Ukiendelea kunishangaa nakugonga makofiii😂Jamaniiiiiiiiiiiiiiii❤mm ndo nime angalia sahivi🤝 Steve anachoma mwenzakee etii nipo na teodolo sababu yakugonga kengele anawapa🏃 vibe😅hatali like jamaniii
Steve jitahidi kuweka maneno ya kingereza chini ya hizi video zako mana unatizamwa na wengi sna hapa nauliza na jamaa zangu nini amemanisha nakosa majibu kwakweli from Qatar 🇶🇦
Ndugu zangu mna kipaji sana japo kaka chazi chales amesha kufa ila sawa. Mungu amlaze maala pema peponi
Saf kipaji mnacho
Steve una vituko SI haba. Napenda comedy yako
Hahahahaha Steven bwana xaizz umeixhakuwa mkubwa kwenye hii tasnia ya vichekexho , mungu akubarik!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Steve mweusi na Theodore nawakubali pamoja na Madam hajra
Pambaneni jaman
Yani Steve mimi shabiki wako ningekua bilionea ninge kununulia lenji kama ya hamonize kama zawadi🎉❤❤❤
Aksanti kwa kazi munazo fanya,muna furahisha watu wa inchi mbali mbali🇨🇩
Nawakubali sana Akina stive mweusi ❤
Huyu binti "mwalimu" ni mrembo sana❤❤
Binti mwalimu
Safi sana kaka ❤
Steve kazi kama hizi ni nzuri na bora sana kaka tofaut na zile za mkikutana mnaongra weee mpk inaisha haivutii kaz kama hii ni nzurii
eti na wakwanza 😂 Leo Steve amekuwa wakwanza mmefanya vizuri sana na yeye afurahi😂
Watching from Kenya uko sawa kabisa
Ambao tunaiangalia tukiwa nje ya Tanzania tuonane hapa
tupo
Hahaha hahaha hahaha
From Zambia
Tupooo😅😅😅👆
Kabisa
Nakupenda sana Steve! Kutoka Rwanda Kigali ❤❤
Mkn
Nampnda sana loveness macheche
❤
Unashanga nn kashangae feli meli inaeleya shilingi inazama ukiniangalia tena nakulamba makofii😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii sitamai hata iishe nzuri kweli 😄😄😄
Na huyu teacher huwa ameiva mbaya❤
Kila la kher hajra na nyote wahusika love nes ❤
We Steve nimtukutu Sana 😅😅 naomba utuletee behind the scenes tafadhali 😂😂😂😂
Zuri sana from Kenya 🇰🇪
Ezekieli chilakali
Smart teacher
Madam Hajra kwa kweli wewe ni mrembo. Unapendeza kuanzia mwlini hadi matamshi🥰😋💪
Nipeni hata like 10 moja
Stivemweusi
inawezkana huyu steve akili zake azipo timamu sisi tunazani ni comedian😂😂😂😂😂😂
Wee 😂😂😂
😂😂😂
Hata mi naona hivyo
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Dah
😂😂😂😂
😀😀😀😀 Steve jamani ww wafurahisha..unachomea mwenzako 😂😂
Wa kwanza Leo from Tanzania 😂😂
Napendaa komedy yako blasa.. shukrani
Steve ni chuma kilichoshindikan I love our team from tz ubungo
Mayele anafanya examination😂paaapaaa paaa paaa paaaa 😂😂
Oyii brother mweus sikudai kwa kwel unauwa kila sku we ndo comedian wengine wafundishe tu😆😆😆😆😆😆
Hahahahahahaha naona raha kweli Steven mtata hahahahaha Yani unacfurahisha kweli like
Steve ume nichekesha sana ww kwa vituko vyako😂😂😂😂
Hapa hakuna mwanfunzi KwaKweli, mayele yupo class sasa domo kama pira, mtihani urudiwe😅😅😅 Karibuni sana ZANZIBAR muje mufanye utalii wa ndani 🌊🏝️
Nimefika
😂😂😂
Bravo my bro Steven. tu as bien raisonné. je suis ton fan depuis DRC 🇨🇩
daaaah leo nimekuwa wa kwanza naomben maua yangu likes zenu
Haaaaaaaaahhh striven tumeona makosa blaza amja kaa chin mshakaa chini mhhhhhh edit mbovu bro tafuta mwengine
One love from Congo 🇨🇩🇨🇩🤣🤣🤣🤣
Yaan huyo theodoro ukimuangalia tu unacheka 😅😅😂😂😂😂😂
😂😂😂
Mashaallah teacher Hajra❤
Steve unaigiza vizuri sana unatupa burudani sana hongera sana
One love from burundi
Mamb
I'm from India..i can't understand the language but i like this video...if possible please give subtitles in English..tq
Which party of india are you from..I'm a foreigner but I know little bit hindi😊 this is called swahili language...aapko bahut swagat hai..
@@ediusgabriely615 North East India.. Meghalaya
Steve send me the video, I'll include the subtitles for you.
Am a Video Editor from Kenya - Msa.
@@jaintiafun6273 ooh nice..I'm living in western coast party of india Gujarat for 3 years now.😊 mudje aapko jaanakar accha laga..
I am here for you 😂😂
Kweli Steve unavituko 😀😀😀😀
Wakwanza nakupenda kutoka kenya
Stive tabiahio shuleni sionzuli Kbis 🤭🤭 nitabiambaya Sana 🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Wamenikumbisha mbaliii aisee Steven duuuu, theodero mtundu sanaaa
I like this video..""mwalimu huyu ni mrembo that really
Daaaaa nimecheka hadi roho inauma
😂😂kazi safi aisee
Ila hizi kengele😂😂😂
Steve huna akili😂😂😂😂😂
Mwalimu nakupenda sana lakini Stiven anakusumbuwa sana uwe unamuchapa fimbo
Stive meusi ❤😂❤😂
Jamani unauwa Watu APA Congo 🇨🇩 jamani 😁🥰🥰🥰🥰🥰🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰
Nawapenda sana Akina stive mweusi ❤❤❤
Wakwanza nipeni likes zangu
Uyu jamaa manamba sanaa
Sawa shehe
Bwege ili upate nn ukipew like
@@PETERLAURENT-uq4zo Haina haja hata unitusi
Kamaniivi amnaelimu apa
Steve umetisha sana.. mimi napenda sana hizi za shule
ONG back
Wa mwisho nipeni like zangu😂
Good job mr steve with your Team
😂😂😂😂 ila steve nakukubal sana home boy ktv tunajivunia wew
Nipen 👍 zangu jaman
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Nimeona Sakho Akinyunyizia 😀✍️ Kwa Umbali Kageree 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
My uko mkoa gani
@@lilianimikaeli Arusha Wewe je
Dar nitumie no yako
😂😂kwani huyu msee wengine wakiwa darasani yeye anafanya nini nje na hatandikwi
Ukiendelea kunishangaa nakugonga makofiii😂Jamaniiiiiiiiiiiiiiii❤mm ndo nime angalia sahivi🤝 Steve anachoma mwenzakee etii nipo na teodolo sababu yakugonga kengele anawapa🏃 vibe😅hatali like jamaniii
Umeuaa
Hahahahahahha yaan nmeanxa kucheka wakt wanatak kugonga kengelee
😅😅😅picha ya mayele🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅 ni lunch ama ??¿¿?haaaaa mtihani mghumu kweli kachoka na elimu huyo
aki steve uko na vituko sana 😅😅😅
🤣🤣🤣🤣 Steve apana kwakweli
Steve unanifanya nicheke sanaaa 😂😂😂
Watching from meru county, congratulations stevoo
much love kutoka uganda❤❤
Mwanafunzi mtukutu kweli anasumbua 😂😂😂😂😂
Steve jitahidi kuweka maneno ya kingereza chini ya hizi video zako mana unatizamwa na wengi sna hapa nauliza na jamaa zangu nini amemanisha nakosa majibu kwakweli from Qatar 🇶🇦
Bonyeza kwenye kideo afu utaona neno cc itakua inakufsilia
Mungu akupe maisha malefu 😂nimecheka mpaka🎉❤❤ kichwa chaniuma
Nimecheka kifalah sanaa😂😂
Nakupenda San stv kutoka dar es Salam ❤❤
Jaman hii movie itatuuaaaa ... kila mda tunacheka tuu ..duh
Uyu Théodore anamfanana saana Baba Kaila
Direct from South Arabia steve hongera kwa ukora ulio nayo
Kwakweli, Steve Yuko vizuri sana aisee
Aliesikia methali ya teacher mkono juu na agonge like 😄😄😄😄👍
Alaf huyo teacher Yuko serious 😅😅
@@ahmetmwandu8499 umeona ee htr 😂😂😂👍👍
❤️🧡💘💝💛💚💖💙💗♥️💜💓💞🤎🖤💕♥️🌟🤍
Nakupenda sana steve❤❤💕💕💕💕💕
Daah nimechelewa jaman nipeni bas like
😂😂😂Ila daah tumetoka mbali
Nilikua na isubil kwa ham kwel Steve umetisha
Mnataka kuwapa vibe sio...hahaha
Steve unajua kuigiza kbsaa❤❤
Hahahahhaa na kubali sana your so funny
Steve unasoma au unangaika daaah tz Kuna mtu watukutu😂😂😂
One love from Kenya 🇰🇪🤣🤣🤣
Mmh iyo one love ya nyoko
@@xpro-om9rdmbleina wewe
Visit
@@xpro-om9rd ... Produce yours I will do it for you.... Idiot.
Hello
Congratulations Steve,I'm frome Kenya.
Wakwanz nipen like zang😃😃
Haiwezekan Steve awe wa kwanza😂 kilaza mkubwa😂 warudieeeeeeeee
Kbs asee
Hey mko fity mbaya manze❤
Jey mwinyi kwa kwwli hajra ni moto mke matirio
Steve ishi miaka buku 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila hii combination ya steve na tadoro 😂😂😂😂
😅😅😅
Kengere umetisha Steve huogopi t 😚😂😂😂😂😚
Ahahahahahaahaa mim niwakike ilamamb mnayofany mwanikumbush shl tabiy yang hv hv yniiii
Watanzania humour yao iko iko chini sana.Ni humour ya watu wa kawaida