Jinsi ya Kujenga Pumzi Katika Kwaya | Tumia hayo Mazoezi.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • Waimbaji wengi katika Kwaya huwa wanatatizo la Pumzi ya Kiuimbaji, ama hawana kabisa au wanayo lakini hawana mbinu za kuitumia wakati wakiwa katika majukumu yao ya Uimbaji. Somo hili kwa namna moja linaweza kuisaidia Kwaya yenu Jinsi mnavyoweza Kujenga Pumzi kupitia aina hizi za Mazoezi. KARIBU TUJIFUNZE.
    _________________________
    JRMI ONLINE VOCAL CLINIC:
    kupitia hizo Link unapata furusa ya Kujifunza yale ambayo hukuwahi kujifunza hapo Kabla. 👇👇👇
    1. MAZOEZI SAHIHI KWA MUIMBAJI
    • #VocalClinic - Mazoezi...
    2. JINSI YA KUIMBA SAUTI YA PILI.
    • #VocalClinic - Kwaya P...
    3. UTAMU WA SAUTI YA TATU
    • #VocalClinic - Kwaya. ...
    na endapo utahitaji Mafunzo binafsi ya Uimbaji Sauti na Muziki, wasiliana nami kupitia Namba hiyo: 👇
    WhatsApp +255 (0) 755 340532
    _________________________
    JRMI MUSIC SHOP
    Online Music Promotion & Music Distributer
    fuata hizo 👇👇Link kuingia Dukani ili kustream na kudownload Njimbo za Injili
    DISTROKID:
    distrokid.com/...
    FACEBOOK:
    / jrmimusicshop
    FACEBOOK - (Golden Harp Singers-Tz)
    / goldenharptz
    _________________________
    SUBSCRIBE
    Kumbuka KUSUBSCRIBE channel hii ili Usipitwe na Nyimbo za Injili pamoja na Mafunzo ya Uimbaji Sauti na Muziki yatakato kufikisha kwenye Ndoto yako.
    👇
    / @jrmimusic24hrs
    _________________________
    Naitwa:
    Mtayarishaji Yusuph Johnson.
    Mwalimu wa Sauti.
    Mtayarishaji wa Nyimbo za Injili.
    Pia Kwa Mafunzo ya Uimbaji Sauti na Music.
    Unaweza nifuatilia katika hizi Link:
    👇
    INSTAGRAM:
    / mtayarishaji_johnson
    FACEBOOK - (Mtayarishaji)
    / mtayarishajyjohnson
    +255 (0) 755 340 532
    @jrmistudio

КОМЕНТАРІ • 1