Mimi Nadhani Watanzania MNA wanaharakati ila hamuoni kama wanafanya vyema Sana Kuelimisha Kiukweli,...Nimeona Huyu dudu mbaya,..Na Mwijaku ,Niki wa pili..Na wengineo huwa wanaongea sana na wanatoa ushauri bure ila hamtilii maanani watanzania Huku Kenya Wasagaji na Mashoga wamekithiri Bwana....na tena wanapewa mpaka interview kabisa katika Redio kuweni na Shukrani kwa watu kama hawa Jamani...•√
Nakukubali Sana mr kaza buti aisee nakupenda sana maana unaongea ukweli kabisana ila natamani siku moja uwe pastor kwenye neno la mungu uko vizuri Sana Biga Up sana
Konk unaupeo mkubwa xnaaa wa kufikilia na na ata unavyo ongea tu,ni mtu ambaye umesha juwa wasan wamekosea wapi safi xnaaa,point ya uwezi kuwa na mtaji wa vitumbuwa vya Elf 20 Alf ukataka faida ya lk 2 aiwezekani .bigap konk konk monk master.
Mdogo wangu bado jamii inakukubali tumia hichi kipindi kifupi ulicho nacho kwenye sanaa kwa kurekebisha pale ulipo kosea usiruhusu yale zamani yajirudie tumia nafasi kujijenga
Wacha azungumze kwa kipindi chake lakini Bongo kabla ya Mabolingo anayosema kulikuwa na Disco hususani Breakdance ikaondoka hiyo ikaja hot & slow funky, chacha, rhumba na leggae na ata sugu alikuja kabla ya Salehe jabri ambaye alikuwa anatumia biti za Kina Mc hammer na Vannil Ice hapo sasa ndiyo yakaibuka Mabolingo na ndipo Makundi kibao ya Bongo fleva yakaibuka ila sugu alikuja baada ya Salehe jabri ni kama leggae Muffin Muasisi alikuwa ni king Yellow Man wakaja sifika Kina Shaba Ranks
You are very right Mr Konki, you are well known in Zambia and we love you. I still remember your old song called Nakupenda mpezi!
From Zambia
Kkkkkk
I love that song too
Peter Simfukwe ,i like you
Like him too🇰🇪
Aisee ubarikiwe kwa maneno ya busara Mungu Akubarikj
Umeongea point sana bro wangu may God be with you.
Head on..,point taken. Konki, Konki, Konki master.
Mimi Nadhani Watanzania MNA wanaharakati ila hamuoni kama wanafanya vyema Sana Kuelimisha Kiukweli,...Nimeona Huyu dudu mbaya,..Na Mwijaku ,Niki wa pili..Na wengineo huwa wanaongea sana na wanatoa ushauri bure ila hamtilii maanani watanzania Huku Kenya Wasagaji na Mashoga wamekithiri Bwana....na tena wanapewa mpaka interview kabisa katika Redio kuweni na Shukrani kwa watu kama hawa Jamani...•√
Anaye kubaliana na ukweli anaouongea dudu gonga like tujuane
Ibrahim France sigongi like na gonga mezaaa
Safi sana konki konki masta
Namwelewa kutoka mozambiq
Ushauri wako mzur sana konk be blessed
Ubarikiwe konk
heshima kwako nkonki wetu nakupenda san kwa sbb ww ni mkweli
hlf unajiamini huogopi chochote big up baba
Kweli kinga yako ni damu ya yesu nmekuerewa sana bro
bunduki hizi muhimu .kujiamimini, kutokata tamaa, kujituma ,sikubali kushindwa @like twende
Dah nimekuelewa kaka tena sn mungu akulinde kaka
Perfect Broo you are legendary
Dudu Baya's Facts I'll always remember this words #
God bless Dudu..........
Subhanallah konki anajua kama swala 5 muhimu ana himiza watu wapige swala alafu kuna waislamu hata khabari hawana mungu awaongoze
Upo vzr xana konki3 mungu akulinde xana
konki master you rock my brother
Ubarikiwe konki
Dudu nakukubali kaka saf sanaaa Mr fact
So clever can't imagine
Mala ya kwanza watu walikuwa hawa muelew. Tulio muelewa tangaia mwanzo gonga 🙌
Kama ulikuwa haujui DUDU BAYA anamiliki BUNDUKI 4 Gonga meza hapaaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Me Nilijua ni bunduki kweli😅😅
😀😀😀una tabu jiran wewe 😁😁😁
@@mariamothman7404 hahahaaa kwann jirani jamn
Respect Konki Master, gonga meza/like pamoja nami kwa ajili ya madini haya.
Point
FACT SANA
Dudu baya wewe Ni Voice of voiceless
from urope i love konk
Wise talk broo ,,,hizi ndio points zakuongea
How many of u can really understand Dudu as i do???
Leo umenifurahisha
Hili jamaa noma saana 💯😂😂
Nakukubali sana konki master
God
Brooklyn New York Hahahaha
I seriously take dudu baya's word In high concern.
Sure boy
allah atakubariki konki master wey ni msema ukweli cloudz sio wat wa zuri lakin kwa wcb wameshindwa
big up sana Dudu baya tunakupenda sana nyimbo zako tunazisikia sana toka RDCongo
Pamoja
Kuwa karibu na ibada sawa kabisa konki master
SKUWAHI KUJUA KAMA HUYU MJINGA ANA AKILI HIVI....!!!!!!!😟😟😟😟 Linajibu mapoint balaa....😀😀😀😀😀
Hili Jamaa Lina akili kinomaa usilichukulie pow mjuba
Uko vizuri sana konk kuokoka ni chanzo cha marifa
Me hapo kwa marinda tu nda nimepapenda👌
You're so bright konk master.
Umeongea point dudu
Nakukubali Sana mr kaza buti aisee nakupenda sana maana unaongea ukweli kabisana ila natamani siku moja uwe pastor kwenye neno la mungu uko vizuri Sana Biga Up sana
Nakuhelewa bro 🔥🔥🔥
Upo vizuri kamanda
Hongera sana mzee kwa elimu nzuri ya jamii
Konki konki konki master.Mungu akujalie
Aminia Dudu
Dah safi sana ndugu umeongea point tupu
Sema ukweli wote dudu
Dudu asaivi umekuwa mwelewa sana
Amin shekh
Nakukubar dudu
kabisa konk
Nakukubali sana dudu kizazi jeuri
Bro, now I can say I love you, i trust you
Uko vizuri dudu baya
Konk 3 master nakukubari sana bro msema kweli nimpenzi wa mungu mungu akulinde nawatu wabaya
Unakaa kwenye magorofa kwa kufumuliwa marinda..😂😂😂
Uko Sawa Konki Masta👍🏼
Nimezipenda bunduki nne nami nitazifuata
Kabisa mashaallah mashaallah I love you brother wangu
Konki konk masters nakubaliiiiiiiiiiiii wewe ni jembe
Unasema ukweli
SHIKAMOO BRAZA
Sanaa konk konk konk mastar
Nakukubari sanakonki
Konki3master
Asante xna konk master
Kofi yupo kwenye game toka mwaka 7o kwenye game ya kongo mwangu dudu bwana
kashaacha pombe, kweli ashukuriwe Mungu
Simbaaa platnumz mfalume wa bongo frev
Asanteeeeeee nakubal pamoja sana
Come stay Kenya🇰🇪
Huyu jamaa anaongea ukweli na hio Ni kauli nzuri kwa yeyote mpenda maendeleo 👊👊 Safi Sana master
Dudu Nuksi "nakupenda Sana usiyependa noti nakupenda sana usiependa doo"
Dudu Balaa langtym.
Konk unaupeo mkubwa xnaaa wa kufikilia na na ata unavyo ongea tu,ni mtu ambaye umesha juwa wasan wamekosea wapi safi xnaaa,point ya uwezi kuwa na mtaji wa vitumbuwa vya Elf 20 Alf ukataka faida ya lk 2 aiwezekani .bigap konk konk monk master.
Dudu baya uko vizuri Sana
Ukweli hujenga jamii saafi konki
Kweli mungu yupo sikutegemea huyu jamaa angeongea point nzur kama hizi
Umeonaeee amee
K0nK! K0nK! K0nK Master
Dudu Baya umeongea mengi sana. Unajua sana vitu vingi sana brother.
Unaakili Sana bro
Duuh konki' umenisemelezea aisee
konk konk konk master nakuaminia
Good
Nakukubali sana konki3
Wow brave words 🤗🤗😍
Leo ajalewa....!!!!!
Ili jamaa kumbe lipo vizuri sana,kumbe hua wanalivuruga tu,ukilikuta wamelivuruga ukiambiwa hua lipo timamu utaapia siokweli
😂😂😂😂😂
Big up brother 💪🏾✋😘
Msema ukwel mwenye
Daaaaaaa tembea nawanao nukia nawe utanukia nimepena buleeee jamaa ana hakili xana likee ziko wap kwa duduby
Dudu
aliona Dudu baya (konk masta) ameng'aa kwa sababu ya kunywa maji mengi
😂😂😂😂namuona
@@khadijaomar3299 waooo vizur khadija
Mmaa
Akili zipo asee
Nakubaliana na wewe dudu unaongea ukweli usio pingika
Nampenda dudubaya
nakukubali konk
Uko mzima kichwani mwenezi mungu atakusaidiya utasonga mbele
Dudubaya huwa anaongea fresh siku zote isipokuwa huwa hatumuelew kila siku TU . Hilo ndio tatzo
Misenge inaanzia boarding .,.......
Mdogo wangu bado jamii inakukubali tumia hichi kipindi kifupi ulicho nacho kwenye sanaa kwa kurekebisha pale ulipo kosea usiruhusu yale zamani yajirudie tumia nafasi kujijenga
Big up Konk master
uyu jamaa anaakili Sana
Iddy Nzegea ana akili nyingi sana yaan
Wacha azungumze kwa kipindi chake lakini Bongo kabla ya Mabolingo anayosema kulikuwa na Disco hususani Breakdance ikaondoka hiyo ikaja hot & slow funky, chacha, rhumba na leggae na ata sugu alikuja kabla ya Salehe jabri ambaye alikuwa anatumia biti za Kina Mc hammer na Vannil Ice hapo sasa ndiyo yakaibuka Mabolingo na ndipo Makundi kibao ya Bongo fleva yakaibuka ila sugu alikuja baada ya Salehe jabri ni kama leggae Muffin Muasisi alikuwa ni king Yellow Man wakaja sifika Kina Shaba Ranks
Ina maana hajui kwamba wamiliki wa Wasafi ndo hao hao wanaomiliki redio anayoichukia? Hata wanamiliki 51% bado wana sauti
Xana konki ni truth yote kwel mandaz ya elfu ishirn huwez ukapata laki tatu "kizazi xan konki"