Kama mwananchi wa kawaida nabariki kuwawajibisha baadhi ya watumishi ambao wanawachonganisha wananchi na serikali fanya kazi waziri maana hata watangulizi wako pia walikuwa ni mizigo(mawazo yangu)
Mh waziri fanya ukaguzi waliolipa upimaji shirikishi na hawajapatiwa hati zaidi ya miaka 5 kwa kisingizio cha wachora ramani. Kukaa na pesa za mwananchi mda mrefu bila huduma waliokaa nazo walipe na riba at commercial rate. Fanya ukaguzi kina.
Bravo.
We need ministers of this caliber.
Not push overs.
Astante waziri😊😊😊😊
Kama mwananchi wa kawaida nabariki kuwawajibisha baadhi ya watumishi ambao wanawachonganisha wananchi na serikali fanya kazi waziri maana hata watangulizi wako pia walikuwa ni mizigo(mawazo yangu)
Kichwa sana
Mh waziri fanya ukaguzi waliolipa upimaji shirikishi na hawajapatiwa hati zaidi ya miaka 5 kwa kisingizio cha wachora ramani. Kukaa na pesa za mwananchi mda mrefu bila huduma waliokaa nazo walipe na riba at commercial rate. Fanya ukaguzi kina.
Natamani 2030 uwe raisi wetu bro
Wana viwanja kila Moja zaidi ya maarufu
Hii wizara imeoza
Kwakwel tumeona nia yako yakusaidia Nchi nawananchi.
Natamani 2030 uwe raisi wetu bro