BONGO DAR ES SALAAM S02EP01 - IST

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Hii ni Episode ya Pili ya SEASON 2 Katika Drama ya #BongoDaresalaam Kutoka kwa #DudeBongo ambayo inaoneshwa kupitia #WasafiTV
    Kama Ulikosa Season 1 Basi Hii Si ya Kukosa Kabisa, Ubunifu, Ujanja, Akili Nyingi na Maarifa ya Kuweza Kumtegua Masta Mwenye Dar es Salaam Yake DUDE Umeboreshwa Zaidi
    USIKOSE KUTAZAMA KILA JUMANNE #BONGODARESSALAAM KUPITIA WASAFI TV

КОМЕНТАРІ • 349

  • @augustmj4573
    @augustmj4573 4 роки тому +84

    nyinyi kweli wasafii nimewakubalii u tube ya bongo yote yenu sas tumewapa anaekubali like zetu tuztenge hapa 🤗🤗🤗

  • @chafumirro5617
    @chafumirro5617 4 роки тому +26

    Duuuhhhh nilijua leo kapatikana kumbe wapiiii.........dude noma xna

  • @sirbentv39
    @sirbentv39 4 роки тому +25

    Me natamani kuwaona wale dadaz wawili wa zamani kma unakubaliana na mm gonga like kubwa

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 4 роки тому +5

    Nilijua jamaa atanasa Leo kumbe watu fireeee

  • @martindeogratius6547
    @martindeogratius6547 4 роки тому +9

    Wekeni ule mlio wa bongoooo daresalaaam huwa unaonesha msisitizo sana

  • @abdulndash9214
    @abdulndash9214 4 роки тому +35

    Acha iitwe Wasafi TV channel number1 Ester African Big up Kwako Dudu na Team nzima ya Bongo Dsm nim enjoy san piga like kama unaipenda wasafi Tv

  • @famitoissanawanda6295
    @famitoissanawanda6295 4 роки тому +12

    Kkkķk dude fala sana daaa hatari sana

  • @khatibujuma8880
    @khatibujuma8880 4 роки тому +4

    Gonga like,japo techno ni moja

  • @abdallahrashid4901
    @abdallahrashid4901 4 роки тому +16

    wabongo bhna tunafelii wap simu moja wanatumia watu wawilii

  • @johnmwakalyelye6846
    @johnmwakalyelye6846 4 роки тому +13

    dude ni balaaa zitooo

  • @hamdallahmedia1911
    @hamdallahmedia1911 4 роки тому +73

    Kama umegundua simu ya Mwarabu na Queen Suzzy ni ile ile, nyoosha mkono 🤣🤣🤣

    • @juliusuronu8812
      @juliusuronu8812 4 роки тому +3

      Yani director wao....anafanya makosa ya kizembe kabisa sasa kulikuwa na ulazima gani wa kushare simu? Tanzania ni Tanzania tu

    • @smileboy8979
      @smileboy8979 4 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @brandonpoint5212
      @brandonpoint5212 4 роки тому +2

      nimepause hapo dk ya 7 nije kusoma comments kwanza kama kuna alieligundua hilo

    • @filbertkapama8824
      @filbertkapama8824 4 роки тому +1

      Wayu Abdallah 😂😂😂😂

    • @andreahereman273
      @andreahereman273 4 роки тому +1

      Kondo ktu ulivho kuja kkiangalia au una kaz

  • @idiembete6696
    @idiembete6696 4 роки тому +15

    Huyo boss koko nikama mcongo hivi!

  • @kisshydirector2630
    @kisshydirector2630 4 роки тому +7

    kam umeon vibali vya TRA vimebandikwa kweny kioo cha mbele upande wa kulia alafu wanatuambia gari halina vibali gonga like kwangu

  • @selemanimsahani3919
    @selemanimsahani3919 4 роки тому +14

    Mwarabu kwenye unga alikwama kinyama yaan

  • @emmanuelmuhili6812
    @emmanuelmuhili6812 4 роки тому +7

    Nakubali nakubali sana

  • @emmanuelsamwel2865
    @emmanuelsamwel2865 4 роки тому +19

    Kama umeon cm ya mwalabu na queen zinafanan nip like kubwaaaa ya wasf

    • @davidmnyagwia5627
      @davidmnyagwia5627 4 роки тому

      Mbn kweli sjaelewa bado hapo ndo wametuuza Mr

    • @ktravel3527
      @ktravel3527 4 роки тому

      Kwani haiwezekani watu kua na sim sawa?

  • @sallyraidan6867
    @sallyraidan6867 4 роки тому +35

    Dude like naombeni jaman ata na mm leo nioshe nimepata like

  • @abdoullateefsappy3359
    @abdoullateefsappy3359 4 роки тому +35

    kama umegundua mwarabu na queen suzy wametumia simu moja gonga like twende sawa

  • @saadsalum3253
    @saadsalum3253 4 роки тому +6

    Kama umeskia dude anachomoa betri ya mwarabu gonga like hapa

    • @neykweyamba8052
      @neykweyamba8052 4 роки тому

      Nielekeze jinsi ya kuweka profile ya you tube

    • @neykweyamba8052
      @neykweyamba8052 4 роки тому

      Nielekeze jinsi ya kuweka profile ya you tube ples

  • @mussakisoma4369
    @mussakisoma4369 4 роки тому +7

    Leo mimi wa kwanza kukoment. hahaha karibuni na Muyo Tv kwa mada za mahusiano. nakubali sana wasafi na hii Bongo Dar.....

  • @balo_tixer9
    @balo_tixer9 4 роки тому +6

    wanao ona simu ni moja katika scene ya muarabu na huyo Demu

  • @wilfredmgowe9153
    @wilfredmgowe9153 4 роки тому +5

    Nmempenda huyo mtoto wa mwenye nyumba asee....anajua kuigiza

  • @paschalmkutho4635
    @paschalmkutho4635 4 роки тому +9

    Dude ingenoga story ungeondoka na harier yao uwaachie ist.

  • @mbwanahussein2014
    @mbwanahussein2014 4 роки тому +25

    Alie ona simu aweke like hapa

  • @faudhimaulid5678
    @faudhimaulid5678 4 роки тому +3

    sawa ni mzuri....ila kunavitu waigizaji wanafeli sasa hyo dude kapajuaje hapo nyumban kwa huyo jamaa hapo inaonesha ni jinsi gani wahusika wanafeli

  • @godwinjunior297
    @godwinjunior297 4 роки тому +17

    Kama umekuwa wakwanza kutazama leo gonga like hapa

  • @aloyceiluminata3650
    @aloyceiluminata3650 4 роки тому +12

    😂😂😂😂😂 dude Ni msenge kinomaaa...eti kavaa na kitambulisho daah !!

  • @iamthad7663
    @iamthad7663 4 роки тому +3

    Kazinzur sana na burudi kwakwel na wasaf tv on UA-cam ila nigependa translate kwa chini kwa kingereza ila niangalia nao iwe wepes kuelewa ma shabiki wengi walugha yakigeni wanaangalia pia asante 😍😍😍

  • @hancemagembe8221
    @hancemagembe8221 4 роки тому +4

    Da nimecheka kweli jamaa ametokea kwenye mkokoteni

  • @solomonitv7808
    @solomonitv7808 4 роки тому +2

    Noma sana wangapi wanataka Dude akamatwe

  • @florahraymond3547
    @florahraymond3547 4 роки тому +1

    Gonga like hapo kama upo tayarii kuliamsha DUDEEEEE tuna liamshaa DUDEEEEE.....like

  • @malkiabintimfalme6820
    @malkiabintimfalme6820 4 роки тому +4

    Coco, analafudhi ya kikwetu, *like*

  • @anoldbashube7954
    @anoldbashube7954 3 роки тому +1

    Maaskari bado awjakaa vizuri kwenye hualisia

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 3 роки тому

    Du sjui nmefata nn huku 2021 natizanama bongo dare salama kitambooo😂😂😂

  • @NeneMedia
    @NeneMedia 4 роки тому +2

    Ofcourse umakini unatakiwa lakini simu ni kawaida watu kutumia simu moja hata kama hamjuani si ndiyo zina trend kwenye soko, nimecheka sana hapo kwenye mkokoteni... safi sana

  • @lampungaofficial6323
    @lampungaofficial6323 3 роки тому

    Wame zingua ao wanatumiaje cm moja au director kazingua

  • @jacksonkimario6033
    @jacksonkimario6033 4 роки тому +17

    kali ila wamefeli tu pale kwenye kutumia simu moja mwarabu na yule dada hvo umakini unatakiwa kuongezka zaidi

    • @desamavevo
      @desamavevo 4 роки тому +2

      Simu sio moja ila zinafanana

    • @doctorptz1641
      @doctorptz1641 4 роки тому +4

      Izo simu ni infinix naona hawatak kutangaza brand ndo maan wameziba na karatasi ila ni sim zinazofanana na ni different

    • @bone102
      @bone102 4 роки тому +2

      @@doctorptz1641 wange tofautisha kwa kuweka karatasi white na nyingine black

    • @jacksonkimario6033
      @jacksonkimario6033 4 роки тому

      Praygod charles kile kikaratas kama vile cha risit kilichobandikwa nyuma ndo kmetujulisha we angalia vzr

    • @queensuzy6847
      @queensuzy6847 4 роки тому +2

      Kilamtu anacmyake but zinafanana hawakutaka zionyeshe label ndiomaana wakaziba nakaratasi

  • @issakamangila9113
    @issakamangila9113 4 роки тому +2

    Mhh ongereni kwa kz nzuri

  • @ahmedsule1520
    @ahmedsule1520 4 роки тому +5

    Maaaaaninaaa dudeee ww nowmaaaa ✌😅😅😅😅✌💪

  • @kingss6709
    @kingss6709 4 роки тому +5

    dah dude we ms**** ni nyoko😂😂😂🙌🙌🙌

  • @emmanuelnicholaus8795
    @emmanuelnicholaus8795 3 роки тому +1

    Jina lenyewe linatishia amaniiii etiii DUDEE 😆😆😆🤣🤣

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 4 роки тому +1

    aise nilijua leo kimebuma kumbe we dude ni noma ...

  • @NEXTtz
    @NEXTtz 4 роки тому +7

    Hawa jamaa ni 🔥🔥🔥🔥🙌🙌😂

  • @idrissaabeidy7984
    @idrissaabeidy7984 3 роки тому +3

    Kama umemuona makala wa movie ya #kissme gonga like

  • @finiaskabungulu1239
    @finiaskabungulu1239 4 роки тому +20

    Simu ya mwarabu na mdada ni smu moja wamebadlishana tuu

  • @dullahcheckbob9358
    @dullahcheckbob9358 4 роки тому +3

    Nakubali sana

  • @iddyrashid4515
    @iddyrashid4515 4 роки тому +1

    Bongo move hamna lolote askari anakuja badala afuate mhalifu anaanz siasa,,hovyo,,

  • @stn4873
    @stn4873 2 роки тому

    Maascary Maascary...

  • @mussakisoma4369
    @mussakisoma4369 4 роки тому +2

    Tisha sana Dude

  • @shayopaterini8678
    @shayopaterini8678 4 роки тому +2

    Hahahahahahaha co mchezo hili dude noma

  • @yussuphkazumar6229
    @yussuphkazumar6229 4 роки тому +9

    😂😂😂 dude bhna na hyo mawan dah waniachaga hoi kwl

  • @majotv3405
    @majotv3405 4 роки тому +7

    Aisee dude ni motooooo 😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @rechojonas508
    @rechojonas508 4 роки тому +29

    Kwaiyo wote wanatumia tecno Spark 3😂😂km mm tyu

    • @issanaseeb7699
      @issanaseeb7699 4 роки тому

      Wote naon kampuni ya Tecno😁😁😁😁😂😂😂😂

    • @rosejasiry8502
      @rosejasiry8502 4 роки тому +1

      Nan anamkumbuka makala kwenye movie ya sindi na kendi

  • @husseinlaizer7983
    @husseinlaizer7983 4 роки тому +1

    Mmecheza vizur character anaendana na movie yenyw ttzo simu mmeweka zimefnana ingekuwa tofaut kidgo

  • @ommie_nyzer
    @ommie_nyzer 4 роки тому +14

    Cmu moja 😂😂

    • @rahimbukutu6904
      @rahimbukutu6904 4 роки тому +1

      Hakika nimeona

    • @fahadfahmy
      @fahadfahmy 4 роки тому +1

      wamechemsha

    • @experansia100
      @experansia100 4 роки тому +1

      Amna sio moja n tofauti ila ilo karatas limezba brand ya cm zao ..😉

  • @sefukanga964
    @sefukanga964 4 роки тому

    Nimekubari sana bongo dar es salaam dude umetisha sana

  • @hkfreeboy9533
    @hkfreeboy9533 4 роки тому +6

    😂😂😂😂dude hakamatwi tena

  • @mugheiry
    @mugheiry 4 роки тому +3

    Yani nikajua comment zitakua kusifia hii show kurud kila mmoja anaomba like...sijui mambo haya ya kishamba yataisha lini...
    Kila alieomba like nimeweka unlike yangu

  • @harunakayega5531
    @harunakayega5531 4 роки тому +3

    Mpigaji nae kapigwa leo hahahah

  • @stn4873
    @stn4873 2 роки тому

    Ooh waaw muarabu, nyoooo mamamae!!

  • @mohamedishabani4167
    @mohamedishabani4167 4 роки тому +1

    Nakubali dude we noma duuuhh

  • @favourmusic4692
    @favourmusic4692 4 роки тому +16

    Kma umesikia tunduma home weka like zako apo

  • @shareeph2223
    @shareeph2223 4 роки тому +2

    nakusubiria hapa utanimalizia sendo zangu

  • @ramadhanihussen4695
    @ramadhanihussen4695 4 роки тому

    Goma liko powa sana nakupa 100/1000 ila unayumba kukamatwa kiboya nawewe ni intaneshino.way

  • @wazirmasokola5951
    @wazirmasokola5951 3 роки тому

    Dah dude mkali sana

  • @salehsaleh591
    @salehsaleh591 4 роки тому +1

    Nilipo muona makala nimekumbuka kiss me. , sindi na kendy love you more makala

  • @hancemagembe8221
    @hancemagembe8221 4 роки тому +6

    Mbona simu moja sasa

  • @evaristmollel5584
    @evaristmollel5584 4 роки тому +2

    kiburudisho safi sana

  • @kennedymwagambo7197
    @kennedymwagambo7197 3 роки тому +1

    Good stuff, top creativity

  • @bernardmdendemi7347
    @bernardmdendemi7347 4 роки тому +4

    Hivi gari isipopata usajilii wa tra inaweza kuwa na pleti namba kwelii 🤣

    • @jelasnkoma4240
      @jelasnkoma4240 4 роки тому +1

      Sikiliza vizuri amesema plate number amebandika tu ametembelea miezi sita

    • @neemamayco3238
      @neemamayco3238 4 роки тому

      Haiwezekani kwanza hat kutembea nayo noma

    • @issajohn8688
      @issajohn8688 4 роки тому

      Bernard Mdendemi wanachukua plet namba za gari zilizopataga ajali wakazikata

  • @historianyeusi9524
    @historianyeusi9524 4 роки тому +7

    Makalla kitambo sana🔥🔥🔥

  • @salumkhamis5468
    @salumkhamis5468 2 роки тому

    Dah

  • @jennifernduka720
    @jennifernduka720 4 роки тому +4

    Daaaa bora aise Dude umetuletea Bongo Dar-esalaam 😃😃😃😃😃

  • @queensuzy6847
    @queensuzy6847 4 роки тому +6

    Motooo Bongo dar es salaam nimotoooooooo🔥🔥🔥🔥🔥🍾🥂 hongera sn Dude kwakazi nzuri

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 4 роки тому +1

    Kutumia cm moja watu wawil huo ndo udhaif nlouna ila dude umetisha

  • @BoniKazimoto
    @BoniKazimoto 4 роки тому +1

    Hahaha haha dude hatari sana

  • @dennisjulius1136
    @dennisjulius1136 4 роки тому +3

    😂😂😂 jombaa kachomozaa km anord jane vlee kudadekii hahahahahaahahahaaa

  • @hancemagembe8221
    @hancemagembe8221 4 роки тому +9

    Sasa mbona ule mlio wa bongooooobongo dar salam haupo

    • @Johnjoo196
      @Johnjoo196 4 роки тому

      Hiyo season 2 hiyo mzee huwez kucopy kutoka season 1

  • @seifmassoud2686
    @seifmassoud2686 3 роки тому

    Dude hapa umeuwaaa duh😆😆

  • @jameschilongo161
    @jameschilongo161 4 роки тому +1

    IST kutoka kutoka sauth Africa jamn

  • @mohamedhamdan4956
    @mohamedhamdan4956 4 роки тому +1

    Hii filamu ni kali

  • @deograssiusmatembo3430
    @deograssiusmatembo3430 4 роки тому +1

    Kwa hii kasi wasafi wasumbua sana youtube

  • @yussuphkazumar6229
    @yussuphkazumar6229 4 роки тому +4

    Mm ndo wa kwanza leo nyny wte munaosema wakwanza waongo😂

  • @abdulbandidu119
    @abdulbandidu119 4 роки тому +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
    Kawaachia manyonya msenge kumamamake.
    Dude mzito jaman dah

    • @aloycesteven5998
      @aloycesteven5998 3 роки тому

      Acha matusi sasa kaka huo sio uungwana kwani hauwezi kukomenti bila matusi?

    • @aloycesteven5998
      @aloycesteven5998 3 роки тому

      Acha matusi sasa kaka huo sio uungwana kwani hauwezi kukomenti bila matusi?

  • @wilsonbalama2849
    @wilsonbalama2849 4 роки тому +3

    dude ni shiiiiiida😂😂😂

  • @yuusufnuur5752
    @yuusufnuur5752 4 роки тому +1

    Dah hii kali

  • @bonshayo3458
    @bonshayo3458 4 роки тому +1

    Hahahahah Cm Wametumia Moja Alafu Mnatuchanganya

  • @bongomsasa2496
    @bongomsasa2496 4 роки тому +1

    I dont know you, but its August 4th 2018, and the worlds a scary place
    right now. But I just thought I'd let you know, no matter what race,
    religion, culture, sex, orientation, or belief you are, from one human
    to another. I love you.
    @

  • @staralive9260
    @staralive9260 2 роки тому

    Ila hapo Dude angeondoka na Gari ili maisha yaendelee!!!

  • @bukurudaudi1543
    @bukurudaudi1543 4 роки тому +1

    Jamani 😂😂 😂🤣 😂 dude jizi

  • @kelvingeorgefido7814
    @kelvingeorgefido7814 4 роки тому +1

    Weka mbali na watoto

  • @kileoamani6744
    @kileoamani6744 4 роки тому

    Jmn kesho jmosi maneno yakuambiwa sijui tupo wangapi uku

  • @benimagaya2968
    @benimagaya2968 4 роки тому

    Safi sana Dude👍👍

  • @theosiyantemi4150
    @theosiyantemi4150 4 роки тому

    Mimi nikawanajua dude leo kapatikna aisee

  • @aljunijohn5395
    @aljunijohn5395 4 роки тому

    Hahahaaaaaa kwel bongo ni hataaaaari dude umetishaaa safi

  • @ishakamhina8274
    @ishakamhina8274 4 роки тому +1

    Mjaribu kuboresha bt for sure n tamthiliya mbovu haijawahi tokea

  • @hamisgeorge5666
    @hamisgeorge5666 4 роки тому

    Dah mxenge dude anahakili

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 3 роки тому

    Mkiigiza muweke na uhalisia,,how comes gari haina vibali hata kimoja alafu ina registration namba🙉🙉🙉

  • @ibrahibakar1167
    @ibrahibakar1167 3 роки тому

    Dude hujawahi kuumbuka hata siku moja!

  • @derickmpilipili5273
    @derickmpilipili5273 4 роки тому +1

    Munajua mpaka mnakela