzuri bigape madebe
Napenda sanaah hii filamu kali sanaah
Hahaha alaf kati ya somo ambalo nilikuwa clipend darasan ni ilo somo la kusameeee kama umesikia apo naomba like ata 10 ty
Movie nzuri kweli
qalii iko pow tunasubiri sehemu yapili semanini taulo lazima likadekie
Congratulations brother madebe
Uyu mzee ngalambe anajua sana
Kazi safi Madebe,Naomba unishirikishe kwa Filamu zako🤔🤔 Shabiki wako kutoka Kenya
Dah!Ni rahisi sana rafiki kugeuka adui Ila Ni ngumu adui kugeuka rafiki...nzuri.tuwekeeni part 2 jamani.
Tuma Juma Madebe usikate tamaa hata chembe
Madebe Lidai Usikate tamaa hata chembe lakin kua Makini Wasikuunge Freemason make Wabongo ni kawaida yao cku hiz akipanda kidogo wanamteka Freemason wewe kipaji chako hakihitaji Freemason
madebe msuri uo kaka 😃😃 kupendeza
Upo vizuri madebe
Hilo jicho la Makoti ni balaaa duuuuuh!!!!!
Hongera shanuo nakukubali sanaaaa
Nakubali sana kaka ang unajuah kwwli kuelimisha jami lahasha Alla akudhidishie insha'Allah
Duhh movie nzuri sana mashaallah
Movie nzuri nimeipenda bure
dah ama kweli rafiki wa kweli utamjua kwenye shida
Napenda movie zake madebe shukrun kakangu
Mwenderezo kabisa
madebe mkali wao namkubali
Nc san madebe mimi sio mtazania ila napnda movie zako hata watu wengin wameshaaza kupnda movie zako hata Mume wng hajuw kiswahili ila anapnda ku cheki movie zako nc san 🇺🇸🇺🇸
Napenda madebe maneno yako
Wew Madebe ni Fundi unajuaaaaa
Kaka unaakipaki cha kipekee....mungu akuongezee maarifa
Madebe hongera kwa utuns nawashirika wote
congratulation mkaka kwa kazi yako
Jamani mbavu zangu mie yaani madebe WW duuh utaniuwa mwenzie , , na nisipo angalia move zako naweza nikapata ukishaaa
Nzuri sana nakuelewa mwamba
NAPENDA SANA MUVI ZA MADEBE NA WASANI WOTE KATIKA MUVI ZAO WANAIGIZA VIZURI SANA TENA KIUHALISIA....
Vizur madebe 🔥🔥🔥
Kazi kuntu mkuu wangu
Big up madebe me shabiki wako mkubwa kutoka Kenya
Pesa sio kila kitu kwenye hii Dunia uwezo wa pesa unaishia kununua Sanda tuuu kamwe haiwez kununua roho..... Na thamani ya Binti yako ni kubwa kuliko kitu chochote katika hiiiii Dunia
Safi sana kijana uko vizuri
Ila Madebe angalia kua Makini wasije kukudanganya jamaa wakakuunga Freemasom maana hawachelewi watakufata, wewe unakipaji cha pekee Hakihitaji Freemason, kua makini Blaza
Uko poa bro kweli kabisa
Ukumbusho mzur kweli
Wazo zuri sanaaaaa dogo
Wazolako zuri
Freemason haipo na haitakuaga
Madebe tunawapenda
Kaka madebe hongera sana kwa moves zako zenye utashi nazipenda sana
Nakukubali sana kaka Madebe,,,,,,movie zuri sana
Madebe unajitaidi sna big up kwako
Amina Yahya hadi huku😊
Rafiki wa kwel anakufaa wakat wa shda daah noma sana
mimi napenda sana movie zako madebe zinamafundisho
Big up kaka madebe
Kazi safiii
Daaa kweli rafiki yako ndio adui yako,,, Movie poa sana yenye maarifaa ya busara
Napenda usemi wa madebe ogopa kupokea nguo kwa mtu aliyekuwepo uchi
Unajua sanaaaa
Yaani mpaka rah
nice movie madebe una movies kaliii
Barikiwa kakangu
Wonderful,kazi nzuri Madebe
Daaah!! Location tamu sanaaaa!!!
Hii ni inshallah kweli
Rafiki mnafiki kweli kikulacho ki nguoni mwako. ....Hahaaaaaaa Baba shida nae zaidi eti kama kuna somo lenye nilikua nililichukia ni samahani noma sana huyu mzee
nzuri sana
Ila Madebe angalia kua Makini wasije kukudanganya jamaa wakakuunga Freemason
kwa mwendo huu Freemason watamuunga tu maana jamaa kakamata bongo wote kimya
Waooohhhh kitu kizur xana madebee
Nzur sana hii
TATIZO LA NCHI YETU WASANII NA MAMBO MENGINE HAYAPO KIPAUMBELE SANA LAKINI KWA KINA HIZI ZA MADEBE NI WATU WAKUWEZESHWA MUVI ZAO NA KUFIKISHA MBALI SANAA YETU
🥰safiii sanaa
madebe naipendajee hyo bagarashia yako na koti pia clipng xjui vya urithi hvy
congturation madebe
upo vzr nakukubali san
Mashallah
Kaka madebe urimkosea nasa mdogoako ukitegemea busara zako
Mwendelezo pls LP
Movies nzuri Sana mabest samtime ni wabaya
Shukrani naomba part 2
Good job made be I like ur job
..very funny
Unajuaaaa