Amina mtumishi wa MUNGU,jana nilisoma wafilipi na nilipata mafunuo ya kufunga kwa kutumia neno hilo nililolipata hapo na nikaanza kufunga kavu kabla ya kupita hapa leo na kusikia somo hili nikiwa kwenye mfungo wangu,huu kwangu ni uthibitisho wa ROHO mtakatifu..barikiwa sana mchungaji
Ubarikiwe baba kwa somo hili ulilofundisha, namuomba hanisaidie niweze kusimamia nguvu za Mungu kwake.
Thankyou Jesus for this word, I was weak in my spiritual man but now the word has come to strengthen him.
Amen 🙏🙏🙏🙏 siwezi kataa tamaa nitadumu katika imanii
Hakika wewe ni mtu sahihi ulieandaliwa na Roho wa Mungu na Mungu akutumie kuufikisha neno Lake masikioni mwetu ubarikiwe sana
Be blessed Ur msg is powerful
Amen 🙏 🙏 nimefuatilia mafundisho Yako mtandaoni nimebarikiwa sana Asante,nko 🇰🇪
Wewe ni zaidi ya pastor wewe ni mwalimu hakika. Mungu akibariki sana.From Geita
Pastor ninakuelewa mpaka najiona nimeshakuwa tajiri na mtu mwenye Nguvu sana katika mambo yote kwa jina la Yesu kristo.
Haya mafundisho imekuza kiwango cha imani.asante pastor
Amen mtumishi umenigusa kweli ubarikiwe
Amen Mungu akubariki mchungaji nabarikiwa nikiwa lraq.
Pastor ubarikiwe maneno unahubiri Yana nguvu mno ,,amen
Amina mtumishi wa MUNGU,jana nilisoma wafilipi na nilipata mafunuo ya kufunga kwa kutumia neno hilo nililolipata hapo na nikaanza kufunga kavu kabla ya kupita hapa leo na kusikia somo hili nikiwa kwenye mfungo wangu,huu kwangu ni uthibitisho wa ROHO mtakatifu..barikiwa sana mchungaji
Amen Amen nabarikiwa sana🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Asante mchungaji nmekua nkiskiliza mahubiri yako ucku ucku wa manane nmefunguka kiroho
Hakika ninabarikiwa sana tena zaidi nimepata sehemu yangu 🙏🙏🙏 ubarikiwe mtumushi wa Mungu
We baba umejua kweri kunifungua kwa neno🙏🙏🙏
Mtumishi huyu ameinuliwa kwa saa na wakati huu....kwa uhitaji wa mafundisho ya maarifa kwenye kanisa la MUNGU..barikiwa bava❤
Amen 🙏 Asante pastor nimepata nguvu mpya 🙌🙌🙌
Nabarikiwa Kutoka DRC UVIRA,
asantie pastor mungu akubariki Sana Hali ZTE umeongea n Nina pitia BT ntavuka kupitia kwake yesu
Nakuelewaga sana pastor Mungu akubariki sana azidi kukutumia nakukufunulia Siri za Mbinguni
Ee MUNGU nisaidie utu wangu wa ndani kuwa na nguvu zako🧘🧘🧘
Asante kwa somo linalonipa nguvu zaidi, MUNGU akubariki
Mungu atusaidie katika safari ya mbinguni.
Mchungaji umenibariki sana .Una kibali kutoka mbinguni.Mungu akutunze kila sekunde❤
Soo powerful service 🙏🔥be blessed mtumishi
Mungu naomba fufua utu wngu wa ndani kwa jina la yesu
❤❤❤ yaani nakeshaga na haya mahubiri
Wattu wa mwanza hakika mmepata mtu sahihi wa kuwapeleka mbinguni msilegee.❤
😊😊😊😊
A
Mungu akutunze baba
Mtumishi nabarikiwa sana na mafundisho yako
Nampenda hakika kanitoa kwenye laana za familia huyu baba Mungu kamuumba ... Amuweke miaka mngi
Nikona siku tu kadhaa tangu niliaza kukuzikilisa ila nimebarikiwa sana ni ujumbe zako Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Wewe ni zaidi ya pastor
Mungu wa mbinguni akutunze sana Pastor, unanivusha mahali
Nakuelewa sana Pastor
Amen Amen Amen Amen Amen 🙏🙏🙏
Amen
Asante pastor 🙏🙏
Amen and amen hallelujah be blessed pastor ✋🙏
Bwana nitie nguvu mtu wangu Wandani~🙏🙏
Nimebarikiwa sana
I'm blessed with your teachings and I wish to grow spiritually
Hakika Bwana akubariki Sana mutumishi wa Mungu naomba tu kama unaweza kuongeza sauti kwani nimepoteza mengi Sana ambayo sikusikia vizuri
Wau nimebarikiwa na mafundisho yko mtumishi wa MUNGU Be blessed
Mtumishi unafundisha hakiki,, mwenyezi MUNGU azidi kukuinua katika kweli yake.
Amen so blessed by the word
Amen 🙏🙏 pasta nabarikiwa kutoka Kenya but Kwa sasa Niko Saudi Arabia kikazi
Nakufuatilia toka Saudi Arabia
Mombasa Kenya nakusikiza...ujumbe unaotia Nguvu kweli
🎇Very impactful ministration ✅
Hallelujah
Mtumishi asante kwa mafunzo mazuri
Huyu ni real mwalimu.nampenda sana
Me nakupenda tu mwalimu wangu
Amen Amen
AMINA
Amina🙏🙏🙏
AMEN 🙏
Ameen
Ameeeeeen
Amen Amen Amen 🙏🙏
Shikamoo pastar rispact
Yoshua 14:10-12
MTUMISHI KWELI UMEITWA NA MUNGU. UNA MAFUNDISHO YALIYOJAA NGUVU ZA MUNGU. OH UTAKUJA LINI DAR ER SALAAM.
NAKUPENDA MWALIMU WANGU
UNANIJENGA SANA
MTUMISHI ANZISHA KANISA DAR.
Hakika wewe ni Mwalimu bora,haya ni zaidi ya maarifa.
Zaburi 96:6
Amina
Mimi na balikiwa Sana juu ya mafundisho mungu akuinue Sana nakupenda sana mtumishi
Yuda 1:20
ASANTE Sana
Isaya 40:31
Naomba number ya simu
Hakika una madini hadimu mtumishi.
Roho mtakatifu azidi kukutumia
Huyu mchungaji jamani sijapata oona Mungu anavyombo dar mbali natamani niwe nasali hapo ila asante Yesu napata Neno utube
Hili Somo kila nikisikiliza najazwa nguvu upya
AMINA
Amen.
Nehemia 8:10