I am. Today, Wednesday, June 5, 2024, 1754h. Something about these past Bongo hits just hits different. Unlike nowadays, watu kuimba matusi na kudhalilisha jinsia ya kike.
Mara ya Kwanza naiskia hii ngoma ilikuwa mwaka 2004 Brother alikuwa na hii album Song: Niamini Prof Jay ft Jaydee Album: J.O.S.E.P.H Thank you for good memories today 2022
Wangapi tumesikiliza hii ngoma 2024 gonga like😊
Mimi hapa...Dah noma sana...
Kama uko live 2024 dondosha like
Wangapi tunasikiliza 2024
👍🏼
Nyimbo zinaendelea kuishi sana hizi 2024
Naisikiliza hapa zaidi ya mara ngapi sijui..hata sikumbuki..nasikiliza you tube..kuna hela anapata JAY kweli? Daaaah!
✌️ old skul bongo Flava mupo ? Who else who's listening this song on repeat 😊
Professor bro Mwenyezi Mungu fanyiy wekey wepes InshAllah 🙏🏼
Tupo wote
khalfan majani on the beat🙌
Naombeni like like kumi kwa Dada yangu ldy jdy mdada mwenye hekima
Wangapi tunasikiliza hii ngoma 2022 gonga like kama tuko pamoja
Lo! Mwanangu twamalizia 2023 kwa hili hit
2024
2024
its 2023 but the song is still hot 🔥
Yeah
Uko juu Professor Jay nikiwa machungoni na kijiradio changu kaseti ikiisha naigeuza upande wa pili... Kabuku, Tanga
Who else is listening ni June, 2024
I am. Today, Wednesday, June 5, 2024, 1754h.
Something about these past Bongo hits just hits different. Unlike nowadays, watu kuimba matusi na kudhalilisha jinsia ya kike.
Some body still watching this video 2020.... gonga like twende pamoja kama kwel unamkubal Prof J ft Jay dee
Nipo ndugu leo tarehe 13th March 2020
Nipo ndugu leo tarehe 13th March 2020 naichek hii ngoma
Naitua eugene professor jay ni musani wangu kbsa
Daaah Hizi ngoma nataman siku zirud nyuma
2024 from Germany iko sawa
Iko sawa🤞🏽
Nakuthani chizeee.. Nakupenda jide❤
Ngoma kali Yan hadi inaboa 2023👍
Had forgoten about this great jam❤❤❤❤
...
Muziki asili
👍🏼
Mheshimiwa prof.jeezy.
Mara ya Kwanza naiskia hii ngoma ilikuwa mwaka 2004
Brother alikuwa na hii album
Song: Niamini Prof Jay ft Jaydee
Album: J.O.S.E.P.H
Thank you for good memories today 2022
My favourite nakumbuka henzi zetu Za Bongo flave
Golden voice much love from UG 🇺🇬🇺🇬
Kali sana, nani mwingine anaskiliza 2021?
Ngoma kubwa sana mzee
Nimeludia tena kusikiliza ngoma kali tarehe 2/1/2024
Wangap tunafunga mwaka na hiz nyimbo dondosha 👍 hapa
Nakuheshimuuuuu 😊
Ngoma kali p.funk beat kali sana jamani p. Umetisha
u remind me those days at kinondoni studio
Kama unasikiliza 2020 gonga like
Nakubari Sana hakuna shabiki wako Kama Mimi ebu niwekee na ile NAJARIBU KURUKA WATU WANAKATA MBAWA
Tupo hapa hadi hii 2021👏👏
Get well soon Professor...... Your songs are superb
Jay ma role model
All the love from Kigali Rwanda ✌
mziki mzuri tumekua nawo tunaish nawo daima
Still banging 2024
jay wa mitulinga 2023
Handeni tanga tunaikubali sana hii ngoma jamaa hadi bungeni sasa ni mh joseph haule
2024 still a hit song✨👌
moore love from Kenya,western province
Npo 2023 love❤❤❤sana
Wangapi wanasikiliza ngoma hii 2022
May 9,2024 niko hapa, asante joseph
Childhood favourite song😭👏
Living in U.S.A I love you jay please keep it up
noma sana
Lady sauti balaa inaita
Wakati huo noma iyongoma
Day acha tuwape mauwa yai
OK hide noma umetisha dad wewe mkali
2024 king prof and queen jide
tunaoisikiliza ii ngoma 2025 like hapa
Bado Mbunge anapenda mziki bado
2024 April njoo huku
Great Album
2023 coming of age😮
i liv jay from Rwanda paul kagame loves u
Nimekumbuka mbali sana enzi hizooooooo
2020 gonga like kwa mbunge
hit song🔥
Nakumbuka mbali sana enzi hizo 🔥😘
Ngoma inaishi mpaka Leo 👍👍
2022❤️
Dude limekaa sawa aise, old is gold
dar,old is gold
keeping the good music alive
Ivi Kwann my brother pro kama pro
2024 bado tupo
Hits za nguvu sana
Wow
My foririte since utototoni
2k18 I’m still hear dis hit song from Canada 🇨🇦
2nd comment. 3rd viewer. Thanks Prof
Ngoma kaliii sana professor j na mama LA mama ledy jee
wangapi wengependa jay na jay na baisa wakuwe na collab
The ICON
May 2024.
jidenoma
Wanamziki zaman waliimba bana bonge la ujumbee
Kitambo hicho siku zinaenda et wazee ni hatar 2024😅 pmj
Wangp 2naskikiz hili goma 202q
This morning mamy babe from clouds fm kanikumbusha ili song on PB #2021
favourite
2023 🔥
Nmeiskia kwa post ya Prof Jay pale insta came to listen to it
Miaka inapita inaenda inarudi na sichoki kusikiliza huu wimbo na hakika hizi ndo bongo fleva halisi
Still banging to this 2019
2021 niko naisikiliza hii nyimbo moshi mtaa wa juhudi niko hapa bangi maji nakumbuka miaka kumi na iliyo pita Dan B
Jay father goat
2022 still rocking
Huo ndio muziki achana mziki
2020🔥🔥🔥
Toka 2001,bado ni moto.
Inaishi
2004 hiyo nipo kijana wa miaka 16
2021 nipeni like
💥💥💥
Nimeaminiii...
Tuko pamoja 2024
2023 listening this hit
Get well soon prof jeezy
Safi
2021🔥🔥🔥
2021🎓
2021 we here