AT: ATOBOA SIRI Ya DIAMOND NA ALIKIBA / WALITENGENEZWA /SHILOLE /KISIMA CHA KUINAMA /ZUCHU AMERITHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 179

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 4 роки тому +13

    Mashallah umenikuna haswaaaa katika wote walio ongea wewe babalao jamaniii umeongea point Sana mashallah mashallah mashallah 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @francisaban3873
    @francisaban3873 4 роки тому +4

    Katika wasanii ambayo wamejibu ili swali vizuri..ni huyu tu..kila msanii achague upande wake

  • @لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه

    Yaan umeongea point hata yeye alimpiga nuh mziwanda kachemmka hakumbuki alichokifanya kasahau mkuki kwa nguruwe

  • @chicafourteen
    @chicafourteen 4 роки тому +11

    Kaongea point sana hyu mwamba🔥🔥🔥🔥

  • @EastCoasTGorilla90
    @EastCoasTGorilla90 4 роки тому +8

    Good interview... Jamaa clever Sana. Kaongea point back 2 back!

  • @rimamrisho6047
    @rimamrisho6047 4 роки тому +5

    Wacha nisambaze link hii nimeipenda Sana Sana Sana Sana wallah

  • @salimmohammed111
    @salimmohammed111 4 роки тому +5

    Bro ume bonga sana za wote umarufu ndo twapotea kiu binadamu sure congratulations bro✌️

  • @zamoyonimohamedimam1695
    @zamoyonimohamedimam1695 4 роки тому +12

    Umeongea point wng..Mercy amefarik juzjuz lkn saut haijapazwa zaid ya Joyce kiria ndo alikua mstar wa mbele hatujaona kiongoz alieguswa na hilo na weng wanaangamia sana wanawake bila kusikika, sasa shilole ni sawa tu na sis wanawake wengne tusio na majna hatujulikani ,asante sana AT kwa kukumbuka wengne Allah akusmamie ktk mambo yk!.

  • @mikidadihussein5152
    @mikidadihussein5152 4 роки тому +12

    Kwani uchebe kawakosea watanzania au kamkosea mkewake

  • @tumakassim6286
    @tumakassim6286 4 роки тому +8

    Ni kweli Shilole mwenyewe alikua anakiri kwamba alikua anampiga Nuhu Mziwanda

  • @khadijaissa768
    @khadijaissa768 4 роки тому +4

    Umesema ukweli hajasema mtu yoyote. Kuhuc unyanyasaji Binaadam wote sio upigwe vita wa watu marufu

  • @salmangassu1011
    @salmangassu1011 4 роки тому +19

    Nakupenda we Kaka acha2

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 4 роки тому

      Jmn mm pia nampenda huyu kaka vby mno yaan nikimuon moyo wng fyuuuu unafurahiiii ningekuw na no yake nichat nae tu niwe nacheka kwa furah

    • @salmangassu1011
      @salmangassu1011 4 роки тому

      Yani ki2 kumoyo 💕💚💜❤hanaga mambo ya kiki na akiongea unapenda 2 anavyo jielezea

    • @raylaabdallahm9678
      @raylaabdallahm9678 4 роки тому

      Kweli.upo sahihi

    • @raylaabdallahm9678
      @raylaabdallahm9678 4 роки тому

      Kweli.upo sahihi

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 4 роки тому +2

    AT msema kweli daaaa😂😂😂 kasoma gazeti la udakuu huyo ROMA😂😂😂

  • @Weplanetitsolutions
    @Weplanetitsolutions 4 роки тому +1

    I'm proud of you brother AT, GOD BLESS YOU MINGI, NAPENDA WATU KAMA WEWE KATIKA TASINIA YA MZIKI KAMA KIONGOZI MSIMAMIZI, MAANA UMEITENDEA HAKI INTERVIEW YAKO. MUCH RESPECT 💯🙏👌

  • @nellymatalanga5033
    @nellymatalanga5033 4 роки тому +3

    AT youre right shishi used to beat Nuhu no one said a thing she thought she would do the same to Uchebe .am not saying hitting ladies is ok but Tht woman needs to change her behaviors 😂😂 alitaka Kiki na sympathy

  • @yassirgk3954
    @yassirgk3954 4 роки тому +3

    hahaah kweli huenda roma kasoma gazeti tu mana kama kusoma kila mtu kasoma ujue Ally tall we noma hahahahhhahahha lina mipoint hili jamaaaa hahaha chadema watu milioni 6 ccm watu milioni 8 ukishabikia ccm umepoteza watu milioni 6 haya ukishabikia chadema ccm utakua umepoteza watu wangapi hahaha roma tuache ccm oyeee hahahahahahh

  • @simatvchannel
    @simatvchannel 4 роки тому

    Dah At.yuko vizuri nimemwerewa vizuri Sana katupa interview yakisasa pongezi kwake brother

  • @susanejd7775
    @susanejd7775 4 роки тому +7

    Umeongea ukweli na unaeleweka vizuri sana

  • @zaidizabron2294
    @zaidizabron2294 4 роки тому +7

    IT,uko sawa kaka big up

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 4 роки тому +1

    Hata mimi nilishangaa na bado naendelea kushangaa sana eti Shilole kubigwa imekuwa gumzo kila kona utadhini yeye ndiyo wa kwanza kupigwa hii yote ni kumuonea Uchebe kisa sio star kama wao.

  • @ph.mahmoudjrsperrachee6922
    @ph.mahmoudjrsperrachee6922 4 роки тому +1

    True

  • @milliahachenya2749
    @milliahachenya2749 3 роки тому

    Hawa waliwakuwa wanamziki wazuri sana aki wamekosa full support,msikize anavyosema,very sad😭😭

  • @masebochris3050
    @masebochris3050 4 роки тому +6

    Uko vizur Sana ume eleweka mzee

  • @tumakassim6286
    @tumakassim6286 4 роки тому +11

    Hakuna aliesahau wanajisahaulisha,hata huyo Shilole nae alikua anampiga Nuhu Mziwanda watu wote kimya’

  • @Jicholauswazitv
    @Jicholauswazitv  4 роки тому +5

    ASANTE KWA KUTAZAMA USISSHAU KUSUBSCRIBE CHANNEL HII.🙏

  • @princehalawa_official7980
    @princehalawa_official7980 4 роки тому +2

    Shilole ni mtu asiejielewa shilole hajifaham nilikiwa nikimpenda sana lkn nilimchukia zamani sana shilole tangu alipotoa dharau kwa mzee wa Liquid kwnz huyu dada anajiona balaa lkn angejiona asingeringa alikuwa akimpiga sana Nuh

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 4 роки тому +6

    Umeongea point kubwa sana

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka 2 місяці тому

    Upuuz, m2pu, watengnezw mmoja akae juu miaka yote.. kutaft jina 2 mjn

  • @lilloaisha5345
    @lilloaisha5345 4 роки тому

    Eti hata inzi anajina lake ujinga wake alienda chooni mwenzake nyuki yuwatengeza asali 🤣🤣🤣

  • @deeruta9894
    @deeruta9894 4 роки тому +12

    100% true 👍🏽

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 4 роки тому +1

    Kilichonileta hapa ni baada ya kuona jina la WCB na Diamond

  • @mustaphambwana7944
    @mustaphambwana7944 4 роки тому

    Uyu jamaa sijawai kuona interview take yoyote alio kosea majibu ya kutosheleza ata kwa watazamaji

  • @thegreatconceptc9
    @thegreatconceptc9 4 роки тому +6

    Daaah jamaaa yuko vizuri hatar iq hapa iko vizuri safi sana kaka

  • @ditomwakei2288
    @ditomwakei2288 4 роки тому +4

    Nimekuelewa mkali

  • @dj26number2
    @dj26number2 4 роки тому +2

    Uyu jamaaa genius sana

  • @mariamfaki1498
    @mariamfaki1498 4 роки тому +13

    Ni mkarimu ameongea vizur
    sana

  • @lionking3015
    @lionking3015 4 роки тому +5

    Right on point. Big up bro

  • @kerjoyofficial9213
    @kerjoyofficial9213 4 роки тому +4

    Point sanaaaa

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 4 роки тому +1

    Well said 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 4 роки тому +1

    AT umeongea kihekima bro

  • @teminajeuri347
    @teminajeuri347 4 роки тому +4

    Umesema ukweli 👏

  • @pendogotora1871
    @pendogotora1871 4 роки тому +1

    kweli nenda tarime ndo utajua wanawake wanapingwa au shishi kanguswa tu ndo watu sasa wapaze sauti wanawake wananynyasika sana vijijini jamani kweli bro unafiki unatakiwa uishe jamani

  • @akrammahtabi935
    @akrammahtabi935 4 роки тому

    Kweli काका unayoyasema

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 4 роки тому

    Umeongeya vizuri san A.t nakukubali San hadi msikiwako

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 роки тому +1

    Huyo ndio AT ayaaaa mzenji kwa manenoooo mtakeshaaaa🤣🤣🤣🤣

  • @chriskingnampoto3214
    @chriskingnampoto3214 4 роки тому

    AT unajikunaje sasa jikune kiume

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 4 роки тому +9

    Umeongea kweli mashaalla una maarifa ndugu

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 4 роки тому +4

    That's good bro.

  • @Swahili_Wisdom
    @Swahili_Wisdom 4 роки тому

    😂😂😂 Dah AT Yuko very smart Sana ..kwel uligundua watu hawapendani Et Wameleft Hata Nusu saa haijaisha wanakuuliza Tena "Unafeli Wapi" ..Na Ndomaan Wanaijeria Wasanii wao Wanafika mbali cz wana Aim Wengi watoke sio Wachache tu wale keki peke Yao.. Na kaul inasema " Uktaka Kufka mbali nenda na wenzako, Maana Nguvu inakuwa Kubwa sna na Utajkuta Mahali ulipotakiwa utumie Miaka 5 ufke utatumia Miaka michache au mda mchache Kufka mbali Maana Mnakuwa mna push Mlango watu Wengi Hivyo Utafunguka Na Wengi Watapita

  • @shakilaburhan9552
    @shakilaburhan9552 4 роки тому +3

    Safi sana

  • @سلامهكينيا-ث4س
    @سلامهكينيا-ث4س 4 роки тому +4

    Very true A T

  • @salisali3738
    @salisali3738 4 роки тому

    Asnte kaka umeongea pont

  • @فاالشبيبي
    @فاالشبيبي 4 роки тому +1

    Kaka yetu tumekumbuka nyombo zako zilikuwa nzuri sana mbona haujatiwa nyimbo mpya

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 4 роки тому

    Haya mambo ya mke namme yapo kilasiku ukifanyakosa lazima unyoshwe kupigwa ni suna bhana umeongeya point San At

  • @amimulashidy3669
    @amimulashidy3669 4 роки тому +1

    Asante sana kwa busara zako najua watu wengi wanajifunza mengi.

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 4 роки тому

    Unaogeya Vema kabisa

  • @atanasjisonge2538
    @atanasjisonge2538 4 роки тому +2

    Safi sana At ushauri mzuri

  • @abkmavoko
    @abkmavoko 4 роки тому

    At balaa

  • @suleymanially974
    @suleymanially974 4 роки тому +3

    Mm nakupenda sana ndugu yangu ww huwa unasema kweli sanaa

  • @yusuphmwanza3156
    @yusuphmwanza3156 4 роки тому

    Wewe. magufuli kachukua kwa nguvu michango waliokuwa wamechangiwa watoto wa laki vicent kawazurumu watu wabukoba waliopata tetemeko la ardhi, kazurumu pesa zilizokuwa zimechangwa kwa ajili ya wahanga wa meli kule ukerewe

  • @fatmaomar8497
    @fatmaomar8497 4 роки тому +4

    Ukweli mtupu ....wewe ndie dume...hao wabongo ndio walivyo...hawapimi

    • @partnersah8802
      @partnersah8802 4 роки тому

      Wewe wa wapi

    • @SamuelCharles-111
      @SamuelCharles-111 4 роки тому

      @@partnersah8802 huyu mzanzibar, wazanzibar sisi wabatu wa wabara wanatuita wabongo, nimekaa now😂😂😂😂😂

  • @siwemasaid2619
    @siwemasaid2619 4 роки тому +4

    Point 💯

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 4 роки тому

    Nikweriwasani munachuki acha vanesa aache

  • @rimamrisho6047
    @rimamrisho6047 4 роки тому +1

    Sio kina baba levo wanaochochea ndoa za watu kuvunjika wale watu wabaya kweli

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 4 роки тому

      😂😂😂😂Yule ni mchekeshaj ukimfuatilia sana unaweza ukaumia ni mzee wa masiharaaa

    • @mussaabobakar7537
      @mussaabobakar7537 4 роки тому

      @@beautyibrahim8428 hakuna masihara kwa mke wa mtu yule yupo kwenye masihara na ukwel umo umo

  • @pilimbalike6740
    @pilimbalike6740 4 роки тому

    Alikosa adabu ndio maana akapigwa

  • @karthala6676
    @karthala6676 4 роки тому +1

    Well said brother

  • @peterokalo9632
    @peterokalo9632 4 роки тому +1

    This man is primitive

  • @ostazjumanamusoma7586
    @ostazjumanamusoma7586 4 роки тому +4

    😂 😂 😂 😂

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 4 роки тому

    Mmh watangazaji munapenda kurefusha mambo ambayo yameshaongelewa kwa muda mrefu halafu munauliza kila mtu sijui mutapata majibu ya mbinguni au vipi.

  • @franklinmganga736
    @franklinmganga736 4 роки тому +1

    mnasikia nyie mnao jifanya mpo kwenye dunia yenu ya Instagram🙀aka masuper star

  • @CarosKitchen
    @CarosKitchen 4 роки тому +3

    🔥🔥🔥🔥

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 4 роки тому +2

    Ametisha

  • @khanifajoy7473
    @khanifajoy7473 4 роки тому

    Yani AT umeongea kama watu 100....shilole no kama wanawake wengine isiwe yeye tu kila mahali...Kwani kaanza yeye kupigwa....wangapi wapigwa wala husiki mtu kukohoa

  • @joemaabdarha9795
    @joemaabdarha9795 4 роки тому

    Wewe AT Wacha Ujinga Maendeleo Gani. ??? Bora Tuwe Kama Pemba Tueshimiane

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 4 роки тому

    Big up. Roma nimemsikliza sana hata zile nyimbo zake,zimesimama kwenye vyama.ukiwa mwelevu anajua tu huyu ni mpinzani!!!!!

  • @pericyandy3798
    @pericyandy3798 4 роки тому

    Umesema kwel AT maana hata huku kwetu kuna mdada alipigwa mpaka akang'atwa sikio na mumewe lakn ikawa kimya huyo Shilole nani.....

  • @bbb6nnn561
    @bbb6nnn561 4 роки тому +1

    Nikwelii umeongea pwety

  • @fiziparadise7808
    @fiziparadise7808 4 роки тому

    Siyo wote wanahimba wana akili kama ya AT. Well said bro.

  • @degetouch9031
    @degetouch9031 4 роки тому

    Naombeni namba ya At mwenye nae anitumie 0692937327

  • @zainabubakari8489
    @zainabubakari8489 4 роки тому

    Point tupu an wanawake tuko wengi lkn hili jambo la shilole ndo limeonekana sana ila huku mtaan wengi tyuuu wanapigwa lkn hakuna kinachofanyika hapa kuna matabaka

  • @lilloaisha5345
    @lilloaisha5345 4 роки тому +1

    Hii ndio inaitwa busara,big up Kaka umeongea ukamaliza👍

  • @juxjemc5768
    @juxjemc5768 4 роки тому

    Umeaongea point mzanzibar mwenzangu wallah ukipata wenzako kama watano ttyu bas wasanii watajiongeza hata umalaya wataacha

  • @htx1873
    @htx1873 4 роки тому

    Jamani nimecheka, eti nilikutana na Dudu baya wasafi festival Kelele zote zile kakaa kimnya kama katolewa mahali ( Pisa ) 😂😂😂😂😂😂

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 роки тому +1

    Kweli kabisa point kaka wote wanafiki

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 4 роки тому

    Point nzuri na ni fact kabisa.
    Ila wacha kazi hii haikubaliani na amri za Muumbaji.

  • @salimstambuli7270
    @salimstambuli7270 4 роки тому

    AT...wewe ni MTU mzima ....wambie ukweli Kaka ...wanawake maskini wanaumiaa sanaaa

  • @livingstoned3890
    @livingstoned3890 4 роки тому

    Asiombe radhi kwa watanzania aombe radhi kwa shilole kwani mkewe hakupigwa na watanzania

  • @aminamodi8927
    @aminamodi8927 4 роки тому

    AT UMEONGEA POINT BRO WATU HAWAYAONI HAYO WANAHEMKA TUUU KAMA KWELI WAMEUMIA BASI WAENDE KUMUULIZA UCHEBE KULIKONI ISIJE SHILOLE ALIKUA NA HAMU YA KUPIGWA KAMA HAMU ZINGIE
    HUO NI MSAMIATI NDUGU ZANGU

  • @rimamrisho6047
    @rimamrisho6047 4 роки тому

    Wallah ni kweli maneno yako viongoz wanatazama umarufu wale walopigwa mpaka kufa hakuna alopaza saut wala nn walikaa kimyaaa kweli kabisa umeongea kweli Tena kweli

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 4 роки тому

    Jamaa namwelewa... eti, Chris brown ni wa taarabu ama lil Wayne ni pikipiki

  • @saadakiyungi6437
    @saadakiyungi6437 4 роки тому +1

    Nampenda huyu kaka jamanii

  • @dulla_paree_tz2431
    @dulla_paree_tz2431 4 роки тому

    Bro Nakubalisana ukweliwako

  • @hadijandenga4025
    @hadijandenga4025 4 роки тому +1

    Safiii

  • @shabaniramadhani4109
    @shabaniramadhani4109 4 роки тому +1

    At umeongea Point Sana

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 роки тому +2

    🤝👍

  • @brightluvanda2795
    @brightluvanda2795 4 роки тому

    Kweli kabisa!huyo Roma aelewe kuwa MUNGU anamuona !.

  • @omardaudi2928
    @omardaudi2928 4 роки тому +5

    Umeongea vzr sana,hongera sana AT

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 4 роки тому +6

    ROMA anataka choko choko ili apewe uraia wa Marekani kama mkimbizi wa kisiasa ,
    Alijiteka mwenyewe akajirudisha , kaishiwa mashairi kabaki vijembe tu .

    • @salminisalehe9417
      @salminisalehe9417 4 роки тому

      Tumia Akili Acha Kutumia Mavi kwenye Kufikiri

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 4 роки тому

      @@salminisalehe9417
      Mashoga mna kazi nyie , kwenye kila kitu mnawaza mavi tu kwa sababu ndio mnachezewa , katafute bwana mie sifanyi mchezo huo , nimemzungumzia ROMA unawashwa wewe , au Bwanaako ???

    • @boanergegift5258
      @boanergegift5258 4 роки тому +1

      @@chayogasperi9783 unaznguaaaa weee jamaaa sasa ushoga apoo uko wapi??? hv umeelewaaaaa swaliii na majibuuu yakeeee??? daaaaah kweliiii kuna watuuu na viatuuuuu😂

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 4 роки тому

      @@boanergegift5258
      Huyo Salmin Salehe
      aliponiambia mimi nitumie akili kwenye kufikiri , nisitumie mavi umeona sawa ?? yeye hakuzinguaa ???
      Kaandika mavi na mie nimemjibu kimavi mavi .
      ( kalipa nimemrudishia chenji )
      Sawa ???

  • @omarmohd1635
    @omarmohd1635 4 роки тому +1

    Respect

  • @ayshenagib6462
    @ayshenagib6462 4 роки тому +1

    Fact