DUDU BAYA : DIAMOND NI MNAFKI BABA AKE HANA PESA ATA YA BARAKOA/ HARMONIZE KAKIMBIWA NA....
Вставка
- Опубліковано 1 жов 2024
- Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
FOLLOW US
Follow on Instagram: / mwendokasitv
Follow on Facebook: / mwendokasimedia
Oya tunaosoma comments kwanza like zenu apa please!!!
😁😁😁😁
Nikiona Konki Master hata kama sina bando nakopa niangalie....napenda tu uwazi wake
I'm from Kenya but l really like Konki master🇰🇪
Nkusikizia nkiwa kenya ,nkupeda tu konki master kwa kuwa m...wazi.nimelike hapo umezema dunia duara dufu....nmekupa like master
Kweli kabisa usiruhusu mti apore furaha yako huyu ni mtu wa ukweli
True
Huyo anaonekana wazi hampendi harmonize .diamond hatoki pesa mbele za watu? Kwa nini husemi siri za diamond ? Kwa nini ka fungiwa kutowa nyimbo ? Sema unaogopa levi moja
Umeongea point Dudu 🤝
Dudu upo sahihi.ila kichwacha habri wameandika hivyo kama unavyojua kama bila diamond hakiendi kitu.hapo wakiweka diamond hakunamtu atapita bila ya kusikiluza..mpango mzima ni diamonf.hatuli hatunywi hatuvai hatulali bila ya simba..Safiii dudu baya
Hawa ndio wana hiphop halis kila neno uliloongea ni point kama vip wasanii tengenezeni studio yenu na mameneja wenu kwani bei gani?🤪🤪🤪
Wanajua ukwer dudu yuko sahihi
Wise words, kondeboy, wcb ndio uongelewa Sana Hadi utadhani they are the gods of Tz
Konki master
08:20 charity begins at home.safi kabisa
Hahahahaha mwambie daimond
Mungu anaweza kumtumia hata kichaa kufikisha ujumbe wake. This man always reveals open truth.
Hongera broo dudu office iko good#
Dudu kichwa aiseee💪
Dudu BAYA you are the best,kwa kweli umewapigania sana wasaniii,
Nakubali brother dudubaya
Dudu "Ushanielewa Vizuri" Baya!
Dudu mbaya sio kuaprojaisi ni kuapologize bhn
Yaani nyie wangese kweli kichwa cha habari tofauti na habari yenyewe
This is what I call liberal mind. I love this.
Mbona mgk Na Eminem,yelawolf wanashiriki BET awards
Kweli dudubaya wachane
Konki master uzidi kuongea uwazi kwa wasanii wote kwa jumla. Usipendelee wachache, ila nakuelewa sana +254
Dudu baya pia ana mashabiki??
Acha mambo ya bonga maana hauna ukweli wowote kuhusu yeye
... Safi sana Kamanda
We ni master tu
😃😃😃😃😃 makapi
Konki master.
✊✊
Saruti
Hahahahaaa
Yani mtu akikusikiliza anaweza kukuona ww mtu na unatetea watu kumbe ni upumbavu na ujinga ulionao na miwivu na kufilisika kimawazo unaweza kuongea ujinga aleyekwambia watu wanapanda jukwaani bila kusaini ni nani?unadhani serikali inapataje pato hapo?huna unachokijua zaidi yakutukana watu pumbavu kabisa
😆🇰🇪
Some time unakuwaga na akili
Dudu mbaya sio kuaprojaisi no kuapologize bhn
👍
Dudu mbaya sio kuaprojaisi no kuapologize bhn
huyu jamaa alimuita mange eti kamburu kenge
😂😂😂braza
😂😂
Nitumie wimbo uitwao usiku munene
Jamaa ni mwanaharakati kwelikweli ..
Hajawah kudharau online media huyu jamaa
Dudubaya anaongea point kabisa
Ukwell mtupu
Mbona kichwa cha habari tofauti na habari yenyewe
Saivi nakuita DUDU ZURI hadi afya imerudi
Bug up
Konki nakupendea ukweli kaka wape wape mafala hayo
Kiukweli sasa umebadilika ulikua ukinikwaza sana kwamatusi
Umeongea keel huy ni fala th
Kweli saidia watu wako wakatibu kwanza
Maneno yako yame enda shule konki 3
Hili neno kubaniwa mbona hakuishi mdomoni why kubali.maisha mengine yaende
Kumbe lebo ni nyingi hivi!
POMBE ITAKUUWA DUDU BAYA
Dudu mbaya ninoma
Kweli umeneri dudu baya
Umeongea point
Konk3 🔥
Kweli kabisa
Ukweli mtupu
Konki konki konki master.
Kapitel😂😂😂😂
Pointi
Vp
Vp
True
Nakubali
Kwa hapo dabble umesema Big up Sana wasipo kuelewa na hapo basi tu wana yao
Good
Nikiona Konki Master hata kama sina bando nakopa niangalie....napenda tu uwazi wake
Kawa mpore
MTU wa Mungu na MTU wako nae nani ,we vipi mtangazaji kila Binadamu kaumbwa na Mungu hivyo wote tu watu wake.
Kama hujaelewa bado hujakua
Bahati bukuku
Dudu zuri nimekuelewa sana boy sio wasanii tu hata mafundi umeme nao wanaitwaga kufanya kimeo🤣😋🤣
V v
Dudu mbaya sio kuaprojaisi no kuapologize bhn
First Comments in Mwendokasi Tv
Umecoment nini sasa hapo...YANI UMETOA MAONI GANI KWA MAUDHUI HAYA...AU HUJUI MAANA YA HIYO COMENT??
@@allykigatta7564 nimetumia MB zangu
Ally Kigatta 😂😂😂😂
Yani umecomment nini ili tukisome??..umeaema ni wa kwanza kukomenti..mbona hakionekani hapa ktk platfom...au ulikusudia kusema WA KWANZA KU "VIEW"..???...
Jamaa anaongea vitu vizur sana
tenho boa vida
Serto?
Se é serto não problema.
Hamna kitu hapo. Hayo yote yalishapambaniwa na malejendari. kwa anayefuatilia muziki wa tz anaelewa. Na huyu alikuwa ni mmoja wa waliokuwa vikwazo dhidi ya wapambanaji real. So apo ni blabla tu.
Acha ujinga wadanganye wasiyojuwa mziki swali 20paa yukowapi hakuwa na uwezo au niwahuni kamawewe mlimzima jumanecha yukowapi nura yukowapi MWACHE DUDU BAYA AWACHANE HAO NIWEZI NIWAUWAJI WA VIPAJI UKIWEMO N.A. WEWE.
@@reganfredyringo7432 hahahaha
kiboko yako loma tu
Wewe mtoto huwezi sema eti kiboko yake labda ungesema sugu Jaymoe siyo huyo roma
Kakojoe ulale.. Kiswahili chenyewe hujui.. Eto loma
big up
Dudu mbaya sio kuaprojaisi no kuapologize bhn
Dudu mbaya sio kuaprojaisi no kuapologize bhn
Chiziiii