Mpaka Home MAISHA HALISI YA MUIGIZAJI MADEBE LIDAI NABII MSWAHILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 275

  • @johnsonthuva1880
    @johnsonthuva1880 Рік тому +1

    Kongole Sana Bw.Madebe Kwa kazi yako nzuri inanigusa mimi binafsi kama mpenda lugha ya kiswahili

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 3 роки тому +12

    Aisee pole sana hakika niliyajua haya kuwa kuna kitu juuyako ndio mana hata move zako zina fundisha

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 3 роки тому +20

    Mtangazaji huyu anajua kazi yake. Hongera sana.

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 3 роки тому +9

    Pole san madebe ALLAH awarahemu wote njia mmoja

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 3 роки тому +12

    Masha Allah balikiwa Sanaa mpendwa wetu NAKUPENDA kwaajil ya Allah ,,,,,,,,mungu akupe umri mrefu na muish Kwa upendo na furaha Amin yaraby ♥️♥️♥️💖♥️🇹🇿

  • @imitechgsmsolution5604
    @imitechgsmsolution5604 2 роки тому

    Nawafata kutoka Congo Drc npenda Sana #_Mbengo_TV Sana kabisa piya mm mshabiki Wa Na bihi Mswahili

  • @abdulbogoyo1243
    @abdulbogoyo1243 3 роки тому +7

    KWANZA POLE SANA MH; ILA MANENO YAKO UNAYOYATUMIA KWENYE SANAA YANA MAANA KUBWA KWENYE UHALISIA WA MAISHA: YOU'RE THE BEST.

  • @Sevendroptv1
    @Sevendroptv1 Рік тому +1

    All the way from Rwanda ! Kazi ndema mziwanda!!
    Naomba unikutanushe na madebe

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 3 роки тому +4

    kumbe iyo muvi ya msungo nimatokeo yakweli yamaisha ya msani wetu Lidai. aaaah pole sana.
    kwenye muvizote napendaga sana msungo. pole bro Lidai

  • @AsdOo-fs1jd
    @AsdOo-fs1jd 8 місяців тому

    Pole sana brother Allah akufanyie wepes Inshaallah 🎉🎉🎉

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 Рік тому

    Heee pole 🎣 Sanaa mpendwa wangu ndio njia yetu sote sisi niwa Allah na kwake tutarejea hakika

  • @zaitunehussein7878
    @zaitunehussein7878 2 роки тому +1

    Allah akupe Subra na nguvu Kaka.Mm huwa napenda movie zako sana,zinanipa ushujaa maishani.👉 From Kenya

  • @EugenJoseph-dl2jw
    @EugenJoseph-dl2jw Рік тому +1

    Mov zako zur sana na zinafundixha kwa kias kikubwa sana mungu akulinde sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @salmakaratta1420
    @salmakaratta1420 3 роки тому +14

    Hongera sana nabii mswahili.Umetisha.

  • @kachalemielias3683
    @kachalemielias3683 3 роки тому +11

    Pole sana ndugu kupoteza wazazi wote wawili tena kwa siku moja hayo ni maumivu makubwa sana

  • @SwaumuHamisi-h4p
    @SwaumuHamisi-h4p Рік тому +1

    Pole sana ridai

  • @IreneMangoina
    @IreneMangoina 2 місяці тому

    Following from Beirut Lebanon ❤

  • @rukaiyaahmadsuleiman3951
    @rukaiyaahmadsuleiman3951 3 роки тому +15

    Tunampenda sanaa Madebe💓💓🏪

  • @kasmirmwaja1733
    @kasmirmwaja1733 3 роки тому +2

    Pole sana madebe lidai kwa kufiwa na wazizi wawili kwa siku m'moja

  • @christophermrema5277
    @christophermrema5277 3 роки тому +17

    Namkubali Sana madebe lidai (nabii mswahili)

  • @JeremahiBaba-dy8hm
    @JeremahiBaba-dy8hm Рік тому +1

    Pole madebe napenda kazi yako

  • @MARCOMALELEMBA
    @MARCOMALELEMBA 9 місяців тому

    Nakubali sana madebe

  • @IreneMangoina
    @IreneMangoina 2 місяці тому

    Peter pongezi❤

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 3 роки тому +5

    Oohoooo pole sana madebe

  • @saidimtera9935
    @saidimtera9935 2 роки тому

    Safi sana madebe lidai plz turudishie shilingi series

  • @mulshidiabbas751
    @mulshidiabbas751 2 роки тому +1

    Ongera sana Mr Madebe mimi nitaishi kama baba yako maana yaliyo mkuta baba yako Ni sawa kabisa na yangu

  • @richgambi6694
    @richgambi6694 3 роки тому +1

    Pole Sana ndugu kwa kuapoteza wazazi wako wote wawili

  • @mwanaharakatimukoyaaywahma1940
    @mwanaharakatimukoyaaywahma1940 2 роки тому

    Hewala shujaa. Nakutambua Sana KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @salmaseif6284
    @salmaseif6284 2 роки тому

    Pole nabii mswahili kwa kufiwa na wazazi wako cku moja

  • @farijalambaga9600
    @farijalambaga9600 2 роки тому +3

    Big up bro.naweza sema maisha uliyopitia Mungu huwenda alikupitisha huko ili uwe kma ulivyo.kwamaana usingepita huko, huwenda ucngekuw ulivyo.Hongera sana kka

  • @EveliusEdwin
    @EveliusEdwin Рік тому

    Daaaah baba ang pole san

  • @deborahchacha2006
    @deborahchacha2006 Рік тому

    😢😢😢pole sana kaka madebe kwa kuwapoteza wazazi aisee

  • @nikizagloria2855
    @nikizagloria2855 3 роки тому +6

    Mtangazaji unajua big up

  • @issubajaji7924
    @issubajaji7924 3 роки тому +2

    Ongera sana madebe osmani lidai. wadau wako hawajuwi kabila lako ila mimi nawajibu ili nijuwe kuwa wewe ni mmwera wa lindi wilaya ya ruangwa kata ya mnacho nandagala. Mimi ni mdau namba 1 wa madebe lidai. naitwa issu bajaji wa mnarani mtwara. Big up Benjamin kizota chikongwe wa nandagala ruangwa

  • @christerbell360
    @christerbell360 3 роки тому +15

    Huyu Dem anamaswal yametulia,,,,

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 2 роки тому

    pole Sanaa kwakupoteza wazazi ,pia ongera Sanaa kwakazi zako dhuri,
    nautakapoitaji kuongeza mke wa4 iyo nafac naomba Mimi hili tuweze kutimiza amri yamaandiko,sitaki kuwa mke wa3 zingatiya ilo👆

  • @janetgunga9451
    @janetgunga9451 2 роки тому

    Pole sana kaka madebe kwa msiba wa wazazi wako

  • @ramadhankabila3714
    @ramadhankabila3714 3 роки тому +2

    MkemiaAaaaaaa,,,unaulizia maswali 10 Kwa wakati Hadi madebe anashindwa swali la kujibu ni lipi

  • @SIMON-hb
    @SIMON-hb 2 роки тому

    Mungu akusidishie usima na ujasiri

  • @selemaniakombe9929
    @selemaniakombe9929 Рік тому

    Daah! Akika brother nakupa pole sn akika, kuzika wazazi wako kwa siku moj

  • @davianofficial6972
    @davianofficial6972 2 роки тому

    Mungu akujalie uzima na afya madebe

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 роки тому +6

    Mashallah Mashallah Tunakupenda sana

  • @shukuruclement1882
    @shukuruclement1882 2 роки тому

    Madebe emb Okoka, ndio k2 nlichokiona umekosa, Mpe Yesu Maisha

  • @خسنموس
    @خسنموس 3 роки тому +5

    Jamaa anakuaga na maneno magumu Namkubal sana Madebe

    • @halimasulaiman3229
      @halimasulaiman3229 3 роки тому +1

      Pia anatufundisha sana anatuelimisha sana kama tamthilia ya matusi ilikuwa poa sana

  • @QueenNgai
    @QueenNgai 8 місяців тому

    Mashallaah kk Allaah akuzidishie inshallaah

  • @anithabahimana-hp8en
    @anithabahimana-hp8en Рік тому

    Hongera sana kwenye kazi zako

  • @rldyable2077
    @rldyable2077 2 роки тому

    Hum pole sana wangu

  • @katotokazuri7412
    @katotokazuri7412 3 роки тому +3

    Nakupenda Bure mimi uwiiiiiiiiii

  • @apmtzenergydesk5740
    @apmtzenergydesk5740 2 роки тому

    Huyu mtangazaji yupo super

  • @felisianathadei5403
    @felisianathadei5403 2 роки тому

    Hongera sana kwa mjengo.madebe

  • @mwanaharakatimukoyaaywahma1940
    @mwanaharakatimukoyaaywahma1940 2 роки тому +2

    Masha Allah. Nafurahi kukusikia .

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 4 місяці тому

    mtangazaji mashuhuri sana

  • @panchovalentino5922
    @panchovalentino5922 3 роки тому +4

    Madebe Lidaiiii fundiiii

  • @taharamohd2515
    @taharamohd2515 3 роки тому +11

    Oyeeeeee tupo hapa timu Lind😂😂😂

  • @priscanyika5963
    @priscanyika5963 2 роки тому

    Mtangazaji uko powa sana 👏👏👏👏👏

  • @yoramfransi5615
    @yoramfransi5615 2 роки тому

    Ludovick apa pande zasongwe Tanzania pamoja sana

  • @halimasulaiman3229
    @halimasulaiman3229 3 роки тому +2

    Yani wewe dada nakupenda bure 💞💞😍😘

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 роки тому

    Nyumba sasa mnayoonyesha ju kuwa ndo yakwake! Hata kama angeuza movie miaka 100! Hawezi kuijenga! Mwacheni mauongo!

  • @ahmedsuleiman8231
    @ahmedsuleiman8231 3 роки тому +2

    Mwenye mke mmoja ana matendo ya kikristo.
    😆😆😆😆
    No research, No right to speak

  • @meekman1805
    @meekman1805 3 роки тому +5

    Maashallah!

  • @hassanbinally7127
    @hassanbinally7127 3 роки тому +9

    Kama sio mtaalamu wa dini bora tu ukae kimya

  • @margaretthe7932
    @margaretthe7932 3 роки тому +2

    pole sana bro

  • @zainabtanzanian7141
    @zainabtanzanian7141 3 роки тому +8

    Mashallah

  • @tontonelombee8012
    @tontonelombee8012 2 роки тому

    Pôle Sana dungu yangu madebe

  • @mulshidiabbas751
    @mulshidiabbas751 2 роки тому +1

    Uko sahii hasa ukizungumzia maswala ya wanawake, ninge pata huongozi Tz ningefundisha wanandoa ili idumu ili wawezwe kudumisha ndoa zao na kulea watoto kwa haki za mzingi kwa baba na mama

  • @lucasmogoile7097
    @lucasmogoile7097 2 роки тому

    Madebe napenda sana kutoukubali usasa kwa hapo nakuunga mkono mi mwenyewe usasa naona unatuharibu

  • @omaryboby3245
    @omaryboby3245 3 роки тому

    Dar respect mwanangu lidai nakuku bari sana na pole sana

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 3 роки тому +9

    Love you Madebe muhenga

  • @Vincentombwori
    @Vincentombwori 2 місяці тому

    Terrific

  • @tontonelombee8012
    @tontonelombee8012 2 роки тому

    Hongera madebe sana

  • @kadejahh4036
    @kadejahh4036 3 роки тому +9

    Namkubali sn uyu kaka alafu wakwetu lindi

  • @muhammedokussa7933
    @muhammedokussa7933 3 роки тому +10

    Muziwanda napenda sauti lako Nyoro kwangu

  • @mwafrikatanda7532
    @mwafrikatanda7532 2 роки тому

    Pole Sana kuzika wazazi wote kwa siku moja

  • @josephdanielmsemwa1194
    @josephdanielmsemwa1194 3 роки тому

    safi kabisa naskiliza bengo tv

  • @saidmshuaa8825
    @saidmshuaa8825 2 роки тому

    Namkubal brother yani anajua sna

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 3 роки тому +1

    K mziwanda unajuwa sn mwanamke mwenzangu ❤️

  • @kassimhajkavumo4445
    @kassimhajkavumo4445 3 роки тому +2

    Timu yataifa ya Tanzania benini

  • @makamealimussa667
    @makamealimussa667 3 роки тому +3

    Mtangazaji huna ishu hujui kazi yako.

  • @daudamos4267
    @daudamos4267 3 роки тому

    Pole sana jembe kuna stor makin inakufaa sana

  • @فاطمةسعيد-ث2ق
    @فاطمةسعيد-ث2ق 3 роки тому +5

    Masha Allah

  • @salimamkwavilla8520
    @salimamkwavilla8520 2 роки тому

    Hongela sana

  • @estermahenge-ks3dr
    @estermahenge-ks3dr 7 місяців тому

    uyo madebe alivyo tulia hapo kama sio yeye alie kua ana mtesa chanuo😮

  • @yusuphjuma3943
    @yusuphjuma3943 2 роки тому

    Nakukubari sana madebe

  • @zainabfazal5759
    @zainabfazal5759 Рік тому

    Madebe Always on top

  • @selemaniakombe9929
    @selemaniakombe9929 Рік тому

    Ila nyinyi watangazaji mpo wa shenzi sn kweli. Mbona atujahona nyumba ya madebe afu mnaandika kwamba mahisha alisi ya madebe na maali anapo hishi

  • @babyularomary1082
    @babyularomary1082 2 роки тому

    Nakubal broo

  • @saidismail6391
    @saidismail6391 3 роки тому

    Pole Sana ndugu yangu madebe

  • @nickbut8835
    @nickbut8835 3 роки тому

    Nakuelewa sana mdg wangu Madebe Lidai

  • @ramadhanimhandojr2211
    @ramadhanimhandojr2211 3 роки тому +3

    Nabii mswahil

  • @josephwambura674
    @josephwambura674 2 роки тому

    Upo juu sana

  • @josephdanielmsemwa1194
    @josephdanielmsemwa1194 3 роки тому

    hongeera sana nabii mswahili

  • @enockalexjiluhya5483
    @enockalexjiluhya5483 3 роки тому

    Kwa maelezo hayo nimeona kumbe movie ya nabii mswahili inahusu maisha yako halis

  • @dailysparktvke3540
    @dailysparktvke3540 3 роки тому

    Uyu jamaa ni jembe🔥🔥🔥🔥namkubali

  • @hamisijuma6704
    @hamisijuma6704 3 роки тому

    Nakubali sana kazi zako madebe

  • @fauzhaider3843
    @fauzhaider3843 3 роки тому +1

    Hawa bdo ilikuwa wanapendana bdo ila mungu kawapenda zaidi

  • @isaihisaih6804
    @isaihisaih6804 2 роки тому

    Pole cnà

  • @mwanaally5948
    @mwanaally5948 3 роки тому +5

    Hongera

  • @engribertrwehumbiza7086
    @engribertrwehumbiza7086 2 роки тому

    Hv hayo magar na majumba mnayoeditig na kuweka mnadhan ni matako???

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 2 роки тому

    NAKUPENDA WW DADA K MZIWANDA NUNATANGAZA VZR

  • @bisitimassoud3861
    @bisitimassoud3861 Рік тому

    Muvi za madebe km mawaiza ya nyundo matusi matupu madebe skuizi unamatusi sana