Mzee jer ww ulikuwa sehemu nyeti ya serikar hivyo usikubali interview hovyo hovyo umepumzishwa ukubari kupumzika ukipenda kuongea sn serikar haitokuaminitena
Apo kwa foreverliving wanatucheka tunaofanya but a month natengeneza 1.5mln+ extra money for me na nimeajiriwa sweden 🇸🇪 tatizo letu Tanzania waoga na akili zimelala balaaa
Yaani nikiwaona nyie natamani kutapikia sim..wewe huna ujana mwema kabisa ni bahati tu lakini hamkuisaidia nchi zaidi ya kujenga chuki kwa watu huna lolote weweee
Uliingia madarakani kwa kuwatukana akina mboye si kingine,hukuwahi kua na vigezo na jamaa yenu kipindi kile alikua anapenda watu wa dizaini yenu waropokaji
unyama uliomfanyia kijana yule aliyefungwa na familia yake utakuja kulipa siku moja duniani inabidi utubu na ku9mba msamaha kijana yule na familia yake
@@OfficialA83640 Jerry Muro alishiriki kumpa kesi ya mchongo kwa mujibu wa Jaji aliyepindua hukumu hiyo ya kijana anaitwa Faraja Mathew alikuwa afungwea miaka 30.kwa kesi ya uongo aliyopewa na Jerry Muro..
@@hendrycomonsiwenga1128 alifunguliwa kesi ya kutunga ya ujambazi na DC Jerry Muro na mkiti wa Mtaa. ktk hukumu yake jaji alimtaja Jerry Muro na huyo mkiti wa mtaa kuwa wausika walitunga ushahidi na amshahidi na kwamba mtuhumiwa hana hatia yeyote na akaachiwa huru baada ya kukaa jela miaka 2
Uongozi/utumishi ni kupokezana kijiti Jerry Muro umefanya Kama ulivyojaliwa hongera puuza hoja za kipuu zi ,wewesi wa kwanza na si waliomo watakaa milele?
Yes nakuelewa sana Jerry unajenga hoja sana
Asante sana mheshimiwa tulikumisi sana
Nakupenda bro Jerry
Ulituvuruga sana IKUNGI ,hayo mazuri unayoyajua ni yepi kama sio kujipendekeza tuu
Vijana mmeonyesha kufel sana kwenye 5..at unamtumaini mungu kwa mliyoyafanya 5 mungu hakuwepoo,?
Note kua sisi tuliyopo kwenye utumishi wa umma huyu maana yake hakua dc tuu kuna kazi anafanya
Hafai na hakufaa
Bora umetumbuliwa maana hakuna lamaana ulilofanya ukiwa madarakani
Kusema ukweli nilikua simfaham Gardner pamoja na ile saut ya bezi ambayo nimeikalili kitambo sana radion ,leo ndo nimèmuona
Ofisi ya CLOUDZ IPO locally,. Badilisheni hadhi ya ofisi haiwezekani media kubwa kama hiyo lakini ofisi yake utadhani gereji
Wanauza ofisi au content?
Mzee jer ww ulikuwa sehemu nyeti ya serikar hivyo usikubali interview hovyo hovyo umepumzishwa ukubari kupumzika ukipenda kuongea sn serikar haitokuaminitena
Unaongea sn lkn hakuna point nenda kafanye kz huna uwezo wa kuwa DC
Mzee wa Bendera Chuma Mringoti Chuma PRT ya RTD 2003
Apo kwa foreverliving wanatucheka tunaofanya but a month natengeneza 1.5mln+ extra money for me na nimeajiriwa sweden 🇸🇪 tatizo letu Tanzania waoga na akili zimelala balaaa
Yaani nikiwaona nyie natamani kutapikia sim..wewe huna ujana mwema kabisa ni bahati tu lakini hamkuisaidia nchi zaidi ya kujenga chuki kwa watu huna lolote weweee
Acha uongo Zuchu ametolewa na WCB
Ila vijana tumeumia kuona haupo
Umeumia na nan??
Uliingia madarakani kwa kuwatukana akina mboye si kingine,hukuwahi kua na vigezo na jamaa yenu kipindi kile alikua anapenda watu wa dizaini yenu waropokaji
Mbona kama Jerry huna utulivu kabisa kwenye kuongea kwako kaka?
Swali moja dogo,majibu chungu mzima.😆
We ubet is not Tanzania technology men
Umetumbuliwa acha maneno mengi kenge wewe, usijifari eti umerudi kupumzika nini???......... Umeahidiwa na nani wewe!
Tubu mzee
unyama uliomfanyia kijana yule aliyefungwa na familia yake utakuja kulipa siku moja duniani inabidi utubu na ku9mba msamaha kijana yule na familia yake
Yupi huyo sijaipata hiyo story ?
@@OfficialA83640 Jerry Muro alishiriki kumpa kesi ya mchongo kwa mujibu wa Jaji aliyepindua hukumu hiyo ya kijana anaitwa Faraja Mathew alikuwa afungwea miaka 30.kwa kesi ya uongo aliyopewa na Jerry Muro..
@@hamisimuhunzi7916 Kesi ilikuwa inausu nini?
@@hamisimuhunzi7916 Faraja Mathew alikuwa na kesi gani?
@@hendrycomonsiwenga1128 alifunguliwa kesi ya kutunga ya ujambazi na DC Jerry Muro na mkiti wa Mtaa. ktk hukumu yake jaji alimtaja Jerry Muro na huyo mkiti wa mtaa kuwa wausika walitunga ushahidi na amshahidi na kwamba mtuhumiwa hana hatia yeyote na akaachiwa huru baada ya kukaa jela miaka 2
LL hey n can kk eeki
Omba toba mdogowangu
Uongozi/utumishi ni kupokezana kijiti Jerry Muro umefanya Kama ulivyojaliwa hongera puuza hoja za kipuu zi ,wewesi wa kwanza na si waliomo watakaa milele?
Siku mbili tu umeganda! Na bado
Udhalimu aliomfanyia Faraja Mathew na familia yake.. Jerry Muro hataweza kukwepa laana itakayompata hadi kizazi cha 4
Tubu na ukamuombe msamaha