CHALAMILA awavunja mbavu WAFANYAKAZI wa TRA, 'kuna baadhi hawatumii mashine NATAKA MUWE wakali'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 10

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 8 місяців тому

    Chalamila ni kiongozi mzuri sana. Hongera sana mkuu wa mkoa wa Dar.

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 7 місяців тому

    Wafanya kazi t.r.a siwaminifu maisha Yao ni kama ya mbinguni

  • @devothakokwiyukya5179
    @devothakokwiyukya5179 Рік тому +1

    Yuko vizur kiongozi

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward Рік тому +1

    Kodi muhimu sana, tunapenda kulipa. Tatizo tatizo ni pale tu pale tunapo kata tawi tulilokalia kama karumekenge.

  • @Japhary-sx3je
    @Japhary-sx3je Рік тому +1

    Du ongela sana

  • @allyiddi5866
    @allyiddi5866 Рік тому +2

    Huyu ni karibu wa ccm ajaye hata mkubisha ndiyo itakavyokuwa

  • @deuspaschal7616
    @deuspaschal7616 Рік тому +1

    Una akili mh!

  • @jamaa2760
    @jamaa2760 Рік тому

    Good speaker

  • @amonkingu6434
    @amonkingu6434 Рік тому

    Mkuu huwa nakuelewa sana, Mungu akutangulie kwenye majukumu yako.

  • @mosesibmshangamshanga7885
    @mosesibmshangamshanga7885 Рік тому

    Hotuba nzuli sana..