WAZIRI SILAA AAGIZA BAKARI SHINGO AKAMATWE kwa KUSABABISHA MGOGORO kwa MADEREVA BAJAJI - "TAPELI"...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • WAZIRI SILAA AAGIZA BAKARI SHINGO AKAMATWE kwa KUSABABISHA MGOGORO kwa MADEREVA BAJAJI - "TAPELI"...
    Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya Mkakazi Jerry Silaa amemuagiza mkuu wa polisi Gongo la Mbotokumkamata bwana mmoja aliyefahamika kwa majina Bakari Shingo na wenzie akiwemo msimamizi wa eneo hilo kutokana na kudaiwa kusababisha mgogoro wa eneo la maegesho ya bajaji katika mtaa wa Gongo la Mboto ilala jijini Dar Es Salaam.
    Aidha Silaa amemtaka mkuu wa mipango miji halmashauri ya jiji la Dar Es Salaam kumilikisha eneo hilo la maegesho ya bajaji kwa mkurugenzi wa jiji na kumtaka aweke utaratibu mzuri wa malipo kwa madereva wa waliokuwa wakipaki eneo hilo ikiwemo kuwapunguzia ushuru kutoka shilingi elfu 2500 waliyokuwa wkilipa awali hadi kufikia shilingi elfu moja 1000.
    Waziri Silaa ametoa maagizo hayo alipofanya ziara ya kushtukiza kwenye eneo hilo baada ya kuwepo mgogoro huo ambao umezua taharuki hasa kwa madersva bajiji waliokuwa wakifanya kazi eneo hilo kutolewa na anayedai kuwa ndiye mmiliki.
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 347

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  6 місяців тому +6

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

    • @mankamanka6616
      @mankamanka6616 3 місяці тому +1

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @user-ks8oy9lt7z
    @user-ks8oy9lt7z 6 місяців тому +22

    Mtie na ndani mjinga uyo pole waziri kwa changamoto unazokutana nazo Allah akuhifadhi

  • @raframs.stationery
    @raframs.stationery 6 місяців тому +8

    Mimi ki ukweli kungekuwa na neno jingine jipya la kumpongeza mh waziri ningeweza kumpongeza kwa kazi nzuri anayoifanya. Mungu akulinde kwa kila BAYA

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 6 місяців тому +14

    Safi wazir hongera sana sana nchi hii wangepatikana mawazir 10,kama ww yaani nchi ingependeza mno❤❤❤❤

  • @crismtete8837
    @crismtete8837 8 місяців тому +15

    Huyu ndie Waziri.. mtulivu, ana busara na anasimamia haki. . Good job

  • @mathiasmwingira6951
    @mathiasmwingira6951 8 місяців тому +15

    Sasa kama waziri anajibiwa hivyo hivi mwananchi wa kawaida hajui hili wala lile atajibiwa vipi, hatari sana, waziri your too humble very good, kama kwenye jimbo lako hawakutaki njoo kwetu ugombee CCM ni moja.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 місяців тому +2

      Pata picha angekuwa Makonda ajibiwe hivyo, hahaha hapangetosha, jamaa angelala ndani 😂😂😂😂

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 4 місяці тому +2

      ​@@MsAggie5KWANI HUYO KABEBWA UNAFIKIRI KAPELEKWA KEMPISKI?? 😂😂😂😂😂😂

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 4 місяці тому +2

      ​​@@MsAggie5HUYO AHUKUMIWE KIFUNGO TENA KIWEKWE LAAAAAAIVU MITANDAONI ILI WENGINE WAJINGA KAMA YEYE WAONE HANA ADABU KABISA.

  • @neemabright3635
    @neemabright3635 5 місяців тому +3

    Hivi mawaziri wengine jifunzeni huku jamani full of wisdom full of information etc Hongera sana Brother Jerry. Mungu akuinue zaidi Kwa ajili ya wananchi wa Tanzania

  • @nassorosadick9232
    @nassorosadick9232 8 місяців тому +7

    Mh. Waziri, nakupongeza kwa hekma na uvumilivu uliouonesha kwa Bwana Bakari Shingo.
    Pia umechukua hatua sahihi.
    Hongera sn

  • @waltersesuru43
    @waltersesuru43 8 місяців тому +11

    Wazili uko vizuli sana mungu akupe afya njema.mama samia .tunakupenda sana.kwa kazi yako nzuri sana.kidumu chama cha mapinduzi.

    • @selector728
      @selector728 3 місяці тому

      Waziri sio Wazili,vizuri sio vizuli

  • @jumannemwakalinga2586
    @jumannemwakalinga2586 8 місяців тому +6

    Waziri Mh Jerry Slaa, Mungu akulinde kwa kusimamia haki kwa wanyonge.

  • @ancytarimo1103
    @ancytarimo1103 8 місяців тому +24

    Sasa huyo mzee anamjibu waziri kwa kiburi hivyo yaani inaonyesha Nidhamu yake sio nzuri. Nakupongeza sana Mh Waziri Jerry maana naona ulimvumilia muda mwingi bado anakujibu anavyotaka. Tukumbuke ndugu watanzania Waziri ni mteule wa rais tena anaingia Cabinet. Yaani waziri huyu kweli anatumia vizuri taaluma yake ya sheria kitendo cha kuendelea kumsikiliza mtu anaebisha hivyo kwa kweli ni ustahimilivu mkubwa mno. Yeye angesema nimekosa Mh waziri asingefikia huko huenda angemshauri nini cha kufanya. Big up Waziri.

    • @ramadhanisalimu-bt3ql
      @ramadhanisalimu-bt3ql 8 місяців тому

      😮😮mmmmh

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 8 місяців тому

      Mama samia hongera sanaaaa yaaan hapa wazziir umetupatia mvumilivuu aliekomaaaa kiakili na busaaraaa .... Allah awasimamie ingekua mtu mwingine huyu bakari shingo angekula koffii la mdomo kwanza...

    • @hemedmselem4889
      @hemedmselem4889 6 місяців тому

      Mpuuzi sana bakari

    • @mc-omoro2366
      @mc-omoro2366 4 місяці тому

      Bakari Shingo ghafla kageuka kuwa Bakari Shipa 😅

  • @user-ks7zc6kd7u
    @user-ks7zc6kd7u 8 місяців тому +15

    Waziri Jerry hoyeee big up Bwana Yesu akutunze Damu ya Yesu ikufunike

  • @eliaskangabo779
    @eliaskangabo779 8 місяців тому +10

    Waziri slaa endelea hivyo utaheshimika sana na utafika mbali Mungu akusaidie

  • @alphoncenerlimbweni6233
    @alphoncenerlimbweni6233 8 місяців тому +8

    HONGERA SANA MY UK BIG UP MUNGU AZIDI KUKULINDA KATIKA UTENDAJI WAKO

  • @chemstry409
    @chemstry409 6 місяців тому +3

    Sillah The thing I like you, Your so come, You take time, Your not rush...Mwenyezi Mungu akulinde na akutangulie kwe kazi zako za kila siku....🙏

  • @martinakessy5413
    @martinakessy5413 6 місяців тому +4

    Mh Waziri uko vizuri Sana Tusaidie maana wababe ni wengi.

  • @hawahbohero2425
    @hawahbohero2425 8 місяців тому +10

    Hekima na busara mh Waziri uko vizuri

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 8 місяців тому +6

    Safi sana mkuu ilo jama likanyee ndooo sasa maana kibuli mpaka kwa waziri

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 8 місяців тому +5

    Mh. Piga kazi ukimtanguliza Mungu mbele.. Wananchi tunakuewa sana

  • @user-nb8ot8be9f
    @user-nb8ot8be9f 6 місяців тому +2

    Asante waziri sasa tunaomba mawaziri wengine wafanye kazi kama waziri wa aridhi

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 8 місяців тому +6

    Hivi ndivyo Waziri anatakiwa kufanya kazi kwa kufuatilia,big-up Jerry. Unakuta baadhi ya Mawaziri wamepewa dhamana wanashindwa kufanya kazi wizara zao zinayumba lakini bado hawashtuki ?!

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 8 місяців тому +8

    Mzee mwenzangu umefeli kwa majibu ya hovyo

  • @kikalarashid9003
    @kikalarashid9003 8 місяців тому +18

    Maeneo ya hivyo yako mengi sana mjini!! Nyoosha Mambo Jerry, na usisahau barabara ya banana- kitunda-mwanagati-kivule. Watu wanateseka sana mzee.

    • @isaackkamanga3567
      @isaackkamanga3567 8 місяців тому

      Huku hawezi kugusia anakujua vizuri 😂😂😂😂

    • @bamdogokiki1486
      @bamdogokiki1486 6 місяців тому

      Mengi ya wazi yalichukuliwa au yamechukuliwa na CCM.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 8 місяців тому +9

    Huyu mwenyekiti afukuzwe kazii hafai ni mjinga sana

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 8 місяців тому +2

    Mh. Kwenye ofisi hizo siri zinauzwa sababu wanajuaje kama eneo halina umiliki? Nadhani uchunguzi uanze kwenye ofisi husika 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Mungu akusimamie kwa kazi ya kutetea haki za sisi wanyonge 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 8 місяців тому +9

    Alafu anajibu jeuli kama kweli anazo document za ukweli

  • @mbeya
    @mbeya 8 місяців тому +2

    Mweshimiwa waziri wema huu hautasaulika maishani huduma hii tunaihitaji hapa Manga veta mbeya Kuna team hapa inaongozwa na Bwana japhet inazulumu viwanja vya wanachi na kwa sasa inauza eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa nursery school

  • @kanoa645
    @kanoa645 8 місяців тому +13

    Waziri hekma imetawala sana, umemvumilia sana, kweli huyu bwana hajaonyesha picha nzuri

    • @Barakaclassic
      @Barakaclassic 8 місяців тому +2

      Ni kweli kabisa huyo jamaa Hana discipline

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 8 місяців тому

      Usikute hilo jamaa ni lishogaa maana si kwa zalau hizo

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 8 місяців тому

      😢😢😢🎉huyu jamaa hovyooo kweliii......yaan anamjibu wazirii kama anajibu mbovuu duh

  • @user-qz7xl1xj7v
    @user-qz7xl1xj7v 6 місяців тому +6

    Huyu shingo sio mara ya kwanza kuchukuliwa na police,enzi za mkuu wa mkoa makonda alishawekwa ndani

  • @raynittu4599
    @raynittu4599 8 місяців тому +6

    Huyu bakari anajibu kihuni sana.Wazir unabusara sana. Mheshimiwa waziri maeneo kama hayo ni mengi sana. Watu wanawatoza Kodi kuubwa wajasiliamali wadogo wakati eneo wamevamia la wazi

    • @doreenfrank3508
      @doreenfrank3508 8 місяців тому

      Yaaani huyu waziri ana hekima.... Mungu aendelee kumbariki

    • @user-cw3vu8mu3k
      @user-cw3vu8mu3k 8 місяців тому +1

      Huyu bakari yuko sahihii kabisa anajua haki zake unajua kuwa waziri haina maana wewe ni mahakama kama unataka maelezo mpe mtu barua ajibu kwa barua si unawaleta waandishi kwenye biashara ya mtu ili kujitengenezea nafas kisiasa watanzania wengi hawazijui haki zao na wanaburuzwa na wanasiasa ambaye anaweza kuwa leo kwa hiyo nafas na kesho hayupo afate utaratibu si kuleta makamera

    • @didasseveline9013
      @didasseveline9013 8 місяців тому

      ​@@user-cw3vu8mu3ktatizo Lako ni uelewa mtuhumiwa anaandikiwaje barua?

    • @zanzibamjimpya17
      @zanzibamjimpya17 6 місяців тому

      tatizo nawewe hujielew mtuhumiwa ikimwandikia barua utampataje je wewe unaona anachokifanya huyo jamaa kipo kikatiba au kisheria

    • @albertchuma4313
      @albertchuma4313 3 місяці тому

      ​@@user-cw3vu8mu3kwewe unajuwa mamlaka aliyonayo waziri kikatiba? Kama sio kupwayuka tu.. waziri hakuandikii barua! Waziri anaweza kukutia ndani bila maelezo yoyote! Hapa sio marekani eti haki yakikatiba😂😂😂

  • @tiopherysanga2934
    @tiopherysanga2934 8 місяців тому +3

    Kauri ya mheshimiwa nimeipenda hapo mwisho nina uungwana mwingi lakini sina ujinga big up mh

    • @selector728
      @selector728 3 місяці тому

      Kauli sio kauri

    • @albertchuma4313
      @albertchuma4313 3 місяці тому

      ndiyo unaona umeongea point😅​@@selector728

  • @user-lp4fi7bx9q
    @user-lp4fi7bx9q 8 місяців тому +3

    Anadharau sanaa hawezi kumdharau waziri kiasi hicho

  • @Kidia-yt3bm
    @Kidia-yt3bm 6 місяців тому +1

    Safi Waziri umesahau kitu kimoja huyo jamaa Bakari Shingo TRA inatakiwa imshukie kwa hayo mapato ya dhuluma aliyokuwa anayapata wamkamue wamfilisi hizo hela zinazomtia kiburi alainike awe na adabu kwa viongozi wetu wa nchi

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 5 місяців тому +1

    Yani Jeri safi Sana..nakusoma sheria ni safi Sana kwamana unakuwa unajielewa Sana..Jeri silaha mungu akujalie Sana..Yan kusoma nimali sana

  • @johnndembwike7790
    @johnndembwike7790 8 місяців тому +5

    Dah huyo jamaa jeuri sana anapata wapi ushujaa wa kumjibu waziri namna hiyo?

    • @zuchu9750
      @zuchu9750 8 місяців тому

      Kwani waziri ni nani ?

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 6 місяців тому

      ​@@zuchu9750kingozi mwenye dhamana

    • @shaamemchauru1365
      @shaamemchauru1365 5 місяців тому

      MUJAHIDEEN HUYO😮😮😮😮😮

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 8 місяців тому +1

    Uyuwaziri mkuu inaonekana katiba ya Taifa letu ipo kichwani.
    Unaona anavyo wapa Uhuru wa kujieleza jamani.
    Kiongozi Bora Sana.

  • @godlistenJohn
    @godlistenJohn 8 місяців тому +5

    Huyo mwenyekiti hana nidhamu, hapo anaongea na waziri sipati picha akizungumza na mwananchi wakawaida pindi wametofautiana

  • @2003hintay
    @2003hintay 8 місяців тому +4

    Mh Waziri fanya kazi usitishike na ndevu halafu jeuri adabu Hana pesa inampa kibri

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 6 місяців тому +1

    Safi sana mh waziri huyu ni muislamu wa namna Gani yaani anatuaibisha sana waislamu mh Jerry endelea na mipangovyako. Safi kabisa

  • @husseinmaula4965
    @husseinmaula4965 8 місяців тому +7

    Unaongea na waziri kama unaongea na mtu wa kawaida tia ndani huyo

    • @eladiuspeter586
      @eladiuspeter586 8 місяців тому +2

      Kwan wazr sio mtu wa kawaida??

    • @user-ez9qc2jo1x
      @user-ez9qc2jo1x 8 місяців тому

      haya ndiyo machawa yakiongea na waziri yanajiona kama yanaongea na Mungu wakati hata rais unaongea nae kama mtu wa kawaida@@eladiuspeter586

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 8 місяців тому

    Huyo mwehu sana jamaa Mh.Jery Slaa wewe ni Mwamba hatari...mnoo Big up sana

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 3 місяці тому

    Kweli MUNGU ana watu wenye kuifahamu HAKI nini na inathamani gani. Barikiwa Waziri .

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 4 місяці тому +1

    Slaa asihamishwe ardhi Sasa hivi kama ni promotion aongezewe marupurupu tu 😁.. Akihamishwa ardhi tabu itarudi palepale

  • @MagesaMachota
    @MagesaMachota 5 місяців тому +1

    Waziri anahekima sana nigekuwa mimi namamraka alio nayo agejua hajui

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 6 місяців тому

    "Ujue mimi nina uungwana mwingi .. lakini sina ujinga" .. nimeipenda hio Mh.Waziri.

  • @shamimukanju8402
    @shamimukanju8402 6 місяців тому

    Meenyeezi Mungu mpe afya njema waziri wetu Jerry mama yetu mh.Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunashukuru kwa kutuletea jembe

  • @ACLESSJABRINE
    @ACLESSJABRINE 8 місяців тому +4

    Jamaa anajibu kwa jeuri sana sema mh waziri huyu ni mstaarabu sana

    • @user-ez9qc2jo1x
      @user-ez9qc2jo1x 8 місяців тому +2

      jamaa anajibu kwa usahihi huwezi waziri kumuuliza mtu nikikuandika barua nikataka ulete nyaraka utaleta? jamaa kajibu kisomi sana kuwa wewe andika utajibiwa sio kuulizana katika media serikali inaenda kinyaraka

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 8 місяців тому

      ​@@user-ez9qc2jo1xamejibu kisomi sawa ila sasa jeuli hyo inatakiwa utambe ukiwa na nyaraka halali ndo patamu sasa mweupe tu halafu unajibu jeuri si ujinga huo. Ujue waziri mpaka anafika eneo hilo taarifa maalum anazo sasa kwann asiseme ukweli tu kuliko jeuri asiyokuwa na maana.

    • @albertchuma4313
      @albertchuma4313 3 місяці тому

      ​@@user-ez9qc2jo1xdah😂😂😂

  • @mgangamjita8657
    @mgangamjita8657 8 місяців тому +2

    Barabara za kitunda machimbo, kivule na f/kumi Hali mbaya wajawazito wanajifungulia njiani njoo ujionee ktktk ya mji Dar es salaam so sad

    • @valerianmtowe7822
      @valerianmtowe7822 8 місяців тому

      Si ndo nyie huwa mnapewa kofia na t sheti za ccmu mnasaau matatizo kula chuma icho bado hamjasema

  • @ndolepeter2770
    @ndolepeter2770 6 місяців тому

    Ukiwa mtenda haki huwezi kupendwa nawatu ila cc wanyonge tupo na ww kijana wetu Mungu akulinde baba, pacha wako Makondo yuwapi jaman Mama Samia waangalie hawa vijana kwa macjo mawili wanafukunyua mengi yaliyo jificha

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 3 місяці тому

    Ukiwa na shule raha sn kwa kweli hongera jerry slaaa shule ipo hekima busara ipo

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 5 місяців тому

    Young boy Mungu atuwekeee insha'Allah.

  • @user-zw4tf5os8b
    @user-zw4tf5os8b 8 місяців тому +1

    Mzee yupo sawa, mambo ya ofisi ni barua, sio kuvamiana tu

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 8 місяців тому

      Nawewe chizii kama bakari shingo...yaonekana Hana walezii waliomlea vizuur...

  • @SalamaJuma-mg3ru
    @SalamaJuma-mg3ru 4 місяці тому

    Mtoto mdogo lkn maashaallah Allah akulinde mh silaa

  • @jamesbaisy8068
    @jamesbaisy8068 8 місяців тому +2

    Suala la hilo eneo nalifahamu vizuri, ni utata sana anayemiliki hapo nasikia yupo ulaya Shingo ni msimamiz.

  • @johnsimba
    @johnsimba 6 місяців тому

    Hongera sana Waziri tembea inchi mzima hasa na huko musoma ni balaa tu

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 5 місяців тому

    Hongera Mheshimiwa na Timu yako MUNGU Akubariki

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 8 місяців тому +1

    Huyuu jamaaa ni mshirikinaa au mchawi nashindwa kutofautisha. .....jamaa kajichanganya kasahau Jeri kua Ni Mwanasheria😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 8 місяців тому

      Huyu jamaa Kajizima data kabisa anaongea na kubishana na waziri mwenye kujua sheria zote

  • @basumegheMbotwa
    @basumegheMbotwa 4 місяці тому

    Hongera sana waziri Mungu akulinde

  • @ADAMSANGA-lv7fv
    @ADAMSANGA-lv7fv 8 місяців тому +1

    Njooooo iringaaa wazidiii michezo hiyooo imezidi huuku

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 8 місяців тому +1

    Nchi mnaipeleka pabaya Waziri ni mteule wa Rais na anamuwakilisha Rais Kiserikali hana mamlaka ya kumuamrisha Polisi. Acha Polisi ifanye kazi yao . Watendaji wa Serikali acheni kuwaingilia Polisi kwenye kazi zao na Polisi muelewe kazi zenu. Rais ana mamlaka 3 Kikatiba Mkuu wa nchi, Mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu. Yoyote ataeteuliwa na Rais anamuakilisha kwenye mamlaka moja tu na mamlaka zinazoweza kuwakilishwa ni Serikali na jeshi tu. Ukuu wa nchi atabaki nao mwenyewe hivyo mamlaka ya kutangaza vita ni yake peke yake. Ni kinyume cha sheria ingawa imezoweleka sana Tanzania viongozi wa Serikali kuwapa amri Polisi. Polisi ni chombo huru ambacho hata hakitakiwi kuoneshwa mhalifu. Ni Public Ofice Legal Investigation for Criminal Emergency.

  • @wilbertjosephat1615
    @wilbertjosephat1615 6 місяців тому +1

    Tatizo kubwa watu wanamdharau waziri kwakuwa wanamuona ni bwana mdogo.

  • @IddyZohan
    @IddyZohan 8 місяців тому +1

    Nakukubali mh waziri kiongozi makini wewe

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 3 місяці тому +1

    Iwish angekuwa makonda hapo na hayo majibu

  • @NeemaMlay-jb6zj
    @NeemaMlay-jb6zj 6 місяців тому +1

    Mtetezi wa wanyonge❤❤❤

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 8 місяців тому +1

    Well done waziri ardhi ni tatizo sugu

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 8 місяців тому +4

    Huuu mzee hana adabu ni mzee lakini anakiburi sana

    • @eladiuspeter586
      @eladiuspeter586 8 місяців тому

      Hana adabu kvp??

    • @user-ez9qc2jo1x
      @user-ez9qc2jo1x 8 місяців тому

      hawa ndyo walewale kuwa kiongozi yupo sahihi all the time @@eladiuspeter586

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 6 місяців тому

    Ofc c mambo ya vyimbo vya habari,safi sana mzee

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 8 місяців тому +3

    Hao wanafikiri hii nchi ni ya mama yao mbwa kabisa

  • @RoanCorporation
    @RoanCorporation 6 місяців тому

    Waziri Silaha inaonekana mchapakazi , safi sana , anatatua wajanja

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 8 місяців тому +1

    Hatari kweli hswa wazuri na wengine roho mamlaka
    Sheria ifuate

  • @user-ws8bc1jn7z
    @user-ws8bc1jn7z 8 місяців тому

    😮bgp kiongozi wangu jerry silaa pamoja

  • @user-zb2mj5nd5g
    @user-zb2mj5nd5g 8 місяців тому +3

    Halafu huyu mwenyekiti waserikali zamtaa anaonekana anakiburi sana

  • @moviekaa
    @moviekaa 8 місяців тому +1

    Upewe barua eneo lako?? Yan hata aelewi anacho kizungumza 😂😂😂

  • @MarthaBura-or8fe
    @MarthaBura-or8fe 6 місяців тому

    Safiiiii mungu akulinde wanyonge tunaonewa

  • @danvannyzawad6452
    @danvannyzawad6452 3 місяці тому +1

    Uyo bwana bakari mfanye aikute sura yako lumande alafu uone majibu yake na huko😅piga jizi ilo.akaekae ata miwili tu akutane na nyapara ngukuu akili imkae sawa

  • @user-rk8cf7cd5x
    @user-rk8cf7cd5x 8 місяців тому +1

    Duh mfunge uyo zezeta anamjibu kiongoz kama yupo bar mjinga uyo

  • @barakamassawe2454
    @barakamassawe2454 6 місяців тому

    Mungu akubariki uzidi kusimamia Haki

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 6 місяців тому

    Ujanjauja kwa waziri wa mama samia kwisha 😂😂😂😂😂

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 8 місяців тому +1

    Waziri chapa kazi ns kuna stendi bubu kila mkoa zife futilia dodoma zimeanzishwa stindi bubu na open supes zimejengwa

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 6 місяців тому

    Safi sana haijalish dini wala.nn ww piga kazi tuu

  • @henrykibodya1207
    @henrykibodya1207 8 місяців тому

    Keep it up

  • @josephlugala3182
    @josephlugala3182 4 місяці тому

    Waziri wa aridhi Silla unatufurahisha sana hata kama Niko njombe

  • @felistaantoni5446
    @felistaantoni5446 3 місяці тому

    Mueshimiwa hiyo mpo mpaka mkoani kwetu wameuza maeneo ya uma

  • @lazaroclavery2353
    @lazaroclavery2353 6 місяців тому

    Daiiiiim!uyu waziri kam namuona akienda mbali na kua kiongoz mkubwa et😮😮😮

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 6 місяців тому

    Mungu akutangulie

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 6 місяців тому

    😅😅😅😅mzee anajua sana😅😅😅hawez kujicomet kkk

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 6 місяців тому

    Bwana Yesu azidi kukuinua

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 8 місяців тому +1

    Jery slaa
    Hao ndiyo wanaitwa ALWATWAN!!

  • @marymuna5810
    @marymuna5810 8 місяців тому +3

    Yaani watu sasa hivi hawaheshimu viongozi kabisa zarau zimezidi kabisa

    • @user-ez9qc2jo1x
      @user-ez9qc2jo1x 8 місяців тому +1

      viongozi wenyewe hawajiheshimu wewe unaanzaje kuwaheshimu? sehemu kubwa alikuwa yupo sahihi ingawa mwisho kavuruga mtuhumiwa

  • @ZainaAlly
    @ZainaAlly 6 місяців тому +1

    Ana kiburi anaongea na Waziri km sijui nini kumbe jizi

  • @SadiHassan-ob6nv
    @SadiHassan-ob6nv 6 місяців тому

    Allah akulinde wazili

  • @StellaMwasha
    @StellaMwasha 3 місяці тому

    Wooooooh

  • @stellalagwelagwe5539
    @stellalagwelagwe5539 6 місяців тому

    Muheshimiwa tunaomba uende na huko Mikoani ukaone madudu ktk Mkoa wa Dodoma wilaya ya kondoa hadi Tanesco yaani ni rushwa imekithiri

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 6 місяців тому

    Huyu tapeli ni ana kiburi sana yaani😂😂😂

  • @tithomwamengo6571
    @tithomwamengo6571 8 місяців тому +2

    Kajaza tumbu kwajili ya kukandamiza wabajaji

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 8 місяців тому +2

    Ila mngetukamatia wezi wa mabilioni tukawona mnawashuguliki ingekua bora

  • @user-kg3cr9gg1h
    @user-kg3cr9gg1h 5 місяців тому

    Nakubaliii wazir Jerry slaa

  • @jacksonsawe2301
    @jacksonsawe2301 8 місяців тому +1

    Ujuaji & Ubushiloya
    Kigoma One hiyo baba Levo mkanye nduguyo😂😂😂😂

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 6 місяців тому

    Mama Samia Ongera kwa kumchagua .huyu waziri anakusaidia hajapunda

  • @MariamWiliam-z8k
    @MariamWiliam-z8k 5 місяців тому

    Mg jerry silaa makonda chalamila nawapenda bure mko vzr mno vijana chapen kazi hao ndo ccm damdam toka rohon watetea haki za wanyonge waooo ht huku wilayan chunya mbwaa hao mataperi