- 5 537
- 108 045 112
Mwendokasi Tv
Tanzania
Приєднався 2 лис 2015
Mwendokasi TV ni chombo cha Habari kinachozingatia weledi na maadili kwa kiwango cha Juu kutoka katika muongozo wa maadili ya uandishi wa Habari nchini.
Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha karola kwa watu mashuhuri kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini.
Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake.
Kktokuingilia faragha ya mtu.
Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
Mwendokasi Tv inaruhusu Maoni ya mtazamaji yasiyovunja maadili na tamaduni zetu na nchi yanapewa nafasi kama sheria ya nchi inavyoelekeza na yanayokiuka tunayaondoa Kabisa.
Mwendokasi Tv "We Run Together "

Відео
Tazama MOTO ukiwaka kwenye Mashindano ya MAGARI kuelekea USIKU wa MWAKA MPYA
Переглядів 27719 годин тому
Tazama MOTO ukiwaka kwenye Mashindano ya MAGARI kuelekea USIKU wa MWAKA MPYA
Arusha Ya MAKONDA yapamba MOTO mashindano ya PIKIPIKI Kupokea mwaka MPYA 2025
Переглядів 79920 годин тому
#makonda #arusha #tanzania
MAKONDA awahakikishia Wananchi Wa ARUSHA usalama, BATA La Kukaribisha Mwaka MPYA 2025
Переглядів 1,5 тис.2 години тому
#makonda #arusha #tanzania
Akataa GARI MPYA aliyopewa na MWANAE ahofia JENEZA,Naogopa itakuwa amejiunga FREEMASON
Переглядів 9 тис.2 години тому
#tanzania #video #trending
WAKENYA wamkubali DIAMOND mbele ya RC MAKONDA Kuwa ni mwamba kwenye mziki
Переглядів 8747 годин тому
#makonda #diamondplatnamz #arusha
ASKARI mkiona Gari Mpya ipigieni SALUTE Mwamba kajitahidi, RC MAKONDA asema!
Переглядів 1,8 тис.7 годин тому
#makonda #arusha #churchilshow
Wamuomba RC MAKONDA Wanaume wenye HELA Wavae SARE ili tuwatambue !!
Переглядів 1,3 тис.7 годин тому
#makonda #arusha #churchilshow
RC CHALAMILA MAZINGIRA WEZESHI KWA WAFANYABIASHARA JENGO JIPYA K/KOO
Переглядів 62День тому
RC CHALAMILA MAZINGIRA WEZESHI KWA WAFANYABIASHARA JENGO JIPYA K/KOO
MMMH!! HII SASA NOMA MAPENZI YALETA UTATA,WACHEKESHA KILA KITU
Переглядів 428День тому
#cheka #babalevo #azaboi
VITUKO VYA TX DULLAH,CHARD TALENT NA MTUMISHI OBAMA WAFANYA UNYAMA,WACHEKESHA BILA KUTUMIA NGUVU
Переглядів 8 тис.День тому
#chekatu #txdullah #chardtalent
UTANI WA BABALEVO NA LINEX HUKU AKIIMBA ‘SALIMA’ LIVE MLIMANI CITY
Переглядів 55 тис.День тому
#linex #babalevo #comedy
AWAVUNJA MBAVU MASHABIKI “NILIKUWA NAISHI NYUMBA INAITWA SHANGAZI PUB 😀
Переглядів 1,2 тис.День тому
AWAVUNJA MBAVU MASHABIKI “NILIKUWA NAISHI NYUMBA INAITWA SHANGAZI PUB 😀
BABALEVO AMPA ONYO WAKAZI KUONGEA MAMBO YA WATU,ITAKUWA FUNDISHO KWAKE
Переглядів 305День тому
BABALEVO AMPA ONYO WAKAZI KUONGEA MAMBO YA WATU,ITAKUWA FUNDISHO KWAKE
PROF.KITILA ABANANISHWA MASWALI NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU DIRA, AJIBU TUNAKUSANYA MAONI YA WADAU
Переглядів 12514 днів тому
PROF.KITILA ABANANISHWA MASWALI NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU DIRA, AJIBU TUNAKUSANYA MAONI YA WADAU
Diamond Afunguka yote Sababu za Kushindwa Kutumbuiza Kenya/ Chuki/ Fujo Wasanii Kadhaa Watajwa
Переглядів 25421 день тому
Diamond Afunguka yote Sababu za Kushindwa Kutumbuiza Kenya/ Chuki/ Fujo Wasanii Kadhaa Watajwa
MSIGWA AVUJISHA SIRI ZA CHADEMA ADAI HAWANA HOJA,AMKAANGA SANA MBOWE
Переглядів 38421 день тому
MSIGWA AVUJISHA SIRI ZA CHADEMA ADAI HAWANA HOJA,AMKAANGA SANA MBOWE
MACHOZI YAMTOKA MKUU WA MKOA PAUL MAKONDA WAKATI AKIABUDU MBELE YA WANANCHI
Переглядів 67421 день тому
MACHOZI YAMTOKA MKUU WA MKOA PAUL MAKONDA WAKATI AKIABUDU MBELE YA WANANCHI
MAELFU WALIVYOFURIKA ARUSHA MATEMBEZI YA AMANI KULIOMBEA TAIFA WAKIONGOZWA NA MHE.MAKONDA
Переглядів 52621 день тому
MAELFU WALIVYOFURIKA ARUSHA MATEMBEZI YA AMANI KULIOMBEA TAIFA WAKIONGOZWA NA MHE.MAKONDA
VIDEO YA MWIJAKU AKIMKOSOA DIAMOND HII HAPA,AMEKOSEA KILA KITU KWENYE HILI
Переглядів 39521 день тому
VIDEO YA MWIJAKU AKIMKOSOA DIAMOND HII HAPA,AMEKOSEA KILA KITU KWENYE HILI
MWIJAKU:ATAKA MAANDAMANO YA KUOMBA MSAMAHA KWA KAJALA WARUDIANE NA HARMONIZE
Переглядів 44921 день тому
MWIJAKU:ATAKA MAANDAMANO YA KUOMBA MSAMAHA KWA KAJALA WARUDIANE NA HARMONIZE
BABALEVO AWEKA WAZI HARMONIZE KUMPA HELA,MWIJAKU HAWEZI KUSHINDANA NA MIMI
Переглядів 33921 день тому
BABALEVO AWEKA WAZI HARMONIZE KUMPA HELA,MWIJAKU HAWEZI KUSHINDANA NA MIMI
ZUCHU ATINGA NA MABAUNSA KUNDUCHI ANAJAMBO LAKE
Переглядів 1,4 тис.28 днів тому
ZUCHU ATINGA NA MABAUNSA KUNDUCHI ANAJAMBO LAKE
NONDO ASIMULIA KUTEKWA NA GARI JEUPE, KUPIGWA NA KUTUPWA COCO BEACH
Переглядів 39628 днів тому
NONDO ASIMULIA KUTEKWA NA GARI JEUPE, KUPIGWA NA KUTUPWA COCO BEACH
RAIS SAMIA AKIONGOZA VIONGOZI KUAGA MWILI WA DKT.NDUGULILE VIWANJA VYA KARIMJEE
Переглядів 19128 днів тому
RAIS SAMIA AKIONGOZA VIONGOZI KUAGA MWILI WA DKT.NDUGULILE VIWANJA VYA KARIMJEE
MDOGO WA MAREHEMU DKT.NDUGULILE AKIZUNGUMZA MBELE YA RAIS SAMIA NA KUMSHUKURU KWA MCHANGO WAKE
Переглядів 25228 днів тому
MDOGO WA MAREHEMU DKT.NDUGULILE AKIZUNGUMZA MBELE YA RAIS SAMIA NA KUMSHUKURU KWA MCHANGO WAKE
SPIKA WA BUNGE TULIA ACKSON AKIZUNGUMZA KARIMJEE WAKIAGA MWILI WA MAREHEMU DKT.NDUGULILE
Переглядів 26228 днів тому
SPIKA WA BUNGE TULIA ACKSON AKIZUNGUMZA KARIMJEE WAKIAGA MWILI WA MAREHEMU DKT.NDUGULILE
HOTUBA YA RAIS SAMIA KIFO CHA DKT.NDUGULILE "ALIKUWA NI MCHAPAKAZI KWENYE UTUMISHI WAKE"
Переглядів 11028 днів тому
HOTUBA YA RAIS SAMIA KIFO CHA DKT.NDUGULILE "ALIKUWA NI MCHAPAKAZI KWENYE UTUMISHI WAKE"
HOTUBA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA KIFO CHA DKT. NDUGULILE,TUTAMKUMBUKA KWA MENGI
Переглядів 9028 днів тому
HOTUBA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA KIFO CHA DKT. NDUGULILE,TUTAMKUMBUKA KWA MENGI
SIMANZI HOTUBA YA HALIMA MDEE NA BALOZI DKT.NCHIMBI KARIMJEE KIFO CHA DKT NDUGULILE
Переглядів 45628 днів тому
SIMANZI HOTUBA YA HALIMA MDEE NA BALOZI DKT.NCHIMBI KARIMJEE KIFO CHA DKT NDUGULILE
Nimesahau mbwa ww😅😅😅😅
Huyu mama anamwamin mungu pia anahofu ya mungu.
Kwanini gari liletwe na manager?
Zote kali baba unajua kuimba sana unajua man sio sili kaza mwendo bado upo fit achana na mambo ya duniani ayo.
Nakubali baba unajua kama vip ingia hapo kwa wasafi hapo boy ukajipange kama vip mzee mwenzangu linex.
Msajili wa chama cha siasa yy haoni kuwa kuna umhomu wa ukomo wa kiongz kwenye chama cha siasa? Katiba ya chama inaruhusu ata mihula 100 gombea tu. Lkn katba ya nchi yy kwenye urais inaukomo
🎉🎉🎉
Kiki zingine zinaboa
hio sauti sio ya rayvany
Linex rudi ufanye mziki tunakukubali sana mtaaani na ngoma zako tunazimiss sana
Da. Sawa mama yangu
Mm nna waswas hii ni kiki
Uyo chui ni nan mbn wat wanatumia picha ya Rayvanny wanaaema ND yy em tuweken saw Mana hatuelew
Tatizo lako kubwa nikwamba pamoja na usomi wako wote hauja elimika hata kidogo,hakuna mtu yoyote duniani ambae yupo juu ya sheria,watunga sheria ndiyo wavunja sheria,Lisu ni mwanasheria mzuri lakini pia ni mpotoshaji mzuri vilevile,watanzania tusipo kua makini Ataiungiza nchi hatarini,sheria inasema unapo m tuhumu mtu ukafikiria katenda kosa fulani haimaanishi kua tayari huyo mtu atakua moja kwa moja amekosea,isipokua Mahaka ikichuguza ikakuta huyo mtu ana makosa na aka hukumiwa,hapo ndipo mtu yoyote anaweza aka simama mbele ya huma nakutanga kua huyo alie hukumiwa anayo makosa,lakini nashangaa sana Tundulisu kila mara akisimama kwenye majukua anapiga kelele kua Makonda alifanya njama za yeye kupigwa Risasi,hii siyo sawa kwa mwanasheria anajua sheria kuongea hadharani kwa vitu vya kudhania,Lisu hacha ku onea watu na uanasheria wako,jaibu kua muugwana,jaribu kua na busara kidogo,hacha kufyatuka.
Manager kwani nyimbo mnaiachia lini ?
Hio sio sauti ya rayvany
Eti mtoto ana mabilion mengi kuliko yeye kwaiyo kwasababu yeye ni mzazi anatakiwa awe na pesa kuliko mtoto
Binafsi nimemuina mama yetu ni mjinga,ko alitaka awe masikin na anapambana kila kukicha.😅
Tuliosikia Hivyo Ni Vitu Vya Kawaida Haviwezi Kumletea Madhara Tujuane Hapa 🥱🤔
huyu anajua mziki uko kwenye dam kabsaa
Wana act
Mama anajua sili nzito uyu kiukweli mama anaakili sana
Wooiiii kube ety n mabo ya kawaida man 😢
Iyi sii sauti ya chui
Arusha kumenoga nahic kama mlichelewa kwa jinsi arusha panavo tamanika kwa sasa kila mmoja wetu tunataman kuja huko kuona uzur wa nchi au taifa jipyaa la wadudu wenyewee AKA MAIN LAIN YA NGIRI YENYEWE
Santé Sana diamond
Serikali izidishe nguvu kwa askari,na ikiwemo ajira na mishahara,kazi mzuri kwao
Mungu akusaidie dada yangu usipokee umauti usio wa mungu
Chuga yote imehamia hapo
Respect simba
Hapo ni wapi
Clock Tower, Arusha
Wew kama unahisi nijeneza peleka msikitin au knisan lisomew dual kama nijeneza utapata majubu hapo hapo
Content hiyo
Huyu mama MashaAllah anahofu ya Allah mungu amzidishie
Dogo acha nae mama jau sanaa
Kabs😂
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 tunajivunia uwepo wako Tanzania 🇹🇿 inaonekana mataifa yote umeingia kwenye history ya Tanzania 🇹🇿
Tanzania 🇹🇿 iko salama mond endelea kuwakilisha mataifa
Kioooo cha Tanzania 🇹🇿
Nyie acheni ujinga huyo siyo mama wa rayvan yule mama yake hana ujinga huo
Nafas Yako niurahis chukua fomu
Urais 🔥🔥
Kwa jawabu zake jamaa ni masonic
Upuuzi mtupu. Wanataguta viewers tuu😊
Msanii gan mbona hatumjui
Boss chui Rayvanny
Kiki
Waongo pia km ingekuwa kweri meneja SI angemsema mtejawake kwenye mitandao
Kuna watu wataingia cha kike watapeliwe.. Hii kitu ipo kimkakatí
mama anasiri nyingi sana moyoni mwake juu ya mwanae nyie hamuwezi kujua mwacheni tu huyo mother
Mama mwamini Mungu, omba shukuru Mungu, kubali zawadi uliopewa na mama Yako na umtangulize Mungu aliyekuumba hakuna kifo hapo, kemea kwa jina la Yesu na utoe sadaka uone baraka za mwanao
Watu wana imani zao za dini ya haki sio yesu wako
Tajir chui acha ujinga mama anakuona una weka mimeno yako kama shetani una hela azijulikan zinatoka wp mama machale kundesa
Kwaiyo mama ajui kbs kazi za mwanae jmn kueni wakweli rayvanny mbona mpambanaji mkubwa tu kwenye taifa ili
Ungekuwa mama yake mzazi usingeongea kwa kujiamini hivyo kupenda Kiki
Huyo msanii ni nan
Rayvanny