MAPYA WAZIRI JERRY SILAA AMALIZA MGOGORO WA MWAKA 74 TABORA, ATOA MSIMAMO "STYLE YA TEGESHA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 15

  • @allyabdallah1183
    @allyabdallah1183 10 місяців тому

    Safi Sana waziri ,nakukubali kwa uchapa kazi wako,eneo la malabi wengi walivamia

  • @EnivaChristopherbangi
    @EnivaChristopherbangi 9 місяців тому

    Nakupendaga sana mungu akubariki

  • @BentleyB-d3u
    @BentleyB-d3u 10 місяців тому +1

    Huyu Mzee amekosa adabu
    Ujapata wapi ujasiri wa kuongea na Mhe: kienyeji namna hii!!!

  • @charlesbii6749
    @charlesbii6749 10 місяців тому

    Huyu mzee ni mwizi😅😂😂😂😂😂

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 8 місяців тому

    Serikali ingekuwa inajenga mnara. Na kuonyesha eneo hilo ni la viwanda kuondoa migogoro.
    Serikali yenyewe inachangia kuongeza migogoro ya ardhi

  • @johndangote5172
    @johndangote5172 9 місяців тому

    😂😂😂😂 daaah

  • @ericraphael9653
    @ericraphael9653 10 місяців тому

    Elimu jamani😂😂

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 10 місяців тому

    Wazee wangine wanataka kukualibia waziri wachawi tu kazi mzuri kwako waziri

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 10 місяців тому +1

    FIDDA HUSSEIN NI MWIZI WA NYUMBA ZA WATU

  • @selemankimaro7616
    @selemankimaro7616 Рік тому

    Mmh' wazee wanao sumbua maofisini hao!!😅😅 Wanadanganya viongozi mno.

  • @thabitiseapower4499
    @thabitiseapower4499 10 місяців тому

    Tatizo serikari mnajisahau kupima machaka haiya wanavamia badae ndohayo yanajitokeza

  • @jifunzekuhusuwewe7475
    @jifunzekuhusuwewe7475 10 місяців тому

    mzee hana kosa kajieleza vizuri , maeneo mengi huachwa wazee wa zaman walikuwa wanajigawia maeneo watakavyo ndio maana anasema shamba

  • @jacksonsawe2301
    @jacksonsawe2301 Рік тому

    Waziri njoo na Ndachi Dodoma ni hivyo hivyo

  • @bubbyhafidh6415
    @bubbyhafidh6415 Рік тому

    Wazee wametusumbua sana hao hawaelewi kabisa yani

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 10 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂